Тёмный

BI RUKIA AKIIMBA "HUJAFA HUJAUMBIKA" KWA HISIA KUBWA, MANARA AMWAGA PESA, LAYLATUL HELWA 

BABDEO MILADU
Подписаться 247 тыс.
Просмотров 71 тыс.
50% 1

Follow Us On:
INSTAGRAM: / miladu_tv
FACEBOOK: / babdeo miladu/
TIKTOK: www.tiktok.com/@miladu_tv?lan...
RU-vid: / @babdeomiladu

Опубликовано:

 

23 апр 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 248   
@SaidOmar-sd2yo
@SaidOmar-sd2yo 2 месяца назад
yaa allah tuongoze ktk njia ilio nyooka aamiin
@thedon8467
@thedon8467 2 месяца назад
AMEEN
@twahasuleiman-lo9vl
@twahasuleiman-lo9vl 2 месяца назад
Rip sheikh NYundo... Angekuepo Marehemu Sheikh NYundo angekemea hii Subhanallah
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 2 месяца назад
Tumuombe Mwenyezi Mungu (s.w) atujaalie mwisho mwema! Amin.
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 2 месяца назад
Maanara uwe na heshima usimtaje MTUME MUHAMMAD SALA NA SALAM KWEYE UCHAFU KAMA HUOWO
@zanlec7357
@zanlec7357 2 месяца назад
Innalillahi wainna ilayhi raajioun. Kwakwel huyu jamaa ana dhima kubwa sana mbele ya Allah. Wapi mnaupeleka Uislamu ndugu zangu . Siku ya Kiama kuna mengi sana ya kujibu wewe Haji Manara . Usitumie Umaarufu wako kuiangmiza Dini ya Uislamu. Allah anifungulie mwisho mwema .aamin
@rajabubwakila1977
@rajabubwakila1977 2 месяца назад
Kwa hiyo wewe ushapewa kazi ya kuhukumu watu waende motoni au peponi,hongera kwa kazi hiyo bwege mkubwa weww
@zanlec7357
@zanlec7357 2 месяца назад
@@rajabubwakila1977 kwanz Nenda kasome Uislamu kisha utajua nini nmekiongelea hapo. Huwezi jua Uislamu umeamrisha nini na umekataza nini kama huna Elimu
@MadamAsya2024England
@MadamAsya2024England 2 месяца назад
Duh dini imefkia hivi malengo yavwenzetu yametimia kadri dunia inavoisha ndio tunazidi kuangamia,SUBHANALLAH.
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 2 месяца назад
Nyundo kaondoka hawa ndio walikua wanamuelewa yule mwamba wakweli nyundo mungu amlipe mena alijua kuongea na hawa watu au na sisi watu
@ahmedabry293
@ahmedabry293 2 месяца назад
Yarabb tunaomba utupe mwisho mwema ❤😢
@FatumaSaid-ry2eq
@FatumaSaid-ry2eq 2 месяца назад
Allah tupe mwisho mwema mimi na familia yangu na kizazi changu huu ni msba mkubwa
@yasminjuma9146
@yasminjuma9146 2 месяца назад
Kaka angu hata ukiumwa unasikiliza nyimbo badala ya kufanya dhikri na dua.. jitahidi kaka ktk ibada. Nakupenda sana
@barakakhemedi1250
@barakakhemedi1250 2 месяца назад
Hiii hpn Kwa kweli mi baba mizima inashangilia na mikanzu vinanada na magita
@OmQrf
@OmQrf 2 месяца назад
Innalillahi wainna ilahirajiun manara ww muongope mungu hayomambo na biziki taarabu mbona mnafanana subhanallah
@rizikirashid1199
@rizikirashid1199 2 месяца назад
SubhanaLLAH Yarab tustiri waja wako kwani hii ni taarab sio Nashi mchanganyiko wa wake kwa waume ya ALLAH awaongoze walio potea
@AbdalallaBrahimam
@AbdalallaBrahimam 2 месяца назад
Innalilah wainnailahim rajiuun mcheni Allah kesho Kwa Allah mtajibu Nini sisi tuna wakumbusha huu ni mziki
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 2 месяца назад
Innaa lillaahi wainnaa ilayhi rajiun, ni msiba Haji manara musimcheze shere Mtume, yaani mnatangaza hadhara ya Nabii hlf mnapiga muziki, wapi mmetowa ktk hadithi au aya ya quran kwamba muziki ni ktk dini
@saidbakar-qo6ri
@saidbakar-qo6ri 2 месяца назад
Mungu hajakataa burudani za kistaarabu hapo hakuna matusi nyimbo inafundisha maneno ambayo hata mwenyezi mungu mwenyewe ameyapitisha na hiyo ni kama qasida tu hakuna ubaya mungu hajasema mufikirie kufa tu msifanye mambo mengine mumfikirie yeye tu,kuna mambo ambayo mungu hawezi kukupa adhabu kubwa kama utalifanya bila kukufuru kupita kiasi nyimbo pia zinapunguza stress zinafundisha kwa ameimba kumsifu mungu na mtume wake na akaimba hujafa hujaumbika hayo ni mafundisho makubwa ambayo mwenyezi mungu hawezi kukuadhibu eti kwa sababu umetumia vyombo tusiifanye dini ya kiislamu kuwa ngumu kiasi kwamba waislamu wajione wapo gerezani lakini kuna mambo yaliyofanywa na manabii hayawezi kufanywa na binadamu wa leo kwa mfano mtume Muhammad saw alifunga mwaka mzima haya wewe unaweza mtume aliongea na mungu alishushiwa wahai je wewe kwanza hii ndio njia sahihi ya muislamu kupata burudani.someni vizuri vitabu sio kutoa laana tu nyinyi ndio wale msiofanya kazi kwa kisingizio mungu yupo ataleta,
@muhamedali3902
@muhamedali3902 2 месяца назад
Mh! Ndugu yang ww umesoma lkn naona elimu yako inakupoteza Yani Leo unattea mziki acha fikira potofu mwenyez mungu s.w. kupitia Qur'an na mtume wake Alisha eleza njia za kutowa mafundisho Na akabainisha haqi na batli na mziki ukazungumzwa ktk Aya tofaut za Qur'an mpk ukatolewa mfano wa muimbaji hata awe na saut nzr kiasgani bas nisawa na saut ya punda Yan hapa pamefanywa kufru kubwa Sana Tena et kwabaraka za mtume apo kunabaraka gan Ww unadanga nyika na hizo mbwembwe za haji manara na kujifanya shekhe anaushekhe gan kuuzalilisha uislamutu Et unafokea watu ww amesomawap dini acha izo ww,
@muhamedali3902
@muhamedali3902 2 месяца назад
Nikweli mungu hajakataa lkn ilitupa muongozo ni burudani za ainagani alizo zridhia sio yyote unayo itaka ww Napia akabainisha burudani za ainagani hakuzridhia
@litimbaify
@litimbaify 2 месяца назад
​@@saidbakar-qo6riandishi kubwa bila dalili ni ujinga
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 2 месяца назад
Acha uongo wewe ..Mtume amesema sauti 2 zimelaaniwa duniani na akhera ...kwanza sauti ya mwanammke wakt wa msiba na nasuti za vinanda wakt wa furaha ...hilo ulijue kuwa haifai kupiga mnanda umelaaniwa..😢😢😢unasema tu kwa matamanio yako ya kidunia..?pole sana.kisha nakujulisha kua sauti ya mwanamke ni aura..yaani uchi....hapo anaimba mbele ya wanaume kibao haifai kisha wanapiga mnanda Allah awaongoze ktk njia sahihi.​@@saidbakar-qo6ri
@rukky4169
@rukky4169 2 месяца назад
Allah atuhidi mana kila kukicha balaa zinazidi. Inna lillah waina ilaihi rajioun.
@mwanapiliali8504
@mwanapiliali8504 2 месяца назад
Hasbiyallaahu waniimal-wakiyl loh huyu kila cku zikenda anazidi tu kufanya kufru na wala hajali dah Yaa A'llaah tuongoze ktk njia iliyonyooka😢😢😢
@user-mq6lu2po3y
@user-mq6lu2po3y 2 месяца назад
Me nilifikiri hii tv ni ya kiislam mwanzo na mwisho wa kuangalia tv hii ni Leo in Sha Allah
@Werema3760
@Werema3760 2 месяца назад
Hii ni yawaenda mbinguni.
@user-vs7vv7xd2f
@user-vs7vv7xd2f 2 месяца назад
Mtihani kwa kweli ata mimi pia nilizani ni tv ya mawaidha ya kiislam
@RahmaShemdoe
@RahmaShemdoe 2 месяца назад
Hizi ni taarabu tu nyingine,sioni dini hapa.Innalillah wainna ilayh raaji'un
@AyzalRicco-mi6iu
@AyzalRicco-mi6iu 2 месяца назад
Nyundo ragmallhah aliwahi kusema kaswida ni ndugu yake taarab Naam yametimia..
@RamadhaniMahamba-cx2so
@RamadhaniMahamba-cx2so 2 месяца назад
mañara umeponyoka unachanganya dini na mitaarabu amakweli mmezidi 😊
@zuleikhaissa684
@zuleikhaissa684 2 месяца назад
Jamani muogopen Allah dunia mapito 😢
@luqmansaid-ip2dm
@luqmansaid-ip2dm 2 месяца назад
Subhaanaallah Allah atuongoze haifai jamani hivi sivyo😢
@hawamhanga2951
@hawamhanga2951 2 месяца назад
Mashehe wetu jamani wamekaa kabisa wana enjoy rabb tusitiri 😢
@shekhamohd4891
@shekhamohd4891 2 месяца назад
Nyie mnajitia dhiki ya meneno ya huyu subhanallah huyu ata hajuwi km kuna siku ya mwisho na hisaab ndio maana hana khofu ya Allah yaarabb muhidi mja wako yaani anasifia kawacha ya akhera haya maulidi ya mtume au taarab subhanallah
@musababdullah5813
@musababdullah5813 2 месяца назад
Tamasha la muziki wa pwani ingekuwa ndio jina zuri,kufungamanisha na dini ni utapeli😂
@meandme3437
@meandme3437 2 месяца назад
Ushasema😂🎉
@user-tw5ls9eg3s
@user-tw5ls9eg3s День назад
Subhanallah😢 msiba huu innalillahy wainnailayhi rajiuun
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 2 месяца назад
HASBIALLAH WANEEMALWAKILI HUU KWANZA HAPA NAOMBA TUJIFUNZE KITU KUNA BAADHI YA MDHEHEBI YANACHOCHEA WATU KUINGIA KWENYE MAMBO MACHAFU NA KUONEKANA NI MAZUR NA TABIA HII NDIO INAYOTUHARIBIA UISILAM WETU
@saimalunde4002
@saimalunde4002 2 месяца назад
Muwe mnamuogopa mungu yaaani dhehebu lingine lichochee wewe kuharibiwa uislam kweli? Acheni kuhukumu hovyo mnajiona nyie ndio mna haki mbele ya MOLA JALAAL
@user-vo7yp5gj7x
@user-vo7yp5gj7x 2 месяца назад
Mc Haji Manara mashallah ❤❤❤❤
@fatmarashidy280
@fatmarashidy280 2 месяца назад
Huu msiba nlikuwa cjauona innallilah wainnallilah rajiun…Allah atupe mwisho mwema
@khamishassan68
@khamishassan68 2 месяца назад
Inalillah wainaillahi rajijn
@jumahamisi9328
@jumahamisi9328 2 месяца назад
Salaaaala, Miziki jamani katika uislamu haimo
@CoachHafidh
@CoachHafidh 2 месяца назад
Daah...hii ndo kazi ya babdeo kumbe....bora Abu khaula alivyokataa mahojiano nae...😢
@user-zz4lz3jb9w
@user-zz4lz3jb9w 2 месяца назад
Hii sio kabisaa astaghfirulaa
@husseinyathuman87
@husseinyathuman87 2 месяца назад
Innalillah waiina ilaihi Rrajiuun Mnasherehekea muziki dah
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 2 месяца назад
WAHUNI WAKUBWA NA MIKANZU YAO! 👀👀
@nassorkhamis6233
@nassorkhamis6233 2 месяца назад
Mbna hamna tofauti na wakatoliki
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 месяца назад
Apo wakatoriki wenyewe wakasome
@hailinhelen4675
@hailinhelen4675 2 месяца назад
inasikitisha kwa kweli waislam tumekuwa hatujui dini kiasi hichi tunajirusha steem kwa matamanio ya dunia inna lillahi wa inna illayhi rajuun
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 2 месяца назад
Si hatujui vo..ni tuna dharau maarisho wallah mtihani
@hawalulanga839
@hawalulanga839 2 месяца назад
Allah atupe mwisho mwema Amini tunako enda siko
@bouryschamata3093
@bouryschamata3093 2 месяца назад
Wanaiga wakristo sasa bado kusema Yesu Mungu tu
@saimalunde4002
@saimalunde4002 2 месяца назад
Sasa hapo wakristo wamefanya nini tena hebu acheni kuhukum jaman wote tunasoma maandiko tunaamini ila hakuna hata mmoja Aliyefika mbinguni akaiona hiyo kweli tusihukumu kbsaaa maaana hakuna aliyekufa akarud akayashuhudia hayo
@aboubakarmahmoudmashaka696
@aboubakarmahmoudmashaka696 2 месяца назад
Kesho jiandaeni na majibu kwa allah
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 2 месяца назад
Mwenzetu umeshayajibu nini??! Na kwa kiasi gani upo salama na msafi kwake JALALI?? ( MUHIMU MIMI NAWEWE TUOMBEANE DUWAA NJEMA (
@saimalunde4002
@saimalunde4002 2 месяца назад
Tena wao ndio unaweza kufika huko ukawaomba hta tone la machozi wakudondoshee unywe hacheni kuhukumu hovyo
@saimalunde4002
@saimalunde4002 2 месяца назад
Ina maaaana wote waliokaa hapo mnawaona niwajinga? Kumbukeni mungu tunamtukuza kwa nyimbo pia na swala acheni kuhukumu hovyo
@jumamohamed4808
@jumamohamed4808 2 месяца назад
Hapana hii sio sawa kbc
@user-rg4wu2tg7x
@user-rg4wu2tg7x 2 месяца назад
Mwenyezi Mungu haombwi kwa nyimbo
@saimalunde4002
@saimalunde4002 2 месяца назад
Mungu anatukuzwa kwa nyimbo pia Ndio sababu malaika wanaimba nakumsifu
@user-vo7yp5gj7x
@user-vo7yp5gj7x 2 месяца назад
Rukia Ramadhani Bint Abiazi ❤❤
@HabibuSalumu-iv5wl
@HabibuSalumu-iv5wl 2 месяца назад
Tujaribu kutofautisha kaswida na Taarabu japo yatakuwa ni maneno mazuri ya Mwenyezi Mungu.
@user-nf3dc9fb6v
@user-nf3dc9fb6v 2 месяца назад
Mashallah kazi nzuri
@yusuphhamisi504
@yusuphhamisi504 2 месяца назад
Eti wamekutana walevi, waimba mziki wamevaaa hovyooo utadhani wakristoooo hahahahah
@user-oh7gv8zg5y
@user-oh7gv8zg5y 2 месяца назад
Sana, mi nimejiuliza kwani apa, ni kanisani wanaimba kwaya au,
@alush3138
@alush3138 2 месяца назад
Hajimanara hujulika N upokindigani allh akuhidiiiii
@marthadkhan6459
@marthadkhan6459 11 дней назад
Tumuombe Mungu ameonyeshwa njia hiliyo bora na atupe mwisho mwema
@yunuskhams7216
@yunuskhams7216 2 месяца назад
Na kuna dua na vinanda shekh
@zalbak2738
@zalbak2738 2 месяца назад
Halafu hii channel tujue mojaaaa iko upande gani duniani au akhera
@abdab8466
@abdab8466 2 месяца назад
Hi ni makosa,ndivo Allah anavoombwa kusamehe makosa
@tabujuma9046
@tabujuma9046 2 месяца назад
Mimi ni mpenzi wa khaswida lakini kwa hivi Subha Allah
@HussainMaula-wr5co
@HussainMaula-wr5co 2 месяца назад
Hapo mashekhe bado mpewe mirungi na shisha maana mnashangilia kama mpo mpirani SHEKHE NYUNDO ALLHA HUMA FIRAHU WARAHAMAHU MASKANA FIL JANAT ULISEMA UKWELI QASWAIDA NI NDUGU YAKE TAARABU.
@swalehbakari2667
@swalehbakari2667 2 месяца назад
Dunia hii ina maajabu Nashukuru kwa elim yangu ndogo nilio pata Izo ni nyimbo wana wanafanya ni din
@user-hj4bc5uh2x
@user-hj4bc5uh2x 2 месяца назад
Yule sheikh wazanzibar orhman maalim haya serikali na alhah magugu na dhahabu waonaje shekhe au unawaongoza wa mwamposa kaenikimya tu alhah analipa
@user-dn7gn6ib4k
@user-dn7gn6ib4k 2 месяца назад
​@@user-hj4bc5uh2x maybe he don't see this tv thats why he's the best sheik
@abdallahally842
@abdallahally842 Месяц назад
We mlaji mirungi mmoja umeipendaa acha kujifanya hupendi wakati mnasaga mongokaa pamoja
@MadamAsya2024England
@MadamAsya2024England 2 месяца назад
Yote mabaya yamekusanyika ktk hadhara hii,wanawake kuzihirisha mapambo yao mbele ya wanaume,kuimba mbele ya wanaume,kuchanganyika wanawake na wanaume.na mbaya zote ktk dini vinanda na magita yametokea wapi.subhanalllah Allah atupe mwisho mwema.
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 2 месяца назад
hatari voo dini munaipeleka wapi bongo munamkabidhi manara mtu wa starehe za kidunia
@fatmasaid4114
@fatmasaid4114 2 месяца назад
Wapotezwa na Haji Manara awapoteza tuu apoo
@fatmasaid4114
@fatmasaid4114 2 месяца назад
Tubia na weyee tena Allah kakupendaa kakupa umri mrefu upate kutubia lkn wataka upoteza ta pumzi hunatena
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 2 месяца назад
@@fatmasaid4114 hahahaaaa hili jamaa linapenda starehe za kidunia limepagawa wallahi
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 2 месяца назад
@@fatmasaid4114 msiba voo
@SoudShuraim
@SoudShuraim 2 месяца назад
Manara wachizika naona
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 2 месяца назад
hili manara linapenda starehe za dunia wallahi sasa linaingilia na dini munaliangalia tu linapotosha umma kwa matamanio yake lipate pesa za kumnunulia zai lisa vichupi na vipendo vya kuoneshea mitandaoni
@MuhammedFoum-kr5kc
@MuhammedFoum-kr5kc 2 месяца назад
Dahhhh nyimb kweny maulid dahhh😢😢😢😢😢😢
@abiabi9353
@abiabi9353 2 месяца назад
Kwani nini tofauti ya nyimbo na kaswida
@Sheba4651
@Sheba4651 2 месяца назад
​@@abiabi9353Ni ndugu tu mjomba na shangazi
@Harunery
@Harunery Месяц назад
Taarabu hizi mmeziweka kwny dini babdeo ujiandae kwa ALLAH
@mwanapiliali8504
@mwanapiliali8504 2 месяца назад
Yaani kila cku zikenda watu wanafanya uzushi tu katika dini dah inasikitisha sana mhm haramu inafanywa halali mwanamke anaghani sauti yake mbele ya umati wa wanaume na wao wanashangiria kwa mayowe na kanzu kubwa makoti na kofia dah 😢😢😢😢😢
@MkaliWagoka-bz6im
@MkaliWagoka-bz6im 2 месяца назад
Hizi sio Kaswaidaa,,Haya ni mambo ya pwanii,, .
@halimauwesu
@halimauwesu Месяц назад
Jaman watu mnamodomo michafu khaaa😢😢😢
@issahajjiira5411
@issahajjiira5411 2 месяца назад
Mbona hapa wengi wanafiki
@saidybhoky-lb7hg
@saidybhoky-lb7hg 2 месяца назад
ndy tukisema maulidi nikama tarabu wanasema sisi tunampinga mtume wetu na kutuita wahabi tatz watu hawasomi dini
@user-wk8ju9xg4m
@user-wk8ju9xg4m 2 месяца назад
manara Allah Aqbaru nynyi mwaichezea dini ndo nni ushenzi huu hivi hmna KAZI za kufanya nynyi madhwarimu et n hajji innalilah wainnailaih rajjiun mmelaaniwa Allah awangamize 6:51 😢😢😢😢
@sabriabdalla9562
@sabriabdalla9562 Месяц назад
Innalilahi wainna ilaihi... haram, haram, haram.
@wisemuddy5381
@wisemuddy5381 2 месяца назад
Usikute mufti yupo na kayanyamazia
@mdeesporttv6509
@mdeesporttv6509 2 месяца назад
Huku Tanga hii ni kijamvi hapo mirungi na shisha . .
@Mussajuma1515
@Mussajuma1515 2 месяца назад
Allah awaongoze kwenye heli
@lydiamsheri4095
@lydiamsheri4095 2 месяца назад
Ni kweli ni mwimbaji mzuri.Nilimsikiza zamani
@rajabubwakila1977
@rajabubwakila1977 2 месяца назад
Kazi mnayo mlokamilika kabla hamjafa
@fatmaaliomar9733
@fatmaaliomar9733 2 месяца назад
Msichanganye kasida na nyimbo za kumsifu mtume wetu Muhammad SAW hatari jamani majanga yamezidi.
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir Месяц назад
Manara mwenyewe ana laana iliyopitiliza bastaad
@saimalunde4002
@saimalunde4002 2 месяца назад
Yaaaaani comment zote humu nizawatoa hukumu tu kaaaaah😢
@faridapandu7579
@faridapandu7579 2 месяца назад
😢😢😢 msibwa mkubwa
@alwyhissa7358
@alwyhissa7358 2 месяца назад
Baada ya harmonise now Manara, Allah tuongoze😢
@saimalunde4002
@saimalunde4002 2 месяца назад
Hakuna aliye msafi mbele zake mungu tena hao mnaowakadhfu nakuwahulumu ndio siku ya mwisho watawapatia hta Tone la machozi mkate kiu ya moto mkali kikubwa Tuombeane sio kusimangana sisi sote hapa Dunia sio yetu tunapita tu
@msarama5406
@msarama5406 2 месяца назад
Wenyewe wanajiita kipenzi vya mtume😂
@user-pu6pr5jt4n
@user-pu6pr5jt4n 2 месяца назад
Haji😂😂😂😂😂😂bugatiii
@user-vs7vv7xd2f
@user-vs7vv7xd2f 2 месяца назад
Inna lillah waina ilayhi rajiuun
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 2 месяца назад
yani haitakua shida tena kugundua ibada hii potofu iliyojificha kupitia kichaka cha kumsifu mtume .huu ni mziki wamelaaniwa wpigaji na wenye kusikiliza na hii hasa asili yake ni nyimbo msidanganywe na we da rukia umri umeenda tubiaa .usiendekeze dunia
@mfalmekima5318
@mfalmekima5318 2 месяца назад
Hivi jman ni swahaba gn achana na mitume ambae ailiwahi kufanya haya tunayoyafanya hivo kweli dini ingesimama kirahisi yani ufanye hivo ujidanganye unapata thawabi ee yaarabbi tusaidie waja wako
@abuuqamar58
@abuuqamar58 2 месяца назад
Hii sio hadhara ya mtume jamani. Dah
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 2 месяца назад
Dah kweli acha tusemwe sasa nitaarabu au mauridi?
@user-rg4wu2tg7x
@user-rg4wu2tg7x 2 месяца назад
Rukia ramadhani mama tubia tena umri ushakuwa mkubwa huo tena tubia
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 2 месяца назад
@bintmadevu4009
@bintmadevu4009 2 месяца назад
Kunguru kumpaka rangi hawi njiwa kamwe.
@mailacamillius
@mailacamillius 2 месяца назад
Ila Haji ni muongo. Zingizi na hicho kipande wapi na wapi!? Hilo neno lipo kabla Zingizi hajazaliwa
@athumanmfangavu7320
@athumanmfangavu7320 2 месяца назад
Kizazi chakuhukumiana kazi ya hukumu niyake jallah jalal
@saimalunde4002
@saimalunde4002 2 месяца назад
Aswaaaaaa waaaambie
@mfalmekima5318
@mfalmekima5318 2 месяца назад
Katoka kukanyaga mavi karukia mikojo sijui ndo kuna tofauti ipi hapo dah mitihani bilisi kweli anatuweza
@user-nv1oi1ie9h
@user-nv1oi1ie9h 2 месяца назад
Babdeo mambo km haya sio yakidini unaudhalilisha uislam watu wa dar mumezidi sasa kaaa
@IslamAhmed-xd5my
@IslamAhmed-xd5my 2 месяца назад
Hawa si waislamu Ni waswahili
@IslamAhmed-xd5my
@IslamAhmed-xd5my 2 месяца назад
Haji Manara منافق
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw 2 месяца назад
Ukumbusho tu🙏🙏🙏
@saidsalum523
@saidsalum523 2 месяца назад
Mchanganyiko wa wanawake na wanaume,,na masheikhe wako mbele,,innalillahi wainna ilayhi raajiuun,,,tukiambiwa tunakuwa wakali
@yunuskhams7216
@yunuskhams7216 2 месяца назад
Ndio maana M/Mungu anakupa kinachostahik maana wengine wakizidishiwa neema za allah humsahau alie wapa. Huyo manara umaarufu wa ndani ya nchi tu leo unayafanya hayo kua nihalal
@user-ib3df2hr8i
@user-ib3df2hr8i 2 месяца назад
Hata na mashekhe waliojumuika Imani zao ni kama manara wa michezo ya mpirasio dini hiyo
@saidsalum523
@saidsalum523 2 месяца назад
Baada ya kutubia ndio kwanza twazeeka huku twaangamia.
@SoudShuraim
@SoudShuraim 2 месяца назад
Dah hatari hadhara ya nani?manara unayumba sana..unakosea sana
@HafidhOmar-rs4ty
@HafidhOmar-rs4ty 2 месяца назад
Hyu mzee haji manara yye mwenyewe sialituambia alisomesha chuo kwa maalim basaleh ssa vtuko hv vp jmn ma vipensi mara uuzi huu naule jmn
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 2 месяца назад
Masufi bwana wazee wa mzikii
Далее
Hamster Kombat 20 July Mini Game
00:13
Просмотров 7 млн
Недооцененный котел в Симс 4
00:37
Hamster Kombat 20 July Mini Game
00:13
Просмотров 7 млн