Ukomavu wa fikra unapelekea kijana Adam kujikuta anashindwa kutatua matatizo yaliyo kwenye ndoa yake na kuiharbu kabisa. Fuatilia kisa hiki kinachotoa elimu kubwa na funzo kwa vijana kuhusu namna ya kuishi kwenye ndoa.
Daah!! Kaka Adam umeweza Sana sio Siri Kama wanaume wote wangekua Kama wew bc mapenz yangekua matam Sana Kaka ni unajua kumbembereza mpk bc kwanza saut tuu uporeee daah mashallah😘😘
Je, ungependa kujiunga katika group langu la WHATSAPP ili uweze kupata filamu zangu mpya ambazo hazipo RU-vid nyingine, Muda ni sasa na GROUP LANGU LA WHATSAPP ni hili chat.whatsapp.com/JAVGpA3xKfVAUKHCGxsVHt
I miss home .. I miss the Swahili ... Nlikua natafta kitu ambacho kita boresha lugha ... nimechoka kusikiliza muziki nikapata filamu hii ... Wakenya njooni tuboreshe lugha 🇰🇪
Bana weee huyu mwanaume anajua kubembeleza sana yaaani hiii ni Kila mwanamke anahitaji katika maisha yake kama uko hivi in really life basi Mungu anakupenda sana....natamani nimtag li ex langu lije lione sababu ya kumuacha All in All kazi nzuri sana Adam en team kip it up tumeinjoy ❤
Adam thank you for bringing such interesting movie ❤️❤️ Great lesson.Huyu mdada na kakake daaaah Nimependa part yao 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Aiseeeee.Watching from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪.So Amazing movie 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥.
Movie nzuri na yenye kuelemisha jamii san san upande wa wanandoa kujuw na nimependa pia ni filamu hii haina mambo mengi wala watu weng wachezaji wadogo na kitu kikatoka vizur sn big up san mr Adam na team yako yote
Much-loved Adam very creative keep up hii filamu imelenga mwangu ana matatizo ya kuchukia mumewe akiwa mbali anapenda akiwa karibu anamchukia thanks alot Adam
Waaai mpaka nimechelewa kwenda kazini, duh muvi kali kinoooooooma Ila nimejifunza sana Tena mpk mke wangu kaona aibu, Kweli nimeamini, KOSA MOJA TU LA NDANI YA NDOA, hutengeneza kosa LA MILELE, fikiri kama kwwli angekua na mimba yule Muuza bar...... Aisee makosa Ya kipumbavu usimfanyie mpenzi wako Thnk you sana kwa good move
Asante sana kwa kujifunza kitu, endelea kutazama filamu zetu zilizojaa elimu kama hizi, hakikisha una subscribe ili usipitwe kila tutapoweka filamu mpya.🙏
Yes bonge la move huwa sipendi kuangaria bongo move Ila kwahii nimevutiwa Sana mungu awatie nguvu nyote mulio shiriki na kufanikisha kazi nzuri Kama hii
Iko powa nimekipenda, wanaume tunaonewa sana sema tu tunajikaza. Matukio mengi ya Mchongo mbaya zaidi hakuna wakututetea kudhihilisha ukweli. Nice movie.