#bongomovie #filamu Baada ya Adam kumfukuza aliyekuwa mama watoto wake (Hadija) na kumrudisha nyumbani aliyekuwa mpenzi wake wa zamani, hatimaye mama mtoto anaanza kudai pesa za matumizi kwaajili ya mtoto na hapo ndipo changamoto nyingine inapoanzia.
3 май 2023