Sauti za kupendeza. Mwenyezi Mungu awashushie Roho Mtakatifu hili muendelee kumsifu Mungu kupitia wimbaji. Ujumbe: Tukumbuke tunapoimba tunasali mara mbili.
Uongo dhambi mmeimba vizuri sana sana zaidi ya sana ,,sauti zmetulia mavazi pia hata kinanda kipo vema. Ila Nina jambo kwenu ninyi waimbaji na walimu basi tunapokuwa live kuperfom au hata kuimba ibadani basi tuumbe sauti kama zilivyoumbwa hapa kwa audio. Ni wazo tu.
Asanteni sana Wanakwaya kwa wimbo wenu Mzuri. Mmenisaidia kumtafakari Mt. Yosefu amabaye mwaka huu kwa namna ya Pekee, Mama Kanisa ametupatia Mwaka ili tumtafakari kwa kina. Bravismi ragazzi per questa Canzone....Mbarikiwe.
Eee kumbe mnajua kanisa litaangamia kwa dhambi zetu . Kwanza hamjafunika vichwa vyenu. Mchumba wake Yosefu mliona wapi ambapo hafungi kitambaa .. ??Yani Bikira Maria alikuwa na kitambaa kwa kichwa kila wakati. Fungeni vitambaa halafu mumwambie aliombee
Susan nyaguthili Imani yako haikotoshi unafikiri ukifunika kichwa ndo unakuwa huna dhambi? Na niwapi palipoandikwa ukifunika kichwa ndo unakuwa hauna dhambi? Wewe Kama ndini yako inakufundisha kufunika kichwa ndo kutokupata dhambi basi uendelee kuamini hukohuko.
@@Irene-qt5zq hahaha kbe wewe hausomi.Bibilia. . Soma Corinthians yote ndio utalna ni wapi mtakatifu Paul alikuwa anasema hivyo. Hamendi kukosolewa lakini hiyo ni lazima. Watakatifu wanawake wot wako na vitambaa kwa vichwa. Hiyo ni laxima wacha kukadirika bure. Kuwa na sauti nzuri na maneno ya nguvu hata ya kutoka kwa Biblia sio kusema hauna dhambi pia. Ee Eee ee. Pole sana ukwelu unauna.... hehehegehege Jamani ni lazima ukweli usemwe ..Hata wanishangaza ... Mwanamke mkatoliki anafaa afunIke kichwa akiabudu ama hata kwa misa akipokea . Mnaasha mnasahau mafundisho polepole. Kwani wafikitia Mimi ni muislamu unaniuliza mamno ya dini . ???
Vitambaa havimfutii mtu dhambi tumia akili. Hiyo ni jadi na desturi za middleEast na sio dini. Imeinguizwa kwenye dini kwasababu hao watume chimbuko lao ni Uyahudi.