Тёмный

WEUSI - Showtime [Official Music Video] 

WEUSI
Подписаться 97 тыс.
Просмотров 677 тыс.
50% 1

#WEUSI #Showtime
Directed by Ivan
Produced by S2Kizzy, Pluto/B Records
Mixing and Mastering by Chizzan Brain

Видеоклипы

Опубликовано:

 

9 июн 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 708   
@joshuakaaya2070
@joshuakaaya2070 5 лет назад
Weusi 🔥🔥🔥🔥Chorus ni 🔥🔥🔥..G warawara verse🔥🔥🔥🔥..kama na ww umeirudia kuisikiliza hii ngoma zaidi ya mara moja tuko pamoja💪💪💪
@muhammadabdulla1049
@muhammadabdulla1049 5 лет назад
Mwenye amemuona S2kizzy anipe lyk pamoja na ya Gnako...
@noelbarkin5070
@noelbarkin5070 4 года назад
Nashangaa sana hil ngoma et saiz halijafksha view mil hata 1 aseeeh daaah ok ebu to show time kw kugonga like nyng km weusi umewaelewaaa
@robsondalink6206
@robsondalink6206 5 лет назад
Weusi chama lang HIP HOP asili yang #G WALA WALA🏾🚶🚶🚶🚶🚶
@jumalove2631
@jumalove2631 5 лет назад
Wanao sema weusi wanabebwa staki like yako nenda kwadudubaya nyimbo anatoa nyimbo mbovu alafu analazimisha zipigwee😂😂😂
@jasmineshechambo3401
@jasmineshechambo3401 5 лет назад
@@matayosenga1342 🤣🤣🤣
@anelkaking9342
@anelkaking9342 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@dapperadam4591
@dapperadam4591 5 лет назад
Bonge la dude ayisee...waraa wara we ni 🌟👌 from🇶🇦🇰🇪🤜🏾
@wnyangweso1612
@wnyangweso1612 5 лет назад
10 over 10 took me here,great hip-hop to the hip-hopers
@ngatunin.p.4292
@ngatunin.p.4292 5 лет назад
Kempinsky, Roof top, baadae Bangkok .. 🎵
@alphoncekagoshi941
@alphoncekagoshi941 5 лет назад
Joh makin anavyoingizia hio vocal 'showtime' inaiweka Ngoma vibe
@mickylifetimes
@mickylifetimes 5 лет назад
Asee mzeiya yani LEO...#Showtime Gonga like ka umekubali weusi ni🔥🔥🔥🔥🔥
@jashakishabany6436
@jashakishabany6436 5 лет назад
Oya kama umemuelewa G nako gonga like twende sawiha
@tanzaniaelectronicstv8859
@tanzaniaelectronicstv8859 5 лет назад
R chugga jiji la weusi 💥
@lucygirgis3742
@lucygirgis3742 4 года назад
Hazard10 Madrid santiago umeonaeeee
@dickmalove5544
@dickmalove5544 5 лет назад
oyooo chuga moko iyoo nawakubali wanangu wa damu
@surusuru1994
@surusuru1994 20 часов назад
Papa umenenaa🔥🔥🔥🇹🇿🔥🕺
@ezraezerioonthego1925
@ezraezerioonthego1925 5 лет назад
Ngoma 🔥🔥 🔥🔥 🔥🔥 🔥 much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@tumainialoys8467
@tumainialoys8467 4 года назад
Goma kali sana kwa weusi Kama sisi
@johnmarwa9589
@johnmarwa9589 5 лет назад
Watoto hawapend kukinaishwa, watoto wanapenda kufrahishwa..👽
@nunuuali5316
@nunuuali5316 4 года назад
Mnajua mpaka mnaboa yaani. Sijawahi ona kundi imara kama lenu. Mungu awasimamie
@artsbanight622
@artsbanight622 5 лет назад
Weusi - showtime imebamba ile kinoma# wakubali ni 💪💪💪
@DenyoReigns
@DenyoReigns 5 лет назад
WaraWara ndo King wa Chorus Tanzania🤲
@zakayomoshi1270
@zakayomoshi1270 5 лет назад
Nakubali mwanangu jamaa ni hatari popote unapomweka unaumza kawaida
@DenyoReigns
@DenyoReigns 5 лет назад
Na ndo kaumiza apa pia mnyama Wara...hatari sana👑
@africanhappyadventure6951
@africanhappyadventure6951 5 лет назад
Sio mpenzi wa secular ila huwa nasikilizaga tu Chorus Huyu jamaa anajua balaaa..
@mohammedihamisimoblack8878
@mohammedihamisimoblack8878 5 лет назад
WEUSIII#OG vile aibu tunakata na vileo...
@amonmligo7819
@amonmligo7819 5 лет назад
ngoma kali sana...sema wabongo wametekwa na muziki toka sehem flani hivi mpaka ngoma kali kama hizi wanashindwa kuzisanukia
@allanescobar6698
@allanescobar6698 5 лет назад
Kama unajua hii ni hiti kubwa east Africa ya hip-hop embu gonga like had saa 6
@mbaroukdwizzy6035
@mbaroukdwizzy6035 5 лет назад
Mamaaaaaa....showtime fanya kugonga like hyo
@deocharles2916
@deocharles2916 5 лет назад
Wajuba! !!!!!kila kitu moto kwenye hili lingoma! Big up sanaa.
@anaselilesika4069
@anaselilesika4069 5 лет назад
Weusi is on some next level shyt walai 🔥🔥🔥
@Mbeyaconscious
@Mbeyaconscious 5 лет назад
From Mbeya city "show time" chuga like zangu wapi Kimenuka green city
@mchinatasha6431
@mchinatasha6431 5 лет назад
Hakuna wakutuambia kitu arushaa ni yetu wakutufananishaga hakunaga manigaa a town ni yetu hip hop ndio kwetu yee hoo yee hoo yeeeeeeee
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 5 лет назад
“Mauno kudhungushwa kama kombeo”🙌🙌🙌🙌😂😂😂😂 big up sana #WEUSI
@robbyarnold9915
@robbyarnold9915 5 лет назад
mboga ziko 6 na kwanza ndo saa 6 million 6 ...hatari weusi wakali wa USA TZ
@deeh7322
@deeh7322 3 года назад
Kwenye weusi G nako ndo kichwaa nani anakubaliana na mimi 🔥🔥
@edgarmjuni8553
@edgarmjuni8553 5 лет назад
Aseee wanangu weusi wanajuaaaaa. Ngoma kaliii
@akrammkindi2221
@akrammkindi2221 4 года назад
G. nako umeuaaaaa kama kawaida yako
@RioIpo
@RioIpo 4 года назад
Akram Mkindi Hazidiwi huyu jamaa
@ezdoboy0025
@ezdoboy0025 5 лет назад
Kali sana anaye kubali weusi a like apa 🔥🔥🔥
@CyimSky
@CyimSky 5 лет назад
Cheki kitu hii hapa
@CyimSky
@CyimSky 5 лет назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-PfSfLx7TcFc.html
@zuutarimo5674
@zuutarimo5674 4 года назад
Yani tamu sana
@salvatoryoiso4726
@salvatoryoiso4726 4 года назад
Ezdo Boy 002
@glorykiduku4185
@glorykiduku4185 4 года назад
Ezdo Boy 002 iko gud sanaaa
@eddirahmayor2389
@eddirahmayor2389 5 лет назад
weusi my people always good music ...classic hit.much luv from mombasa kenya
@esromuisrael397
@esromuisrael397 5 лет назад
Gwala Sana 👊👊👊chama langu
@mangiclaus
@mangiclaus 5 лет назад
Weusi ndio rangi inayotishia wasafi pekee
@photnatusmallya218
@photnatusmallya218 5 лет назад
U're write brooo nmekubali
@untouchboymsafi1788
@untouchboymsafi1788 5 лет назад
Hit around the world nawakubali sana weusi
@mkapaliberatus3636
@mkapaliberatus3636 5 лет назад
Wajuba noma sana mmetishaaaaaa!
@andrewmchomvu4784
@andrewmchomvu4784 5 лет назад
Yeah baba ni mwendo wa #showtime
@stevenmtoi6250
@stevenmtoi6250 5 лет назад
Ndani ni watoto vimitungi kama gas wakilipuga boom nachukua na weka gambani ni kamalize room.. 🔥🔥🔥
@bosskubwa2727
@bosskubwa2727 5 лет назад
From 254 Kenya hebu gonga like hapa kama unaona hii ngoma imenyonga #weusi #showtime
@mwanaharakatiog3279
@mwanaharakatiog3279 5 лет назад
Weeweweeeeee noma noma kichupa hatar weka Repeat
@drecomarlo2322
@drecomarlo2322 5 лет назад
all the way from somalia weusi🇸🇴🇸🇴 I love u💝
@jaxfrax9578
@jaxfrax9578 5 лет назад
Mammamaaaaaaa #imeishaa iyooo
@jumahaji2454
@jumahaji2454 5 лет назад
A town show time na me booom mamamammama ☝✌
@bonifacedovick6195
@bonifacedovick6195 5 лет назад
Makini kweli umekua makini zaidi umu!! Wara wara ujawahi kosea....
@fasanitztiri5371
@fasanitztiri5371 2 года назад
S2kizz mchawi ilibaet great 🔥🔥
@johngodlovenderingo.7591
@johngodlovenderingo.7591 5 лет назад
Weusi vipaji asilia Bonge la ngoja ndo nimelioma leo na nikakomenti leo yan showtime.
@hamadychamgui2357
@hamadychamgui2357 5 лет назад
🔥🔥🔥🔥
@malikichamiwa966
@malikichamiwa966 5 лет назад
alieimba kiitikio amefunikaaah
@kingbidder
@kingbidder 5 лет назад
Bonge la kazi.. Safi sana weusi #1000%
@emmanuelmkyuba8055
@emmanuelmkyuba8055 5 лет назад
G nako n level nynne jamaa hajawah kufeli🙌🙌
@mathayothomas6429
@mathayothomas6429 5 лет назад
nasubiri machalii wa ngaleloo wakizunguka hiyo mamamaaaa.....
@blackpanther4825
@blackpanther4825 5 лет назад
Another dude..jamaa mnajua sanaaaaa. hii comment imeidhinishwa na Rajab, Adam Mkuso, Tarimo, Abdul na wengine kibao tunaoikubal hawa wagwan
@johnmtack883
@johnmtack883 5 лет назад
Gnako hajawahii kutuanguxhaa kwenye kiitikio timu WEUSI gonga like hapaa
@tumainitimothy9694
@tumainitimothy9694 5 лет назад
Weus nawaelewa sana show kali@
@adamtwaha6250
@adamtwaha6250 4 года назад
John Mtack namkubal xanaa G nako
@hamidaabbass492
@hamidaabbass492 5 лет назад
Daa mnajua adi mnaboa nice song amjawahi tuangusha walah
@aboubakarmsangi692
@aboubakarmsangi692 4 года назад
G Nako on the chorus 🙌🙌
@mkapaliberatus3636
@mkapaliberatus3636 5 лет назад
Show time mmeuwaaaaaaaah hakuna k2 haina bei iyoooooo
@juliethamtega6619
@juliethamtega6619 5 лет назад
Weraaaaaaa G Naco Warawara umesomeka mzeiyaaaaa 🎼🎼🎼🎵🎼🎵🎧🎶
@makassyzakir3505
@makassyzakir3505 5 лет назад
like nyingi kwa mwamba wa kaskazini
@anelkaking9342
@anelkaking9342 4 года назад
Weusi moto,chugaaaa
@nicholausnyengo8125
@nicholausnyengo8125 5 лет назад
Et ooooh....weusi watu wa media....sio siri hawajamaa wanajua tena sana tu....
@eliabenjamin5949
@eliabenjamin5949 4 года назад
Jamaa wameua sana kwenye hii ngoma, Kila mnyama amesimamia show kibabe.
@elbarikineema7945
@elbarikineema7945 5 лет назад
Eeeeeh hatariii sana weusiiiii watu wabaya sanaaaaaa
@janjahakimu3947
@janjahakimu3947 5 лет назад
Lord eyez uko pouwa broh pamoja na GNako
@anelkaking9342
@anelkaking9342 4 года назад
Verse ya kwanza jonh umeuwa naipenda kinoma😂😂😂nicely show wowwoooo weusi
@eliabujohn4837
@eliabujohn4837 5 лет назад
Weusii hatarii san nakubalii chamaa HIP HOP↑↑warawara hiv viitikio wwe ni fundi san mzee bba
@woltabenadi2184
@woltabenadi2184 5 лет назад
Hpopu ngomazangu weusi chamalangu chuuuuuuuga niaje
@bluemash100
@bluemash100 5 лет назад
Migos flan WA TZ , fresh sana
@omaryyusuf8385
@omaryyusuf8385 5 лет назад
Ebhan video kar nyimbo Kali mmeuwa weusi
@georgepetermfalme4600
@georgepetermfalme4600 4 года назад
Weusiii is king tz Kama unaamini gonga like za kushato machalii
@ngoniboychef5703
@ngoniboychef5703 5 лет назад
Duuuh hawa weusi noma sana g nako so mtu wa mchezo katika hii game
@jamaliwamurro4891
@jamaliwamurro4891 5 лет назад
ngoma qali ipasavyoo WEUSI GANG
@dangotesam9845
@dangotesam9845 5 лет назад
Itakumbukwa kama moja kati ya ngoma kali zaidi zilizowahi kufanyika kwenye karne ya ishirini na moja!!
@davyking7623
@davyking7623 5 лет назад
hawajawahiii kuniangusha ngomaa qwaliiiii sana
@williamsaid1080
@williamsaid1080 5 лет назад
😂😂😂😂😂 Goma KaLi joh kaua, Nikki kafanya ibada, Lord kachimba then Gnako kazikaaa
@amdunshomary7423
@amdunshomary7423 5 лет назад
Huu ndo mziki tunaotaka big up weusi
@CyimSky
@CyimSky 5 лет назад
Cheki hi kitu utapenda subuscribe like pia ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-PfSfLx7TcFc.html
@ndiefumaster1254
@ndiefumaster1254 5 лет назад
😂😂😂😂😂👐
@youngstainlessblack9655
@youngstainlessblack9655 5 лет назад
William Said 00qài
@blackpanther4825
@blackpanther4825 5 лет назад
Mamaye wewe jamaa inabidi upewe zawadi 😄😄😄 bonge la koment
@kayangojosephat5750
@kayangojosephat5750 5 лет назад
Mwamba ni mwamba big up joh makin
@RioIpo
@RioIpo 4 года назад
G nako wee jamaa mkali sana kwenye Chorus
@farajibuteta6258
@farajibuteta6258 5 лет назад
Huyu G akiacha music sijui weusi itakuwaje maana daaaaah
@mountstone8044
@mountstone8044 5 лет назад
Faraji Buteta sio itakuwa damage kwa weusi tu ni kwa tasnia yote ya burudani.huyu jamaa ni fire.
@anthonyjeremiah1245
@anthonyjeremiah1245 5 лет назад
Unyama jamani uwiiii balaa jipya mjini
@iddyshanna932
@iddyshanna932 5 лет назад
Respect Gnako 🤟🏻🤟🏻
@farajihassan3300
@farajihassan3300 5 лет назад
kali mambo ni motooo.....
@mmariwammari692
@mmariwammari692 4 года назад
Weuusiiiiyy watu weeetuu TEAMS WEUSII CHUGGA YEEEEEEEEEH🇹🇿🇹🇿
@omarymasupu9894
@omarymasupu9894 4 года назад
Noma sana goma
@anoldjose7793
@anoldjose7793 5 лет назад
We panda na maneno si tukpanda bei...show time🔥🔥🔥🔥🔥
@leoncerobert6237
@leoncerobert6237 5 лет назад
Duuuu weusi ni fire
@festoaidan8955
@festoaidan8955 5 лет назад
Mamaa mamaa mamaa dude ni kwereee aiseeee
@sarahmtewele1899
@sarahmtewele1899 5 лет назад
noma sanaa 🔥🔥🔥🔥
@TangaTVonline
@TangaTVonline 5 лет назад
ngoma kali sana mwangu umeuwa sana serpent 👍 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
@alphoncekagoshi941
@alphoncekagoshi941 5 лет назад
Nawapenda sana WEUSI ,am proud of their uniqueness
@robbypeter1371
@robbypeter1371 5 лет назад
Awa jamaa nawaelewa xana joh umetisha mzazi
@worldsuccesstz5569
@worldsuccesstz5569 5 лет назад
G nako unajuaaa mpaka unaboaaaa
@shaculabdul8242
@shaculabdul8242 5 лет назад
Kitu yenteeeeeee imesimama hit song
@amitabachani5695
@amitabachani5695 5 лет назад
nyeusii big up gang gang
@eliapendaizack2362
@eliapendaizack2362 5 лет назад
Makin Simon mwamb n mwambaaaaa
@janethchikawe7566
@janethchikawe7566 5 лет назад
Fundi joh!!!
@alenabelkinoni6571
@alenabelkinoni6571 5 лет назад
Nakoo umeuaa
@ibrahcataryan7125
@ibrahcataryan7125 5 лет назад
Hamkoseagii..machalii zangu.....#Weus
@BONGO_FILAMU
@BONGO_FILAMU 5 лет назад
WALA WALA G NAKO ameuwa #police wanamtafuta... Wanao Kubali akamatwe twende sawa
@hudhaifshaban9132
@hudhaifshaban9132 5 лет назад
Hawakoseag kamwe
@aloycemahaligewi7976
@aloycemahaligewi7976 Год назад
Very good song. One of the most underrated songs! Kudos....
@prodbylinear3322
@prodbylinear3322 4 года назад
Great COMBINATION,great production and a very Catchy Video.....
Далее
WEUSI - NiCome (Official Music Video)
3:45
Просмотров 1 млн
WEUSI - Mbupu (Official Music Video)
4:32
Просмотров 478 тыс.
How to Measure ANY Cliffs Height with a Rock
00:46
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Joh Makini - Nusu Nusu (Official Music Video)
4:16
Просмотров 1,1 млн
Weusi - Humu Tu (Official Lyric Video)
3:52
Просмотров 23 тыс.
WEUSI - SWAGIRE (Official Music Video)
4:16
Просмотров 636 тыс.
MSAMI - VIPI KWANI - (OFFICIALL VIDEO)
3:53
Просмотров 994 тыс.
Weusi Gere Official Music Video
4:25
Просмотров 428 тыс.
Malohat
3:35
Просмотров 736 тыс.
MACAN - Я хочу с тобой  feat SCIRENA
3:18
Просмотров 137 тыс.
Stray Kids "Chk Chk Boom" M/V
3:26
Просмотров 28 млн