Тёмный
No video :(

ZUWENA WA DIAMOND AMLIZA JAMAA ALIYEMTOLEA MANENO YA SHOMBO | HIVI NI KWELI 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 370 тыс.
50% 1

ZUWENA WA DIAMOND AMLIZA JAMAA ALIYEMTOLEA MANENO YA SHOMBO | HIVI NI KWELI
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

23 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 840   
@alexjumanne1381
@alexjumanne1381 Год назад
Mo Town sanya huyu jamaa wakwanza kafanya kipnd kuwa kizuri sana kama umekubali nipe like tujuane
@marthamorris7297
@marthamorris7297 Год назад
Huyu kaka alicho kua akikiongea hakijatoka lohoni pia anahofu yamungu ❤️❤️❤️
@ibrahimliweli6376
@ibrahimliweli6376 Год назад
Kweli aliongea kama utani🙏🙏
@cheffo8121
@cheffo8121 Год назад
kweli
@Johnny-b4i
@Johnny-b4i Год назад
Binafsi nimempda sana mshikaji kakili tena kwa machozi one love ❤️ man
@panchovalentino3576
@panchovalentino3576 Год назад
Respected kwake MmakondE
@neyney1907
@neyney1907 Год назад
yaani ni vijana wachache sana wanajua kujishusha
@magrethsanga942
@magrethsanga942 Год назад
Yaani nimecheka hadi basi huyu kaka jamniii
@kingblack6560
@kingblack6560 Год назад
Kabis hata mimi nimependa jamaa ❤
@kaitlyn89089
@kaitlyn89089 Год назад
Nimemuonea huruma sana yule kaka alivyolia.
@qaltumsaid3095
@qaltumsaid3095 Год назад
kama wew ni shabiki wa Zuwena gonga like ili tuende sawa
@shanibaniyas6308
@shanibaniyas6308 Год назад
🥰🥰
@qaltumsaid3095
@qaltumsaid3095 Год назад
@@shanibaniyas6308 saf sana
@archkeels3753
@archkeels3753 Год назад
Uyu mshikaji WA ntwara anaujua music kama umemkubali nipe like
@murtalla2826
@murtalla2826 Год назад
Jamaa wa kwanza ni very matured 😢😢😢 smart sana daah 😢😢
@sifamushi1747
@sifamushi1747 Год назад
Aliesema "kanyata" akaishia kutoa chozi... KANIFURAHISHA SANA. NI MKWELI na busara sana🥰❤👍
@Alkibosstz
@Alkibosstz Год назад
Zuwena mzuri bana wapi like zake 1k ✌
@jackson-bg9rc
@jackson-bg9rc Год назад
we tulia
@kondoatown8765
@kondoatown8765 Год назад
Ntengeze nae nzikii hivyo hivyo ntu kanyata kweli
@rabiaiddi2884
@rabiaiddi2884 Год назад
We kaka pombe uliyokunywa usirudie kunywa tena 😂😂
@alkibossofficialcomedian
@alkibossofficialcomedian Год назад
@@rabiaiddi2884 ukweli bana
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 Год назад
Mmmm 👀
@suzanalucasemanuel7006
@suzanalucasemanuel7006 Год назад
Ila huyu dada anahekima sana mungu azidi kukubariki dada endelea na hekima yako hivyo hivyo usije ukabadilika
@rehemaothman2475
@rehemaothman2475 Год назад
Ameen
@erastomwakalukwa3946
@erastomwakalukwa3946 Год назад
Mbaya Zaidi yakitoka hayarudi
@sixytntongambele3038
@sixytntongambele3038 Год назад
Amina
@ahmedmsangi1653
@ahmedmsangi1653 Год назад
Huyu jamaa wazazi wake wamefanya kazi kubwa sana kumjenga hofu kujuwa kakosea na kukiri tena kwa chozi sio jambo dogo kajuwa Zuwena nibinadam kiuhakisia kamuumiza nimependa
@harunaomari8792
@harunaomari8792 Год назад
Uwakika bro
@julianashani9408
@julianashani9408 Год назад
Ila mkaka kaonyesha huruma kweli 😀😀😀😀, Zuwena msamehe bule
@kennedkaaya5998
@kennedkaaya5998 Год назад
"Pita usemwe ila leo mtu ajapita amesimama tu kasemwa" 😂😂😂 ila mm nimemwelewa mwamba saana
@pendogodson9880
@pendogodson9880 Год назад
hii imeniua kwa kucheka
@saudahassan6667
@saudahassan6667 Год назад
Leo tupo na zuwena ndo habar ya mjin❤❤nampenda sana zuwena
@msabatozeson9023
@msabatozeson9023 Год назад
Huyu mwamba ni talent ya kwenda kabisa anafaa pia kuwa mchekeshaji mchukueni huyu mwamba
@emmanuelrobina4894
@emmanuelrobina4894 Год назад
Moral of the story; unapogundua umekosea usikaze fuvu, jishushe omba msamaha yaishe👊🏾 I liked the first guy what he did
@lovvy854
@lovvy854 Год назад
Hadi ameliya yaani imemuuma zaidia aliye msema alikua anacheka tu
@neyney1907
@neyney1907 Год назад
the guy did wrong but he killed it,the way amejishusha sanaa
@halfanijuma7646
@halfanijuma7646 Год назад
Apo kwenye mkazo wa fuvu apo
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 Год назад
Usikaze fuvu 🤣🤣🤣
@emmamga5495
@emmamga5495 Год назад
Zuwena nachompendea ni humble sana
@halfanijuma7646
@halfanijuma7646 Год назад
There is sense of humanity for our brother.
@joycemugo696
@joycemugo696 Год назад
Hatawi sema mtu tena
@mwigarleysaid5406
@mwigarleysaid5406 Год назад
😃😃
@shamaamohamed5361
@shamaamohamed5361 Год назад
True
@yotehapatv7705
@yotehapatv7705 Год назад
Huyu makonde kanogesha game today, plz usimuache mtupu... #MoTownSanya
@kingsika8138
@kingsika8138 Год назад
Jamaa wakwanza nimempenda sana anajua kuishi nawatu huyo jamaa inaonekana anaweza kuish nakila mtu alf so mtu wakumkwaza mwenzie kirahs one love kwantwala boy 😁🥰
@neymaabdulaimu
@neymaabdulaimu Год назад
Asante 🙏
@edwingwesso6818
@edwingwesso6818 Год назад
Nmeumia sana jamaa ana hofu ya mungu
@claudiangowi9628
@claudiangowi9628 Год назад
Sanaaa
@ngowibeatrice1701
@ngowibeatrice1701 Год назад
Kweli Ana hofu ya MUNGU
@salmarasheed6810
@salmarasheed6810 Год назад
Kweli watu wema bado wapo. Masha Allah , Allah azidi kumpa hofu yenye faida ndani yake
@cheffo8121
@cheffo8121 Год назад
kweli kabisa
@Views-mf8ir
@Views-mf8ir Год назад
Zuwena chombo bhana .. Ni maisha tu .. Mungu akubariki sana Dada angu ..
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 Год назад
Amiin
@silasila3111
@silasila3111 Год назад
Nime furahi kwakweli kazi nzuri mo town sanya naku kubali from DRC🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@hamadimatano4503
@hamadimatano4503 Год назад
yani hata mm pia nimelia jamaa inamuuma kwa maneno yake 😭😭😭🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 Год назад
Nampenda zuwena 🙏🙏🙏🙏❤❤ila kiukweli inauma sanaaa kumsema mtu kumbe yupo inauma sanaaa nawapenda wamtwala wanavyo ongea😂😂😂😂😂🙏
@zahraaabdulmark9407
@zahraaabdulmark9407 Год назад
😂😂😂
@hadiadaoman1981
@hadiadaoman1981 Год назад
We ndio mm me napenda wanavyoongea jaman nasikia raha kuwasikiliza
@neyney1907
@neyney1907 Год назад
hahahh usiombe ikukute jmn
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@berthatz
@berthatz Год назад
😂😂Kaka kasema pita usemwe ila yaliyokea leo kasimama akasemwa🤣🤣😊
@pamelaimani9071
@pamelaimani9071 Год назад
Uyo jamaa wa kwanza, anakipaji musimuache♥️♥️
@paulinekendi-ml9yi
@paulinekendi-ml9yi Год назад
😂😂😂😂😂
@hemedmtunguja9788
@hemedmtunguja9788 Год назад
The guy is so talented
@godcheudandy2534
@godcheudandy2534 Год назад
Eti mmakonde anasema diamond nae kutuletea vitu gan hv adi tunalopoka 😂😂
@yanickmustafa7221
@yanickmustafa7221 Год назад
Diamond platinumz 🙌🙌👑👑
@paulmashaka7934
@paulmashaka7934 Год назад
Hapa dunian hakuna mtu mubaya jaman
@nehemiavictor5743
@nehemiavictor5743 Год назад
He truly repented! 'the heart of King David 🤴
@panchovalentino3576
@panchovalentino3576 Год назад
Zuwenaa Noumaaa saàna Video queen star Kwa SASA toka mbeya city kyelA zuwenaa 💥💫⭐🌟
@hassanmugire1497
@hassanmugire1497 Год назад
True meaning of humanity
@swabrinaidassy865
@swabrinaidassy865 Год назад
MO TOWN SANYA❤❤ NEMBO YA MTAA❤❤
@erickabel6201
@erickabel6201 Год назад
Upendo mkubwa sana😢😢❤❤
@msabahafarijara2656
@msabahafarijara2656 Год назад
Wajukuu wa mzee nchonga 😍😍 huyu jamaa anaupendo sanaa ila alitelezaa tyu
@maramara5621
@maramara5621 Год назад
😂😂😂😂
@suleimanmohammed2436
@suleimanmohammed2436 Год назад
Mwamba anachekesha na anasikitisha kwa wakati mmoja daah😢😢
@rashidikanyama2357
@rashidikanyama2357 Год назад
kumbe umeliona hilo na wewe
@hackerfamily6023
@hackerfamily6023 Год назад
Banaaa
@omarsirleem7105
@omarsirleem7105 Год назад
😀😀😀 nimecheka sana na nimesikitika pia
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 Год назад
Nikweli 😂😂😂😂
@simonliving9408
@simonliving9408 Год назад
Nimechekaaa
@isackmwinuka9274
@isackmwinuka9274 Год назад
Daah! Nimeinjoy sana hii intaw ya makonde kiasi hata mm nimejiskia simanzi sema sanya hapa umetisha salute kwako
@jonikisomo_19969
@jonikisomo_19969 Год назад
Chochote nachokipenda kuhusu watu wa mikoa ya kusini is their honesty.
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Год назад
mie tungekuwa tunabadilishana mwili..ningemuomba mwili wake..athletic mbaya sana Zuwena..mwili mzuri mno
@omarihaji5671
@omarihaji5671 Месяц назад
Mo town sanya NEMB YA MTAA ishi Sanaa familia yang mung azid kukupa innovation ili kipindi kizid kuwa 🔥
@miami0925
@miami0925 Год назад
Nimekubal kazi yake uyo mchizi kinoma noma toka wasafi wanzishe iki kipindi huyu jama kakinogesh kw mara ya kwnza na Ana ubinadam bdala kujua ka fail roho yake haikumpa kuondk bila kumuomba msamaha zuena na hongera zuena kuonesha ubinadam kwake 🔥🔥🔥🔥
@imanimwashilindi8615
@imanimwashilindi8615 Год назад
Bahati humpata mtu kwa wakati wake
@grolykimario26
@grolykimario26 Год назад
Hii nchi hapana Kwa kwel! More love zuwena
@nzizajovinpaul4955
@nzizajovinpaul4955 Год назад
Zuwena anaroho nzuri" ❤️❤️❤️
@Johnny-b4i
@Johnny-b4i Год назад
Oya more nitafute yule jamaa alie toa machozi ninaelufu hamsini yako nimekubari sana narudia rudia kuicheki kwa ajiri yake nasema kweli sitanii
@joycemaige6838
@joycemaige6838 Год назад
Mtafuteni yupo makumbusho kona ni deleva wa boda boda
@hamzahassan021
@hamzahassan021 Год назад
Daaaaaaah uyu jamaa mmakonde kauwa leo 💪💪❤️
@zdyomondi4321
@zdyomondi4321 Год назад
Aki jamaa amejiskia vibaya sure but zuwena amebarikiwa na roho ya utu I love you zuwena.......
@hashimlowela294
@hashimlowela294 Год назад
Ww ndo zuchu kweli mwenye nyimbo zile nzuri nzuri😄😄😄😄
@fatumaissa1165
@fatumaissa1165 Год назад
4:22 wamokendeee wotee wanafkiiii💁🖐️ daimond alifungwa kitambaa
@simonmachupa6767
@simonmachupa6767 Год назад
Mnafiki ww mshenzi
@clementiddi5708
@clementiddi5708 Год назад
Wa kunyata wewe kima
@sushyhawa1460
@sushyhawa1460 Год назад
Unamkumbuk konde 😂mbwa yule
@mohamedmusa2279
@mohamedmusa2279 Год назад
Huyu jamaa hatawahi sengenya mtu kwa maisha yake tena na pia roho yake imemuhukuma sana.hofu ya Mungu ipo hapa kwa kweli
@HilaryGaston
@HilaryGaston Год назад
Genuine person that first one...too genuine yani...ubinadamu 101...peace sana popote ulipo bro👍🏾
@britonkanumba6828
@britonkanumba6828 Год назад
Huyu jaamaa hadi nimetokea kulia
@Guillaumebalemba-qu9hg
@Guillaumebalemba-qu9hg Год назад
Salut grand j'aime beaucoup votre émission
@saidbakar2307
@saidbakar2307 Год назад
Katika interview zote hii nice kabisa funzo sana kwa watanzania
@gracepatric4371
@gracepatric4371 Год назад
He made my day hakii😃😀😀😂😀😀😀🤣😂😂😂😅😅😅😆😆😆😆😆😆😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌
@magomakabanja480
@magomakabanja480 Год назад
Jamaa Kafurahisha Sanaa na Kaondoka Kiuzuni na Nimuelewa Kaomba Samahani
@cobramwaweza961
@cobramwaweza961 Год назад
duh kitambo Sana mwamba naipenda kaz yako nsanya unanigusa nikiwa Zambia 🤣💖✌️🎉🎉🎉✨✨✨
@dreusebiusjmikongoti248
@dreusebiusjmikongoti248 Год назад
"Amenyataaa, bwanaa amenogaa bwana! Huu ntego huu! machozi yanantiririka maneno niliyokaongea haya😃" Mmwera mwenzangu OG wa kula pitiku
@emmysam7938
@emmysam7938 Год назад
Wanasema pita usemwe..sasa huyu ntu kasemwa yupo hapa hapa😂😂
@vero57
@vero57 Год назад
Huyu nae apewe kazi nayeye, zuwena yuko vizuri tuu mbona, kazi nzuri kaka 😄😄
@raurentkorosso2014
@raurentkorosso2014 Год назад
Mwamba anahofu kubwa saaana hatak kumkosea mtu huyu Mungu akutunze
@kaburamelikiadi4722
@kaburamelikiadi4722 Год назад
Mo Sanyanya from Tanzania 🇹🇿 to Burundu 🇧🇮 wanna see u Hommy Zuwena she my so beautiful sister Welcome to Rock Island Illinois 🇺🇲 big up to u guys ✌️
@stinaismail846
@stinaismail846 Год назад
😂😂😂😂 nimecheka kifala sana zuwena nakukubali sana ♥️♥️♥️
@kibwanakizulege4632
@kibwanakizulege4632 Год назад
Show imebamba kinouuma....BIG UP MO TOWN.....BIG UP MONDI @ SIMBA
@neymaabdulaimu
@neymaabdulaimu Год назад
Siku moja aje mtwara aje c tuna vipaji uku 🤣🤣🤣
@esthercharles5945
@esthercharles5945 Год назад
Zuwena mstarabu Sana
@hansika4225
@hansika4225 Год назад
No town sanya mm niko Oman nafatilia vizuri vipindi vyako mama muokota makopo kwakweli kaniliza sana
@davidndaha9607
@davidndaha9607 Год назад
Dunia inamengi sana ati kulopoka jamaa kajutia sana.umesamehewa
@Ruganzu.
@Ruganzu. 11 месяцев назад
Binadam wapo bado wenye roho za utu ambazo zimepunguka sana kwa watu wa kawaida, kati ya watu elfu tano ivi huenda ukampata mmoja kama huyu ivi ama hata uka kosa, amewafanya wengi wakatoa machozi,,,,,,Bigup sana.
@alimahmud1228
@alimahmud1228 Год назад
Huyo brother ana ubinadamu sana mimi na mkubali wote hata dada zuena Yuko sawa
@irakozeraliah2947
@irakozeraliah2947 Год назад
Moo jamaniii una rombaya 😂😅but I like it ❤love from 🇧🇮 burundi
@mokajoli4928
@mokajoli4928 Год назад
Oyu jamaa ana ofu ya mungu sana
@mariamnuru9939
@mariamnuru9939 Год назад
Yeah mtu mzuri jamani
@Heal-with-Dodo
@Heal-with-Dodo Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ila zuwena…”baba unaupiga mwingi baba”😂😂😂
@gastosalehe3658
@gastosalehe3658 Год назад
Mmakonde katisha kinoma,,kanivunja mbavu,big up sana konde boy
@hawakorobeh7003
@hawakorobeh7003 Год назад
ooooooooooooiiiiiii any way wamakonde popote mlipoo nawapenda kinoouuuma the way ongea yenu❤️❤️🔥🔥 Ila nmemkubal San huy mshikaj amekili kutoka kwenye moyo aisee naijua hyo situation aliyo nayo aiseee 🔥🔥👊👊👊
@subirajohn728
@subirajohn728 Год назад
Zuwena❤️❤️❤️
@gradnessrojas8343
@gradnessrojas8343 Год назад
Tanzania 🇹🇿 ndo channel ya vichekesho mbinguni
@subiramussa1428
@subiramussa1428 Год назад
😁😁😁😁
@rezegerezege691
@rezegerezege691 Год назад
😂 😂 😂 😂 😂 nimecheka kama Mazuri kiukweli
@emapoziofficial6023
@emapoziofficial6023 Год назад
😭😭😭😭dah mmemzingua sana huyu muuni💔🙌
@zulpharashidy-qu6qz
@zulpharashidy-qu6qz Год назад
Daahh mwambaa huyuuuu apaaaa😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾....!! Nimempendaaaa bhnaa huyuu kaka anguh Wanyumbanii♥️
@Captain_shiii
@Captain_shiii Год назад
Mooh unafeli wapi nowadays tunamisi Sana hivi ni kweli Kaka jitahidi Sana 😅😅😅😅😅😅😅 jamani usiwe ivyo
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Год назад
Hivi nimkweli kwani hiki nikipindi gani?
@sumaiyamikidadi3589
@sumaiyamikidadi3589 Год назад
Kipindi kinarushwa wasafi Tv kila jumanne saa3
@gaspeldaniel1140
@gaspeldaniel1140 Год назад
Huyu mmakonde anapatikana wapi??? Anafaa sana katika Comedy ingawaje yeye hajijui kama anachekesha
@faidhacute
@faidhacute Год назад
Sana
@salumdinongo3273
@salumdinongo3273 Год назад
Kwel jamaa akiingia kwenye sana atapiga ela
@ItsKabs_
@ItsKabs_ Год назад
Why did I get emotional about this 😢
@sosom14
@sosom14 Год назад
Mtafute Jamaa nimpe zawadi nipo 🇬🇧 thx
@kaisamjunior3692
@kaisamjunior3692 Год назад
Huyo jamaa wa mtwara anakitu wallah 😢😢
@Mamake559
@Mamake559 Год назад
Zuwena ipo love🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@eliaelias6506
@eliaelias6506 Год назад
Zuwena ni mkali sanaaaaa🌺🌺🌺
@rizikifalidy8495
@rizikifalidy8495 Год назад
Uyo mmakonde wetu ana kipaji Sana Cha uchekeshaji 🔥🔥
@leymanleyman7426
@leymanleyman7426 Год назад
Jamaa nafsi inamsuta sana.
@cliffordmjibu2836
@cliffordmjibu2836 Год назад
Waah my upo
@leymanleyman7426
@leymanleyman7426 Год назад
@@cliffordmjibu2836 yah
@dagie7754
@dagie7754 Год назад
The guilt in that man, he must be GOD fearing
@godgiver100
@godgiver100 Год назад
Absolutely
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 Год назад
Now in this position he is will not,it may after become loser
@ivankakooza1765
@ivankakooza1765 Год назад
Absolutely
@halimasengo2814
@halimasengo2814 Год назад
Mnoo yani
@bullychandy6509
@bullychandy6509 Год назад
Ni mtu wa mungu kwa kweli
@abrahammwambije2769
@abrahammwambije2769 Год назад
Huyu jamaa amejutia sana Ana hofu ya mungu sana
@iliasaazizi9301
@iliasaazizi9301 Год назад
Mo Sanya umenifurahisha sanaaa... imetulia kufanya hii kitu ya huyo ntu
@irenekajaja911
@irenekajaja911 Год назад
Ila ana utu stay blessed mwaya ila umepata lesson😌
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 Год назад
Kama atakua kasikia atakua amejikaza kwakua ntoto wakike lakini ana moyo wakiume
@lovvy854
@lovvy854 Год назад
😂🤣🤣🤣🤣
@halidhemed7524
@halidhemed7524 Год назад
😃🤣😂
@congoboymbeyas2440
@congoboymbeyas2440 Год назад
😆😆🤣🤣
@mwajumalubunga1534
@mwajumalubunga1534 Год назад
😂😂😂😂
@amanimapenzi571
@amanimapenzi571 Год назад
🤣🤣🤣🤣
@user-pb8hj9wp2y
@user-pb8hj9wp2y 11 месяцев назад
Mo leo ume ticha sana kutoka Comoro nime furahi sana kweli ❤❤❤❤❤
@Titostanzaniasafaris
@Titostanzaniasafaris Год назад
The man he’s a human 🤦🏾🙏🏾
@cheffo8121
@cheffo8121 Год назад
manshalla zuwena msitatabu nakupenda bure mngu anisaidie namm nikutane nae❤❤❤❤
@abdallahmbaruku6007
@abdallahmbaruku6007 Год назад
Yuko vizuri sana zuuu
@tinnahmalata1339
@tinnahmalata1339 Год назад
Huyu jamaa ana talente ya uchekeshaji ahahah achukuliwe tuu
@saurasoso1543
@saurasoso1543 Год назад
Mungu ashakusamehe kaka mana adi umelia duh inauma nyie. Ata uyo zuwena ana moyo mzuri sana nimejisikia vibaya mno Mungu ndo ametuumba lkn watu wanavoongea vibaya fikilieni ndo uambiwe wewe itajisikiaje?? Tusamehe Baba hatujui tutendalo
@BigZhumbe
@BigZhumbe Год назад
Naskia watu wa Ntwara hawachelewi kulia 🤣🤣
@franckizra1284
@franckizra1284 Год назад
Daaah mshkaji imemuuma sana 😢 pk analia pita usemwe lakin unamsema mtu yupo nyuma yako daah🤨🤨🤨
@buyabute7233
@buyabute7233 Год назад
Walahi nimecheka hiyo point mpaka naunwa
@stellah3844
@stellah3844 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@fatmahaji5080
@fatmahaji5080 Год назад
Dah so sad 😭😭😭😭 ulimi ulime usipoulima utakulima wew fikiria vizuri kabla hujaongea
@HamadiMageti-ku2hg
@HamadiMageti-ku2hg Год назад
Mo town Sanya kiukweli hii stoacha kuitazama kiukweli unafurahisha sana namaliza bando kupitia vipindi vyako
@rahimanzai5505
@rahimanzai5505 Год назад
Mazee the guy he's talented
@ulimwenguswed6394
@ulimwenguswed6394 Год назад
Zuwena katisha kiukweli Ana cofdec ya kutosha napenda ivyo kiukweli kaka yangu Kuna kitu kaji funza zaidi naimani ndipo bina dam tulivyo kama serekari ingejua tulivyo wanafiki basi wasi pate tabu kutuongoza ndivyo bina dam tulivyo ongera zuwena
Далее
Я ДОСТРОИЛ ЗАВОД - Satisfactory
19:13
Просмотров 95 тыс.
Х.евая доставка 😂
00:23
Просмотров 640 тыс.
Diamond Platnumz - Zuwena Behind The Scene Part 1
29:31
Babu harusi
8:02
Просмотров 1,3 млн
Jambo na Vijambo ! ndoto za ulaya
6:46
Просмотров 541 тыс.
BABA LEVO ATAKA KULIA WAZEE HAWAMJUI/MILIONI 2 UMELOGWA
34:31