Тёмный
No video :(

YANGA IKULU: Hotuba kamili ya Rais Samia akiwapongeza Yanga kwa kufika fainali ya CAF CC 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 28 тыс.
50% 1

Hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na Yanga katika chakula cha jioni Ikulu Dar es Salaam, lengo likiwa ni kuwapongeza kwa kucheza fainali ya #CAFConfederationCup
Katika hotuba yake, Rais Samia amejibu maombi ya Yanga kuhusu ardhi, ameitaka Yanga kumalizana na Feisal Salum Feitoto, amewataka Simba na Yanga kuwa kitu kimoja katika suala la Kimataifa, amefichua jambo kuhus Wallace Karia akisema "...ni Simba", ameweka wazi mipango ya serikali kuhusu michezo, na mengine mengi...

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 21   
@ErnestaKimati-hu3cl
@ErnestaKimati-hu3cl 9 месяцев назад
My team yanga
@AdinanKatunzi
@AdinanKatunzi Год назад
Asante mama Kwa jambo hili jema umeonesha mshikamano
@apostlejacksonkalinga5191
@apostlejacksonkalinga5191 Год назад
Hongera sana Mh; Rais KAZI Yako ni njema sana
@suleimanchonya7736
@suleimanchonya7736 Год назад
Shukrani sana mama kwa kuhamasisha michezo
@abiaslimadyanse1842
@abiaslimadyanse1842 Год назад
Wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii 💛💚🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰
@merryrichie9608
@merryrichie9608 Год назад
Mungu akipanga lake hakuna wakuzuia, well done Young African bakari Leo amekaa meza n pawakuu wa nchi💚💛
@mpangaladickson6837
@mpangaladickson6837 Год назад
Hongera sana ynga.
@tausiferuzi9098
@tausiferuzi9098 Год назад
Asanteeeeeeeeeeeee😘😘😘😘😘
@kiulazepha6041
@kiulazepha6041 Год назад
Wananchii tumenyooka mbele kwa mbelee iyoo💚💛
@mwajumarajabu7666
@mwajumarajabu7666 Год назад
Safi mama itapendeza kuwe na jez zautaifa sio za timu Ili kuitangaza Nchi yetu vema
@official_thedon
@official_thedon Год назад
Wananchi hatuna ubabaifu
@allawiallihongeraruto2640
@allawiallihongeraruto2640 Год назад
Simba pia walistahili wapate hata chai ya Asubuhi kwani kazi, hali na moyo wa kujitoa kitaifa wameonyesha
@user-oc9pd6pq1e
@user-oc9pd6pq1e Год назад
❤❤❤
@Hamisi-dc2nx
@Hamisi-dc2nx Год назад
Rais Samia kweli wewe ni mlezi wa Wananchi
@BarakaJoseph-gp4dg
@BarakaJoseph-gp4dg Год назад
Kwakweli yanga imekuwa tishio kubwa africa
@yazidu_tz
@yazidu_tz Год назад
sisi hao hatuna mbambambaaa
@omarmullah8989
@omarmullah8989 Год назад
Awabinyi Kodi yeye na wenzie wepi
@abdallahally842
@abdallahally842 Год назад
Mama oyee
@mundhir853
@mundhir853 Год назад
Asnte mama
@franktiba1506
@franktiba1506 Год назад
Kama namuona mzee wa ugali sukari inavyomuuma
Далее
Magoli | Gor Mahia 5-1 EL Merrekh | CAF CL 25/08/2024
7:50