Ile nyingine kwishatolewa RU-vid na mimi kahamia hapa ili niliendelee kupata uhondo. Wale tumeitafuta hii video na audio yake ile clear tukaikosa RU-vid tokea jana gongeni likes hapa.
Kusema ukweli nawapenda hawa vijana saaana. Nilikuwa nimewamissssssss sana. Msinyamaze hivyo tena jameni mwatuumiza roho. Mimi Mkenya, na hiki ndicho kikundi nikipendacho zaidi ya vikundi vyote. Wimbo mzuri saaan
Aslyei hapo anaonakana ndio alikua mwali anafatia mwanangu mbossa.uyu mwengine wa nyekundu.kisha eneck sauti bessi ya kiume .watoto saidieni mfike msitegane kabisa .mungu atawasaidia