Тёмный

KANSA IMEOZESHA TITI LANGU| NIMERUDI KUNDINI |NAJIANDAA KUONDOKA SINA WA KUMUACHIA WATOTO WANGU 

Maximum Tv Online
Подписаться 454 тыс.
Просмотров 3,6 тыс.
50% 1

KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
0625466848 AU 0753393036

Опубликовано:

 

12 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 46   
@maximumtvonline
@maximumtvonline 5 месяцев назад
TUMA MCHANGO WAKO HAPA 0753393036 ZAHIRI MUSTAFA VODACOM M-PESA
@gracerichard5841
@gracerichard5841 5 месяцев назад
Zahir mungu akubariki sana na mm pia na saratani ya titi nimekatwa titi niko vinzuri huu mwaka wa 6 nimeumia sana sana nakuomba niongee naye nimtie moyo kumfariji pia nitamchangia nitakachojaliwa alhamdulillah
@KinanaZagar-pv6qc
@KinanaZagar-pv6qc 5 месяцев назад
Pole sana mdogowangu natoka machozi nimeumia sana ndigu siku hizi nishida
@MwanaHamis-y4e
@MwanaHamis-y4e 5 месяцев назад
Pole ndgu Allah atakuafu kuumwa si kufa kuumwa ni moja ya ibada usikate tamaa utakaa sawa ndg
@omanoman2044
@omanoman2044 5 месяцев назад
Mungu wangu jaman duuh kuwa naiman ya din swali san mungu ndo kila kituy
@MEREHANNA
@MEREHANNA 5 месяцев назад
Pole sana dada utapona mwenyezi mungu hatakusaidia ila chakukushauri usikate tamaa dada Yang jipe moyo
@vincej9275
@vincej9275 5 месяцев назад
Asante sana kaka Zahir kwa kumpa mama hope. Alikua amesha kata tamaa. Mimi natuma mchango wangu mdogo sasa hivi Zahir.
@FatumaSaid-t4r
@FatumaSaid-t4r 5 месяцев назад
Usikatee tamaaa. Be strong. Kuugua ni ibada.Kunywa dawa kula chakula pata usingizi wa kutosha.pole sana
@christaoman8890
@christaoman8890 5 месяцев назад
Pole.sana dada Mungu akupe uponyaji
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 5 месяцев назад
Poleni sana. Tujifunze kuwasikiliza madaktari, hao maleiman wa mtaani ujinga na ujuaji mwingi.
@justinemasweta2877
@justinemasweta2877 5 месяцев назад
Pole mam Mungu atkusaidia utaponaaa na utakua sawa naiman utasaidiwa tu kile kidg atoacho mtu utapata
@AnjelaChacha
@AnjelaChacha 5 месяцев назад
Pole sana mama mungu atakuponya mungu yupo nawe hatakuacha kamwe
@hildamakundi281
@hildamakundi281 5 месяцев назад
Pole Sana dada. Mungu akuponyeshe.
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 5 месяцев назад
Allah akuafu mwenyewe ulikuwa mzuri pole sana Mungu akuponyeshe
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 5 месяцев назад
Subuhanallah. Pole Allah Ashfik
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v 5 месяцев назад
Mungu atakusaidia dd utapona dd pole sn
@omanoman2044
@omanoman2044 5 месяцев назад
Mungu atakusaidia na sisi pia tutakutumia pesa inshaallah
@FatmaHamad-g6s
@FatmaHamad-g6s 5 месяцев назад
Yani mtu ana cansa watu wanamshauri akaombewe dah Mungu nipe uvumilivu nisije toa tusi
@MaryamShabani-n2u
@MaryamShabani-n2u 5 месяцев назад
Ivi wewe mazima kansa inapona kwa maombi
@SafiyaJ-yw2vt
@SafiyaJ-yw2vt 5 месяцев назад
Maskini pole mama😭😭😭
@SafiyaJ-yw2vt
@SafiyaJ-yw2vt 5 месяцев назад
Bora ungekatwa Hayo mabuja usingepata hiyo kansa umefanya kosa kusikiliza watu pole sana mama
@SafiyaJ-yw2vt
@SafiyaJ-yw2vt 5 месяцев назад
Hivi wachaga kwanini mumemtenga huyu mama jamani 😭😭😭😭
@رقيهالخصيبي
@رقيهالخصيبي 5 месяцев назад
​@@SafiyaJ-yw2vtwengine wanafahamu wanasikia na kujuwa majina ya magonjwa hawajui ya madhara ya magonjwa hayo ndio maana wanasikiliza maneno ya watu
@GerladSimon-me3sc
@GerladSimon-me3sc 5 месяцев назад
Mungu ndo kila kitu aombewe pia awasikilize madaktar
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 5 месяцев назад
Siyo kidonda kukua tu na ugonjwa kusambaa pia.
@Bashitetako
@Bashitetako 5 месяцев назад
Nchi ya kishenzi sana hii laki 2 inamkosesha mtu matibabu
@رقيهالخصيبي
@رقيهالخصيبي 5 месяцев назад
Baadhi ya watu wanasikia majina ya magonjwa ila hawajui madhara yake ndio maana wanasikiliza ushauri wa watu wenye ushauri mbaya pasipo kujuwa baadae watapa madhara zaidi
@AnjelaChacha
@AnjelaChacha 5 месяцев назад
Naomba namba ya wsp please
@salmanassor8732
@salmanassor8732 5 месяцев назад
Pole dada 😢
@elizabethmukeba2528
@elizabethmukeba2528 5 месяцев назад
Zahiri usichelewe mpeleke buza kwa Nabii kiboko ya wachawi hiyo ni probleme kidogo ya kansa ni ndogo
@Ayshernasolo
@Ayshernasolo 5 месяцев назад
😢😢
@AnjelaChacha
@AnjelaChacha 5 месяцев назад
Naweza kutumJe kutoka canada
@maximumtvonline
@maximumtvonline 5 месяцев назад
0763393036 ZAHIRI MISTAFA VODACOM MPESA
@SafiyaJ-yw2vt
@SafiyaJ-yw2vt 5 месяцев назад
Maskini mpaka nimelia na mm msaidieni huyu mama mungu atawakulipa😭😭😭😭
@AshaAbdallah-wi7og
@AshaAbdallah-wi7og 5 месяцев назад
Kaka zahir may Allah bless u I have followed you since 2021 na umesaidia sana. Hujawahi kula hata shilingi ya muadhiriwa.
@AshaAbdallah-wi7og
@AshaAbdallah-wi7og 5 месяцев назад
Asha from 254
@GerladSimon-me3sc
@GerladSimon-me3sc 5 месяцев назад
Nenda kwenye maomba kwa mwamposa au kuhani musa
@maximumtvonline
@maximumtvonline 5 месяцев назад
Acha kupoteza watu
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 5 месяцев назад
Aende kwa mwamposa umeambiwa kalogwa ,
@josephineokama2200
@josephineokama2200 5 месяцев назад
mshalogwa na hao kina mwamposa na kuhani musa maradhi yanahitaji matibabu we unasema aende kwa kina mwamposa ndo maana maandiko ya mungu yanasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa .
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 5 месяцев назад
Mwamposa mwenyewe tapeli sasa atamsaidia vipi
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 5 месяцев назад
nyoko kweli wewe
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 5 месяцев назад
😢😢😢
Далее
NDACHA AKUBALI KUSOMA MADRASSA
1:00:22
Просмотров 8 тыс.
HOUSE GIRL EP 28 | S3 | Love Story 💕💞
23:05
Просмотров 83 тыс.