Aziza napenda mavyazi yako ya heshima ata anapo kua kwenye kipindi mungu azidi kukupa imani ya dini inshallah uendelee hivyohivyo mtoto wakike kijistiri ndipo stara yake inapomfikia zaidi.
@@MashakaZacharia-if9pm 😆😆😆😛😛hapo umenena sikatai japo sio wote hila.kama kweli vile tabia ya mtu hajua mwenyewe mtu na vyazi ni pambo tu kuna mengi nyuma ya pazia.
Brother Steve in Congo we love you very much try to take a trip to Congo one day you will see how we will welcome you🎉🎉 My dear ten likes will be enough for me ❤❤
Wengine wanaume wazima badala ya kuwapa hawa wasanii wetu vya maana wafanye mazuri zaidi ya hapa mnakimbilia likes....mkiombwa na nyie makalio msiwanyime wenzenu....