Тёмный

ZA NDANII! RICARDO MOMO:FEISAL ANAPATA TABU SANA | MASHABIKI WA YANGA WANAMDHIHAKI | ALIKATA MAUNO 

J&R Mtita
Подписаться 73 тыс.
Просмотров 27 тыс.
50% 1

livestreaming #jobe #jezimpya #mayele #hafiz #manara #pyramid #buza #dabi #derby #mamelodi #luismiquissone #yanga #mkude #leo #simba #mwananchi #jezimpya #mandonga #simbasc #skudu #lilepo #Yangasc #ngoma #mayele #simbaday #derby #barnaba #wasafibet #Mletemzungu #azamfc #chama #no6 #mtibwasugar #namungo #dabi #derby #job #dickson #kibabage #kariakoo #kiama #namungo #wydadathleticclub #riversunited #medeama #mkapastadium #mkapa #azamfc #tff #alahly #benjaminmkapa #marumogallant #inonga #onana #musonda #mahop #simbaday #okrah #yangaday #gamondi #mkwakwani #tanga #skudu #almerrikh #kramo #ihefu #afl #mbwaduke #sankara #msuva #karabaka #diamondplatnumz #mwijaku #moloko #dullamakabila #taifastars stars #crbelouizdad
The Official RU-vid Channel Account J&R Mtita From Tanzania Regrister by Tanzania Communications Regulation Authority (TCRA)

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 18   
@omega-gl9wt
@omega-gl9wt 27 дней назад
Faisal aangalie Dube amefunga na kushangilia lakini hapakua na kiashiria cha kukera yoyote
@hassankunjayo626
@hassankunjayo626 26 дней назад
Fei na dube wakwanza kufunga ni nani
@hassankunjayo626
@hassankunjayo626 26 дней назад
😂
@hassankunjayo626
@hassankunjayo626 26 дней назад
Fei na dube wakwamza kufunga nani 😅😅😅 Acha ushabiki
@dahelahmad6331
@dahelahmad6331 27 дней назад
Kuna tofauti ya tabia ya watoto waliolelewa na wazazi wawili na watoto waliolelewa na akina mama pamoja na wajomba.
@hassankunjayo626
@hassankunjayo626 26 дней назад
😅😅😅😅😅
@millitarybattalion7515
@millitarybattalion7515 27 дней назад
Feisali ndio anawaanza mashabiki wa Yanga
@monicalucas3738
@monicalucas3738 21 день назад
Kuwa bora kuliko yanga mungo apo, na kufunga alofanikiwa ni ili kutufunga msimu Jana 2 bila 1, na kwenye ngao kafunga tu na ss tukawa washimdi, momo sometimes muongo, ubora kwa kuwa anafunga au 😂na sio kuipa timu makombe yani we unachekesha kweli,kumbka ulisema akifunha kia akicheza anapewa milioni 20 na ndio maana anapambana kwa masilahìi yake binafsi ya kupata milioni 20
@kolosii4351
@kolosii4351 27 дней назад
Unapomwongelea fei, mtazame Dube. Issue zao zinafanana.
@HamisiMonge
@HamisiMonge 27 дней назад
😅Feisal.ni motor.wakisimbe😂😂😂😂😂😂😂
@Veni584
@Veni584 27 дней назад
Fei kayataka mwenyewe, kwani angefunga na kukaa kimya nani angemzomea?
@HashimSaid-c9h
@HashimSaid-c9h 26 дней назад
Wacha uongo fei w Yanga ndio mkali kuliko huyu wa azam
@RichardAmosi-hz3nm
@RichardAmosi-hz3nm 26 дней назад
Yani wewe kumbe fala umeurizwa ni sawa Azam aina mashabiki wa kuizomea yanga yy kwa nini anashindana na mashabiki
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 27 дней назад
Feisal kinachomhujumu ni uduni wa elimu, mwenye elimu yake Dube anapoifunga Azam hakufanya dhihaka kwao kwa sababu anajua maadili ya professional player!
@SamsonMwambope
@SamsonMwambope 27 дней назад
Kila mchezaji anashangilia anavyo jisikia Kwa manara alisema amnazo
@SamsonMwambope
@SamsonMwambope 27 дней назад
Ashazoeya ,hao mashabiki awampi kula wapumbavu tu
@reonardchatanda6371
@reonardchatanda6371 26 дней назад
Ubumbavu unatoka wapi? Inawezekana we ni kolo. Kwasababu shabiki hapingiwi kushangilia.
@saidseleman2973
@saidseleman2973 26 дней назад
Ujinga mpira kazi
Далее
ГИГАЧАД МЭЙКЕР В PLANTS VS ZOMBIES 2!
00:49