Тёмный

XXL WAMPIGIA LIVE MKWE WA BARNABA {MAMA KIMBO}, MSAMAHA, KIUNO CHA YAMMY NDIO KOSA, MKE ARUDI KWAO 

CLOUDSMEDIA
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 51 тыс.
50% 1

XXL WAMPIGIA LIVE MKWE WA BARNABA {MAMA KIMBO}, MSAMAHA, KIUNO CHA YAMMY NDIO KOSA, MKE ARUDI KWAO

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
@صالحالصوافي-غ5و
@صالحالصوافي-غ5و 5 месяцев назад
Pia mama kimbo hana adabu mutu mzima unamwambia mukwe hana adabu kweri barnaba mupole wallah
@pwanihabari
@pwanihabari 5 месяцев назад
Utovu wa adabu hauhusiani na upole wa mtu, kwani Aslay si mpole mbona amesafisha mtaro, hao wapole ndio waogope na huyu Kimapunju ni mshenzi tu, dume zima micheni kama mama yake mpuuzi, kisha eti msanii kioo cha jamii hovyo kabisa😭😭😭😭
@FatmaMohammad-tm9cd
@FatmaMohammad-tm9cd 5 месяцев назад
Barnaba mzuri ana heshima sana charming face always
@halimahussein6792
@halimahussein6792 5 месяцев назад
Mama Yuko Sawa, Ile ni kazi kweli lakini si kwa kukaa uchi vile, hata utamaduni wetu unapinga mtu kukaa uchi hafharani, kwani angevaa vizuri Na kushikwa kiunoni bila kuonyesha chupi mziki usingepigwa. Lindeni heshima ya mwanamke
@taseleli9181
@taseleli9181 5 месяцев назад
Sawa lakini huyu mama nae anawezaje kuliongelea hili mitandaoni aache kuongea hivyo kwanini wasingeongea nyumbani hata kama amekosea hii siyo sawa
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 5 месяцев назад
Ile ni kazi lakini sio kiwanda Cha mikate au soda Ile ni muziki na muziki una hayo mambo so yule mama na yule make wote ni washamba ningekuwa Mimi ndio Barnabas naacha huyo make akaolewe na sheikh kenge
@NasraMudi
@NasraMudi 5 месяцев назад
Kabisaa iyooo imeendaaaaaaaa😅😂😂😂
@NasraMudi
@NasraMudi 5 месяцев назад
​@@taseleli9181jamani mam mkwe nae anawivu piya duuh
@paschaliapesambili
@paschaliapesambili 5 месяцев назад
Hata huyo mkeo anakaaga uchi
@NajmaMaawiya
@NajmaMaawiya 4 месяца назад
Mwanifurahisha wallahi mazugumzo yenu ❤😂
@RandB_Channel
@RandB_Channel 5 месяцев назад
Barnaba utaumiya iyo family watakupelekesha paka utaingiza hakili mama mkwe hana shahuri nzuri kwa mwanaye bro utaumiya
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 5 месяцев назад
Muacheni aoe mwingine hiyo familia wanachonga sana bora hajapanda mbegu oa mwingine wanawake tunaokubali kazi zako tuoe khaa
@aminakipande5645
@aminakipande5645 5 месяцев назад
😂😂😂 akuje tu
@kolethafabian2618
@kolethafabian2618 5 месяцев назад
Hahahah
@kolethafabian2618
@kolethafabian2618 5 месяцев назад
Mama mkwe hamtaki barnaba
@SakinaWanjemu
@SakinaWanjemu 4 месяца назад
Barnaba anampenda mkewe namke yuko sahihi anatetea ndoa yake chamsingi wamalizetu tofauti zao mungu atasadia watakuwa pamoja ndoa yake
@barineokech1196
@barineokech1196 5 месяцев назад
Barnaba ameuwa kwa huu wimbo hapa hata hile ya mondi haifiki tue wakweli.
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 5 месяцев назад
Achanae mkeo chula ana maajabuu adii mama mkwee utumboo
@veredianavitalisi5785
@veredianavitalisi5785 5 месяцев назад
Umejizalilisha sana bro barinaba daa nilikua nakuelewa sana
@despinadamian8693
@despinadamian8693 5 месяцев назад
Yani hapo mama mkwe na mke wote hawako sawa mambo gani ndoa ya mtu inaongelewa kwenye mitandao kama sijui kitu gani, mama anamuharibu mwanae
@shery-bf8xh
@shery-bf8xh 5 месяцев назад
Mama wakwe wengine bana barnaba kayatimba😂😂😂
@KhadijaMasoud-m6u
@KhadijaMasoud-m6u 5 месяцев назад
Nikweli anavyo sema km mtu umempenda lazima wivu uumiye km mwanamke hakuulizi ukae wiki nje halafu hakuulizi hpo kuna namna
@happymushi4493
@happymushi4493 5 месяцев назад
Sio kweli
@salmaebrahim2058
@salmaebrahim2058 5 месяцев назад
Wacha kuwa muoga kaka jiamini kazi yako ndio maisha yako ivyo Wala usijali akipenda kweli atarudi hila kaka hapo una mkwe mama mkwe amekuwa ndio sema wa ndoya yako anapenda san kunyenyekewa. Kuwa makini na mama kimbo watakuendesha.
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 5 месяцев назад
Mama kimbo kaa kwa utuo Mo kashaseme yy muislam mke wa pili sooooooooon aja
@SalmaSelemani-o9b
@SalmaSelemani-o9b 5 месяцев назад
balnaba wewe acha utani jina la Muhammadi nikubwa saana mungu akupe subra ushinde mtihani huo kikubwa mtafute shekshe walidi akupe mawaidha yule Hana ubaguzi japo waimba mziki atakupokea mungu aku simamie uwe muisilamu mpaka mwisho wa uhai wako utamke shahada ameen
@happymushi4493
@happymushi4493 5 месяцев назад
Mapenzi haywezi kumsuperseed Mungu
@NajmaMaawiya
@NajmaMaawiya 4 месяца назад
Hebu sema kweli mtoto amekugusa😂😂😂😂
@saidshaban8110
@saidshaban8110 5 месяцев назад
Ndio maana move zentu zinakuwa kama JoJo SKU kadhaa znaisha utamu Kwa sababu hazina uharisia Pia haina haja ya kwenda kumuomba msamaha sjaona cha ajabu kabsa Ile ni kaz kama KAZI na ndio maana hatuend intonation na tukienda kwenye mashndano hatufuki mbari
@SaraKimati
@SaraKimati 5 месяцев назад
Sameheaneni maisha yaendelee mi nitafurahi sana kuona mmerudiana kosa sio kosa kosa kurudia kosa
@KhadijaMasoud-m6u
@KhadijaMasoud-m6u 5 месяцев назад
Kaowa na mm aliniletea kadi ya harusi nikaenda na barnada anapenda tu dini ya kiislam toka mwanzo ht mm nikivaa mabaibui hupenda mavazi yetu na ht dada yk mdogo wk wote wameslimu sio peke yk na sio kwaajili ya mapenzi ila watu hawajui tu
@BeliBeli-n9h
@BeliBeli-n9h 5 месяцев назад
Kwanza unaendana Na yammy kwani nisiri😂😂😂😂😂😂
@saidadam6731
@saidadam6731 5 месяцев назад
Daaaaaaaaah ndo huyo mm Sasa niwe barnaba, yaan ningemsindikiza na taraka moja kw moja na mama kimbo nae kama haeleweki na taraka pia nae Nampa kudaaaaadeki
@shakilasharifa9
@shakilasharifa9 5 месяцев назад
🤣 🤣 🤣 Mama kimbo😅😅😅
@Vokali02
@Vokali02 5 месяцев назад
Kizaz sana
@HumphreykirutuKirutu
@HumphreykirutuKirutu 5 месяцев назад
Barnaba ni mjinga sana
@FaizahAbdallah
@FaizahAbdallah 4 месяца назад
Kwalichokifanya sahii au
@PendoSilayo-ri4wg
@PendoSilayo-ri4wg 5 месяцев назад
Punguani mmoja ww anabadilisha dini jimwanaume zima ovyo..mwanamke ndo angebadili dini sio ww .ndo mana umekaliwa hadi na mama mkwe utanyoshwa hadi ulaumu kubadili dini
@happymushi4493
@happymushi4493 5 месяцев назад
Life ya Nandy na Bill itakuwa poa sana❤😊
@Pendomamafay
@Pendomamafay 5 месяцев назад
mama kasimamisha mishipa ya shingo kama vile barnaba ni mumewe 😮jamani
@Muna-t7m
@Muna-t7m 5 месяцев назад
Banaba.🎉🎉🎉.yupo.vizur
@MendradNyimbi
@MendradNyimbi 5 месяцев назад
Kaz ni Kaz mapenz kazin ni masihar bos watu wanawkeza mam
@hendricksjohn6201
@hendricksjohn6201 5 месяцев назад
Barnaba kayakanyaga hapa ila aliyataka mwenyewe Bora ungebaki kwenye dini yako
@ChristinaKayela
@ChristinaKayela 5 месяцев назад
Ndoa za mitandaoni zinamambo na vijimambo cjui nilazima vitu vyao kuweka hadhalani haina maana kila Mara kudhalilishana hivo Mambo mengine niyakifamilia wanatakiwa kuyamaliza Kama familia kimyakimya mitandao sio lazima kujianika kwa kila kitu kinacho endelea kwenye familia jamani
@RoseCharz-q8u
@RoseCharz-q8u 5 месяцев назад
Wasikuzingue muddy unasautiii
@Nicelovetz
@Nicelovetz 5 месяцев назад
Barnaba umenichekesha sana
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 5 месяцев назад
Akalazimishwa na kubadiri dini mama kimbo waache watoto wapendane
@MwanaShesha
@MwanaShesha 4 месяца назад
Unite kitanzi kisa mwanamme ulizaliwanae acha uzi bwana
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy 5 месяцев назад
Ila kiukweli hatujapenda barnaba kubadili dili huo ni ukweli maana mwanamke anampelekesha kuliko hata 😢
@vanjizzle122
@vanjizzle122 5 месяцев назад
Kama umegundua Barnaba Ni Comedian sanaaa Nipe like Zangu😅
@aryanchuumu362
@aryanchuumu362 5 месяцев назад
Bora asingevaaa 😂😂😂🙌🙌🙌
@sweet16honey75
@sweet16honey75 5 месяцев назад
Ndio muziki Wa kisasa sasa aje kuimba na Dera
@levinatharwekenya5202
@levinatharwekenya5202 5 месяцев назад
Yaan mchonvu bwana unanifanya nafurahi sana interview zako kaka
@AggyMusoma-wb2kn
@AggyMusoma-wb2kn 5 месяцев назад
Barnaba kayatimbaaa mama mkwe anabeba mpaka na wadogooo Zake na mwanaumeee duuuuh mama mkweeeee hatariiii uyu
@vannie-gggg
@vannie-gggg 5 месяцев назад
Ni mjanja hataki binti aachwe wanatishia tu
@EsterEmanueljelly
@EsterEmanueljelly 5 месяцев назад
Yaaani Mwambieni kakata tiketi ya tren halafu badala ya kuingia ndani ya akae kwenye sit akandandia kwenye kichwa Cha tren kitendo Cha kwenda kubadilisha jina na na kuitwa Mhamad du hapo tayari kaharibu kila kitu sababu mwanaume hakutoks kwenye ubavu wa mwanamke so yeye sasa analala ukutani mwa kitanda Yaani mama mkwe anspangia aimbe au achazaje du hapo anaenda kupata anguko. Atapiga mswaki bila dawa.Nampa pole
@taseleli9181
@taseleli9181 5 месяцев назад
Kubadili dini sio tatizo unajuaje kama angebaki upande ule ule haya yasingetokea.
@EliudMagoma-i6v
@EliudMagoma-i6v 5 месяцев назад
Ningekuwa Barnaba asee nisingemrudisha binti yake na huyo mama moja kwa moja mm ningetoa talaka maana ushenzi mwingine ni upuuzi kwani huyo mke wake na huyo Barnaba hajui kazi ya mume wake?
@sisifaty9183
@sisifaty9183 5 месяцев назад
Ndio maana ukienda kuowa angaliya tabiya za wakwao .uyu kijana alijidabganya kabisa sababu anaadqbusana.mama mkwe wala hana dini kabisa .ila namuomba Barnaba usiache uislam
@mwajumsleman9070
@mwajumsleman9070 5 месяцев назад
Umeona eeeeh
@hamidamadaya724
@hamidamadaya724 5 месяцев назад
We unamawazo kama yangu yani alivyoondoka talaka ingemfata
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 5 месяцев назад
Naacha huyo mwanamke Ili ajifunze yeye na mama yake
@Narubega-ql3dz
@Narubega-ql3dz 5 месяцев назад
Kwa sababu hujitambui
@OweniEdward
@OweniEdward 5 месяцев назад
Unyama mwingi barnaba nakukubari brother
@pwanihabari
@pwanihabari 5 месяцев назад
Unamkubalia nini hajui kuimba anaimba kama analia😁😁😁😁 saiv ndio kaona aje na kiki ya kushika nyonga na vichupi, hamna kitu muhuni tu wa mjini
@irenemalunda1804
@irenemalunda1804 5 месяцев назад
Aje kwangu, mie nipo kwaajili ake
@zuleikhaahmed7220
@zuleikhaahmed7220 5 месяцев назад
No comment!!
@reveliancyprzacharia6967
@reveliancyprzacharia6967 5 месяцев назад
Ila adamu akili zake et bora hasingekuwa nayo nguo ya ndan😂😂😂😂
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 5 месяцев назад
Looooooooh mama mkwe akutukane pole weeee
@KhadijaMasoud-m6u
@KhadijaMasoud-m6u 5 месяцев назад
Yupo uchi kweli yammi hana adabu kawa malaya ile chupi tu tn km bigin
@AnjelinaWilliam-o7y
@AnjelinaWilliam-o7y 5 месяцев назад
🔥🔥🔥barnaba
@amosethantheking8815
@amosethantheking8815 5 месяцев назад
Rudi kundini, Yesu anakuita.
@teedullah5708
@teedullah5708 5 месяцев назад
Wakikata owa mke mwengine
@AishaAli-d7t
@AishaAli-d7t 4 месяца назад
Ww una makosa bande zote kwa mkeo na kwa yami mkeo mwenyeo ana randa uchi na mbona humzui na uwache tabia ya kupiga picha za uchi ww una watoto wana kuangalia una fundisha nini kizazi chako
@mwajumsleman9070
@mwajumsleman9070 5 месяцев назад
😂😂😂aaah uyo mamkwe mnafki angekua yy angekubal acjishaue bureee yaaan km mie ndo Barnaba cmrejei uyo mwanamke 😂😂😂si kaondoka mwnyw kwake
@kamalibakari4263
@kamalibakari4263 5 месяцев назад
Adam wewe mimi nakuamini sana mshauri dogo mo huyo mwanamke siyo sahihi kwake ni mtungi wa ges huwo
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 5 месяцев назад
Banarba huyo mama keshapiga hodi kwako muonja chumvi haonji mara moja sasa subiria yajayo utasikia utamu wake 😂😂😂😂
@omanmct135
@omanmct135 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Mlilapi
@Mlilapi 5 месяцев назад
Barnaba ajifunze kwa Mr Blue maana sijawahi kumuona babylon busy anafanya ujinga wa aina hiyo maana na blue naye ameowa
@sweet16honey75
@sweet16honey75 5 месяцев назад
Afute nini hiyo nikazi afute nini sasa
@sylvanjosam3402
@sylvanjosam3402 5 месяцев назад
Barnaba usiende kuomba msamah tafta mke mwingn weka ndani huyo mama kimbo akome
@magidalenarauya4286
@magidalenarauya4286 5 месяцев назад
We barnaba oa mke anaekuelwa huyo hamfiki mbali
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 5 месяцев назад
Mama mkwe anazidisha ogovi raya hajakasirika kaona ni kazi why wewe nikupatanisha suo kugombanisha
@NiyogushimaOscar-rd6ur
@NiyogushimaOscar-rd6ur 5 месяцев назад
Barnaba nadhani amelogwa kabisa Mimi ningemuachia binti yake nikaoa mwingine
@JuliethMwanga-ut8lc
@JuliethMwanga-ut8lc 5 месяцев назад
Ilaaa nyiee Barnabas nzuriii SNA tnaa akichekaa huuu
@giningionlineTv
@giningionlineTv 5 месяцев назад
Muonekano wake tu unatosha kudhihirisha kuwa ni muhuni sana, na wala hakuna kusilimu kitu hapo amefata PAPA tu na maslahi yake mengine
@Lulucut
@Lulucut 5 месяцев назад
Waongo nyoko hao wana promote wimbo na mama mkwe anamsaport
@NaifinMohamed
@NaifinMohamed 5 месяцев назад
Usikute raya yupo kwakeanatuchora tu😂😂😂
@husnathabiti4114
@husnathabiti4114 5 месяцев назад
Kiki 5tttuuu
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 5 месяцев назад
Unaakili kama zangu
@ReginaUshaky
@ReginaUshaky 5 месяцев назад
Unakuwa na wivu ni mume wako?umembadilisha mtoto wa watu dini haitoshi unamwingilia kwenye kazi.ana wazazi kweli huyo kijana
@josephsikwanga1779
@josephsikwanga1779 5 месяцев назад
Halibadili kabla ya kuoa
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 5 месяцев назад
Ila Adam mchovu MTu na nusu😅😅😅😅
@solomondanny-1507
@solomondanny-1507 5 месяцев назад
Adamuu, mchokozi sanaaaaa!😅
@RizyAbel
@RizyAbel 5 месяцев назад
Mchomvu kamchamba kizungu
@NajmaMaawiya
@NajmaMaawiya 4 месяца назад
😂😂😂😂
@Rahima-v5j
@Rahima-v5j 5 месяцев назад
Mama Kimbo wala ana shida
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 5 месяцев назад
Barnaba jubadilisha dini sio kwasababu ya mwanamke bali nikwasababu kaijua haki na kaijua Dini ya kweli na mungu wakweli na wakurudiwa kwahaki bila kushirikishwa na kiumbe chocolate mungu ambae hakuzaa Wala kuzaliwa Hana mwana wala mjomba yeyetu ndio alie umba mbingu na aridhi
@paschaliapesambili
@paschaliapesambili 5 месяцев назад
Kaijua haki wapi ni mwanamke na vile mtanga kidogo apo kilihusika
@lilywei2967
@lilywei2967 5 месяцев назад
Kwani Dini nyingine hazina mungu wa kweli 😢
@LeilaAbdull-jg6ho
@LeilaAbdull-jg6ho 5 месяцев назад
Yamy ndo hajitambui hapo
@matildamati9222
@matildamati9222 5 месяцев назад
Hivi huyu kijana ana akili sasa anajiua kwa Sababu ya mwanamke 😂😂😂😂 duuh pole sana haya tangulia kaka
@fatimaabdullahmohd2347
@fatimaabdullahmohd2347 5 месяцев назад
Sawa mamamkwe uchungu WA nini.
@Mlilapi
@Mlilapi 5 месяцев назад
Kwahiyo nandy aliiibiwa 😂😂😂😂😂😂
@khadijayusuph9316
@khadijayusuph9316 5 месяцев назад
Barnabas angemuoa tu na huyo mkwe wake tukajua 1
@ruthchaz4536
@ruthchaz4536 5 месяцев назад
😂😂
@solomondanny-1507
@solomondanny-1507 5 месяцев назад
Adamu unasuluhisha au unachongea?
@subralugege7019
@subralugege7019 5 месяцев назад
Barnaba rudi kwa mkeo achanana watu
@teedullah5708
@teedullah5708 5 месяцев назад
Usifanye hivyo ni dhambi lkn mama kimbo yuwamuoneya
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 5 месяцев назад
Kwahiyo hakujua Kama mkwewe ni msanii??!!huyu mama jamani hao cwanae,kwann akubali kuongea hayo kwenye kipindi,makubwa jongo,hiyo sio biashara tena hakuna MZIKI hapo,kupangiana Tena??!!kiuno ndio kimemuuma aisee,akiangalia mwanae kiuno chake hakifanani na kile 🤣🤣hasiraaaa
@khadijayusuph2634
@khadijayusuph2634 5 месяцев назад
Mmmhh ndoa za wasanii ni kama maigizo tu" mama mkwe mwenyewe mmh" kwani kushika kiuno ndo kafanyeje!?
@JoaoVarlerioconstatino-kf4eh
@JoaoVarlerioconstatino-kf4eh 5 месяцев назад
Ukikataa shika viuno maana una a a maxi jee pesa itakuja aje?
@jamespetro3014
@jamespetro3014 5 месяцев назад
Huyu mama ni shangingi yaani kwanza m2 unajuwa ni msanii unakazi kuingilia ndoa ya mwanao nakukimbilia kwenye media huyu mama mke wa uswahilini
@taseleli9181
@taseleli9181 5 месяцев назад
Kwa kweli huyu mama kazidi lopolopo
@solomondanny-1507
@solomondanny-1507 5 месяцев назад
Sunaaaaaa! Mtumeeeee!!!!
@judyngowi391
@judyngowi391 5 месяцев назад
Kwanza Barnaba kalogwa huyu, yaani kawekwa kwenye chupa
@milkaaloyce197
@milkaaloyce197 5 месяцев назад
Barnaba kwani hukuwaona kina Jack
@dominickmfoi8486
@dominickmfoi8486 5 месяцев назад
Huyu kijana amaeamua kujiharibu
@mwanjaaseif5229
@mwanjaaseif5229 5 месяцев назад
Kwani hakujua kama anaolewa na msanii? Raya amempa sana nafasi mama yake, kama hawataki maskendo waelewe na walimu 😅😅
@MichaelJoashi
@MichaelJoashi 5 месяцев назад
Barnaba umefeli nilikuwa nakukubali ila sasa umebadilika unabadili dini umeacha ukristo umepotea
@KhadijaMasoud-m6u
@KhadijaMasoud-m6u 5 месяцев назад
Kapotea kubadili dini Kwa hiyo dini yetu inapoteza au tabiya ya Mtu ww vp umepotea ww naona kwani dini si dini tu huo ubaguzi wk na ubinapsi
@paschaliapesambili
@paschaliapesambili 5 месяцев назад
Dini sio shida shida ni matendo
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 5 месяцев назад
Muziki wa kitanzania upo kisenge kisenge yani serikali utazani ndio wenye muziki ... Kumamake yani kama mimi ndio Barnabas naacha yule mke kabisa aendelee kukaa kwa mama yake ni usenge tu ... Wacheni muziki uongee
@RehamAlmamari
@RehamAlmamari 5 месяцев назад
❤❤❤❤
@magidalenarauya4286
@magidalenarauya4286 5 месяцев назад
Mume wamtu kazini? Nawewe mama mkwe vinakuhusu nini? Waachie wenyewe
@HIDAYASAID-ue1df
@HIDAYASAID-ue1df 5 месяцев назад
Doh kwel hii kiki nimegundua
@issazalala4907
@issazalala4907 5 месяцев назад
Kama sio kiki basi kulikua na sababu nyuma ya panzia alafu kwanini mama mkwe ndio ana kauli kuliko mke tuangalie family za kwenda kuoa
@AshuuuBakari
@AshuuuBakari 5 месяцев назад
Wamama wakiswahili ndio zao😊
@olewakoukirudinyumbanituta9606
@olewakoukirudinyumbanituta9606 5 месяцев назад
Kumbe barnaba unakuaga lofa ujitie kitanzi acha ufala Yammi pia wakike huyo
@AshuuuBakari
@AshuuuBakari 5 месяцев назад
Mimi nimemuelewa hakumaanisha kujinyonga kamaanisha ataoa mwingine
@giningionlineTv
@giningionlineTv 5 месяцев назад
Kwakweli huaga nashindwa kuelewa, hivi kuna uhusiano gani kati ya sanaa ya uimbaji uvaaji wa chains, kusuka, kuchora tattoos, kutoboa pua, kuvaa herini na upuuzi mwengine, kwani huwezi kuwa kawaida na ukawa msanii mzuri? mbona mambo ya kipuuzi kwa hawa waitwao eti vioo vya jamii umekuwa mkubwa hivi, kwani watu wanapenda machains, maherini au kazi zako? mbona hawa wapuuzi saiv wamekuwa ovyo hivi, hivi vizazi vyao vitakuwaje?
Далее
GENIUS FOOD HACKS 🍰 #shorts
00:36
Просмотров 17 млн
NAPENDA KUWA NA MKE MWENZA / ATANIKOMA - MAMA KIMBO
6:33
Barnaba feat Yammi - Nibusu (Lyrics Video)
3:50
Просмотров 1 млн
VITUMBUA
13:12
Просмотров 147 тыс.
Barnaba feat Yammi - Nibusu (Visualiser)
3:38
Просмотров 1,3 млн