Worse come to worse ma people come first, kama nikikosa kwa Mungu ntacomfess, weusi all stars haikwepeki converse ukiridhika na mahindi hupagawi na conflakes. Kwani chench twenty teee we ni mtete, uniite kijugu kinega ama mtefeeeeee🔥🔥🔥🔥LORD EYES mamae
Hii ni kubwa sana. Anayebisha anachuki binafsi. Hawa jamaa wana love Na mashabiki Wa huu mziki. Huu mziki unakata kiu ya mziki kwa muda wa mwaka huu uliobakia. Tunaita FUNGA NA FUNGUA MWAKA
Hale buma yeeee! Nako2Nako mpaka weusi ngoma kali ile mbayaaa blaza lord eyes nakuelewa sana yani big aup! blaza g nako mikato yako imeni bamba kinoma nime kubali kweli ukitaka vitu laini lazima upitie ngumu hp hp na wakilisha toka mwanza kwanza
Washkaji eeeeeeh, bhana tusimsahao goncha, Alisukia fid q na lord eye (imeisha hiyo) leo kasuka huu mkwaju . Mpeni like zake hapa alaf weusi mnajua hadi kero.