Ckuiz hautuambii ukweli Kama zamani coz unaficha venye wanajiunga na devil worshipping ndo wanakua na kufanikio zaidi because hakuna kufanikiwa mafanikio makubwa bila kujiunga na Devil worshipping 🔊🔊⚔️⚔️‼️‼️‼️
Pia Bro sorry unaweza toa hadithi ya kundi ya boy band inaitwa BTS pia ni maarufu almost dunia nzima na hata pia wamechukua tuzo ya Grammy mwaka uliopita please..🙏🏿
Ila Luna watu waongo sana dunia hii😟si walisema mmoja wao wa westlife alishafariki ndo wakabakia wanne? Tena walisema huyo ambae alitoka mwanzo ndo alokufa 😏 ambae aliimba "Tonight" kumbe wote wapo hai jamani Astaghfirullah. MWENYEZI mungu awajaalie maisha marefu duniani AMEEN 🙏🤲💕💕
ila Hawa hawana maskendo ya kutisha. Skendo zao ni mambo tu ya kibinadam hauwez kupata slope tu. am proud of them jamn. even wanavyoish na wake zao, kwa mastaa kama Hawa wengine tungekua tumesia mahabar ya kuwasaliti. lkn Hawa wala wametulia
No one left the band everyone started making his own song them they come for reunion and in 2021 they released another,uliskia wapi?? Hi mombo yakusema nilisikia ni uogi
Tell them focus Nyash,they broke and poor they looking for money I don’t blame them,and some stupid people there that are following him or her or whatever he or she is
nilikuwa shabiki mkubwa san wa nyimbo za Westlife mpaka pale 2012 nilipojua kuwa mmoja wao ni shoga nikafuta nyimbo zao zote kwa hasira ndani ya dkk 15 baadae nikazidownload tena zote maana ugonjwa wa kuzimiss ulinitawala ndani ya robo saa😁