Тёмный
No video :(

Zitto Atoa Siri Uamuzi Kuanzisha ACT Wazalendo, Asema Kikwete, Filikunjombe Walimshauri Asiende CCM 

The Chanzo
Подписаться 68 тыс.
Просмотров 4,9 тыс.
50% 1

Mwanasiasa mkongwe na Kiongozi wa ACT Wazalendo aliyemaliza muda wake wa miaka 10 ameeleza kuwa sababu kubwa ya kuanzisha ACT-Wazalendo ilitokana na changamoto zilizuibuka katika chama alichokuwamo yaani CHADEMA mwaka 2012 baada ya kuanza kuundiwa mizengwe. Anasema alipofukuzwa katika chama hiko moja ya watu waliomshauri kutafuta jukwaa lingine la kisiasa ni Mwenyekiti Mstaafu wa CCM na Rais wa awamu ya nne Jakaya Kikwete, pamoja na swahiba wake aliyekuwa Mbunge wa Njombe, marehemu Deo Filikunjombe.

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 17   
@vt-kn6qf
@vt-kn6qf 3 месяца назад
Nyinyi wote mnaompinga Zito ni wadini na ukanda acheni maneno yenu.
@calabash4221
@calabash4221 3 месяца назад
Zitto ni msaliti tu..
@isaremagige
@isaremagige 3 месяца назад
Tulijua wewe ni ccm b
@philemonsnyanda9450
@philemonsnyanda9450 3 месяца назад
Peleka huko usaliti wako huko
@eligiusmandimu8206
@eligiusmandimu8206 3 месяца назад
Kwa hiyo ni uroho WA madaraka uliowatoa CDM
@fwc5552
@fwc5552 3 месяца назад
Hakuna aliyekuzuia bwana ulitaka kutuuza ww fia mbali huko
@richarddaniel411
@richarddaniel411 3 месяца назад
Jinga
@user-mm6fe9vz2p
@user-mm6fe9vz2p 3 месяца назад
CCM
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 3 месяца назад
Mbowe ndiye mwenyekiti wetu milele daima nyie watu wasaliti kaambali
@ourearthmatters5206
@ourearthmatters5206 3 месяца назад
Huna akili kabisa
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 3 месяца назад
Wenzenu wanaongezewa RUZUKU nyie kelele 🤧🤧🤧🤧🤧MBOWE ANAKUJUWA WEWE 😢😢😢😢
@driss4957
@driss4957 3 месяца назад
Alianzisha au alianzishiwa na system...HAYA UNA CHAMA PAMBANIA MIFUMO HURU YA UCHAGUZI....KAZI YAKO KUWASHAMBULIA CHADEMA NA MBOWE MPINZANI GANI WEWE, AJENDA YAKO INAJULIKANA,KUFIFIISHA HARAKATI ZA MAGEUZI.LENGO LAKO KURUTOA KWENYE RELI..
@jumannerizimbura6750
@jumannerizimbura6750 3 месяца назад
No comments, mercenary
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 3 месяца назад
Leo nimejua hatuna upinzani bali tuna CCM B😢😢😢😢😢😢😢😢
@user-et9vf2ro2k
@user-et9vf2ro2k 3 месяца назад
Kivipi wewe unasema ivooo kua tuna ccm b kivipi
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 3 месяца назад
@@user-et9vf2ro2k kama mshauri ni mwana CCM inakaaje hapo
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 3 месяца назад
@@user-et9vf2ro2k kama mshauri ni mwana CCM inakaaje hapo
Далее