Тёмный

ZABRON SINGERS WALIVYO TOA HUTUBA ILIYO WALIZA WATU MSIBANI 

Mbengo Tv
Подписаться 1,5 млн
Просмотров 85 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 131   
@AliceAzzy
@AliceAzzy 2 месяца назад
Pole sana ndugu zangu kazi ya MUNGU aina makosa, tumuombee afike mbinguni, pole sana ndugu zangu 😭😭😭😭
@georgetteamisi9754
@georgetteamisi9754 2 месяца назад
Uyu kaka anitoki moyoni Eee Mungu mpokee mtumishi wako 🙏
@KokuJulius-d4t
@KokuJulius-d4t 2 месяца назад
Pollen mungu akutie nguvu mam wa watoto3 wew ndo mam na bab kwa wanao akutie nguvu ktk makuzi yao
@mariakaguo856
@mariakaguo856 2 месяца назад
Poleni sana Mungu awatie Nguvu katika kipindi kigumu hiki
@GladnessNgowi
@GladnessNgowi 2 месяца назад
😭😭😭😭😭😭 pumzika tuuu
@hopegwimile53
@hopegwimile53 2 месяца назад
Japhet vaa viatu usiogope Mungu atakushika mkono. YOU ARE STILL THE ONE IN ZABRON CHOOSEN BY THE GOD.
@ISAYABUCHINDIKA
@ISAYABUCHINDIKA 2 месяца назад
Poleni saana Mwenyezi Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu
@ASHOCKSEYAGARA
@ASHOCKSEYAGARA 2 месяца назад
Poleni sana ndungu zetu mpaka nashindwa kujizuia ninasikia uchungu sana
@JosexsWanyox
@JosexsWanyox 2 месяца назад
Mungu awafariji wana zabron singers wacha marco alale salama ,,,japhet yote wachia mwenyezi mungu akusitiri ili ueze kuendelea kufanya kazi ya mungu
@florencemulwa6100
@florencemulwa6100 2 месяца назад
Ndugu zangu zabron singers msife Moyo,Marco ni sawa Na mbegu Na mbegu ikiingia ardhini lazima itachipuka hivyo tarajieni makubwa kwani mbegu hiyo itachipuka tena.poleni sana
@MarryMathew-g4n
@MarryMathew-g4n 2 месяца назад
Neno la faraja sana hakika ume nitia moyo na kunigusa mm pia naomboleza mpka xaxa nina uchungu sana
@DavidMwakibete-e4b
@DavidMwakibete-e4b 2 месяца назад
Poleni sana mwenyezi mungu awatie nguvu wana familia na kikundi kwa ujumla katika kipindi hiki kigumu
@ZitaRevocatus
@ZitaRevocatus 2 месяца назад
Pole Sanaa jamn tumeumia sana
@HenelikoMssa
@HenelikoMssa 2 месяца назад
Poleni sana hakika mungu ametowa piya mungu ametwaaa Kaz ya mungu Haina makosa hapo inauma sana jaman
@nicksonnombo8683
@nicksonnombo8683 2 месяца назад
Poleni sana Mungu ampokee
@harrietwaweru9760
@harrietwaweru9760 2 месяца назад
My heart goes out for you dear Zabron singers, servants of God.... It is indeed the most difficulty season and words fail..I have washed you on RU-vid since your brother Joseph departed...your broken dear ones's been remembering you in prayer from Nairobi Kenya❤May God Him self visit with each of you individually and encampass you with His presence and help you through this heavy loss of your brother.I see you sing and your song moved my heart...God knows your pain ..may He uphold you. and carry you... Together with you..I pray that His dear family, wife,young babies..will receive comfort in a personal way from our maker. The wife is completely broken... His parents, sibs.. All you. May God walk you though this and bind you with cords of love that will not be broken...my prayers remain with you.be covered by the blood of Jesus Christ
@dafrozanahimana
@dafrozanahimana 2 месяца назад
Pole sana ndugu zangu hapa tuko wapita njia kwetu ni mbinguni.
@Roseokongo355
@Roseokongo355 2 месяца назад
Mungu awape faraja Zabron singers RIP Marco Joseph.
@JfjfJdjrj
@JfjfJdjrj 2 месяца назад
Poleni wezangu kz ya mungu haina makosa tulimpenda mungu akampendq zaidi😢😢😢😢😢
@AnilindaAbdalla-k9o
@AnilindaAbdalla-k9o 2 месяца назад
Poleni sana ndg jamaa namarfiki mungu awape uvumilivu katika kipind hichikigumu
@AnesieNizigama
@AnesieNizigama Месяц назад
Pole san nduguzetu
@TunuElias-g5e
@TunuElias-g5e 2 месяца назад
Hakika nipigo kubwa sana mungu awafariji wapenz wangu ipo siku tutaonana nae
@abigaellamai3254
@abigaellamai3254 2 месяца назад
Mungu ailaze roho yke pahali pema 😢aiziidi kuwafarijii
@JoynessKerubo
@JoynessKerubo 2 месяца назад
Mungu hawafariji nyote na haifariji familia ya ndugu yetu Marco Mungu hailaze roho yake mahala pema peponi
@CallenOmweri
@CallenOmweri 2 месяца назад
Pole Sana zabron singers mungu awape nguvu wakati huu mugumu, waja mungu aweke roho yake pema peponi 😭💔
@FrolaMahenge
@FrolaMahenge 2 месяца назад
Daaa nimeumia sana pole sana mke wa malko
@Oman-k1g
@Oman-k1g 2 месяца назад
Poleni sana hii familia wekeni namba tutumie rambi rambi
@mwaigobekomeshack5491
@mwaigobekomeshack5491 2 месяца назад
Poleni sana tumeumia wote, Mungu awe mfariji wenu huko
@MagrathKizwalo-u8c
@MagrathKizwalo-u8c 2 месяца назад
Polen sana mungu awape faraja ktk kipind kigumu cha majonz.
@dorcahemari5435
@dorcahemari5435 2 месяца назад
Mungu awatie nguvu
@GladnessNgowi
@GladnessNgowi 2 месяца назад
Poleni tulìmpenda MUNGU kampenda zaidi
@PetrolinaSipriani
@PetrolinaSipriani 2 месяца назад
Poleni sana mwenyezi mungu awatie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu
@FarajaFaraja-c9b
@FarajaFaraja-c9b 2 месяца назад
Poleni sana huu msiba una uma sanaa
@nelliechepwogen2951
@nelliechepwogen2951 2 месяца назад
May God protect you Japheth,Marco rest in peace.heaven really gain,us we lose
@NeemaMeshaki-qm4ew
@NeemaMeshaki-qm4ew 2 месяца назад
Jamaniii polen sana Mungu awafariji sana Cha msingi na sisi tujiandae WATUMISHI sisi sote tunasafiri
@carolinewangari6652
@carolinewangari6652 2 месяца назад
Hugs hugs watu wetu,tulimpenda ndugu yetu, lakini mungu kampenda zaidi😢🫂🫂🫂🙏
@reginamabulah715
@reginamabulah715 2 месяца назад
Poleni sana wapendwa wetu mungu akawe faraja ktk kipindi hiki kigumu
@MosesMaduka-x8f
@MosesMaduka-x8f 2 месяца назад
Looh polen sana Zabron singers ama kweli tumeumia duuh kazi ya mungu Haina makosa
@EnessNkemwa
@EnessNkemwa 2 месяца назад
Polen San mungu awafunge mkanda
@Teacherrononck
@Teacherrononck 2 месяца назад
Poleni sanaa 😢😢😢
@AllyMasudiMrisho
@AllyMasudiMrisho 2 месяца назад
Poren sana Mungu awatie nguvu sana katika kipindi hiki Cha majonzi amuna
@kakuk5384
@kakuk5384 2 месяца назад
Poleni sana kwa msiba huu mungu awafariji wakati huu
@aliciamwalimu582
@aliciamwalimu582 2 месяца назад
So sad 😢joel una saut nzr sana na nyimbo nzr pia,mungu ampumzshe kwa Aman mtumishi wake
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 2 месяца назад
🎉mungu atutie nguvu wote maana wote tumeumia sanaa
@MaryKaucho
@MaryKaucho 2 месяца назад
Poleni sana
@NaftariMapunda
@NaftariMapunda 2 месяца назад
Poleni sana tena Sana sana mana
@elijaholoo3310
@elijaholoo3310 2 месяца назад
Zaburi 116:15 Roho Mtakatifu Awapenyie ufariji mkubwa safarini. Bwana wetu na kaka Yesu yu mlangoni yuaja. Jitieni moyo
@julianaoduor8463
@julianaoduor8463 2 месяца назад
Poleni sana....Marco apumzike kwa amani
@KellyMgweno
@KellyMgweno 2 месяца назад
Poleni Mungu awatie Nguvu
@HappyPhilemon-ny1ek
@HappyPhilemon-ny1ek 2 месяца назад
Poleniii sanaaa kaka MUNGU Awe Faraja kwenu😢😢
@JUSTINAABDALLAH-u8t
@JUSTINAABDALLAH-u8t 2 месяца назад
Mungu awe nanyi na awatie nguvu
@mildrineaduma5227
@mildrineaduma5227 2 месяца назад
Poleni sana farijikeni ndani ya yesu
@Loseneth
@Loseneth 2 месяца назад
Poleeni sana Ndungu zangu mipango yamungu haina makosa😭😭😭😭😭😭😭😭
@iyaamoding8945
@iyaamoding8945 2 месяца назад
Farijika kwa jina la Yesu 🙏🙏🙏🙏🙏
@josephshija3117
@josephshija3117 2 месяца назад
Rest easy Marco Joseph! Till we meet again.
@CatherineMaurus
@CatherineMaurus 2 месяца назад
MUNGU awape nguvu mumpumzish ndugu yetu kwa aman.poleni sana wapendwa ktk kristo
@bammurisho
@bammurisho 2 месяца назад
Poleni Sana Mungu Awa tie nguvu
@lydiaesther5638
@lydiaesther5638 2 месяца назад
Mungu awazidishie amani yake.
@teddysananga
@teddysananga 2 месяца назад
Poleni sanaa
@RoseNekesa-i8l
@RoseNekesa-i8l 2 месяца назад
Mungu awatie nguvu😢Wana zabron
@villianmose306
@villianmose306 2 месяца назад
Pole Wana Zabron singers, it's indeed a heartbreak 💔 to all of us. 🇰🇪
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx 2 месяца назад
Japhet amejikaza kaongea vzr sana Poleni sana
@NasibuAthuman-u2s
@NasibuAthuman-u2s 2 месяца назад
Poleni Sana mungu hamtangulie inauma sana😢
@glorymanga3650
@glorymanga3650 2 месяца назад
Poleni sana Mungu awape nguvu
@IssaPrince-y5i
@IssaPrince-y5i 2 месяца назад
bwana ametowa na bwana ametwaa,
@MunezeroParfait-hx4ch
@MunezeroParfait-hx4ch 2 месяца назад
Poleni sana ndugu zangu
@imeldanamwambah1680
@imeldanamwambah1680 2 месяца назад
Inauma saana
@GladysHamisiRai
@GladysHamisiRai 2 месяца назад
Mungu awatie nguvu wan zobron🙏😭😭😭😭😭
@AyubuMoses-o5t
@AyubuMoses-o5t 2 месяца назад
Polen Sana ndugu zangu
@LydiahCosmas
@LydiahCosmas 2 месяца назад
Poleni sana wanakwaya wenzangu
@NGENDAFidele
@NGENDAFidele 2 месяца назад
Pole tena pole zabron tumekosa mtuwaajabu
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 месяца назад
Poleni sana Mungu awape faraja 😰😰💔
@PolyneOkiya
@PolyneOkiya 2 месяца назад
Poleni xana mungu awape waraja yake
@LucyMichael-h2i
@LucyMichael-h2i 2 месяца назад
Poleni sana wanafamilia ya Zablon singers
@wisemanking001
@wisemanking001 2 месяца назад
Wafilipi 1:21
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 месяца назад
Joel ubarikiwe sana
@RoyladClement
@RoyladClement 2 месяца назад
apumzike kwaaman
@brilianmutayi
@brilianmutayi 2 месяца назад
poleni sana Mungu awafariji😭😭😭
@EstellaNdayikunda
@EstellaNdayikunda 2 месяца назад
My condolences
@RosebellahNambiro-gf5ot
@RosebellahNambiro-gf5ot 2 месяца назад
Poleni sana wanazabron
@Maria-rz1zf
@Maria-rz1zf 2 месяца назад
Polen sana inauma
@AmosMwita-mg3sz
@AmosMwita-mg3sz 2 месяца назад
Mugu awaited nguvu
@lucynyakundi3245
@lucynyakundi3245 2 месяца назад
Poleni sana 😢
@AshuraAhmed
@AshuraAhmed 2 месяца назад
Dah poleni sana😭😭😭😭😭😭
@BarakaJWansama
@BarakaJWansama 2 месяца назад
Pole Sana
@lilianmusau-bn3ww
@lilianmusau-bn3ww 2 месяца назад
Poleni Sana 😭😭😭
@moseskulola6913
@moseskulola6913 2 месяца назад
Rest in heaven Marco
@jacklinekaleikalei2065
@jacklinekaleikalei2065 2 месяца назад
😭😭😭😭😭oooh my God this is painful
@montezsharma
@montezsharma 2 месяца назад
Rip Marco😭😭😭
@Roseline-ld8ed
@Roseline-ld8ed 2 месяца назад
Poleni sana Mungu awatie nguvu 😭😭😭
@MISHELWASIEKA
@MISHELWASIEKA Месяц назад
May his soul rest in peace
@dorcaskarago2876
@dorcaskarago2876 2 месяца назад
Sasa munavaa nguo nyeusi kwani hamujuwi maanayake ni kumuaga mtu anayeenda kuzim
@samsonnishimwe8294
@samsonnishimwe8294 2 месяца назад
Bukuru , kumbe ni pacha. Bukuru ni pacha kwa kirundi.
@MillicentFuraha
@MillicentFuraha 2 месяца назад
Poleni 😢😢 sana tumuombee safari yke yamwisho
@WandeWande-s4z
@WandeWande-s4z 2 месяца назад
Mungu awatie nguvu awape faraja yakutosha
@phylisnabiswa
@phylisnabiswa 2 месяца назад
Pole sana kaka
@Justinaombay
@Justinaombay 2 месяца назад
Inauma sanaa
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 2 месяца назад
POLENI SANA WAFIWA WOTE. NA WANAKWAYA WOTE LOO INAUMA SANA
@ShakaErick
@ShakaErick 2 месяца назад
Poleni sn
@mubambiku
@mubambiku 2 месяца назад
Mbele yake nyuma yetu apumzike kwa aman😢
@JuslaienFuslen
@JuslaienFuslen 2 месяца назад
😢😢😢😢😢😢❤
Далее
Wait for it 😂
00:19
Просмотров 6 млн
Одинокая сестра
00:14
Просмотров 18 тыс.
MBARIKIWA  AIBUKA na KIFO CHA MARCO
8:03
Просмотров 98 тыс.