Тёмный

YESU SI MUNGU MASKOFU WAMJIA JUU MZEE WA UPAKO 

Mzee wa upako
Подписаться 25 тыс.
Просмотров 37 тыс.
50% 1

#GRC kwa mzee wa upako (Athony Lusekelo)
Follow our Social Media:
FB: / mzeewaupakotzz
IG: / mzeewaupako_tz
TIKTOK: / mzee__wa__upako
Askofu Antony Lusekelo ni kiongozi wa kiroho mwenye ushawishi na maono. Yeye ndiye mwanzilishi na mchungaji mwandamizi wa kanisa la Tutashinda.
Watazamaji zaidi ya million 5 hutazama jumbe zake za kutia moyo kila wiki kupitia runinga ya channel ten na zaidi ya watu milioni 1.7 wanaungana na Mzee wa upako kupitia majukwaa yake ya mitandao ya kijamii ulimwenguni.
Mzee wa upako anaweza kusikika 24/7 kwenye channel zake za RU-vid Mzee wa upako na TUTASHINDA CHURCH. Ungana na Askofu Antony Lusekelo kwenye Instagram Mzeewaupakotz.

Опубликовано:

 

1 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 607   
@abuurasshaad
@abuurasshaad 3 месяца назад
Haqq siku zote inakaa juu, Ahsant mzee Allah akuongoze ktk uislam
@jamesmwakyusa7719
@jamesmwakyusa7719 3 месяца назад
Ukweli tusiopenda kusikia
@shabanramadhan7632
@shabanramadhan7632 3 месяца назад
Mungu atatutia nguvu hata mbuyu ulianza kama mchicha
@WinfridaCreitus-bf3zn
@WinfridaCreitus-bf3zn 3 месяца назад
Ungekua unajua vyema maandiko unpeeled kuwa huu si ukweli ni upotofu. Wanafunzi wake wakamuuliza unasema unakwenda kwa baba tuonyeshe basi huyo baba, akasema nalikua nanyi siku zote hamkunijua? Lakini maeneo mengi tu anajitanabaisha kuwa mimi niko ambae niko, mimi ni alfa na omega. Lakini maandiko yanathibitisha kuwa Yesu ni Mungu, ukitamani tuyachakate nambie tuendelee nikuthibitishie.
@joshuandone468
@joshuandone468 3 месяца назад
soma Yohana Sur ya 1 yote hapo utaelewa uungu waYesu
@iysser
@iysser 2 месяца назад
​@@joshuandone468 kweli lakini hakusema yeye ni Mungu... ndio point yake anakusudia Kwa Nafasi yake yesu kulinganisha na Sisi wanaadam Daraja yake ipo Juu, ila kwa Mungu Hafanani nae. I think Hapo ndio Anakusudia.
@DaudiSangella
@DaudiSangella 3 месяца назад
Watu hawakumwelewa Yesu na hawata mwelewa milele. Yesu alikuwa binadamu aslimia 100.
@rizikilukali1558
@rizikilukali1558 3 месяца назад
Ajidhaniae amesimama aangalie asianguke
@NicholasMacharia-nt5jf
@NicholasMacharia-nt5jf 3 месяца назад
Tabiriwa na manabii kama yeye waseme utakuja,zaliwa kiroho kama yeye,fufua watu kama yeye,tebea juu ya maji uliwa na usurubiwe fufuka siku ya tatu na upae angani ikielekea paradiso,kama wewe ni mwanadamu kama yeye.
@dstaroficial
@dstaroficial 2 месяца назад
Kuna watu walikuja kuwapoteza kwa kuwatia iman nakuwafanya wasitumie akil na ndo mana wanajifichia kwa roho mtakatifu pale unapowambia ukwel ila naamin kupitia mchungaj wao kuna vitu vtawafanya watafakar
@SiriliNachan
@SiriliNachan 2 месяца назад
Km ww usingemwelewa ndo mana bibilia inasema alifanyika kuwa mwili ko yesu n mungu
@kizasebaziga8135
@kizasebaziga8135 3 месяца назад
Mzee wa upoko ni muukweli
@SiriliNachan
@SiriliNachan 2 месяца назад
Kondoo aliyepotea
@KijukuuMtemi
@KijukuuMtemi 3 месяца назад
Mzee wa upoko umeongea ukwel wachie wanunu ukwel ndo uwo
@amedeusmtui5495
@amedeusmtui5495 3 месяца назад
Isaya 9:6 ...Naye ataitwa jina lake, mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu
@gdswai4479
@gdswai4479 2 месяца назад
Hii ndio njia sahihi ya kutetea Yesu Kristo kuwa Mungu. Neno litasimama milele. 13 tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu; (Tito 2:13)
@regnaldymambaly9880
@regnaldymambaly9880 17 часов назад
biblia yenyewe inasema kuwa Yesu apewa mamlaka yote yaani yote kabisa haiku sema sehemu ya mamlaka ila imesema yote tena ikasema mbinguni na duniani sasa kila mtu anajuwa kuwa anaemiliki mbinguni ni Mungu akuna mwingine sasa yesu kapewa mamlaka yote mbinguni na duniani je yeye atakuwa ni nani? atakama kuna Mungu mwingine huyo tunamwitaji wa nini wakati mamlaka yake yote kasha mpa yesu?alafu Yesu ndie mwenye jina lipitalo majina yote sasa jina linalopita majina yote ni la nani kama sio la Mungu? alafu yesu alipo kuwa hapaduniani alikuwa ana waponya watu kwamfano kuna mmoja alimwambia inuka jitwike godoro lakoumesamehewa dhambi zako,sasa uki muuliza ata kichaa ni nani mwenye uwezo wa kusamehe dhambi ata kujibu ni Mungu peke yake ,sasa Yesu yeyealikuwa ana mwambia mtu inuka umesamehewa dhambi zako sio ngoja nikuombee kwa Mungu akusamehe au Mungu amekusamehe,alafu kitu kingine tumeona au kusikia shuhuda za watu wengi wakisema walipelekwa mbinguni na hii haijalishi kuwa ni kweli walipelekwa mbinguni au ni uwongo lakini wote wanasema wali mwona yesu akuna anae sema ali mwona Mungu, alafu anaposema yeye ni alfa naomega yani mwanzo na mwisho je alie wa mwanzo na wa mwisho ni nani kama sio Mungu? mzee wa upako hapa ume tupiga na kitu kizito au umetung'oa jino na sururu bila ganzi,au unafikiri ingekuwaje kama Yesu alipo kuwa hapa duniani ange jitangaza waziwazi kuwa yeye ndie Mungu wakati wakati huohuo kulikuwa na vipofu, vilema , masikini nk je unafikiri hawa wange kutana nae wange mwabia nini? c wangebakia kumlalamikia kwani mimi ukaniumba hivi au kwanini mimi ni masikini bila kujuwa aababu ya Mungu kuyaacha hayo yatokee? au hujui kwanini Mungu anasema tumtatute? je? unafikiri anasema tumtafute kama tunavyo tafuta pesa,,? la hasha ni kufikiria yale alio yasema yaani ukilinganisha hilinahili upate kuelewa ana maanisha nini
@RamadhanpMwakilasa-di5hc
@RamadhanpMwakilasa-di5hc 3 месяца назад
Baba uko sawa nakubali na unatuelimisha hiyo kazi ni ngumu sana mungu akutie nguvu
@elizabethmusyoka453
@elizabethmusyoka453 2 месяца назад
Mnapotozwa Alafu mnasema mnafunzwa
@SiriliNachan
@SiriliNachan 2 месяца назад
Anakupoteza hakufundishi
@RamadhanpMwakilasa-di5hc
@RamadhanpMwakilasa-di5hc 2 месяца назад
@@SiriliNachan kwahyo ww unaona uko sawa mungu kumfananisha na mwanadamu mungu hana ushirika na kumbe chochote haitaji nguvu nyingi kutambua hilo
@KornelNyenzi
@KornelNyenzi 3 месяца назад
Upofu wako ndio kikombe chako , ila Mungu n mwenye rehema anakuhtj Zaid so sisi kama wakristo tunakuombea uione rehema n pia jifunze kusoma bible vizuri n roho mtakatifu akuongoze uyapate mafunuo haya , maaan mpinga kristo yupo mbioni n anafamya kazi
@castorchipalo84
@castorchipalo84 3 месяца назад
kwani mshikaji wa upako kakosea wapi mi kwangu sahihi mungu na yesu vitu viwili tofauti
@elijahmediaservices
@elijahmediaservices 3 месяца назад
Yesu ni Mungu. Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani. Isaya 9:6
@HansiKatumbi
@HansiKatumbi 3 месяца назад
Ww hushasema mtoto amezaliwa huo ni mpango wa Paulo Yesu katabiriwa na malaika gabrieli na hutabiri huo aliyopewa bikira maria kuwa hatapa mtoto na mtoto huyo jina lake hataitwa Yesu sasa huo mpango wa mtoto amezaliwa jina Emanuel ni mpango wa wapagani waliokupeni dini ukisoma matendo ya mitume 11:25-26 hutapata jibu
@kimwerimhando3383
@kimwerimhando3383 3 месяца назад
Mungu hajazaliwa na yeyote wote waliozaliwa na mwanamke siku zao za kuishi ni chache Mungu hana mwisho
@thekingdragon8358
@thekingdragon8358 3 месяца назад
mungu haonekani na bibilia inaema vivyo na atakae muona mungu anakufa sasa iweje yesu awe mungu
@farajisewe7416
@farajisewe7416 3 месяца назад
acha kukalili someni maandiko jamani, acheni mambo ya kurithi Tutumie akili zetu mungu alizotupa,, mungu atatuuliza tulizitumiaje
@dinocastico8495
@dinocastico8495 3 месяца назад
Kwahio mungu alimuumba maria ikisha maria akamzaa mungu na kumnyonyesha. Ikisha mungu akakamatwa na binaadam akauliwa na binaadam 😂. Yani mnaona kama kungu ni kipande cha nguru eeh
@shaameshaame2837
@shaameshaame2837 3 месяца назад
Mungu hawez kutahiriwa na kiumbe wake aliemuumba,
@HappyKiteboarder-du9th
@HappyKiteboarder-du9th 3 месяца назад
Swadakta
@WinfridaCreitus-bf3zn
@WinfridaCreitus-bf3zn 3 месяца назад
Yeye mwenyewe anaajichanganya, mwili wa nyama aliotoka nao kwa Mariam aliuvua palepale alipokufa msalabani, anasema Yohana baada ya miaka 30 alimwona akiwa na. Mwili mwinginekabisa, mwili wenye utukufu, anasema alipomwona alizimia, kwanini azimie maana alimona Mungu. Tizama sifa alizomwona nazo, macho kama miale ya moto, sura kama mwangaza wa jua, sauti kama wa maji mengi nk. Alikua na mwili wa utukufu, mtukufu ni Mungu tu, kwanini manajichanganya afu mnasifiana.
@WinfridaCreitus-bf3zn
@WinfridaCreitus-bf3zn 3 месяца назад
Kwahilo lakusema alitahiriwa ni pale unapomwangalia Yesu kibinadamu, ili akubalike katika jamii ilibidi afanye hayo ili aishi na jamii Ile ili aweze kuwahubiri Habari njema, hebu fikiria kama angekuja kwa utukufu ule wa mbinguni, nani angeweza kuwa nae karibu? Alijishusha ili injili itufikie. Kwahiyo usimwangalie Yesu in a human perspective. Mtizame Yesu yule aliekuwepo kabla ya Ibrahim babu yenu, Yule Yesu katika Yohana 1:1-14, yaani pale tunaposoma kuwa alikua neno nae neno alikua kwa Mungu, nae neno alikua Mungu, akafanyika Mwili nao utukufu wake tukaona kama utukufu wa mwana pekee wa Mungu. Jamani kwanini hatusomi maandiko? Yaani alikua kwa Mungu nae alikua Mungu. Ila sisi wanadamu tukamwona kama mwana pekee wa Mungu. Mnataka andiko lipi mjue kuwa alikua Mungu? Ee baba wasamehe maana hawajui wayafikiriayo.
@anoldpotentin2446
@anoldpotentin2446 3 месяца назад
Nyie ambae mmeshawahi kumuona Mungu tuambie anafananaje?
@mchopacalvin2986
@mchopacalvin2986 3 месяца назад
Na ndio maana unaelewa? Ila unaidhalilisha sana diploma yako. Hujui hata maana ya Neno akavaa mwili????
@idinado-wk3lx
@idinado-wk3lx 3 месяца назад
Wanasema yesu ni mungu awana akili kabisa nikija kuwakamata nawapiga makofi kwa kweli maana mpo gizani kabisa tena mmelala 😡😡😡😡😡😡😡
@joshuandone468
@joshuandone468 3 месяца назад
kuwa tayari kujifunza na kuelewa,sio kupinga au kukubali kika Neno
@paulokuze9307
@paulokuze9307 3 месяца назад
Tayari amekua shetani
@TejonnNdile
@TejonnNdile День назад
Baada ya YESU kubatizwa, neno linasema MUNGU akanena akasema. Huyu ni mwanangu mpendwa ninaependezwa nae. Hakusema huyu ni MUNGU mwenzangu. Hata YESU nae anasema anatenda mapenzi ya baba aliemtuma. Mistari mingi, na hakuna mahari YESU alijitaja kuwa yeye ni MUNGU
@husseinbhatia434
@husseinbhatia434 3 месяца назад
Allah akuongoze zaid.imebaki sehem ndogo tu utakua umenyoooka mzeee
@SiriliNachan
@SiriliNachan 2 месяца назад
Anapotea
@FLORENCEINOCENT
@FLORENCEINOCENT 3 месяца назад
Ukiona unapongezwa na wapinzani wako, yaani wenye imani nyingine, jiulize umekosea wapi.
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 3 месяца назад
Huo ndio ukweli hata kama unauma mmedanywa sana
@ZuhuraMwanafuno
@ZuhuraMwanafuno 3 месяца назад
Watu wamemsubilia shakahola yesu hajaja wamekufa kwa njaaa jamani Imani nyingine hizi 😭😭
@TejonnNdile
@TejonnNdile День назад
Wakristo wengi tumeshika imani ya kuambiwa, sio neno. Nakupa mifano miwili katika hili 1. Ukifuata neno, bikira Maria alipata tungo la mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu ikiwa mwezi wa sita na alitunza mimba kwa miezi tisa na kumzaa mwana aitwae YESU. Sasa tunapoazimisha Xmas mwezi disemba kuwa ndio kumbukumbu ya kuzaliwa YESU tunafuata kitabu gani na YESU yupi ikiwa alikuwa bado hajafika miezi tisa ili azaliwe ?? 2. Tunaamin YESU alikufa siku karibia na sabato, akafufuka siku ya kwanza ya juma. Inakuwaje tena siku hiyo ya kwanza ya juma kuigeuza kuwa siku ya mwisho ya juma ? Nyongeza, biblia inasema "YESU ndio njia, kila kitu tunachoomba kwa MUNGU lazima kipite kwake YESU. Tunapoomba kwa bikira Mariam tunatumia biblia ipi ?
@TejonnNdile
@TejonnNdile День назад
YESU alikaa tumboni kwa mwanamke, mwanamke aliona uchungu akazaa mwana. MUNGU hajazaliwa na hawez kuzaliwa kamwe. Hawez kuzaliwa alafu akaanza kuumba. MUNGU ni MUNGU, hafananishwi na kitu wala kiumbe chochote. YESU anabaki kuwa mwana wa MUNGU, alietumwa kuja kuwana binadam neema ya uponyaji na kuwa kiungo kati ya wanadam na MUNGU
@SamhhIlo-ib4ij
@SamhhIlo-ib4ij 3 месяца назад
Ndomana Mungu alimpa kila mtu akili na macho ukiamua kusikiliza uvundo ni wewe tu! "Mungu akasema naTUMFANYE MTU KWA SURA YETU" Mwanzo 1:26 mwanzo 11:7 isaya 6:8 tito 2: 13 ufunuo1:3-6 ukipotea umechagua
@bakariadamu6068
@bakariadamu6068 3 месяца назад
Yesu ni mtume kwa wana waisirail tu sio dunia nzima
@rogatimushi689
@rogatimushi689 3 месяца назад
Kwaiyo we unapindana na yesu au maana yeye anasema ametumwa ulimwenguni ili kuokoa ulimwwngu
@bakariadamu6068
@bakariadamu6068 3 месяца назад
@@rogatimushi689 bibilia haibadiliki maneno yanakua ni yale yale binadamu ndio mnabadilisha
@cadiaOnesmo-hd5lr
@cadiaOnesmo-hd5lr 3 месяца назад
Pole
@Habaritrending.tanzania
@Habaritrending.tanzania Месяц назад
​@@rogatimushi689ndo maan akasema yesu ni mtume ambae ametumwa na mungu ,ujaelewa nn apo😂
@BensonNevele
@BensonNevele 3 месяца назад
Asante cheef Kwa mafundisho yako
@rabiministry2389
@rabiministry2389 3 месяца назад
Mzee uking'ang'a na kupinga uungu wa Yesu unanufaika na nini? Kwanini usitumie nafasi yako kufundisha mafundisho yenye uzima yatakayowasaidia watu kuurithi uzima wa milele? Unapata manufaa gani kupinga uungu wa Yesu?
@kanisalatecjcusofficial
@kanisalatecjcusofficial 3 месяца назад
❤❤❤❤❤
@JAPHETJOSEPH-b6e
@JAPHETJOSEPH-b6e 3 месяца назад
Token KWA huyu mtu ni NABII WA MWONGO ,Yesu ni MUNGU MILELE
@rogatimushi689
@rogatimushi689 3 месяца назад
We bado sana nakushauri usikubali kusomewa maandiko jitahidi kuchunguza maandiko matakatifu ya biblia utamjua yesu ni nani maana yeye mwenyewe anasema ni mwana wa mungu
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 2 месяца назад
Ck zte ukiamua kua mkweli jipange mawe utakayopigwa n mengi sn, keep up Lusekelo Allah is the only God✌️
@SiriliNachan
@SiriliNachan 2 месяца назад
Ashapotea huyo
@salimMohammed-v5m
@salimMohammed-v5m 2 месяца назад
Wana macho hawaoni wanamaskio hawasikiii leo sio Muislam kasema kukwambia Mungu ni mmoja bali mzee wa Upako ndio anakuwekeni wazi kuwa Mungu mmoja na Yesu sio mungu
@SiriliNachan
@SiriliNachan 2 месяца назад
Yesu n mwana wa mungu na mungu hazai binadam anazaa mungu
@hajimasoud7210
@hajimasoud7210 3 месяца назад
Eti kazaliwa mtoto yaani kuna siku mungu alikuwa ni mtoto anafungwa nepi kama watoto wengine jamani mataira punguzei huo utaira wenu
@elihurumamushi2521
@elihurumamushi2521 3 месяца назад
nakuuliza swali wewe mjiga mtume muhamad aliyemwambia yeye ni mtume ni nani nijibu tafadhali
@yusufmunisi4796
@yusufmunisi4796 3 месяца назад
Sasa kama yesu ni mungu alisema mwenyewe yesu kwamba anaenda kwa baba alienda kwa baba yupi?
@anoldpotentin2446
@anoldpotentin2446 3 месяца назад
Mtoto wa nyoka ni nyoka pia, Yesu na baba yake wote ni Mungu. So kuna Mungu wawili😊
@abumuhammad9615
@abumuhammad9615 19 дней назад
LUSEKELO ...ALLAH akuongoze usilimu kabla ya kufa kwako! Unayoyaongea ndio msimamo wa QURAN. "Mungu ni mmoja, Mungu ndiye mtegemewa wa kila kitu, Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa, Wala hafanani na kitu chochote." Hii ni Sura 112 ndani ya kitabu kitukufu cha Quran
@ashelgabriel1696
@ashelgabriel1696 3 месяца назад
Mafunuo hakuna
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 3 месяца назад
Huyu msiangaikenae niajenti wakuzimu. Nahoo. Waumini. Hawajitambui. Wamefungwa. Fahamu. Poleni. Sana. Waumini wamanabii namitume. Mnapotoshwa. Nanenolamungu. linapotoshwa. Makofi jamani yaliyotabiliwa. Nayaona. laivu sasa
@smprotz
@smprotz 3 месяца назад
Nachomkubali @mzeewaupako anajenga msingi WA andiko Kwa uwazi WA maandiko MENGI. Sio Hawa wengine wanaotegemea andiko Moja lisilo WAZI. Wewe ni Chief Bhana
@ProsperKimaro-d9b
@ProsperKimaro-d9b 3 месяца назад
Soma Neno Mzee wa upako wafilipi 2:5-10 jitahid kujua unabii acha kudanganya watu wa Mungu na msome nabii Isaya vzr
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 3 месяца назад
bado kitambo kidogo tu mzee wa upako utaweka wazi ukweli wote
@zenajuma1745
@zenajuma1745 3 месяца назад
MUNGU YUKO NDANI YA YESU NA YESU YUKO NDANI YA MUNGU NA SISI TUNAOMWAMINI YESU KRISTO KAMA BWANA NA MWOKOZI WETU TUKO NDANI YA YESU NA YEYE YUKO NDANI YETU. ......
@charlesyotham7977
@charlesyotham7977 2 месяца назад
😂😂 Mzee mbona unajichanganya tena Mara Yesu sio Mungu mara Mungu.
@gdswai4479
@gdswai4479 2 месяца назад
Kama una roho mtakatifu utaweza kujua kuwa jina la Yesu ni (Kristo Yesu or YESU KRISTO) Hivi ndivyo ukamilifu wa jina Hilo ikimaanisha kuwa Jina Yesu = ni mwili alioupata kutoka kwa Mariamu ambao ndio ulimpa kristo uwezo na uwalali wakufanya kazi duniani na ndio uliotumika kumshinda Dunia na mambo dhambi zake. Kristo ni roho iliyotoka kwa BABA NA YANI NAFSI YA MWANA. Ambapo hii nafsi inayoitwa Kristo sasa ndio iliyokuwa ikitenda kazi ndani ya mwili unaoitwa Yesu. Sasa. NB: kwakuwa ni nafsi ya MUNGU (Kristo) iliyokuwa inatenda KAZI ndani ya mwili unaoitwa (Yesu) sasa YESU KRISTO NI MUNGU. UKISOMA BIBLE NAYO INASEMA WAZI HAPA 13 tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu; Tito 2:13
@lybiajohn4122
@lybiajohn4122 3 месяца назад
YESU NI MUNGU100% Asingekuwa Mungu tusingemwabudu Wala damu yake isingeondoa dhambi Wala jina lake lisingeokoa, Emmanuel MUNGU PAMOJA NASI😂 Yohana 1:1 John 1:1,3,14 [1] Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika. [14] Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.
@elinisafimndeme2971
@elinisafimndeme2971 2 месяца назад
Kuna wajinga wanamsikiliza huyu mlevi
@Habaritrending.tanzania
@Habaritrending.tanzania Месяц назад
We ndo mjinga,mzee anaongea ukwel
@elinisafimndeme2971
@elinisafimndeme2971 Месяц назад
@@Habaritrending.tanzania walevi mnajuana😜😜
@apostel.jofreymkumbwa6092
@apostel.jofreymkumbwa6092 3 месяца назад
Pambana na zambi watu wajitakase YESU analudi kwani masomo Yamaha antoney lusekelo koo wewe umeona ndio somo lakubabadilisha my iyo Y😂ao ao 5:57 washilika wako wapi mitume namanabi I walisimama kuya zungumuzia
@gdswai4479
@gdswai4479 2 месяца назад
Ukileta hoja yoyote inayomhusu Yesu kristo lazima huwe na ushahidi kamili wa kwenye Bible sio kusema vile unavyowaza hiyo nimbaya na upotoshaji wa Neno la Mungu. ANGALIA = 13 tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu; (Tito 2:13)
@PaulChambala-qw8ki
@PaulChambala-qw8ki 3 месяца назад
bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu; Wafilipi 2:7 KUNAKITU UTAJIFUNZA NA UTAJUA YESU ALIKUWA NA LENGO GANI
@YuscoJuma
@YuscoJuma 3 дня назад
Oya ndugu mungu hakuzaa hwa raaku zariwa irayesu kazaliwawp
@josephatjoseph1755
@josephatjoseph1755 3 месяца назад
YOHANA 8:58-59 58 Yesu akawa jibu, “Nawaambia wazi, kabla Ibrahimu hajazaliwa, ‘Mimi nipo.’ ” 59 Ndipo wakainua mawe wamwue; lakini Yesu akajificha wasim wone; akatoka Hekaluni. YOHANA 10:18 Hakuna mtu atakayeondoa uhai wangu, bali ninautoa mwenyewe. Ninao uwezo wa kuutoa uhai wangu na pia ninao uwezo wa kuuchukua tena.
@mauricemaungu4946
@mauricemaungu4946 3 месяца назад
Lusekelo umemvaa shetani kabisaaaa 😳! Wala huhitaji kuingizwa darasani, bali KUOMBEWA Mungu "akufumbue macho" na akili zako zilizofungwa na shetani! Kisha nyie washirika wa Lusekelo mnahitaji msaada wa kufundishwa kweli ya Mungu, maana Mchungaji wenu kipofu anawapeleka shimoni. Kipofu akimwongoza kipofu mwenzie, wote wawili ni lazima watatumbukia shimoni!
@zariadunia6328
@zariadunia6328 3 месяца назад
Kwa nini hawa viongozi wa kikristo ni wanafki na kuukataa ukweli ni matapeli wataishia jehanamu
@kanisalatecjcusofficial
@kanisalatecjcusofficial 3 месяца назад
❤❤
@NEEMASWEDI
@NEEMASWEDI 22 дня назад
Uyu mzee ameezeeka simuelewi mtu gani anafundisha kunywa pombe sio thambi.
@gbreezy_tz
@gbreezy_tz 3 месяца назад
😂😂uyu mzee kashachanganyikiwa maneno yote ayo anayoyatoa ni ili apewe hela duuh ndo maana kafulia
@gregoryshikhaya8089
@gregoryshikhaya8089 2 месяца назад
This guy needs to repent of this heretic teaching and be taught on the basics / christian statement of faith. Its different to know about christ as this preacher and to know Christ. Its a heretic teaching that Christ Jesus is not God. The question is this anajiita mzee wa upako, je upako aliutoa wapi pasipo roho mtakatifu kumfunulia utu kamili wa Kristo? Roho mtakatifu hufunua nguvu na utu wake yesu Kristo kwa waaminiyo. Iweje huyu jamaa ako na upako ilhali amjui Yesu Kristo ? Mtu huyu anajua kuhusu Yesu Kristo lakini hamjui Yesu Kristo in person.
@EliasMoyo-g3p
@EliasMoyo-g3p 11 дней назад
Lakini watu wengi wanamujua yesu ndio mungu lakini apana yesu sio mungu mungu ndio mungu na watu wasome bibilia vizuri waache kupotokwa maan basi mukisema yesu ni mungu made takua munamuthalilisha mungu na mungu yupo na hoko hai tangu mwanzo na adi leo
@Kimwaga-b8p
@Kimwaga-b8p 16 дней назад
Yesu ni Mungu alikuwepo kabla ya mariam pia kabla ya ibrahim yoh 8:58
@hagumatimothy495
@hagumatimothy495 3 месяца назад
Wewe simutu wakiroho umepteya tu hujuwi bible Yohana1:1
@dionisiajohn519
@dionisiajohn519 2 месяца назад
Da! kweli kabisa umechoka na bado. Utasema yote umedanganya watu sasa, yanakutokea puani.... Mwisho unatuletea na biblia yako.... Ungepata neema kwa ulipofikia ungetulia ufanye toba. Lakini utaishusha heshima yako hadi watoto wako watakulilia.. 😂😊
@julianndijaraye2634
@julianndijaraye2634 2 месяца назад
Huijui Falsafa Thus why unaongea vitu kama hivyo!!
@elishajohn455
@elishajohn455 2 месяца назад
Shida ya pombe, inakupa confidence ya kuropoka chochote kinachukuja tena mbele ya watu pasipo na aibu😂😂 hongera mzee wa upako kwa kuwapokoa wajinga wenzio
@neemamajana3078
@neemamajana3078 3 месяца назад
❤❤❤❤❤❤Kipawa nilichonacho nilikitamani kutoka kwako miaka hiyo. Nilimuomba Mungu akanishushia biblia ikanijaa kichwani, chanzo ni ww.
@rockevarist4299
@rockevarist4299 3 месяца назад
Jeremiah 10:16,19 Warumi 9:5
@zenajuma1745
@zenajuma1745 3 месяца назад
HAIJALISHI ANAYESEMA YESU SIO MUNGU ANA CHEO GANI....KUMBUKA WALIOMSULUBISHA YESU NI VIONGOZI WA DINI....SIO WATU WA NJE....NI WATU WALIOKUWA WANASHINDA HEKALUNI NA KWENYE MASINAGOGI WAKIMUABUDU PASIPO KUJUA KWAMBA WANAYEMUABUDU YUKO NAO KWA NAMNA YA KIMWILI......
@EliasMoyo-g3p
@EliasMoyo-g3p 11 дней назад
Mzee wa upako yuko vizuri ni kweli yesu sio mungu bali ni mwana
@LonginoGeofrey
@LonginoGeofrey 9 дней назад
Jua kwamba neno linasema hakuna amjuaye baba pasipo kumjua mwana
@HansiKatumbi
@HansiKatumbi 3 месяца назад
Lusekelo yupo sahihi na namuomba MUNGU hamfishe hali ya kuwa muislam
@emmanuelmwakibolwa735
@emmanuelmwakibolwa735 3 месяца назад
Anapojiita mzee wa upako, nidhani upako alionao ni wa Roho Mtakatifu. Lakini inaonekana sivyo, maana ungekuwa wa Roho Mtakatifu, angemtambua huyo aliyempa kuwa ni nani.
@bakariphilip3859
@bakariphilip3859 2 месяца назад
Utakatifu watutosha roho zampinga kristo yupo kazini
@SamsunSamsung-dq4bc
@SamsunSamsung-dq4bc 3 месяца назад
Tatizo la afya akili ni hatari mno hasa wajiitao viongozi😢
@JoshuaMwamala
@JoshuaMwamala 6 дней назад
Baba aliyepotoka hupotosha na watoto
@zenajuma1745
@zenajuma1745 3 месяца назад
NAULIZA TENA.....MUNGU NI NANI KAMA YESU SIO MUNGU??? TAFAKARI SWALI HILI...
@pastoraugustin8465
@pastoraugustin8465 3 месяца назад
Izo pombe unazokunwa ndizo zinazokuchanganya, nosence
@zenajuma1745
@zenajuma1745 3 месяца назад
YEYE NDIYE ALETAYE HUKUMU NDANI YAKO ILI UMKUBALI NA UMFUATE....YEYE NDIYE ANAYEKUFANYA UJIULIZE MASWALI SANA JUU YA YESU NI NANI....ANACHOTAKA NI WEWE KUUFIKILIA WOKOVU ILI USIJE ANGAMIA....
@pepchallanga3626
@pepchallanga3626 3 месяца назад
a simple reminder:go thru a metaphysics of IAM whereby Jesus himself said he is AIM
@GoodFred-e7s
@GoodFred-e7s 7 дней назад
Ukimtazama vizuri ni kama kashalewa
@emmanuellyatuu4103
@emmanuellyatuu4103 3 месяца назад
Mzee wa Upako ana matatizo binafsi. Yesu ni Mungu,ndio. Anatakiwa kusoma Biblia kutoka Mwanzo mpaka Ufunuo,na sio kutegatega watu kwa maneno yake matamu ya utapeli.
@apostlemosessangu5231
@apostlemosessangu5231 3 месяца назад
Sikuwahi fikiri ndani ya Nchi yangu tz bado kuna watu wajinga level kubwa namna hii, hivi mzee anaongea ujinga na bado watu wanamshangilia na sadaka wanampelekea, huyu mtu haijui Biblia kabisa, wala haelewi maana ya Uungu, halafu anasema Yesu sie Mungu baadae anasema huyo huyo ndie aliye na funguo za mauti na kuzimu, macho yake ni mwali wa moto, sura yake inatisha, mwanadamu gani aliyetoka ktk mwili huu akafanana hivo, aende kuzimu akamtazame Muhammad ili aujue utofauti wa Yesu na wanadamu, hata Ibrahim mwenyewe hana huo utukufu utishao, bado mpumbavu haelewi.
@CosimaKatto
@CosimaKatto 3 месяца назад
Tatizo uchawi unakusumbua sio vinginevyo hata biblia hausomi
@SebastianKisokola
@SebastianKisokola 9 дней назад
Hivi huyu nae anawaumini kabisa kanisan kwake watakuwa hawana akili kama yeye
@RichardBwire-z1j
@RichardBwire-z1j 3 месяца назад
Huongozwi na Roho mtakatifu unaongozwa na akili zako mwenyewe
@anoldpotentin2446
@anoldpotentin2446 3 месяца назад
Ambae anabisha Yesu sio Mungu atuambie Mungu wake anafananaje? Au amlete kabisa tumuone Mungu wake
@EliyaMwangobe
@EliyaMwangobe 3 месяца назад
Huyu mzee amepofushwa na pombe ! Ikiwa hata sisi tunaitwa ni miungu sasa sembuse Yesu ! Kusema Yesu ni Mungu hakuna maana kuwa anafanana na Mungu Baba ! Je , mtoto wa nyoka sio nyoka ? Sasa tatizo liko wapi mzee wa upako ?
@PeterJuliusSabuni
@PeterJuliusSabuni 3 месяца назад
Wanadamu wa siku hizi tunamuhitaji Mungu atusaidie yaani na akili zako unachungwa na mzee wa upako, halafu unasema umeokoka dah! Poleni ila biblia imesema kipofu akimuongoza kipofu mwenzie wote watatumbukia shimoni
@PeterNMzee
@PeterNMzee 3 месяца назад
Mathayo 3:17 na tazama sauti kutoka MBINGUNI ikasikika ikisema huyu ndiye mwanangu nipendezwaye naye msikilizeni yeye
@kanisalatecjcusofficial
@kanisalatecjcusofficial 3 месяца назад
❤❤❤❤
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel 3 месяца назад
Mmmmmmmhapa Kuna shida Kwa huyu Mzee Naona kama hayuko sawa Ngoja tujiandae kumuokoa Kwa kufundisha maana atawapotosha watu Naomba mdaalo wa kufundisha hukiwa live na huyu mtu.
@MichaelJohn-et8mk
@MichaelJohn-et8mk 2 месяца назад
Kwenda Kule mchawi mkubwa were hujui chochote
@RoberthMwakwese
@RoberthMwakwese 3 месяца назад
Ni mungu kivip? mzee yupo sahihi ww unataka kuelewa wakati ni mbishi .msikilize vizr mzee sio unakurupuka tu
@ErnestLule-z7t
@ErnestLule-z7t 2 месяца назад
1 Timotheo 3:16 Na bila shaka siri ya utauwa ni kuu. Mungu alidhihirishwa katika mwili, Akajulika kuwa na haki katika roho, Akaonekana na malaika, Akahubiriwa katika mataifa, Akaaminiwa katika ulimwengu, Akachukuliwa juu katika utukufu.
@zenajuma1745
@zenajuma1745 3 месяца назад
ALIUMBA VITU VYOTE VILIVYO HAI NA VISIVYO HAI KWA AJILI YA UTUKUFU WAKE YEYE NA VITU VYOTE HUSHIKAMANA PAMOJA KWA NJIA YAKE YEYE.....
@barutiabuu9492
@barutiabuu9492 2 месяца назад
Mzee waupako kesha jitambua ssna anawambia ukweli nyie mipuuz
@realramjen3270
@realramjen3270 3 месяца назад
Luka 9:20 Akawaambia, Nanyi mwasema ya kwamba mimi ni nani? Petro akamjibu akasema, Ndiwe Kristo wa Mungu.
@stevenialbert5033
@stevenialbert5033 2 месяца назад
Pepo huyu anatimiza mandko kwel biblia n kitabu cha kwl
@barutiabuu9492
@barutiabuu9492 2 месяца назад
Wakristo wote ni majitu yasio na akili timamu hayapend ukweli mmelaniwa hakiamungu
@GodenBMDaniel
@GodenBMDaniel 3 месяца назад
Mtoto wa MTU ni MTU. Mtoto wa mbuzi ni mbuzi. Mtoto wa nyoka ni nyoka. Je mtoto wa Mungu ni Nani?
@dizobrownclassic8950
@dizobrownclassic8950 3 месяца назад
Wafundishe wataelewa tu kama yesu siomungu
@VicentLaurent-i7b
@VicentLaurent-i7b 3 месяца назад
HIRO NDIYO FUNDISHO LA MITUME NA MANABII PAMOJA NA KANISA LA KWANZA KABURA YA MAFUNDISHO POTOFU.
@AndrewEzekiel-jp7ed
@AndrewEzekiel-jp7ed 2 месяца назад
mnatupotosha sana lakini siku zinakuja mtatoa hesabu mnatufanya kama mazombi
@zenajuma1745
@zenajuma1745 3 месяца назад
KULE MBINGUNI ALIYE KATIKA KITI CHA ENZI NI YESU NA SIO MTUME YEYOTE YULE ....KWA NINI YUKO KATIKA KITI CHA ENZI NI KWA SABABU UTIMILIFU WOTE WA MUNGU UNAKAA NDANI YAKE.......YESU NI MUNGU MKUU. ...YEYE NDIYE NIKO AMBAYE NIKO. ...YEYE NDIYE ALIYEMTOKEA MUSA KATIKA ULE MOTO NA NDIYE ALIYEWAONGOZA WANA WA ISRAEL JANGWANI KAMA WINGU MCHANA NA NGUZO YA MOTO USIKU....NI YEYE YULE JANA NA LEO NA HATA MILELE.....
@SudiBahati
@SudiBahati 2 месяца назад
Nyie Wafata mkumbo tuna mungu wangapi tumia akiri mungu amewapa akiri msiwe mnakula nguruwe ili mjue ukweli
@HABIBHASSAN-wf5mr
@HABIBHASSAN-wf5mr 3 месяца назад
LUSEKELO YUKO SAHIHI ASILIMIA MIA... YAANI YESU HUO UUNGU TOKA LINI ? MUNGU NDIO ABEBWE MIMBA ? JITAFAKALI ?
@mirzah117
@mirzah117 3 месяца назад
AFRICA DINI TULETEWA ..HAKUNA TUNACHO KIJUA SISI TUNAMAISHA YETU PEKE YETU NA MUNGU WETU
@MichaelJohn-et8mk
@MichaelJohn-et8mk 2 месяца назад
Unatimiza wajibu wako wa uwakala wa shetani kumkana Mungu hadharani siwezi kushangaa watu kama nyie chini ya jua mpo wengi
@IddoMbogo-c2u
@IddoMbogo-c2u 3 месяца назад
Naona mazombi yanapigwa mchana kweupe, mahubiri ya uongo
@barutiabuu9492
@barutiabuu9492 2 месяца назад
Hakiamungu ni bola niwe chiz kabisa kua bola niwe chiz kuliko nipewe akili na elimu harafu niwe kama hawa viumbe kwakweli duniani kuna mambo hebu zindukeni nyie mambwa yesu. Sio mungu nyie
@JumahAShabani
@JumahAShabani 2 месяца назад
Sahihi kabisa Yani Uumbe viumbe mwenyew Kisha wakuuwe ili wachukue Ufalme wako au yani hii ni kwawenye akili timamu2 ambae hana akilitimamu ataendelea kumuita yesu Mungu
@johannesssamsonambogo4125
@johannesssamsonambogo4125 3 месяца назад
Yohana akumuona yesu, aliona mfano wa mwanadamu, Mzee muongo sana uyu yani anasoma Biblia aelewi sijui ni mlevi😂😂
Далее
HISTORIA YA VITA VYA WAYAHUDI NA WAPALESTINA
21:53
Просмотров 41 тыс.
DAXSHAT!!! Avaz Oxun sahnada yeg'lab yubordi
10:46
Просмотров 533 тыс.
#慧慧很努力#家庭搞笑#生活#亲子#记录
00:11
I Took An iPhone 16 From A POSTER! 😱📱 #shorts
00:18
UKRISTO NA POMBE
4:25
Просмотров 24 тыс.
FAFANUZI JE YESU NI MUNGU.?
46:14
Просмотров 32 тыс.
YESU NI MUNGU AU SIO MUNGU
51:26
Просмотров 22 тыс.
SIKILIZA KWA MAKINI  MANENO MAZITO ALIOONGEA MASANJA
6:47
Wakristo Wengi Biblia Hawajui
3:19
Просмотров 20 тыс.
MUNGU ANAWEKA UBIA KATI YAKE NA MWANADAMU
9:27
DAXSHAT!!! Avaz Oxun sahnada yeg'lab yubordi
10:46
Просмотров 533 тыс.