Тёмный
No video :(

Nandy Aweka Rekodi kwa Msanii wake Mpya I Tishio Kwenye Kuimba Live I Yammi na Tunaendana 

CLOUDSMEDIA
Подписаться 1,3 млн
Просмотров 139 тыс.
50% 1

#CloudsDigital tumekuwekea wimbo wa Yammi (Tunaendana) akiimba live kutoka rekodi lebo ya 'The African Princess', ambapo mwanamuziki Nandy amejiwekea ya kumsaini msanii wa kwanza katika lebo yake.

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 95   
@rachelbernad8330
@rachelbernad8330 Год назад
Nandy mpambanaji kweliii hongera mwanamke wa shoka like zake jamanii
@ZaC_Recap
@ZaC_Recap Год назад
Kutoka TIKTOK mpaka Kula shavu Hongera! Kaza Bibie.
@dikaboy979
@dikaboy979 Год назад
Wa kwanza nipen like zangu
@hamadclaude9085
@hamadclaude9085 Год назад
Nandy kachaguwa kweli Asant kwa jicho na Sikio la nandy ❤
@tatusaid7793
@tatusaid7793 3 месяца назад
Unaweza sana yammi
@everpitson3295
@everpitson3295 Год назад
Jamaaani hii sauti 🔥🔥🔥🔥
@alfredkasololo5242
@alfredkasololo5242 Год назад
Ongera sana !!! Musicana huyu anaiba vizuri kweli. Mwenyezi Mungu akuongoze vizuri na uwito wako wa Muziki. 🙏💟🇨🇩
@rachealumazi120
@rachealumazi120 Год назад
Congrats nandy your are best may God continue to shower you with his blessings for fulfilling the dreams of yammi
@hawaabakari6005
@hawaabakari6005 Год назад
Congratulations 👏 saut zuchu wetu mwenye sauti ya kinanda nyie ameweza jaman
@michaelmanugwa7454
@michaelmanugwa7454 Год назад
Nand unachuma dada🔥🔥🔥🔥
@jacklinemwansele1288
@jacklinemwansele1288 Год назад
My fav song
@aquinoowour6067
@aquinoowour6067 Год назад
This girl is going far
@asahi3619
@asahi3619 Год назад
Wanawake oyeeeeeeeee?? Kwakweli heshima lazima Ipatikane
@broka_genius3615
@broka_genius3615 Год назад
The MVP half man half amazing 👏
@malkiakinyemi5282
@malkiakinyemi5282 Год назад
Mabroook Mandy the African pricence 😘😘😘😘😘😘😘😘😘🏃🇹🇿💪
@janetymatola6639
@janetymatola6639 Год назад
Safi sana beuty fully girl❤
@franckjohnson5341
@franckjohnson5341 Год назад
Nakupenda sana Yammi bz bz
@alisalum2023
@alisalum2023 Год назад
Anaimba kama mzanzibar vile mwamba kaingia mjini salamu zao wajiandae sana malkia mpya kaingia live performance ni nzr sna
@nguwababra4963
@nguwababra4963 Год назад
Ni WA Tanga uyu ...
@morinejoseressiriam4581
@morinejoseressiriam4581 Год назад
Hongeraa nandy
@zawaditamari9752
@zawaditamari9752 Год назад
Nandy akiwa ajengewe Sana u plus
@azizamohamed7692
@azizamohamed7692 Год назад
Mashaallah 💕
@rehemaothman2475
@rehemaothman2475 Год назад
Hongera🥰😘
@agnesswilliam5197
@agnesswilliam5197 Год назад
Wasije wakamuharibu na raka raka rikiti rikiti rekete rekete 😂😂
@davidibrahim9138
@davidibrahim9138 Год назад
Acha ujinga wewe zuchu sio wa kumuongerea na huo mkojo wako
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar Год назад
kweli hasa 😂😂😂😂
@yonafikamzungu209
@yonafikamzungu209 Год назад
Big up
@saumuabubakar9053
@saumuabubakar9053 Год назад
Nice one❤️
@giftrashidi5528
@giftrashidi5528 Год назад
The voice lolooo🥰
@jacklinenoel5841
@jacklinenoel5841 Год назад
Umeua❤️❤️❤️❤️❤️
@aminakazogolo2229
@aminakazogolo2229 Год назад
This one is my fav❤
@leahmwangala5312
@leahmwangala5312 Год назад
Soo sweet ❤️💯
@djsummercapuccino7573
@djsummercapuccino7573 Год назад
melody tamuuuuuu
@kanghanhankang1440
@kanghanhankang1440 Год назад
Asnte baba 🙌 🙏 ❤ ♥ 💖 😍
@roqayaro9439
@roqayaro9439 Год назад
Mashallah
@nadnash7681
@nadnash7681 Год назад
Very nice 👍
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 Год назад
Wow. Wow. Saut nzur
@zaidihussein4311
@zaidihussein4311 Год назад
Nyimbo nzur Sana imetulia
@fadhilamlay407
@fadhilamlay407 Год назад
Mashallah hiyo sauti ww mwenyewe mashallah
@judiththomas8014
@judiththomas8014 Год назад
Am so proud of you my girl keep it up young girl🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 Год назад
Nimoto❤️❤️
@suzanasalima766
@suzanasalima766 Год назад
Mmmmh ama kweli
@abedkarume9088
@abedkarume9088 Год назад
Nzur mno
@husseinali5535
@husseinali5535 Год назад
cette dame elle a une belle voix j'adore la chanson
@ritagona6474
@ritagona6474 Год назад
I see much potential to Yammy
@adinalubuva6682
@adinalubuva6682 Год назад
Wawooo
@user-lq4fi9en3t
@user-lq4fi9en3t 11 месяцев назад
❤❤❤
@user-lq4fi9en3t
@user-lq4fi9en3t 11 месяцев назад
Good
@asiaramadhan9882
@asiaramadhan9882 Год назад
Yaani hawezi kumfikia zuchu hata kidogo kwani wimbo wake na biti lake silielewi kabisa.
@lovenessaron2669
@lovenessaron2669 Год назад
👌🔥🔥🔥
@athmaniidd437
@athmaniidd437 Год назад
🥰
@nassiranimstar9294
@nassiranimstar9294 Год назад
Mm nahis uyu bado anahitaji darasa asingemtoa darasan saivi mapema io sauti bado haijakaa pahali pake
@nairatomar9389
@nairatomar9389 Год назад
❤️❤️❤️👌🏻
@kelvinmushi506
@kelvinmushi506 Год назад
kama kweny live perfomance yuko vzri ivi basi ni mwanzo mzuri wakupiga show maana anavutia kumsilkiliza
@kassimjeuri6031
@kassimjeuri6031 Год назад
Boss wake ameshamwambia km kuna kuimbe anetwa zuchu
@salmasaid1521
@salmasaid1521 Год назад
❤ ❤ ❤
@Bizzy176
@Bizzy176 Год назад
Anajuaa saaaana huyu binti
@mahmoodmohammed1679
@mahmoodmohammed1679 Год назад
Huyu anafaa aende WCB Mondi akague mzigo kidogo
@aminaamis5453
@aminaamis5453 Год назад
Kanasaut nzur
@tunsumemwaki8625
@tunsumemwaki8625 Год назад
Huu moto mkali huu,sauti kinanda
@abbassalum6824
@abbassalum6824 Год назад
Amna kitu apo
@witnessraphael3169
@witnessraphael3169 Год назад
Nakukubal xana
@angelfrancis929
@angelfrancis929 Год назад
Maji mko wengi sana humu ndani muambiwe muimbe Sasa sauti kama chura alioko kwenye maji au kwenye shimo😂😂
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Год назад
Amna kitu hp Ana mringo mengi ktk kuimba
@joycemfuru4752
@joycemfuru4752 Год назад
Wivu
@nassiranimstar9294
@nassiranimstar9294 Год назад
Kwel kabisa kamtoa mapema darasan nandi uyu
@nassiranimstar9294
@nassiranimstar9294 Год назад
So wivu Jayce bado kidogo uyu
@joycemfuru4752
@joycemfuru4752 Год назад
@@nassiranimstar9294 bado kidogo so why kusema hamna kitu just appreciate even small little things ndo mara yake ya kwanza ndo wanamsoma halafu watampiga msasa kwa hicho kidogo tu alichoonyesha huyu arabica mbali kama Ana adabu ila siyo kuchora mstari na kusema hakuna kitu si sawa
@nassiranimstar9294
@nassiranimstar9294 Год назад
@@joycemfuru4752 sawa kwel maneno ako Joyce 🙏🙏🙏ila nilikua sijaangalia trak zake tatu aloachia ila nilipo skia mashine imemueka sawa san ila laivu ndo msasa unahitajika
@scoutsmaybe4708
@scoutsmaybe4708 Год назад
Hakun laajabu
@lulually5209
@lulually5209 Год назад
Ndio kwanza anaanza halafu anaimba live huyu atakuja kuwa moto wa kuotea mbali wengine live wanachemka rubby peke yake ndio anaweza
@zashayrasaid8950
@zashayrasaid8950 Год назад
Unajua unajua mpaka unakera na unaimba mka nackia kulia
@salumsaid7719
@salumsaid7719 Год назад
Kweli anapamban
@issambegea5589
@issambegea5589 Год назад
Tunao jua mziki naona uzuchu kwenye uimbaji na uwasilishaji wake
@Greatamir
@Greatamir Год назад
Amna Mumbaji apo..
@salamalsawaqi1206
@salamalsawaqi1206 Год назад
Mbona anaimbia kama taarab
@mudarisuburhan7182
@mudarisuburhan7182 Год назад
Ana uwezo wakati saana maana presha yake ndog na saiuti yake sio nutural mpka atumie kufosi so uwezo wake wakat saana kiukwli
@mudarisuburhan7182
@mudarisuburhan7182 Год назад
Yap
@costantinebahakaso3736
@costantinebahakaso3736 Год назад
Hamna kitu mtasubili kwa zuchu
@happynessmaphie2128
@happynessmaphie2128 Год назад
🙄🙄
@rizoibrahimovich605
@rizoibrahimovich605 Год назад
Mh
@salamasaidi8304
@salamasaidi8304 Год назад
Hajuwi lolote wala hana uzuri.sasa mnashindanisha na zuchu kwani waimbaji wengine hakuna.mkiona ivyo mna choyo na zuchu na wala hamuwezi.zuchu atabaki kuwa zuchu tuu.
@allymwijarubi8932
@allymwijarubi8932 Год назад
Nyie🫡🫡🫡🫵🏻❤️
@mbarakamhina8497
@mbarakamhina8497 Год назад
Zuchu nae atambulishe msanii wake yeye sianajipambanisha nanandy
@Mr_Highlights360
@Mr_Highlights360 Год назад
Sasa yupo kwenye rebo halafu atambulishe kivip sasa
@wahidamaulid9527
@wahidamaulid9527 Год назад
kajipambanisha mnampambanisha na kila msanii?
@Bizzy176
@Bizzy176 Год назад
Kina zuchu anjela wajipange huu ni mooto
@zashayrasaid8950
@zashayrasaid8950 Год назад
Sana
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 Год назад
Waimbaji tunao wengi sana shughuli ni kuwagharamia kuwapromoti hapo utskuta hadi sasa tuna lable moja tu
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 Год назад
Uzoefu wa kugharamia na kupromoti anao? Wenye vipaji mbona wako wengi tu mitaani. Msanij mzuri alikua Angela sasa Yuko wapi kina Rubby si hao hatuwasikii. Kazi iko katika management na gharama na ubunifu wa promosheni. Msione vyaelea
@salimsuleiman6969
@salimsuleiman6969 Год назад
Ndo nn sasa
@salimsuleiman6969
@salimsuleiman6969 Год назад
Anzia hapa mzee
@nelsonkinyamagoha858
@nelsonkinyamagoha858 Год назад
❤❤❤
@nurulukumai5173
@nurulukumai5173 Год назад
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 Год назад
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Далее
How to get Spongebob El Primo FOR FREE!
01:36
Просмотров 13 млн
Throwing Swords From My Blue Cybertruck
00:32
Просмотров 11 млн
Moto Trial vs Moto acrobática 🏁
00:29
Просмотров 2,3 млн
SNAKE BOY | ep 35 | SEASON TWO
30:48
Просмотров 103 тыс.
Zuchu - Pwita (Official Lyric Video)
3:25
Просмотров 531 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /34/ #love
30:22
Просмотров 118 тыс.
How to get Spongebob El Primo FOR FREE!
01:36
Просмотров 13 млн