Тёмный
No video :(

YA DUNIA HAYA!MZEE WA MIAKA 80 AFANYA UTAPELI KAMA HUU!!! 

Geah Habibu
Подписаться 368 тыс.
Просмотров 23 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 95   
@alimaalima6016
@alimaalima6016 6 лет назад
Maskin Mungu akujaalie riziki za halali mzee wetu
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 3 года назад
Huyu babu unaonekana alikuamuuni toka zamani japonjaa ilammm noma Mungu atupe mwishomwema kumbe mtihani daa asaidiwe ss. Kwanini asiombe selekalini
@madinahuoniungoachenikumse7919
@madinahuoniungoachenikumse7919 4 года назад
Ningepata namba zake ningemsaidia masikini.Allah akulinde haya ni maisha inauma sana
@mariamfaki1166
@mariamfaki1166 6 лет назад
Halafu huyu mzee kafanana na mzee wa mizengwe!!!
@abduljumaa7293
@abduljumaa7293 6 лет назад
Pepadirwk Eriweiar kewkr
@gracemsanjila327
@gracemsanjila327 6 лет назад
Mariam Faki 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😃😃😃😃😅😅😅😂😄😂😄😂😄😂😅😂😅😂😅😂😄😂😄😂😄😂😄😂😄😂😅😂😅😂😄sana nimecheka kama mazuri
@mariamfaki1166
@mariamfaki1166 6 лет назад
GRACE MSANjila vp lakini unamuonaje??
@gracemsanjila327
@gracemsanjila327 6 лет назад
Mariam Faki kweli kafanana sana
@nisilemwalwiba4639
@nisilemwalwiba4639 6 лет назад
Marian kafanana sana na Mzee matata
@lilianjoseph5290
@lilianjoseph5290 3 года назад
Jamani dunia hii maisha haya mh😭😭😭😭😭
@omarisuleiman2611
@omarisuleiman2611 4 года назад
Duh! halaf kumbe uyo marehem n jna lang kabsa
@claricejacquie7136
@claricejacquie7136 6 лет назад
Daaaa! Mzee anatiya uruma
@a.a.7029
@a.a.7029 6 лет назад
Masikin namuonea huruma sanaa 😢 sijui nitamuonaje jamani
@relaxchinese4103
@relaxchinese4103 6 лет назад
Tusaidieni na namba jamani huyu sio mwezi jaman
@zwinsalhabsu264
@zwinsalhabsu264 6 лет назад
Masikini inasikitisha sana jamani wanatilisha iman kwa kweli
@mouradradmou7696
@mouradradmou7696 6 лет назад
*njaaaaaa mbayaaaa kasema BABU, ila uncle fungua milango ya kazi*
@reinaphilbert9465
@reinaphilbert9465 6 лет назад
Uuuuuuwiiiiii dunia simama wengine tushuke heheheeeee
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 3 года назад
Nimemuonea huluma huyu babu njaa ndio iliempelekea kufanya hivo
@nafisamohamad3182
@nafisamohamad3182 6 лет назад
Maskini mzee maisha yamemtatiza, yani nkimuona huyo namkumbuka na babangu, nina waswasi nae asje akaanza tabia kama hio kweli hali ni ngumu yatakikana ss watto tujitahidi kuwaangalia wazee wetu.
@zennakailo8106
@zennakailo8106 6 лет назад
Masikin daaaaaa!!!pole
@shakilamasoud8979
@shakilamasoud8979 6 лет назад
Mwe dunia imegeuka hii mhh
@esnathmwangupili6796
@esnathmwangupili6796 3 года назад
Njaa mbaya
@wrghkjdghklljg3819
@wrghkjdghklljg3819 6 лет назад
mungu tusaidie jamani vyuma vime kaza balaa
@adilikatula4198
@adilikatula4198 6 лет назад
Inallillah kwel vyuma vimekaza
@saidsaid9463
@saidsaid9463 6 лет назад
Duu kweli njaa lakini anataka asaidiwe wanatafuta kiki kwa njia hiyo babu vyuma vimekaza
@safikapufi422
@safikapufi422 4 года назад
dah mungu amsaidie huyu babu sio mwizi ni njaaa tu kha achangiwe babu
@kadulathumani7517
@kadulathumani7517 5 лет назад
Kesi kama hizi yafaa kusaidiwa Mzee kama huyu. Afanyiwe maarifa Mzee huyu kupata msaada wa kudumu serikalini. Apate stara na kijana apatiwe kibarua.
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 6 лет назад
Hahahaha msameheni tu. Ila Yule kijana w Akasafishe barabara.
@mozamansour7912
@mozamansour7912 6 лет назад
Mtihani wallah ,jamani hali ngumu mpaka mzee anafanya hivo dah
@20200p
@20200p 6 лет назад
so sad
@tracyjustice1600
@tracyjustice1600 6 лет назад
Jamani hadi huruma kwa kweli, serikali inabidi waanze kuwasaidia wazee kuwapa vyakula na matibabu na malazi maana babu zetu wanataabika jamani
@josesizy1315
@josesizy1315 6 лет назад
Tracy Justice . Ksbisa kabisa Racy. Hii insondks mahitajo. Alikuwa mvuvi hana nguvu tena.
@josesizy1315
@josesizy1315 6 лет назад
Naomba namba ya kumsaidia huyu mzee jamani.
@mariamhadija7236
@mariamhadija7236 6 лет назад
kwakweli inauzunisha sana jamani mpk huruma jamani
@amongodfrey7266
@amongodfrey7266 3 года назад
Yote nimaisha jaman msamehee bule
@mwasitihamisi2477
@mwasitihamisi2477 Год назад
Daa geah mm naomba namba yako.
@hafidhalhabsi3892
@hafidhalhabsi3892 6 лет назад
Maskin hali imekua mbaya sana mungu awasaidie inshaallah
@rehemamsigwa5630
@rehemamsigwa5630 6 лет назад
Jamani nimeumia daaa
@ladymashaallahilikeuaadvis997
@ladymashaallahilikeuaadvis997 6 лет назад
Msameheni jamani
@zhnnnsafisanamweshimiawata1312
Huyubabu anatiauruma
@ladymashaallahilikeuaadvis997
@ladymashaallahilikeuaadvis997 6 лет назад
Masikini mungu atusitiri yarabby
@nuuzuli5176
@nuuzuli5176 6 лет назад
Daaah!!! Namjua uyu jmn😣😣😭😭
@nadyaahmadmwipi3599
@nadyaahmadmwipi3599 6 лет назад
Mimi mwenyew namjua huy Jose 😂😂huy mkakaa
@nawras6517
@nawras6517 6 лет назад
Tusaidieni wapi tutampata huyu mzee.
@rahelgika3870
@rahelgika3870 5 лет назад
😀😀😀 imebidi nicheke tu, maisha haya jamani!!!
@Jamillahs1
@Jamillahs1 6 лет назад
Pole sana mzee
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 6 лет назад
Maisha nyie, mungu tusaidie jamani, huruma.
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 6 лет назад
Jamaniii njaa hii,njaa ni nouma sana,ila ni wakweli sana,wamesema kweli
@binttsulu647
@binttsulu647 5 лет назад
poleni aki shida mbaya but musiwafunge bali kuwasaidia hao mungu awashikilie
@nafisamohamad3182
@nafisamohamad3182 6 лет назад
Bora huyo mwanae wakike alioko huko zanzibar kama ameolewa angemchukua babaake akaishi nae pia, kuliko kumuacha akiangaika tu huko
@khairatmohd9051
@khairatmohd9051 6 лет назад
hadi hurumaa
@heriethalexander4063
@heriethalexander4063 6 лет назад
Inaskitisha kweli Mzee njaa inamponza
@florabaruti8032
@florabaruti8032 4 года назад
pole babu yangu kuzaa sio kupata jamani
@caslidajosephat8912
@caslidajosephat8912 3 года назад
Geah jitahidi uwe unaweka number za simu za watu ili tuwe tunasaidia watu.
@farajafaraja3494
@farajafaraja3494 4 года назад
Jamani eeeh hahahaha wakumsamehe tu huyu babu kashasema njaa tu njaa mbaya Asamehewe tu
@wahidashabaz5982
@wahidashabaz5982 5 лет назад
dahh maskini baba mola akupe rizki kwakuwa sio lidhaa yako bali njaa
@pilimashauz2279
@pilimashauz2279 5 лет назад
toba
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 лет назад
Mackin, polen sana jamani, inasikitisha
@ramamohammed4334
@ramamohammed4334 6 лет назад
mhhh we n kboko yao
@khamissalum9285
@khamissalum9285 5 лет назад
Kazingumza.kweli.yake MAishanoma
@khadijamambi2402
@khadijamambi2402 5 лет назад
Duh inauma jmn
@mamiichongqing1741
@mamiichongqing1741 6 лет назад
inafurahisha na kuhuzunisha, hivi kwa mfano kwenye pitapita zao wangekutana na huyo wanayesema marehemu ingekuaje?
@hadijasaid6497
@hadijasaid6497 5 лет назад
Mamii Chongqing 🤣🤣🤣🤣hilo nalo nenoo
@lamecktheonest225
@lamecktheonest225 5 лет назад
Mamii Chongqing apo chacha😁😁😁
@angelasulumo2331
@angelasulumo2331 5 лет назад
Sipati picha
@nawras6517
@nawras6517 6 лет назад
Tusaidieni namba ya simu au wapi anaishi mzee wetu huyo.
@mwajumakarim6391
@mwajumakarim6391 5 лет назад
Jmn pole cna babu yan mpk huruma
@samrufingo5336
@samrufingo5336 5 лет назад
Sikuizi wenye viti wanachagua watu wao kuwaingiza kwenye kaya masikini
@annaswedy5712
@annaswedy5712 6 лет назад
Mackin mzee uyuko nashnda
@aminarashid4474
@aminarashid4474 6 лет назад
maskin huyu babu sijui hanawatoto
@rashidsuleiman2663
@rashidsuleiman2663 6 лет назад
njaa haina baunsa
@fathiyasaad8041
@fathiyasaad8041 5 лет назад
Shida jamani Allah atamfarij
@janewadelanga5653
@janewadelanga5653 6 лет назад
Makubwa
@sultan3ivanabdully488
@sultan3ivanabdully488 6 лет назад
kikwete alkuwa anawapa....!! Hahahaa daah innalillah..😟😟😟😟😟
@nafisamohamad3182
@nafisamohamad3182 6 лет назад
Sultan3 Ivan abdully banaee tz ya miaka hii nikuvumilia tu maana kila kitu kipo tofauti
@madinasemahoro6440
@madinasemahoro6440 6 лет назад
roho imeniuma sana pole babu nikweli nja inauma sana
@jenimtewele845
@jenimtewele845 4 года назад
Maisha msaidieni
@praxidesnamukuru2314
@praxidesnamukuru2314 4 года назад
Pole sana jamani babu yangu
@familylove5417
@familylove5417 6 лет назад
maskn
@rabiakambo1060
@rabiakambo1060 5 лет назад
Maskin namjua huyu babu ata siku nyingine huwa anapitaga madukan anaomba
@aishaelias3867
@aishaelias3867 5 лет назад
😂😂😂😂😂
@relaxchinese4103
@relaxchinese4103 6 лет назад
Ina huzunisha jamani hata imenigusa
@salmaothuman9762
@salmaothuman9762 5 лет назад
Kuna vitu vinasikitisha kwakweli 🤔🤔🤔🙄🙄
@lubatikoseme1446
@lubatikoseme1446 5 лет назад
Mwachorni babu wa watu
@ramazaniomary9300
@ramazaniomary9300 6 лет назад
hahahahaha
@shemelaruhinda6113
@shemelaruhinda6113 6 лет назад
Ndo serikali iwe inawaudumia wazee
@khadijamohanani6476
@khadijamohanani6476 6 лет назад
Hahaha
@aishaelias3867
@aishaelias3867 5 лет назад
😂😂😂😂😂🙌🏼hisiwe ni picha ya hamorapa
@jshsjejd9381
@jshsjejd9381 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@jshsjejd9381
@jshsjejd9381 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@getrudepius1202
@getrudepius1202 6 лет назад
Hyo alikuwa jambazi hizo mishono itakuwa mapanga,afu kwann asiende kwa mwanae
@hadijahassanmgonja3352
@hadijahassanmgonja3352 5 лет назад
Kuwa nauruma huyo nils a babu yako, kuwa namoyo ndugu yangu hayo yote nimaisha,
@mwasitihamisi2477
@mwasitihamisi2477 Год назад
Kama pesa yakula hana ata pata wapi pesa yakwenda zzb. ndugu uwe una fikilia kwanza mtot ndio wakumchukuwa baba yake napia atumlaumu sana kwasababu atuwezi juwa anaishi vipi nayeye. kuwa zazb. sio sababu
Далее
MILLION JAMOASI 2024 4K
2:17:51
Просмотров 12 млн
SNAKE BOY | ep 35 | SEASON TWO
30:48
Просмотров 104 тыс.
WABABA TULIOZAA NAO WABAGUZI WANANONGWA
4:12
Просмотров 3,1 тыс.
MILLION JAMOASI 2024 4K
2:17:51
Просмотров 12 млн