Sasa unaweza kujiunga na SnS VIP Family ili kupata mambo mengi exclusive kwaajili yako tu. Bonyeza link hii ili kujiunga na kufahamu zaidi kuhusiana na SnS VIP Family membership / @simulizinasauti
Nafurahi sana ku musikiliza musichana huyu, kijana kabisa wa mwaka ishirini. Mwenyezi Mungu amulinde. Na Viongozi wake wamulinde. Ujana wake isiharibike. Ataweka bendera ya Tanzanie juu juu sana. Namutakiya mema kabisa. 🙏💟🇨🇩Karibu kwetu Congo.
Yammi hongera mungu akuongoze na akulinde Kwa kla mwenye ubaya..lkn umemaliza interview hukunywa ata kidogo cjui n maji ayo apo ama nn😄😄...tuko pamoja nawapata vizuri ndani ya saudia
Huyo bibi levo asikusumbue njaa inamtuma kuharibu hata maisha ya watoto wadogo mpumbavu huyo endelea kujiimarisha tu huyo hata hajijui kama ni wa jinsia gani.