Тёмный

YAHYA BIHAKI AKIIMBA KASWIDA YA JIRANI, LAYLATUL HELWA 2024 

BABDEO MILADU
Подписаться 253 тыс.
Просмотров 20 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 56   
@shabanibigo7996
@shabanibigo7996 4 месяца назад
Mashaallah ustadh yahya bihaki! Allah akuhifadhi zaid Al habib
@saidsalum523
@saidsalum523 4 месяца назад
Mdogo wangu BAB DEO MILADU muogope Allah,,ujue kua naulizwa kwa yote unayoyaeneza,, mchanganyiko wa wanawake na wanaume utajiri nini kwa Allah.
@omaryally1482
@omaryally1482 3 месяца назад
Ww acha zako ww mjinga ww
@omaryally1482
@omaryally1482 3 месяца назад
Mbn kwenye mashindano wanakaa wanawake na wanaume husemi acha shobo
@hassanabbas5869
@hassanabbas5869 2 месяца назад
Ata Makkah wanachanganyika wake kwa waume lengo ni ibada so inamaal amalu bi niyyah kila mmoja atalipwa kwa Nia yake wallahu Aalam
@jumafaki1697
@jumafaki1697 4 месяца назад
@Yahyabihak umepambana Nahaawand 🔥🔥
@user-pd4sy4pw3r
@user-pd4sy4pw3r 4 месяца назад
Uuu❤❤🎉
@shabanabdullaziz9934
@shabanabdullaziz9934 4 месяца назад
Naaam amepambana nahawandi inayompelekea MOTONI asipotubia.
@ALiBAba-zz2td
@ALiBAba-zz2td 4 месяца назад
mashallah. mwakani tunataka qaswida mpya
@user-lj1kb5cg7u
@user-lj1kb5cg7u 4 месяца назад
Ujirani vitwaaah maqam nahwandi
@yussufsumbu9412
@yussufsumbu9412 4 месяца назад
mashallah❤
@mrjagenmuuz5704
@mrjagenmuuz5704 4 месяца назад
Taarabu mzilizo zipa jina kwa kasida
@abiabi9353
@abiabi9353 4 месяца назад
Wewe wahabi mwenye elimu tupe tofauti ya kawaida na nyimbo
@shakourdutilo3813
@shakourdutilo3813 4 месяца назад
Nyooko wee unajifanya eti ni taarab wakat umeskiliza,
@mohammedmataucar66
@mohammedmataucar66 4 месяца назад
Wenyewe wamekunja na nne kabsa wanasikiliza kinanda 🤣🤣🤣🤣
@DrBash88
@DrBash88 4 месяца назад
​@shak😂😂😂ourdutilo3813
@Makikokasongo
@Makikokasongo 4 месяца назад
Humus wengi mashaki waliiwatwi lazima watetee machafu yakihuishwa na dini na huu sio uislam bali ni ushenzi kama ushenzi mwengine
@abdallahkassim7602
@abdallahkassim7602 4 месяца назад
Ma shaa llah
@user-gy5ii3ig1d
@user-gy5ii3ig1d 4 месяца назад
Wacheni kuuzalilisha uislam nyinyi,yaan sasa naona maji yashazidi unga,yaan munapiga taarab halafu mnasema qaswida,acheni ujahil nyinyi
@altaafkassu2171
@altaafkassu2171 4 месяца назад
Ihesabu nafsi yako kabla ya kuhesabu nafsi ya mwenzako
@user-gy5ii3ig1d
@user-gy5ii3ig1d 4 месяца назад
@@altaafkassu2171 wataka hesabu gani wewe usijielewa tafuta elimu,wacha kushahibia ujinga yaan wewe waona ndio dini hio kupiga taarab
@SingoMedia
@SingoMedia 4 месяца назад
Maashallah
@HusseinRamadhani-tu3ld
@HusseinRamadhani-tu3ld 4 месяца назад
رائع أيها البطل من دولة تنزانيا ❤❤
@hamidakhamis-ir5qv
@hamidakhamis-ir5qv 4 месяца назад
Mashallah maneno kuntu
@user-qe8xp6ii1u
@user-qe8xp6ii1u 4 месяца назад
Hii ni Miziki tu.Na hii chanel ni ya Miziki sio ya Dini.
@ustadhomarykifigisa1282
@ustadhomarykifigisa1282 4 месяца назад
Hujaitwa
@user-qe8xp6ii1u
@user-qe8xp6ii1u 4 месяца назад
@@ustadhomarykifigisa1282 Lakin Raddi imekuingia.
@ahmedzein4834
@ahmedzein4834 4 месяца назад
MashaAllah, Hii imefanyikia wapi?
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 4 месяца назад
Hizi ndio zama zilizobeba ujinga sana watu kuzifanya kaswida ndio kuwa taaarab na music
@timeisnowtintiv
@timeisnowtintiv 4 месяца назад
Hatwariiii
@bintomar7025
@bintomar7025 4 месяца назад
Ndio mana maasi yanazidi mashekhe hawajielewi watafuta maslahi ya kidunia tu
@mohammedmchonga
@mohammedmchonga 4 месяца назад
Mpenda muziki hatokosoa hizi ni Dalili mbaya!!!!!!
@user-gy5ii3ig1d
@user-gy5ii3ig1d 4 месяца назад
Hii ni taarab wacheni kuzuga watu
@matikosillamunanka9987
@matikosillamunanka9987 4 месяца назад
Huu ndo Uislamu Mtume aliotuachia????
@binuthaymeen9885
@binuthaymeen9885 4 месяца назад
Huu sio uislam ambao unaitajika na nyinyi ni wasanii kama wengne mnachonikera mm kunasibisha na dini
@YahyaHusseinBihaki
@YahyaHusseinBihaki 4 месяца назад
KUHUSU KUCHANGANYIKA SIO JAMBO LA HATARI WW TU NAFSI YAKOO YA TAMAAA TEMBEA NJE UTAONA USILALE TU NYUMBANIIII
@shabanabdullaziz9934
@shabanabdullaziz9934 4 месяца назад
Kuna tofauti gani ya TAARABU ambayo ni HARAMU na hii inayoitwa QASWIDA?!
@user-gy5ii3ig1d
@user-gy5ii3ig1d 4 месяца назад
Huku sasa nikuudhihaki uislam,wacheni ujahili ndugu zangu
@muhammedaloufy4086
@muhammedaloufy4086 4 месяца назад
huo mchanganyiko wa wanawake na wanaume vepeee? hii si KASIDA ni nyimbo kama nyimbo nyengine!wanawake nywele zinaonekana! MTIHANI!
@kiumbeonlinetv4688
@kiumbeonlinetv4688 4 месяца назад
Sasa umeskiliza yanin sasa
@muhammedaloufy4086
@muhammedaloufy4086 4 месяца назад
@@kiumbeonlinetv4688 Fadhakkir !
@Herson-yw6cn
@Herson-yw6cn 4 месяца назад
Mbona wewe unachanganyana na wanawake kwenye daladala
@abiabi9353
@abiabi9353 4 месяца назад
Huyu wahabi hajitambui .Mara anasema sikaswida ni nyimbo ,mara anasema mchanganyiko.sasa lipi ndo lipi unalokashifu hapo
@muhammedaloufy4086
@muhammedaloufy4086 4 месяца назад
@@abiabi9353 pole sana! Ila hapo hakuna kasida! Ni nyimbo tena inayoibwa ktk mchanyiko wa wanawake waliojipamba na wanaume wapo pamoja!
Далее
Средневековый киборг
00:39
Просмотров 518 тыс.
НЕДОВОЛЬНА УСЛУГОЙ #shorts
00:27
Просмотров 19 тыс.
Yahya bihaki akiwa na nasah crew /ujirani
9:05
برنامج مقامات - 27-09-2018
50:24
Просмотров 370 тыс.
Nasaha crew - Mridhi Atokuridhi (maryam Hamdun)
6:11
ARAFA HUSSEIN & YAHYA BIHAKI, LIVE CONCERT
19:44
Просмотров 56 тыс.