Тёмный

YABAINIKA! ISRAEL ilifyatua kwenda IRAN bomu lake hili la mwendo kasi liitwalo RAMPAGE! 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 117 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 257   
@martinisadru
@martinisadru 4 месяца назад
Bwana ally mchambuzi mwenye elimu ya juu sana, Hongera sana mr ally.
@ramiamisanya9873
@ramiamisanya9873 4 месяца назад
Mpo vizuri sns
@Supershopdubai-ck8td
@Supershopdubai-ck8td 4 месяца назад
Good job from 🇧🇮💐 tunawapenda san
@MohamediOmari-nz4vv
@MohamediOmari-nz4vv 4 месяца назад
Mpumbavu unafurahia watu waifa nchi yenyewe ni mashoga tu
@atutweve4160
@atutweve4160 4 месяца назад
TUOMBEE DUNIA AMANI 🙏🏿🙏🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿
@shebbylove3140
@shebbylove3140 4 месяца назад
Shukran kwa habari daily zadunia sir Sky
@officialmubytz1076
@officialmubytz1076 4 месяца назад
Taarifa makini big up sanaaaa
@GodenBMDaniel
@GodenBMDaniel 4 месяца назад
Ni uwongo wa Israel wameshindwa Vita
@modekaijames
@modekaijames 4 месяца назад
Leta ukweli sasa kama watu Habari ndio kazi yao wewe mchimba chumvi unasema uongo
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 4 месяца назад
Waongo wakubwa Hawa mayahudi ​@@modekaijames
@MsAggie5
@MsAggie5 4 месяца назад
Endeleeni kusema uongo ngoja yatokee yale ya Iraq ya Sadam Hussen
@ndindaqueen9346
@ndindaqueen9346 4 месяца назад
Iran can't defeat Israel period American wenyewe wanajua nguvu za israel
@annasolomon9855
@annasolomon9855 4 месяца назад
😅😅😅😅😅😅😅😅​@@modekaijames
@OS-pf6op
@OS-pf6op 3 месяца назад
Taifa teule...🚀
@husseinamani
@husseinamani 4 месяца назад
Propaganda za magharibi tunazijuwa Iran iko salama kabisa 👊💪
@user-wr6uz1rx1o
@user-wr6uz1rx1o 4 месяца назад
Kweliiiiiiiiiiiiiiii
@peterjr8073
@peterjr8073 4 месяца назад
We uko iran
@salimmalaka256
@salimmalaka256 4 месяца назад
​@@peterjr8073KWANI WEWE UPO ISRAEL???
@user-rq8zq1mf7u
@user-rq8zq1mf7u 4 месяца назад
Mnakalia udin TU ss hapo magharibi inahusikaje
@pastorzakariatv1786
@pastorzakariatv1786 4 месяца назад
Mkaid hafaidi mpaka tamkute iran ilipiga Makelele yaliyo ongozana kusema Islaël ikijibu itajibiwa haraka Kiko wapi kombola tu zinatua katikati ya nchi yangekuwa mia
@msafiripascal2757
@msafiripascal2757 4 месяца назад
Ongera kijana kwakaziyako umejitaidi mungu akufunguliye riskizako
@user-lv4cx1sc5d
@user-lv4cx1sc5d 4 месяца назад
Wew uongoo hao waisraeli waongo sanaa
@user-wr6uz1rx1o
@user-wr6uz1rx1o 4 месяца назад
Kweliiiiiiiiiiiiiiii vle
@CharlesNhundu-uz4ks
@CharlesNhundu-uz4ks 4 месяца назад
Hujielewi
@CharlesNhundu-uz4ks
@CharlesNhundu-uz4ks 4 месяца назад
Unawajua Israel wewe
@user-lv4cx1sc5d
@user-lv4cx1sc5d 4 месяца назад
Vichwaa maji na mashoga wenzako
@daudimubamziwanda4135
@daudimubamziwanda4135 4 месяца назад
​@@CharlesNhundu-uz4ksww ni shoga tatizo chuki imekujaa
@soineeliudi5959
@soineeliudi5959 4 месяца назад
Umejibu vizur sana pasipo kuegemea upande wowote big up braza
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 4 месяца назад
Sio braza, ni bradha ( brother )
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 4 месяца назад
Mungu wangu
@user-lv4cx1sc5d
@user-lv4cx1sc5d 4 месяца назад
Hawamuwezi irani mbwaa haw
@DottoKagoro
@DottoKagoro 4 месяца назад
Mbona umekasirika kaka
@annasolomon9855
@annasolomon9855 4 месяца назад
Mbona panic na bado 😅😅😅
@JoalAlma-ci1hi
@JoalAlma-ci1hi 4 месяца назад
Kwan palestina ilikuwa ndog
@Joycenangonga
@Joycenangonga 4 месяца назад
Mpeni maneno yake huyo aelewe israel ni nani hapa duniani
@paulvimbamvula9508
@paulvimbamvula9508 4 месяца назад
Israel million 7.....Iran million 88.....Israel small but mighty....
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 4 месяца назад
Bundara sky uu mchambuzi mzuri zaid ya wengne maana taarifa zako ni sahihi ndio sababu naipenda Channel yako aina uongo
@Mumewangu
@Mumewangu 4 месяца назад
Lakin taarifa hii niya uongo
@peterjr8073
@peterjr8073 4 месяца назад
​@@Mumewanguwe unbishana adi picha za satellite duuuh
@annasolomon9855
@annasolomon9855 4 месяца назад
@@Mumewangu kwa hio hii ya kichapo Cha Iran peke yake ni ya uwongo 🤣🤣hizo zingine ni za Kweli 😅😅😅 haki yaMungu mnakazi kwelikweli
@Joycenangonga
@Joycenangonga 4 месяца назад
​@@Mumewangu😂😂😂😂😂 leta huo ukweli na ulete na picha zako za satelite
@musasaguti4760
@musasaguti4760 4 месяца назад
Hili la kujiuzulu kiongozi huyo mbali na kusema ni uzembe uliotokana na kushindwa kufahamu uvamizi wa hamasi lkn pia nadhani linatokana na shambulizi la Irani
@Diagomozen
@Diagomozen 4 месяца назад
Usiamini jambo hata moja kutoka CNN, MSNBC, NBC, BBC, NYT, ....etc. Hawo wote Niwaongo.
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 4 месяца назад
Mimi hizo Redio siku hizi sizisikulizi ni propaganda
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 4 месяца назад
BBC na dochi very ni zawongo
@joppagraphix2868
@joppagraphix2868 4 месяца назад
Na aljazera zote za uongo
@annasolomon9855
@annasolomon9855 4 месяца назад
@@emmanuelmlowe-ew7gx mmmh tena!
@user-lo2dj2db1h
@user-lo2dj2db1h 4 месяца назад
Napenda sn story zako
@TuntufyeMwakaluka
@TuntufyeMwakaluka 4 месяца назад
Iran Si alisema akishambuliwa ataanzisha vita vip tena
@raymrash
@raymrash 4 месяца назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 amesanda...hata ungekuwa wewe huwezi kuendelea kupigana na mtu ambaye umemrushia mabomu mengi na hayajampata alafu yeye kapiga hayazidi ma5 yamekupata
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 4 месяца назад
Be blessed Israel
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 4 месяца назад
Israel hatoboi kamanda wa unasusi kajiuzulu karr hivhvo Israel hatoboi aliseme wiki saa hi miezi 7 hatoboi
@w4058
@w4058 4 месяца назад
Kama kawaida yao hao nyoka wa kimagharibi waongo wakubwa hao Wazayuni
@f.a6043
@f.a6043 4 месяца назад
Kama wao ni nyoka na ww utakua ni 👹👈🏽🤣 na kama wao ni wazayuni ww utakua kafiri🤣🤣👉🏽🐸🐸
@user-gv7sd4oi6q
@user-gv7sd4oi6q 3 месяца назад
Vita HAITAISHA HIYO MPAKA MUNGU MWEYEWE NDO ATAISIMAMISHA
@chimnyengeUpdate
@chimnyengeUpdate 4 месяца назад
Wa kwanza Leo likes zabgu
@TheBossOdhis
@TheBossOdhis 4 месяца назад
Yes chapa hao kabisa
@JamalAmr-nn9pm
@JamalAmr-nn9pm 4 месяца назад
Mm naona wachambuzi wetu pia hawana uakika wachokisema sababu wengi wanasubiri habari kutoka magharibi wakiongopa wao wanfuata ivyo ivyo wakisifia wao wapo ivyo kwaiyo tuwe na wachambuzi wenye mpango wa kuwa vyombo ambavyo aiegemei magharibi Wala masharik
@KilimbikeHaji-iy2fm
@KilimbikeHaji-iy2fm 4 месяца назад
Haoo ni mashoga tuu mwenyezi mungu azidi kuwalani hao makafili
@user-mh9hj3lx7q
@user-mh9hj3lx7q 4 месяца назад
Iran ilipigua vizuri dana na iliumia sana
@annasolomon9855
@annasolomon9855 4 месяца назад
Sana😅😅
@josepheriah5977
@josepheriah5977 4 месяца назад
Apo saw
@venancerutta6875
@venancerutta6875 4 месяца назад
Mwandishi uko vizuri maana unaongea ukweli
@SigifridAloyce
@SigifridAloyce 4 месяца назад
Hatare
@mbwanarajab7238
@mbwanarajab7238 5 дней назад
Mashoga wenyewe ni waongo sana ,kuna kipindi walituambia wameokoa mateka wote kumbe la. Sasa mpk leo km ni wajanja walishindwaje kuwaokoa mashoga wenzao? Mateka hao wa mashoga watauwawa tu
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 4 месяца назад
Hakuna lolote lililotokea IRAN iko salama kabisaaa Magharibi si tunawajua?😂😂😂
@raydanfrenk
@raydanfrenk 4 месяца назад
Ww una ushaudi gan akuna madhala yoyot???😅😅😅
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 4 месяца назад
@@raydanfrenk wew una ushahidi gani kwamba kuna madhala yoyote Iran?😂😂😂
@Mumewangu
@Mumewangu 4 месяца назад
@@raydanfrenk ndugu hizo ni propaganda za magaribi baada ya Irani kusema wamedunguwa ndege zilizokuwa zinaelekea kushambulia kwa iyo is rail wameona aibu kuzuiliwa shambulio lao
@annasolomon9855
@annasolomon9855 4 месяца назад
​@@MrTop-wj7noCNN usibishane nayo ni chombo kikubwa na kinaona Hadi sisimizi , we mchimba chumvi umekazania et uwongo, Israel hairudigi nyuma Wala ikisema inalipa Huwa ni vitendo , halafu kumbuka nchi zingine Huwa zikifanya jambo mbwembwe nyingi mara maandamano , mara kelele kibao 😅😅 mara mabomu mia 3 😅😅 lakini yeye anakutumia hata 3_4 tu lakini madhara yake 😅 umeona Waarabu walivotulia ! Mbomu enyewe unaambiwa yaliingia na kuzima setlite zote walizotegesha 😅😅 .. wao walifikir watapewa taarifa kupitia setelite matokea yake sio.. hawanaga mbwembwe ni vitenda Tena vyenye adabu 😅
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 4 месяца назад
​@@raydanfrenkkwani hao Wana ushahid Gani
@Mubarak552
@Mubarak552 4 месяца назад
Huwa tunapenda channel yenu kwa sbb ya habari zenu za kweli, hii taarifa ni wongo haina ukweli wowote, tuna watu mpaka Isfahan hakuna shambulio lolote limefanyika
@jumannejuma7432
@jumannejuma7432 4 месяца назад
siokweli mnafata vyombo vya magharibi
@mbwanarajab7238
@mbwanarajab7238 5 дней назад
Mashoga watapigwa mpk waishe😂 Naona waunga ushoga wanaomba Mungu abariki taifa la mashoga.....hapo hawatatulia mpk waachie ardhi ya wapalestina
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 4 месяца назад
Icho kinyimbo cha sns ni kikali sana napenda kujua ni nan alikiimba
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm 4 месяца назад
Leo ndio umeongea maana siku zote nakuona kama unasimama upande mmoja wa irani il leo nimekuona kama husimami upande mmoja
@Eng2460
@Eng2460 4 месяца назад
hivi kwann rais wa israel haonekan sana
@sama-_8368
@sama-_8368 4 месяца назад
Israel hainaga Rais ina waziri mkuu tu Netanyahu
@Eng2460
@Eng2460 4 месяца назад
@@sama-_8368 yupo anaitwa isaac herzog nadhan atakua ni ceremonial leader tu kama mfalme pale uingereza
@ishakishak8740
@ishakishak8740 4 месяца назад
Huyo mchambuzi Ally hakuna kitu hapo
@stephenrwaich1078
@stephenrwaich1078 4 месяца назад
Sasa kama Hana kitu si uende ukachambue wewe?daah wabongo bana!!
@papsmicrocreditcompanylimi1443
@papsmicrocreditcompanylimi1443 4 месяца назад
Uyu mchanbuzi ajaegemea sehemu yeyote. Tofauti na Dj sma uwa anaegemea upande wa warabu. Pia lazima mtambue kuwa Israel na mashia wa Irani ni ndugu wote Makafiri wanatishiana lakini hawatopigana
@valeriusfelix7379
@valeriusfelix7379 4 месяца назад
Hacha Ujinga, wewe unajua nn?@ ishakishak8740
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 4 месяца назад
Shida humu.Wengi ni mashabiki na shabiki kazi yake nikukataa ukweli.Sasa wewe unategemea upewe habari harafu unawasema wanaokupa habari kuwa ni waongo.Ebu tuambie wewe uliyekuwepo kwenye eneo la tukio tueleze nini kilitokea na kombora gani Israeli alilitumia.
@abelamos-sk1tc
@abelamos-sk1tc 3 месяца назад
HILO ndilo lenyewe wakomeshwe hao
@emmanuelmchomvu2676
@emmanuelmchomvu2676 4 месяца назад
Yaan wanatengeza mavitu mahali pa kutumia hkn ndo shida inaanzia apo😢😢
@user-hf7wv4kx9e
@user-hf7wv4kx9e 4 месяца назад
Kiukweli izotrifa nizauongo kabida
@kassimbayuu
@kassimbayuu 4 месяца назад
Droin tatu kwa droin Mia tatu na, aisee hii ni janja ya nyetanyau ili kurefusha sana migogoro ili asubirie uchaguzi wa marekani, poneo la nyetanyau ni uchaguzi wa marekani pindi trumple akipata urais nyetanyau anaweza kusalimika
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 4 месяца назад
Hawa wamagharibi tunawajua sana wao wanataka kutupangia sisi nin tusikie watawadanganya hao wasio jitambua lakin sie tuanojitambua hatuwez kuviamini vyombo vya habar vya magharibi maana ni waongo wakubwa sana
@husseinkahanju2506
@husseinkahanju2506 4 месяца назад
Mbona hizo video hazionyeshi sky hebu post hizo video za mashambulizi ya Israel kwa iran.Iran walipost makombora yao yakienda israel.mbona Israel hawaonyeshi
@lucksonsikaona505
@lucksonsikaona505 4 месяца назад
Na nyie watanzania niwajinga kabisa ilani ilipigwa vibaya sana
@user-ed4px7oz5l
@user-ed4px7oz5l 4 месяца назад
Si Milano Iran
@madaiincubationcenter4947
@madaiincubationcenter4947 4 месяца назад
Hii channel inakua kati ya channel nzuri kutuletea hbr za nje ya nchi wengi huishia njiani
@mombasa0076
@mombasa0076 4 месяца назад
ACHENI PROPAGANDA HIZO. ISRAELI HAKUMPIGA IRAN NA KAMA ATAPIGA ATAJUTA.... HIZO TAARIFA NI PROPAGANDA ZA ISRAELI.
@KassimSalumu-fk6yk
@KassimSalumu-fk6yk 4 месяца назад
Israel inataka kusema waongo, marekani na uingereza je
@user-pd3hs4ze7i
@user-pd3hs4ze7i 4 месяца назад
Huyu ndo mchambuz mzur yuko kati sio yule sma wa upade mmoja
@sama-_8368
@sama-_8368 4 месяца назад
Huyo anaaminishwa na vyombo vya wamagharibi Dj smaa yuko vizuri zaidi
@user-hf7wv4kx9e
@user-hf7wv4kx9e 4 месяца назад
Mukitakata kujuwa kama niuongo karibu maratena
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 4 месяца назад
Sijawahi kuamini vyombo vya habari za mashoga na simtokaa niziamin yani niamini watu waki za mashoga haita tokea abadan
@Hakunamatata_shop
@Hakunamatata_shop 4 месяца назад
mualike @suleiman chanzi broo hutojuta uchambuzi wake
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 4 месяца назад
Wanaona haya kwamba wao walishambuliwa sana na iran lakin wao wakajibu kama wao walivyo mashoga maana shoga hana nguvu ya kupambana na mwanaume rijali
@EzekiaMyila
@EzekiaMyila 4 месяца назад
Kwanini Iran analeta utani na maisha ya watu yy mda huu anasapot Hamas ambayo ni waarifu
@rashidichuri1149
@rashidichuri1149 4 месяца назад
endeleeni utuongopea
@user-vp7xl3km1h
@user-vp7xl3km1h 4 месяца назад
Mindomana huyu jamaa sifatilii taarifa zake anaonekana km nitimu upinde
@hameedm8361
@hameedm8361 4 месяца назад
Kwa taarifa iran jeshi lake ni no.15 dunian isreal 17
@MsAggie5
@MsAggie5 4 месяца назад
Haijalishi muisrael haji peke yake NATO iko nyuma yake Iran yuko mwenyewe kama atasaidiwa itakuwa underground. Waarabu hawapendani kumuka Sadamu Hosen
@hameedm8361
@hameedm8361 4 месяца назад
@@MsAggie5 wewe ni mshamba tu huna ujuawalo...washirika wa wa iran ni Russia,china na north korea, pili iran sio waarabu ni persians lugha yao ni Farsi kwa hio ww hujui chochote kinacho endelea duniani baki na bongo yako huko
@wtnyambizi9876
@wtnyambizi9876 4 месяца назад
sma yuko bias hata sitaki kumsikiliza
@bestpointsexplorer
@bestpointsexplorer 4 месяца назад
🤔🤔🤔🤔🤔🤔
@hasheemkaz2732
@hasheemkaz2732 4 месяца назад
cnn, new york times, ni vyombo vya kimagharibi obvious wataripot negative impacts towards their counter parts
@jimmypeter5667
@jimmypeter5667 4 месяца назад
Hivi habari kama hii unawezaje kuanza kuwaza ni propaganda? Unajua ukiishi kwa mawazo hasi lazima uwe na shida maishani!
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 4 месяца назад
Israel alijaribu mifumo ya ulinz ya lkn alivyoona mifumo ni migumu hakurudia Tena na pia iran anatumia mifumo yake ya ulinz nà sio ya urusi
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 4 месяца назад
Madhara yap mbona hamsemi
@sekrommbaga6234
@sekrommbaga6234 4 месяца назад
hakuna wanamgambo iraki wanaopinga serekali huo ni uongo
@user-mf7hl7jh6s
@user-mf7hl7jh6s 4 месяца назад
Sasa isreal ilitowa wapi satellite ya Iran mbona Iran inasatelite yayo yenyew
@muhitira
@muhitira 4 месяца назад
Je uzembe wa Israel kwani wanauona leo hhhhh niwazembe tangu zama izoooo
@user-hf7wv4kx9e
@user-hf7wv4kx9e 4 месяца назад
Iyoniuongo
@user-lv4cx1sc5d
@user-lv4cx1sc5d 4 месяца назад
Wewe ni muongo mchambuz wachongo
@husseinc
@husseinc 4 месяца назад
hakuna mchambuzi hapo anaokotaokota propaganda za west. hakuna kombora lililopiga iran
@ahmednuhu2386
@ahmednuhu2386 4 месяца назад
sasa kama ndege iliyo beba bomu inakadiriwa kuwa umbali wa 200km na iran wanatumia bavar 373 yenye uwezo wa kudetect flying oject umbali wa 400km imekuaje hiyo ndege haijawa detected? ni S300 bado range ya bomu kurushwa ingekua detected vizuri sasa inaonekana kuna mmoja anaficha ukweli yawezekana israel alishambulia akadunguliwa au hakushambulia kaspread propaganda au iran kashambuliwa anaficha madhara ila kwa kauchunguzi kadogo naona israel kuna ukweli anauficha nasio kawaida yake
@Kagineemmanuel
@Kagineemmanuel 4 месяца назад
🇮🇱 Israel wako vizuli sana na inavo one kana Iran wana ogopa mbona wanaficha mazara ya kipigo
@annasolomon9855
@annasolomon9855 4 месяца назад
Saaaana tu Tena Israel Haina hata mbwembwe za maandamano kama wao na hawakutuma mabomu mia 3 kidogo tu muharo 😅😅😅 na wamenyamaza 😅😅😅
@samuelmuthui4699
@samuelmuthui4699 4 месяца назад
Walitumiwa silaha zaidi ya 300,unajibu na kombora moja😂😂😂😂. Israel wanaogopa Iran.🇮🇷
@annasolomon9855
@annasolomon9855 4 месяца назад
Sio Moja ni 3.. Sasa hujiulizi unaweza ukabeba mashudu au makapi kwenye gunia limejaa na hayo mashudu ukauza elfu 10 gunia, na huyo aliehufadhi dhahabu kwenye kiboksi hio dhahabu ikauzwa mabilion😅😅.. mfano huu ni kwamba unaweza ukatuma mabomu mia 3 ambayo hayana lolote yakadunguliwa na yeye alituma Matatu yaliharibu na yaliiingia kwa kuzima setlite zote 😅 bila wao kujua.. Israel hainaga mbwembwe kama Waarabu bwakifanya shughuli Yao Huwa ni kimyakimya kisha hawaongei ni vitendo tu.. wew niambie lini muisrael alishafanya kitu kwa kufanya maandamano au kutangaza.. kingine walipopiga ubalozi wa Iran pale Syria hawakusema lolote, walipoulizwa hawakujibu ndio Wala hapa😅 lakini upande wa pili mwarabu akifanyaga kitu mmh hizo mbwembwe Sasa mara mavuvuzela , mara maandamano, alafu kivitenda maskini hawana lolote daaaah hii ni huzuni upande mwingine
@annasolomon9855
@annasolomon9855 4 месяца назад
Sio Moja ni 3.. Sasa hujiulizi unaweza ukabeba mashudu au makapi kwenye gunia limejaa na hayo mashudu ukauza elfu 10 gunia, na huyo aliehufadhi dhahabu kwenye kiboksi hio dhahabu ikauzwa mabilion😅😅.. mfano huu ni kwamba unaweza ukatuma mabomu mia 3 ambayo hayana lolote yakadunguliwa na yeye alituma Matatu yaliharibu na yaliiingia kwa kuzima setlite zote 😅 bila wao kujua.. Israel hainaga mbwembwe kama Waarabu bwakifanya shughuli Yao Huwa ni kimyakimya kisha hawaongei ni vitendo tu.. wew niambie lini muisrael alishafanya kitu kwa kufanya maandamano au kutangaza.. kingine walipopiga ubalozi wa Iran pale Syria hawakusema lolote, walipoulizwa hawakujibu ndio Wala hapa😅 lakini upande wa pili mwarabu akifanyaga kitu mmh hizo mbwembwe Sasa mara mavuvuzela , mara maandamano, alafu kivitenda maskini hawana lolote daaaah hii ni huzuni upande mwingine
@zebedemirambi3067
@zebedemirambi3067 4 месяца назад
UKIHITAJI KUPIGANA NA TAIFA LA MUNGU ISRAEL🇮🇱 UJUWE UNAPIGANA NA MUNGU PEKEYAKE! IRAN UTASHINDWA TU UTAKE WALA USITAKE! KIVIPI UNAJIITA UNAULINZI WAHATARI NA BOMB ZINAKUFIKIA🤣 IKIWA UNANGUVU WE IRAN UNGESHIMAMISHA HIZO BOMB ZISIFIKE ENEO LAKO😂
@officialcandleboy6923
@officialcandleboy6923 4 месяца назад
Huyu mchambuzi hana chukuwa habari kwa watu walio chini wamangaribi, ndo shida
@salimamani6672
@salimamani6672 4 месяца назад
Wapumbabu sana acheni uongo wapumbavu kabsa
@annasolomon9855
@annasolomon9855 4 месяца назад
Sisi tunaangalia majina tu ya wali wanaokanusha hizi taarifa, utakuta anaitwa Mohamed, salimu, Alli.. so ukiona hivo utakuwa umekata jibu kamili😅😅😅 .. kichapo Irani kimetembea lakini kuitetea kwa kuwa.....😅
@salimamani6672
@salimamani6672 4 месяца назад
@@annasolomon9855 Sasa wewe kwa akili yako Israel inaweza wapi pigana na mihiaran unaijua au unaisikia
@annasolomon9855
@annasolomon9855 4 месяца назад
@@salimamani6672 ni walewale tunawaelewa, 🤣🤣🤣
@FeruziIsa-nc5vo
@FeruziIsa-nc5vo 4 месяца назад
UONGO HUO IZRAEL KAPIGWA. USIDANGA NYIKE NA WATU WA MAGHARIBI.
@Mumewangu
@Mumewangu 4 месяца назад
Kilichopo hapo ni ushwawishi wa magaribi ili Irani akasirike amshambulie kwa sababu ijulikane Irani anaogopa. Hii ni Taarifa za uongo kwa nin pale alipopiga siku ile ile hakutoa taarifa akanyamaza kimya? Sio kweli taarifa hiyo
@ammielnzala344
@ammielnzala344 4 месяца назад
Hakuna taifa la kuipiga Israel kwasababu ni taifa teule la Mungu na neno la Mungu linasema Israel wataokoka tena na watamjua masihi wao waliyemkataa, sasa neno la Mungu halishindwi, na kwenye kitabu cha ufunuo pia yohana aliona manabii wawili katika Israel ilikuwa ni baada ya kipindi cha mataifa kuisha, na kama kawaida injili itarudi kwa wayahudi tena, pia hakuna vita kubwa mpaka Mungu atakapoondoa wateule wake, baada ya hapo ndio kutakuwa na dhiki kuu , rudini kwenye Neno la Mungu tupo mwisho wa mambo yote ndio huu.
@mohamedmanga8391
@mohamedmanga8391 4 месяца назад
Ndugu yangu pole kasome vizuri kitabu, hili taifa kweli liliteulwa, baada ya kujikita kwenye madhambi likalaaniwa baada ya kufika Canani, liliangamia kabisa, na wala hili taifa la leo halitokani na yakobo, hawa wamejawa na watu wenye tabia ziliangamiza Sodom, walitengezewa makao mwaka wa 1948 na walanisi wenzao, wanatenda dhambi nyingi tena sio wakiristo na wanamtukana yesu wakati ulimwengu wote unamtambua, wamebomoa makanisa na kuwauwa wakiristo huko gaza na wanawatemea mate huko Jerusalem, acha kucheza na Jina la mungu.
@mohamedmanga8391
@mohamedmanga8391 4 месяца назад
Tena ukumbuke ni marekani wanapigana na kuwatengezea silaha kama huna habari jua leo kwamba 1948 marekani na mataifa ya magharibi, walitengeneza hili taifa ili waweze kudhibiti mataifa ya kiarabu kwa urahisi baada ya kugundua nguvu zao za mafuta, sasa kwa nini mungu awaache wateswe ulaya karne zote mpaka wazungu wawatumie kudhibiti waarabu.
@juliannjunwa7857
@juliannjunwa7857 4 месяца назад
Iran angalia, hurumia watu wako.usichezee watu hawa.
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 4 месяца назад
Waache walane
@tommorara8031
@tommorara8031 4 месяца назад
walianza wacha wajikaze
@annasolomon9855
@annasolomon9855 4 месяца назад
😅😅
@maldiniinvescoltd701
@maldiniinvescoltd701 4 месяца назад
Nyetenyahu ni kama hitler wKati ule aliwatuma jeshi lake kwenda huko chezvirovakia baada yule pandikizi wake leinhard hydrich aliuwawa. Kisasi kwa kila kila mtu mdogo kwa mkubwa ,mama watoto ,majeno zote walke tekezwa na hitler.huko lidice town
@EmmyRowland-ir5gh
@EmmyRowland-ir5gh 4 месяца назад
Israel Alitumiwa bomu dogo tu ka testing compared to Iran's more than 300 ballistic missiles 99% failed 🤣
@masweto
@masweto 4 месяца назад
irani hana kitu nyangau huyo
@SimbaHaji-jm7md
@SimbaHaji-jm7md 4 месяца назад
Uongo
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 4 месяца назад
Wapumbavu hao wamagharibi hakuna madhala yoyote waongo wametunga hizo picha za mchongo
@hajiramadhanihaji355
@hajiramadhanihaji355 4 месяца назад
Waongo nyie
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 4 месяца назад
Manghalib na israel wote ni waongo
@suhadsalim5528
@suhadsalim5528 4 месяца назад
Izo za kutenezwa ili kusafisha izrail
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 4 месяца назад
Km amerusha kombora c apelekewe kombora mnasubiri nn ss
@annasolomon9855
@annasolomon9855 4 месяца назад
Weee utapata tabu 😅
@justusngonyani165
@justusngonyani165 4 месяца назад
Iran hana UWEZO,kunguru tu.
@omarmohd1262
@omarmohd1262 4 месяца назад
Picha ndo nini
@daudimichael7338
@daudimichael7338 4 месяца назад
Iran ni taifa lenye nguvu kati ya mataifa ya kiarabu yanayoizunguka izunguka Israel. Na ndiyo inafadhiri vikundi vya wanamgambo kwenye nchi nyingine za kiarabu. Ina uwezo mzuri wa kiuchumi unaotokana na visima vya mafuta. Israel ikitaka kufanikiwa, ipige visima vyote vya mafuta, Iran itanyonsha mikono na vikundi inavyovifadhiri vitakosa nguvu kwasababu Iran itashindwa kuvilipa mishahara.
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 4 месяца назад
Unamjua muajeni au unafurahisha genge
@user-iq4cb6ke4c
@user-iq4cb6ke4c 3 месяца назад
Yaani,hadi magaidi waishe
@kakahafaha6148
@kakahafaha6148 4 месяца назад
Kitu cha kujiuliza " Kwanini siku zote taarifa ambazo ni NEGATIVE huwa zinatoka kwenye vyombo vya habari vya magharibi? Pia kwanini taifa lolote ambalo linafungamana na magharibi hata lishambuliwe vipi vyombo vya habari vya magharibi hutangaza hakuna madhara? Hapa pia kuna changamoto ya vyombo kama hivi ambavyo tunavisikiliza ambavyo pia kazi yake ni kunukuu tu kutoka kwa vyombo vyengine bila ya kuwa na vyanzo vyao kutoka sehemu husika maana kama magharibi inatoa propaganda na wanaonukuu watatoa propaganda pia. Nahisi ingependeza zaidi kama na vyombo vyetu hivi vingalikuwa na wawakilishi baadhi ya sehemu za matukio ili kutuarifu vitu ambavyo vina uhakika.
@johannesssamsonambogo4125
@johannesssamsonambogo4125 4 месяца назад
IRAN HAWEZI VITA ATA MTUME MUHAMMAD AFUFUKE AJIUNGE NAO, ATAPIGWA NA YEYE.
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 4 месяца назад
Sasa hapo kati ya irani na Israeli nani kapigwa ? we limeingia kombora Moja israeli yaliingia makombora 7 hao mashoga wako waishukulu marekani
@johannesssamsonambogo4125
@johannesssamsonambogo4125 4 месяца назад
@@Hussein-gx4qu Iran hawezi kaka
@maximusalnono6425
@maximusalnono6425 4 месяца назад
Nauliza bila kupata majibu kama hamas wameshikilia mateka bila ya kuwaachia wakati watu wasio na hatia wa gaza wakiendelea kufariki ivi kuna nini hapa hawa mateka wana umuhimu zaidi wakiwa mikononi mwa hamas wakati watu wanaendelea kuuwawa?
@annasolomon9855
@annasolomon9855 4 месяца назад
Ndio wauliwe hao raia mpaka Hamasi wawaachie mateka 😊
@saidalhinai1131
@saidalhinai1131 4 месяца назад
Hakuna ukweli Iran haifichi kitu lkn vyombo vya magharibu ni propaganda tu
@ndindaqueen9346
@ndindaqueen9346 4 месяца назад
Nyinyi muslims why do you hate Israel mnajua Israeli ina deal na watu wa haina gani ??
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 4 месяца назад
Wote Israeli na wahindi waongo wakubwa
@annasolomon9855
@annasolomon9855 4 месяца назад
CNN ni ya china Haina uongo 😅😅😅
Далее
Cleaning🤣 #shorts #トイキッズ
00:18
Просмотров 6 млн
Вопрос Ребром - Булкин
59:32
Просмотров 690 тыс.