Тёмный

MZEE ASIMULIA YALIYOJIFICHA ENZI ZA NYERERE "NILIMPOKEA, AKANIWEKA 'KIZUIZINI', ALILALA KWANGU" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 136 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 366   
@SulemanKhan-lr1mu
@SulemanKhan-lr1mu 3 года назад
Mr Bilali is the real history of Tanzania. What a shame he has been forgotten for so long.
@luckyshumeofficial
@luckyshumeofficial 3 года назад
This man deserves a lot, honor and respect, Tanzania yote huyu mzee ashikwe mkono jamani #kenya watching
@profharuni8353
@profharuni8353 3 года назад
Kumbuka kuwa huku ni afrika kijana tena Tanzania
@saidabeid8249
@saidabeid8249 2 года назад
Mzee bilal hajatendewa haki maana wengine wote wako na majina ya barabara na madaraja hadi kina makamba...sio haki
@juliusraphael600
@juliusraphael600 3 года назад
Kazi nzuri kaka millard, huyo mzee anachosema ni kweli wamtunze huyo mzee anaweza waambia mambo mengi maana ya kale ni dhahabu. Butiama kwetu🙏🙏🙏
@kelvinmwakalikamo9387
@kelvinmwakalikamo9387 3 года назад
Nchii za wenzetu huyu mzee angetunzwa angeishii vizuriii sana lakinii daaah kasha telekezwaa
@sameramwajdu9029
@sameramwajdu9029 3 года назад
Uyu mzee siwakuishi maisha haya lakini ccm mh
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 3 года назад
Very interesting story huyu mzee afanyiwe kitu hata kama miaka imeenda USHUHUDA tosha Be Blessed my Grandfather 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@jumayusuph8471
@jumayusuph8471 3 года назад
Yani mim nikionaga hivi huwa machozi yananitoka kwasababu nafahamu vizur historia ya nchi hii 😭😭😭😭😭😭😭 acha tu maisha yasonge tufe basi lakin mengi yanafanyika daaah haya bhana.
@faridsalehmohamed1230
@faridsalehmohamed1230 Год назад
Nyerere pia alikua dikteta hasa kwa waislamu
@bamasultan2092
@bamasultan2092 3 года назад
Mzee wangu leo kaonekana kwa Dunia
@benderarulenge7092
@benderarulenge7092 3 года назад
Yuko vizuri huyu mzee,pole mzee kwa kufungwa.
@selemankishema5780
@selemankishema5780 3 года назад
Nikweli kabisa huyu mzee anasema mzee wa zamani saaana manshallah
@eddimalon6051
@eddimalon6051 3 года назад
Sio mzee wa zamani ni kijana wa zamani.
@Shammy-rn3tn
@Shammy-rn3tn 3 года назад
Kwa mara ya kwanza nimesikia asili ya jina la Tanganyika. Niliwahi kumsikia Mwalimu Nyerere akisema alishindwa kabisa kujua jina la Tanganyika lilitokea wapi licha ya kutafiti chanzo chake lakini hakufanikiwa. Mzee leo ametoa asili ya jina la Tanganyika. A remarkable piece of history of Tanganyika.
@softrock7155
@softrock7155 3 года назад
Sio waifanye mnara, nyumba ifanywe kuwa makumbusho (museum).
@tmanderson1371
@tmanderson1371 3 года назад
My God, this man deserves to be honoured, he has lived this long to tell Tanzanians untold stories.
@HassanHassan-fq5mf
@HassanHassan-fq5mf 3 года назад
Lahaula walakuwata illah billah lialiyu liadhim ndio faida za vyama vya shetan zulmaa tuu munaiyona faida ya zulma watajikosha wanataka kura
@theteacherchance6750
@theteacherchance6750 3 года назад
In TV Iman youtube channel, this veteran has gone deep in explaining Tanzania's history. Go there u'll ENJOY.
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 3 года назад
Nimependa Tanga= mambo ya baharini Nyika= mambo ya nchi kavu
@kenedykatarama3966
@kenedykatarama3966 3 года назад
Mzee pamoja na kuwa umri umesogea ila kumbukumbu bado yuko vizuri sana Mungu atuwezeshe kuyatunza madini haya
@minaeli5989
@minaeli5989 3 года назад
Manshallah Allah amuweke mzee wetu yaani 97yrs anakumbuka vizuri hawa Wazee wamejitunza vizuri ombi langu serikali imtunze Hutu babu yetu
@mitanotena5149
@mitanotena5149 3 года назад
Historia haifutiki mzee mungu akupe miaka kizazi hiki cha wapenda mberigiji wajue tanzania ilipotokea na inakoelekea !
@UzalendoNaUtu
@UzalendoNaUtu 3 года назад
We zwazwa, serikali yenu ndo imewasahau hawa wazee
@kadritonser2412
@kadritonser2412 3 года назад
Watu ht huruma hawan pumbav sana rangi ya mboga mnamuacha vip mtu namna hii ..c huyu tu wako wengi kama haw ...leo eti kina polepole wanachonga sana pumbav...
@user-je1id1tx1u
@user-je1id1tx1u 3 года назад
Akifa selikali ndo itatoa histolia na kuonyesha imeumia sana kumpoteza mtu muhimi tanzagiza
@timbukwa9771
@timbukwa9771 3 года назад
Wewe ulimjua huyu mzee?au unajuaje kama aliuchuna tuu miaka yote,kumbuka mambo mengi yameanza kujitokeza kuanzi aMagufuri aliposhika nchi,unakumbuka hata yule mzee wa Nembo ya taifa alivyosaidiwa?hakukuwa na mtu aliyemjua, kuna mambo mengi hatuyajui bila ya mwenye jambo kujitokeza atakufa tuu bila ya kujulikana mchango wake
@mwanzomwisho1217
@mwanzomwisho1217 3 года назад
@@timbukwa9771 labda wewe ni mgeni wa mambo ya historia ya tanganyika, huyu mzee amehojiwa muda mrefu na hata video zake zipo humu usitake kumpa mtu sifa isiyo yake.
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 3 года назад
Asante kwa hili,msiishie kuhoji tu,mpelekeni, kwa bitiku,(kigoda cha mwl,nyerere)historia yake iandikwe naamini wapo wengi,hawa ndo wafia nchi,ombi lake lifanyiwe kazi,magufuli Kama utapita waite wazee hawa wa karne,utabarikiwa
@amigodossantos4129
@amigodossantos4129 3 года назад
Magufuli should talk with him :))
@kasarambajuma270
@kasarambajuma270 3 года назад
Mimi binafisi nampa hongera mzee Wetu pia namshuku mwenyezi mungu kwakumpa kumbukumbu mungu amlindi.
@thomaslaurent4679
@thomaslaurent4679 3 года назад
Historia ya kweli ya nchi iko hapa hakika.
@zachaa_tz
@zachaa_tz 3 года назад
Ayo Mungu akuzidishie upate views Billion 2 nimeelewa sana..🙏
@sulutanjumajr5854
@sulutanjumajr5854 3 года назад
Historia imefchwa Sana Kama mzee anavyosema ukiifukua sana utajifunza roho zakikatili zaviongoz wetu walio tangulia natoa pole Sana kwamzee wetu pia namshauli akaushe tu Mambo yasiwe mengi
@tareqhilal6750
@tareqhilal6750 3 года назад
Kuna mengi Sana lakin uzuri na ushujaa ndio tunaambiwa
@timbukwa9771
@timbukwa9771 3 года назад
Hakuna nchi iliyoanza bila ya makosa mkuu.tena bora sisi kuliko nchi nyingine
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 3 года назад
Hususan mwalimu alikuwa na roho ya ajabu halafu leo anatangaza mwenyeheri kweli
@annasolomon9855
@annasolomon9855 10 месяцев назад
​@@hassanmfaume4522peleka Kule,, Hawa walifungwa kwa sababu waliendekeza udini na kutaka kulifanya Taifa kuwa la dini Moja.. Nyerere alitaka usawa kwa Kila mtu bila kujali dini ua ukabila
@salumumkugwa825
@salumumkugwa825 3 года назад
Dah! Huyu mzee alikuwa tajiri Sana miaka hiyo.
@abubakarmzee3374
@abubakarmzee3374 3 года назад
Izo ndo siasa mwisho wake unyonge
@mpokimwabukusi8783
@mpokimwabukusi8783 3 года назад
Hii interview ilihitaji more time na airtime nzuri. Ni muhimu sana watu tukawa tunajua tulipotokea.
@d.a.t3383
@d.a.t3383 3 года назад
Stories nzuri sana tumejifunza mawili.matatu Asante sana AYO fumua mengine ta Mlima Kilimanjaro
@Ahungu
@Ahungu 3 года назад
Tuirudishe historia ya nchi yetu sehemu yake, Tuache ushabiki wa imani zetu. Mwalimu alikaribishwa kwenye harakati za kuleta UHURU wa Tanganyika. Yeye sio mwanzilishi wa harakati za UHURU. Familia ya Sykes na wengine ndio waanzilishi wa harakati za uhuru. Soma kitabu cha Maisha ya Abdulwahid Sykes ndio utaona kuwa historia ya Tanganyika ilipotoshwa!
@ivanniyeha4229
@ivanniyeha4229 3 года назад
hayo ni yako
@christophermahawi4920
@christophermahawi4920 3 года назад
Ramadhan A Ahungu ni kweli upotoshaji na uongo umetawa hadi sasa na hii imesababisha tuchukiane, inasemekana hata historia ya dini zipo sehem amebadili, maana nabii Suleiman inasadikika alikua mtu mweusi.
@christophermahawi4920
@christophermahawi4920 3 года назад
Ramadhan A Ahungu Lakini Nyerere hakuwa na makosa kuwafunga baadhi ya waloshiriki uhuru, maana Nkruma,Lumumba,Sankara,Samora,Karume, Gadafi,Hailleselasie nk walichelea kuchukua hatua kama za Nyerere ndio maana waliuwawa.
@mussaabdiel9797
@mussaabdiel9797 3 года назад
Sasa uyu mzee tunamsaidiaje kwa mfano tu labda ? Au tunamuhoji tu
@eventelias3566
@eventelias3566 3 года назад
namba zake zinapita hapo kwenye screen unaweza kumpigia kuongea nae au kumtumia hela lkn kingine kikubwa ni kutambua uwepo wake na mchango wake kwa taifa letu.
@ibrahimharuna9821
@ibrahimharuna9821 3 года назад
Unajua shida ni pale ambapo WAANDISHI wa historia ya nchi hii nahisi walipotosha Sana,maana wazee Kama Hawa hawaandikwi na Wala serikali wakati zinasherkea miaka kadhaa ya Uhuru wa nchi Mara nyingi hutajwa mmoja tu kumbe Kuna wazee Kama Hawa amabao wameipigania nchi yetu.NAAMINI KABISA TABORA,TANGA,MZIZIMA,ZANZIBAR PANA HISTORIA NZR SANA ILA BADO WAANDISHI HAWAJAFANYA WAJIBU WAO Vzr
@lwitikomwakasefula2648
@lwitikomwakasefula2648 3 года назад
Hongera zako mzee bilali,Mungu Skype afya njema sema viongozi wa ccm mkumbukeni huyo mzee
@yusufrajabu8425
@yusufrajabu8425 3 года назад
Sante mzee nimeelewa maana ya tanganyika
@hemedytengu5718
@hemedytengu5718 3 года назад
kila siku huwa namlaumu Sana nyerere, na nitaendelea kumlaumu, najua kuna wanaompenda ila mm namshukia Sana, duniani huwez kupendwa na wote , ila mm nnasababu zangu kwann namchukia nyerere
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 Год назад
Sa sisi zinatuhusu nini hayo niyako wewe na chuki zako binafsi
@alexnswila7900
@alexnswila7900 Год назад
Zipi izo
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 Год назад
Nyerere alibebwa kisha akawageuka wenzie
@annasolomon9855
@annasolomon9855 10 месяцев назад
​@@mohdmohd8428uongo!
@annasolomon9855
@annasolomon9855 10 месяцев назад
Hayo ni kwako.. hata uspompenda haisaidia anapendwa na mamilion ya watu na Bado wanamuenzi
@SulemanKhan-lr1mu
@SulemanKhan-lr1mu 3 года назад
I do not know why the true history of Tanganyika is not told. Why does no body remember Mzee Suleman Takadri. A man who struggled for the independence of Tanganyika, and at the end of his life he was awarded misery and poverty. Sad indeed sad. Also Mr Aly Sykes who was ahead for the independence not even mentioned now.
@phantyrhymes9536
@phantyrhymes9536 2 года назад
Even my Grandpa Felician Malunga Sendama (1924-2007), had done manything till he lost his sight when Arusha declaration started 1957. He was amoungst the Ujamaa/(socialist) activist.Due to the struggle he finally got an accident which caused by the boomb explotions which affects his sight, from that date He couldn't be able to view better till he ware his big lenses glasses. May He rest in eternal peace for fighting for independence of our Nation.That is untold story. God bless our strong leaders.Amin.
@user-pm7yo3xi3h
@user-pm7yo3xi3h Год назад
​@@phantyrhymes9536 wacha uongo 1957 azimio la arusha?
@plujorilugano9489
@plujorilugano9489 3 года назад
Kweli kbsa Seikali ilitazame hili, wazo hili ni jema mno kujenga ama kumjengea nyumba si nyumba tu lkn pia mnara ujengwe. Kwa kumbukumbu za nchi hii na pia kumuenzi Mwl. Jk. Nyerere na mzee huu. Lakini kwa sasa nendeni mkatafute history kwa huyu mzee, msije mkamsifu baada ya kifo chake, huu ndio wkt wa kumpongeza mzee huu
@djumakadege659
@djumakadege659 2 месяца назад
INNALILLAHI WAINNAHI RAJIUUN. Huu ni msiba mkubwa sana kwa taifa. MwenyeziMungu amlaze mzee waikela mahali anapostahili Aamin.
@exoduspaul3382
@exoduspaul3382 3 года назад
Daaaah ingekua ndo enz hiz Land rover inauzwa 45000 nazan ata nafas ya kupak ixingekuepo😀
@joevang4685
@joevang4685 3 года назад
ela za kuwapa wasanii chepusheni hata kidogo mzee mmstili apate kajumba
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 3 года назад
Nchi hii ina historia kubwa na kuna watu wengi sana walihusika kuitengeneza lkn haikuandikwa wala haiandikwi hadi leo,wazee Kama hawa walistahili kuwa vizuri wamepitia mengi sana magumu wakati mwingine hadi sisi kuikuta Tanzania hivi ilivyo.
@ramazubery2641
@ramazubery2641 3 года назад
Wanajua vizuri ila nahic majina yao yakewaponza maana nilifatilia nikakuta wakina mzee saksi, tapaza, takadiry, kirashti wengi nawalifungwa nawengine kufukuzwa kusaidiwa huyo mzee tusahau. Aliegundua tanzanaity tu kaambulia ml 💯.hataile filam anayoomba Ally kiba sidhani kama itafanikiwa labda iigizwe baada yauhuru. Maana watu wanajua historia yataifa vizuri tu ila hatutaki kuelezea maana italeta machafuko nasiokitu kizuri. Chamsingi tuwaenzi kimyakimya itakua vizuri.
@NaseebLugusha
@NaseebLugusha 3 года назад
FISIEM badala ya kuwathamini wazee kama hawa wao wako bize kuwalipa wasanii kwenye kampeni dah wenye nchi yao hata historia tu haiwataji wakati shukeni tulitakiwa tufundishwe kuhusu wazee hawa wazalendo. TANGA-Mambo ya baharini NYIKA-Mambo ya nchi kavu TANGANYIKA OUR COUNTRY
@ayubukivi2833
@ayubukivi2833 3 года назад
Jamani mjengeeni huyo mzee nyumba
@bybytata7456
@bybytata7456 3 года назад
Duuh kweli dunia ainasir Allah ndie mjuzi zaidi allah akulipe baba yaan naumia mpaka basi Allah akupe mwisho mwema baba fimbo ya mnyonge dua zetu dua.
@VMGAfrica
@VMGAfrica 3 года назад
Kali Sana #SmartSana Mzee 97 yearz halafu Yupo Sharp
@yousuphnzira3209
@yousuphnzira3209 3 года назад
Nakushauri milad ayo uendelee kuchukua historia ya nchi hii kwa mzee huyu ana mambo mengi Sana. Na huenda ikawa sababu ya yeye kutambulika hapa nchini na akapata matunzo hata kwa uchache kwa kipindi kilichobakia.
@shaabanbindawood6538
@shaabanbindawood6538 Год назад
Mimi daima nyerere simpemdi Kabisaa
@Ab113tech
@Ab113tech 3 года назад
Legendary 🙌🏽🇹🇿
@oscarezekiel1826
@oscarezekiel1826 Год назад
Pole mzee M/Mungu akulaze mahala pema peponi, kwa kweli Nyere kawafanyia dhulma watu wengi sana na bado anaonekana kama nabii why????
@sarahmackenga3868
@sarahmackenga3868 3 года назад
Baba magu muone huyu zee
@NaomiCharles-bb8md
@NaomiCharles-bb8md Месяц назад
Uyo Mzee angetunzwa na viongoz wa tz Sasa mama Samia Ina bidi uchukue jukum la kuakikisha ana pewa matunzo bola 🙏
@shabanimbilu9079
@shabanimbilu9079 3 года назад
Mmmh such a huge history mzee kaongea mengi mno still bado tuko na history
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 3 года назад
Nyerere nae Mwenyezi Mungu amlipe kwa matendo yake
@batulialmass8914
@batulialmass8914 3 месяца назад
Analipwa huko alipo
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 3 года назад
Tundu lisu nenda tabora kwa huyu mzee kamwambie Tanzania tunataka iongozwe na upinzani 🤣🤣mzee kashika nini vile??mapovu hayooo
@saidihamisi3652
@saidihamisi3652 3 года назад
Ww ndio hujui mzee huyu alifungwa kwa kukataa ukiritimba wa nyerere wa kulazimisha fikra za mtu mmoja ziwe kama sheria.
@tareqhilal6750
@tareqhilal6750 3 года назад
Mzee nyumbani kwake Kuna bendera ya cuf au chadema kama sikosei angalia vizuri acha maneno..
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 3 года назад
Tukijifunza kusoma na kutafsiri mtu alichokiandika itatusaidia zaidi kuliko kudandia kitu ambacho hujakielewa
@tekala8778
@tekala8778 3 года назад
@@tareqhilal6750 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-mVzftMxHBvg.html
@tekala8778
@tekala8778 3 года назад
8:08
@armaanmaryam4645
@armaanmaryam4645 3 года назад
Tunataka more of this please
@plujoncylugano4611
@plujoncylugano4611 4 месяца назад
Wakuu,viongozi/Serikali mmemsikia mzee huyu??Hapo mlipo huyu mzee ni mmoja wa aliyesaidia Chama na Serikali hii kuwepo na kunemeka,naomba sana mama Samia Rais wa Tanzania, mama msikivu mtupie jicho la huruma mzee huyu. Mama leo hii unaweza kufanya kitu/wema kwa mzee huyu aliyeisaidia Tanzania kuwa huru mama nakuomba mjengee nyumba huyu mzee,mfute machozi alifanikisha kwa nguvu zake na mali zake kuhakikisha waasisi wetu wa Taifa wanapata uhuru,mama Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakuomba nakupigia magoti mvalishe nguo baba/mzee huyu,mkumbuke angalau kwa kujengewa nyumbani na moyo wake utaburudika na atakuombea na utabarikiwa Rais wangu.
@castrojuma982
@castrojuma982 3 года назад
Dah noma 😢 inasikitisha sana, história halisi imefichwa
@user-jz8sj5us1h
@user-jz8sj5us1h 3 года назад
Masha allah babu
@alimakaba6170
@alimakaba6170 3 года назад
Inakuwaje mtu muhimu kama huyu unamhoji kwa dakika 10tu? Huja tutendendea haki kbs, tunahitaj pat2 na 3
@eventelias3566
@eventelias3566 3 года назад
tena anaweza kujieleza vizuri
@theteacherchance6750
@theteacherchance6750 3 года назад
Nenda TV Iman ktk youtube ana pt 1, 2 na 3 Utampenda
@theteacherchance6750
@theteacherchance6750 3 года назад
TV Iman ktk RU-vid andika Bilal Rehani Waikela, utafurahi
@kelvinokelo7992
@kelvinokelo7992 3 года назад
Huyu mzee ni muhimu sana kwa Taifa.
@ernestmbwana6282
@ernestmbwana6282 3 года назад
Yaani Maisha Ya siasa ..unamsaidia mtu ambae sio ndungu yako anakuwa juu alafu anakuja kukufunga.. Pole Dunia tunapita
@juliusraphael600
@juliusraphael600 3 года назад
Kajieleza vizuri mzee Mungu akujaalie ufikishe miaka hata 200, sjui kama mimi nitaifikisha hiyo miaka 🇹🇿 🤔🤔
@khamissimai1477
@khamissimai1477 3 года назад
Kuishi miaka mingi ni adhabu unajua
@manungda9955
@manungda9955 3 года назад
Mzee mpaka sasa anamvua zake 97 bado tatu afikishe mvua 100
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz Месяц назад
Nyerere aliwageuka wapiganaji wa kweli wa uhuru wa bara na visiwani
@silvanmassawe1422
@silvanmassawe1422 3 года назад
Mzee anajitaid kuongea kwelii daaah mungu akuweke
@halidhamaad177
@halidhamaad177 3 года назад
Ulikua una upeo ndio mana nyerere hakupenda akawabakisha wasio na akili
@lucasmollel2522
@lucasmollel2522 3 года назад
Awesome grandpa
@yassinhamza1969
@yassinhamza1969 2 месяца назад
Nchi wamekuja kula mapimbi wengine kabisa huyu mzee ana history kubwa ya nchi hii
@josephatkiliko2546
@josephatkiliko2546 3 года назад
Mungu Akupe miaka mingine mingi mzee wangu
@MrJuniorwonder
@MrJuniorwonder 3 года назад
Interview imekuwa fupi Sana na hatujaona yooote anavyosema Mzee wetu. But ni vyema Ayo TV mnapoamua kufanya interview basi hakikisheni watu kama hawa wanapewa msaada. Natoa changamoto Tu Kwa Millard... Please Anzisha foundation ya Charity kusaidia watu unaowahoji ikiwa wapo katika Jambo Fulani gumu na kweli wanahitaji Msaada. Tunaweza kusaidiana watu kama hawa wakapewa heshima zao sio lazima serikali ifanye. Ahsante
@salamakombo3257
@salamakombo3257 3 года назад
Kweli kaka ila serekali itoe zaidi pesaa ipo
@abdallatimimi8443
@abdallatimimi8443 3 года назад
Emmanuel swallow. swadakta maneno yako ni kweli,huku kenya naona citizen na ktn wanajaribu sana
@hatibuathuman5011
@hatibuathuman5011 3 года назад
Selekali sikivu huyu mzee ashuudie mafajikio japo kidogo akiwa hai
@peninaancon1256
@peninaancon1256 3 года назад
Wekeni namba sahihi ya Mzee Bilali..
@abdallahahmedmmary225
@abdallahahmedmmary225 3 года назад
Bilal mzee wangu Meenyez mungu atakujaalia kwani maumivuyako tunayajua kutokana na huo mfumo kandamiz () ( ) 😡😡😡😭
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 3 года назад
Huyo kuna wakati alihojiwa au ndio hii imerudiwa? Wapo wengi walio gombea uhuru uzuri wa Nyerere alikuwa makali. Nyerere alikuwa anaamini binadamu wote ni sawa kutoka moyoni ndio maana aliwakubali wahindi wazungu na wengine na ndio maana tumekuwa wamoja. Hawa wazee walikuwa wanampinga na wengine walitaka utawala wa majimbo. Wakati wa Nyerere ponda, Lisu na wengine wanao hatarisha usalama wa nchi wangekuwa jela. Huyu mzee nakumbuka alitaka kuingiza uislam kwenye serikali au waislam watambulike kwa namna fulani na nyerere msimamo wake wa kupinga udini na ukabila ndio wakagombana. Lakini kwasababu bado yupo hai wamsaidie. Lakini kwa dar es salaam mbona walioshiriki ni wengi waliokuwa wanachangia nauli na kwenda kumpokea Nyerere akitoka UNO na wanaishi maskini au wamekufa masikini ni wengi.
@salumkanju1732
@salumkanju1732 Год назад
Je wote walioshirikiana na nyerere walidai udini? Tukubaliane tu mzee nyerere kawadhulumu wenzie tu tusifichane, leo hii sherehe za uhuru hazinogi mana ukweli umefichwa sana
@annasolomon9855
@annasolomon9855 10 месяцев назад
​@@salumkanju1732udini ni adui wa Taifa.. Nyerere sio mjinga Kuna kitu usitudanganye
@ivanniyeha4229
@ivanniyeha4229 3 года назад
Ukiwa unaandika habari hizi tumia hekima na busara ,huwezi kulaumu upande mmoja bila kusikiliza upande mwengine so msikurupuke tu kuandika bila kujua impact
@hassansamata5995
@hassansamata5995 3 года назад
Huyu mzee icon..afanyiwe jambo
@bendit4476
@bendit4476 3 года назад
Hongera sana mzee
@stanleymhozi7590
@stanleymhozi7590 Месяц назад
Ndiyo hivyo nchii hii walimterekeza tatizo mzanaki alikua mbinafsi😂😂😂😂
@lawjoseph6590
@lawjoseph6590 3 года назад
Magufuli mkumbuke uyo mzee anamuchango mukubwa sana ktk taifa
@jenipherpeter9490
@jenipherpeter9490 3 года назад
Hongera sana mzee wetu, serikali ikutazame kwa jicho la tatu.
@dominicofabian2245
@dominicofabian2245 3 года назад
Allah akuhifadh, nawaomba serikali wakutazame kwa jicho la huruma ni mchango mkubwa umetoa kwa taifa let.
@fauzishma8033
@fauzishma8033 3 года назад
Hiyo ndo shida ya mwafirika akipata uongozi husahau kabisa aliokua nawao si Tanzania tu uganda pia ni vile vile kenya mambo ni hayo hayo na Kenyatta wako wazee mpaka sasa wanalia
@martinemaganga2546
@martinemaganga2546 3 года назад
Inategemea kwani waafrika wengi mkishafanikiwa hatua ya kwanza wanaanza hila za kutaka kukupindua hivyo mwl.Jk Nyerere hakuwa mjinga kiasi hicho
@joevang4685
@joevang4685 3 года назад
yanga na mashabiki zake mpo wapi jaman
@onesmomassawe6230
@onesmomassawe6230 3 года назад
mungu akubrk sana AYO
@hassanmataula7063
@hassanmataula7063 3 года назад
Dah! Mzee yupo sahihi sana yaan dah!
@mahamudubakari5895
@mahamudubakari5895 3 года назад
Huyu mzee ajengewe yumba mzuri na selekari kwani ameshiriki kukombowa taifa letu kwa wa kolon.i
@queenpiscator6117
@queenpiscator6117 3 года назад
Hoja nzuri sanaaaaa tumuenzi babu yetu nice tunapenda
@clinton3168
@clinton3168 3 года назад
Nampendaa huyo Babu nipeni namba zake nimsalimie hata nimtembelee
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 3 года назад
Toa part 2 nzuri
@idanysedrc1200
@idanysedrc1200 3 года назад
Mzee wet wa tabora huyu serikali imuanglie
@eddimalon6051
@eddimalon6051 3 года назад
Haikumuangalia alipokuwa kijana, imuangalie leo. wacha wende na serikali yao.
@ibrahimharuna9821
@ibrahimharuna9821 3 года назад
KUNA HAJA YA WASIMAMIZI WA HISTORIA YA TANGANYIKA KUFANYA JUHUDI ZA MAKUSUDI SANA KUANDIKA UKWELI JUU UA HISTOROA NA WANAHISTORIA WA NCHI HII,SIO KUDANANYA WATU KWA HISTORIA FAKE AMBAZO ZINAPOTOSHA WATU.asante Sana ayo tv kupitia ninyi tutajua Yale amaboyo hayakuwekwa wazi.Keep it up.
@festuskahindiyaa3703
@festuskahindiyaa3703 3 года назад
Leo nimejua maana ya neno "Tanganyika"
@kakak1650
@kakak1650 3 года назад
Yani kiufupi mzee alikuwa chawa wa nyerere😂😂😂😂😂
@kimbwifimbo4803
@kimbwifimbo4803 Год назад
Serikali imeshindwa kupata baraka za mzee huyu mpaka amekufa, hi Ni laana tosha, sijui Kama MUNGU anatudhibu kwa makosa Haya ama la.
@siasasiasa6238
@siasasiasa6238 2 года назад
malongo una mapungufu makubwa ktk kuboji ili kupata habari ilokamilika kabla hujamaliza usharukia Jambo jingine jaribu kuliangalia
@rockyvlogs2214
@rockyvlogs2214 3 года назад
Jamani jamani 😩😩
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 Год назад
Mzee yupo vizuri ila kama nyerere alikuwepo mzee huyu mbona yupo duni
@SuperKibwana
@SuperKibwana 3 года назад
Haina mwendelezo hii Mr Ayo? Maana imekatikia pabaya. Asante sana.
@Nedjadist
@Nedjadist 3 года назад
Woga huu Tanzania! Yaani mwandishi ashindwa hata kuendeleza maneno nyeti muhimu ya mzee. Kwa nini aliwekwa kizuizi ni na Nyerere? Kwa nini Nyerere alikuja akamwomba msamaha? Ni maswali relevant sana katika interview hii.
@zicomgravity4897
@zicomgravity4897 3 года назад
Naamini ipo story nyuma. Mzee Jk alikua hataki LOLO. Bila ukali wake na kufanya aliyofanya amini tungekua pabaya sana. Udini ukanda ukabila vingeshamiri. Mzee alikua akikuona una huo upepo lazima akusweke. Hadi utoke akili inakukaa sawa. BADO NAMSHUKURU MWL NYERERE KWA YOTE ALOFANYA KWA AJILI YA HILI TAIFA. NO MATTER WHAT.
@valleyfront4462
@valleyfront4462 3 года назад
🙆
@valleyfront4462
@valleyfront4462 3 года назад
Nyerere pia ni binadamu Lazima alikosea tu
@slowclimbertothetop4572
@slowclimbertothetop4572 Год назад
Millard nyie hovyo sana. Kwanini hamjauliza zaidi kwanini aliingizwa detention?
@kobajumakuziwa9976
@kobajumakuziwa9976 3 года назад
Kuna watu wanastahiki kuenziwa na kuhifadhiwa na kupewa kila kitu chakula,huduma za afya mpaka kufa kwao
@saidikobossa7489
@saidikobossa7489 Год назад
Huyu Mzee bado yupo? Anaidai hii nchi heshima na matunzo makubwa
@babusadala5732
@babusadala5732 3 года назад
Mzee yupo vizuri kabisa yani 🤔🤔🤔🤔
@meshackmpalanga9130
@meshackmpalanga9130 3 года назад
Sasa nawaza Sana huyu mzee kanufaikaje na taifa hili au mpaka awe na kadi ya chama
@alisele5299
@alisele5299 3 года назад
Babu alikuwa tundulisu enzi zake labda au ccm sio watu wazuri jama
Далее
Joy and Anxiety Mood (Inside Out Animation)
00:13
Просмотров 400 тыс.
ЛУЧШАЯ ПОКУПКА ЗА 180 000 РУБЛЕЙ
28:28
Приметы
01:00
Просмотров 161 тыс.
Joy and Anxiety Mood (Inside Out Animation)
00:13
Просмотров 400 тыс.