Duuuuuh kweliii mavazi hayo yanamaanisha kioo Cha jamii Kama msanii miaka mitano mbele sijui ,, tutavaaje ,unaimba vizuli by pua unabana sanaaaaa yaaani
Kwa mara ya kwanza leo najikuta nalia kwa ajili ya nyimbo hii na nimeangusha chozi langu kwa ajili ya kumpenda sana ndugu yangu zuchu roho imeniuma sana kut9kana na matatizo anayo yapitia
Kwenye mavazi tu ndo mnakela kwan mkivaa kiheshima watu awasikii au kikaa uchi ndo nyimbo inakuwa nzur uliwi ona mwanume anavaaa boksa alafu anaimba acheni ushamba basi kiweni ata na of na mungu jamn
Jamani kunajambo linanishangaza ,naombeni mnisaidie dini inaingiaje kwenye mziki,nguo ya mziki na ya msikitini au kanisani azifanani inamaana kama Zuchu avae ijabu akiwa anakatika au kuimba mziki?
Hovyo mavazi hayo jama hebu muwe mnaikumbuka na siku hiyo nzito ambayo mama atamkimbia Mwana na Mwana atamkimbia mamake halafu sie Wanawake tutakuwa wengi fiinnari na ndo kuni za kuchochea kwa hari km hii😭😭😭Yaallah tustiri ss waja wako
Kwa kweli anavaa uchi sana licha ya uislamu. Lakini anajiaibisha sana. Kwani mapenzi ni kukaa UCHI. Hadija kopa mfunze mwanao. Atapendwa tu bila kuvaa hivyo
Jamani kila wimbo una mahadhi yake.huwezi kuimba nyimbo ya maumivu halafu una.changamka.kama hamuelewi .ulizeni kabla huja jibu.zuchu uko sawa ! My daughter love you
Nguo ni kichomi.nyimbo ni kelele tu. Mwenye kilanga haambiwi pole.umewazidi nini zari na tashana walio kutanguli na wana watoto.itakuwa wewe umekuwa nani.mondi ni mfupa ulio mshinda fisi hata wewe zuchu usingeuweza.