Hakika mwanzo mwisho nipo Na Maiti yangu Movie Nzuri sn tena sn,hasa Kiti Moto bila kumsahau Nyani Ngwengwe bhana nyie ni shida sn,mmefurahisha sn Movie hii kwenye Uchekeshaji Pewa Maua yenu haswaaaa,hakika Mrembo Hadjrah umecheza Na fasi yako vyema sn,ni kimalizia tu kusema hivi watu wote ambao mpo kwenye Movie hii Maiti yangu mmecheza vyema kila mtu Na fasi yake, Nawapendeni sn ♥️💚♥️,Na Allah awafikisheni mbali zaidi Dubu.
Kwani dubu mtu au ndiyo dubu jamini mwisho ndiyo kumenoga dubu hongereni sana nawapenda wote mlioshiriki mwanzo mwisho mbalikiwe sana nasi tunangoja kazi nyengine
Mashaa hongereni sana team dubu hatimae tumefika tamati ya move yetu ❤❤❤❤pendwa ,, twasubiri nyengine twamini kama kawaida itakayo fata itakua nzuri zaidi ya hii mungu awe pamoja na nyinyi muendelee kushirikiani kwa pamoja InshaaAllah
Ila mganga amapiano aah vituko jmn kwahy umetumalizia na we zombi aujuii😂😂😂😂 haya bana congratulations Dubu kazi tamu sanaa tuletee vyuma vingine tunakupenda tunaenjoy🎉🎉🎉❤❤😊