Тёмный

ZAHIR APIGIWA SIMU NA MKE WA BAKARI KUTOKA HOSPITAL YA KANSA |AAMBIWA MAMBO MAZITO BALAA |TAZAMA 

Maximum Tv Online
Подписаться 454 тыс.
Просмотров 3,5 тыс.
50% 1

KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
0625466848 AU 0753393036

Опубликовано:

 

12 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 26   
@AminaAlly-q5f
@AminaAlly-q5f 12 дней назад
Yani huyu mma anamuamini mungu sana kuumwa haoni tatizo kwake anaupendo sana mungu ambariki ampe tahafifu apone
@firdaus7428
@firdaus7428 12 дней назад
Aameen 🤲
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 11 дней назад
AaminaYaarab
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 12 дней назад
Hii familia nimeipenda sana, ni wacheshi na wanapendana ,ila mke ana confident sana anapoongea .Mungu atamponya tuu .
@SalmaSamiry
@SalmaSamiry 12 дней назад
Mashaallah hii familia inaupendo sana mungu awafanyie wepesi inshaallah mama apone waendelee kulea watoto zao hatakam maisha ni magumu ila upendo na amani na furaha ndokila kitu ❤❤❤
@MaryamKhawar-h3j
@MaryamKhawar-h3j 11 дней назад
Alaah akupe shufaa akuondolee maradhi hayo yasiwe makubwa unampenda mungu na mwenyezi mungu akuzidishie zahir umfatilie huyu dada apate michango atibiwe mungu atakulipa
@reynaaalrawahi4137
@reynaaalrawahi4137 11 дней назад
Ameen yaarab
@MwanaHamis-y4e
@MwanaHamis-y4e 12 дней назад
Pole Dada angu Allah akuwekee wepesi kwa rehema zake
@nadiatanzania
@nadiatanzania 12 дней назад
Nafrah kusikia anaendelea vizur pia kaka Mungu ukutunze sana 🙏
@Oman-p8x
@Oman-p8x 12 дней назад
Mungu akufanyie wepesi
@merycianshinda546
@merycianshinda546 12 дней назад
Mungu akujarie mam
@firdaus7428
@firdaus7428 12 дней назад
Familia ya Albino huwa wanadharauliwa sana lakini Zaher umefanya jambo kubwa sana kufatilia familia hii unahitaji pongezi Zaher.
@maximumtvonline
@maximumtvonline 11 дней назад
Asante sana
@mrsmumewangu4907
@mrsmumewangu4907 9 дней назад
​@@maximumtvonline10:48
@Deogratiusvicent
@Deogratiusvicent 12 дней назад
Mungu atakuponya tu Dada yangu
@mrsmumewangu4907
@mrsmumewangu4907 9 дней назад
Mwenyezi Mungu ampe subra amponye haraka ampe taufifu nampenda sana huyu mama juu yamitihani anayopitia bado anamuachia mungu kwakila jambo yarabi kwetu kubwa kwako dogo nnaimani hili utamponya
@jokhahemed
@jokhahemed 12 дней назад
Allah akufanyie wepesi ktk matibabu yako dear sister.
@oman8573
@oman8573 12 дней назад
Mungu amjaaliy mama yetu
@yasminjuma9146
@yasminjuma9146 12 дней назад
Kwa uwezo wa mungu utapoa amin
@edithaeugeni9695
@edithaeugeni9695 12 дней назад
Masiki Mwenyezi Mungu aendelee kumuonekania
@hasnatrean5013
@hasnatrean5013 12 дней назад
Mung amfanyie wepesi inshaallah
@luckydubebello1131
@luckydubebello1131 12 дней назад
Mungu amponye aki
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 12 дней назад
Allah qkuoonye dada yqngu bihidhinillah
@rachelsika9588
@rachelsika9588 12 дней назад
Mungu tenda juu yake
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du 12 дней назад
Maaba niuwe jamani 😅😅
@firdaus7428
@firdaus7428 12 дней назад
Ni bora abaki apate matibabu
Далее
КУШАТЬ ХОЧЕШЬ? #дистори
00:15
Просмотров 178 тыс.
4 Year Sibling Difference! 😭 #shorts
00:11
Просмотров 11 млн
FILO PART 129
30:03
Просмотров 313 тыс.
KUNGWI DUME: MATUMIZI YA UNGO KWENYE TENDO LA NDOA
35:35