Тёмный

MCH. MSIGWA ATAJA VIGOGO WA CHADEMA WATAKAOMFUATA, WAPO LISSU, LEMA "HAWATAKIWI NA MBOWE KISA UUHOJI 

MwanaHALISI TV
Подписаться 321 тыс.
Просмотров 29 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

17 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 280   
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 2 месяца назад
Pumbavu Unadhani Sisi Hatumsikilizi Mbowe Hotuba zake?
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf 2 месяца назад
We si WA kumsema mwenyekiti bila ye we usigekaa ujulikane
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 2 месяца назад
Analalamika Kwanini Mbowe Haondoki... Jiulizeni Kwanini Yeye Baada ya Kuwa Mwenyekiti wa Kanda Vipindi Viwili Asiondoke Akaachia Wengine? Mbona Aligombea Mara ya Tatu Kama Kweli Hiyo Ndiyo Principle yake? BS
@mmassfashion963
@mmassfashion963 2 месяца назад
Hana akili uyo hawa lolote
@mmassfashion963
@mmassfashion963 2 месяца назад
Amemfungulia nani macho kibogoyo uyo
@SharifuBakari-tr7hd
@SharifuBakari-tr7hd 2 месяца назад
Njaa mbya mnooooo qmmke
@AndersonMokiwa-is5ch
@AndersonMokiwa-is5ch 2 месяца назад
Msigwa nakuelewa sana chadema kunamambo ya kijinga sana nilitolewa kwenye group la chadema dodoma kisa naanza na Mungu kwenye group kila siku wakasema et group halina mambo ya din hili nilichoka na mimi ni mwanachama wa chadema dodoma
@giftkalenge418
@giftkalenge418 2 месяца назад
ujue was kwanza kukufuata ni mbowe he itakuwaje?
@melch3097
@melch3097 2 месяца назад
Kusema kweli naipenda hii tv. Msilete tena huu uchafu hapa. Mda simrefu hata ccm watafukuza
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf 2 месяца назад
Hata Mzee tupe ajira
@RajabuOmar-er2lp
@RajabuOmar-er2lp Месяц назад
@@KaburuKimath-eu5nf ..
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc 2 месяца назад
Msigwa Muongo,Mbowe Amewahi kugombea urais mala moja,Mala zote anawachia wenzake,Na CCM inashinda Kwa wizi,Ameamua kuungana na wezi wa kura,Pole sana Msigwa
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf 2 месяца назад
Msigwa pole ila siasa ndivyo zilivyo unaaanga Lia wapi day ni kubwa
@hajihassan5433
@hajihassan5433 2 месяца назад
CCM haijawahi kuiba kura, upinzani Tanzania (Tanganyika) ni dhaifu lazima wakubali hilo.
@GodfredAlfredNgarama
@GodfredAlfredNgarama 2 месяца назад
Zamani msigwa ulikuwa wapi
@sospeterodhiambo6869
@sospeterodhiambo6869 2 месяца назад
Ungetoka na kikaa kimya utangaze sera za ccm ungeeleweka lkn kupambana na Mbowe ni udhaifu mkubwa na hutaitumbisha chadema Sana sana unatuharibia CCM yetu sijui walikupokea vp
@jeremiahngoka4980
@jeremiahngoka4980 2 месяца назад
Ukweli uliotukuka.Amekuwa fala sana tu
@Elizabeth-mw2of
@Elizabeth-mw2of 2 месяца назад
Jina la Peter ni Petro Kwa Kiswahili, Petro alimsaliti Yesu kwa kumkana kuwa hamjui! Ombi langu kwa wazazi, angalieni sana majina mnayowapa watoto wenu.
@starlily07
@starlily07 2 месяца назад
Umeongea yote, 🤣🤣 Petro msaliti 🤣 naaache kujiita Mchungaji mana Hana hadhi ya uchungaji
@brunomirambi8792
@brunomirambi8792 2 месяца назад
TENA MAMA SAMIA RAIS WANG. KAMA ANA NISKIA MPE MSIGWA UWAZIRI NI MSAADA MKUBWA KWETU CCM SIKUCHAGULLII NI WIZARA GANI ILA NAKUOMBA SAAAANAA MAMA YANGU
@JohnKalega
@JohnKalega 2 месяца назад
Wewe msigwa. Hizo ni Tamaaa
@phabiankagoma5144
@phabiankagoma5144 2 месяца назад
Uwezo wa Msigwa ni mdogo sana kueleweka!
@MagakaManyanya
@MagakaManyanya 2 месяца назад
Chadema haitakufa kamwe. Chadema kitawatete watanzania hata siku ya kiama mbele ya mwenyezi Mungu. Chadema kitabandirika on its formation time by time. Msigwa ametoka kwa yesu amekimbilia kwa shetani. Ivo yesu na shetani hawakai nyumba moja
@MurunguwetoshaDeheaven
@MurunguwetoshaDeheaven 2 месяца назад
Kumbe msigwa ni poyoyo kabisa,ana vijimsemo vya Aina flan unaweza sema point kumbe ni ujinga,,,,,
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 2 месяца назад
Sikutemea kuwa huyu ana akili ndogo hivi
@mmassfashion963
@mmassfashion963 2 месяца назад
Chadema inaongoza kutoa viongoz mpk mawazir😂😂😂😂
@SylvesterMakenzie
@SylvesterMakenzie 2 месяца назад
Hiki kijamaa nilikuwa nakifuatilia sana siasa zake nanilizipenda sana kumbe sikujuwa kama ni kinafiki kiasi hiki kipumbavu kabisa
@abrahamnyagawa1304
@abrahamnyagawa1304 2 месяца назад
Mfumo wa nchi yetu, ndugu ni hatari sana, siasa zetu ni za maji taka, hovyohovyo tu.huyu msigwa atachakaa vibaya, sijui kama anafahamu hilo!
@abrahamnyagawa1304
@abrahamnyagawa1304 2 месяца назад
Hayo yote mmeyazungumza,leo ndiyo umejua kwamba unafikiri,miaka mingine yote ulikuwa huna unalojua?
@MuhamedHassan-l5u
@MuhamedHassan-l5u 2 месяца назад
Wabongo wengi tunapenda mseleleko ndio maana ndio maana mbowe anatupelemba
@rindenimwanga6355
@rindenimwanga6355 2 месяца назад
Msigwa uko sawa,sasa anza kutupa sera za kubadili uchumi,ulinzi wa mali na utajiri uliopo,ajira n.k.
@furaha7154
@furaha7154 2 месяца назад
SASA UNATAKA KUSEMA KWAMBA MBOWE NI MBAYA KULIKO CCM ALOTUTESA MIAKA 60?
@NDEWARA
@NDEWARA 2 месяца назад
Unajua maana ya mateso wewe?😂😂
@FikiriniMwaluko
@FikiriniMwaluko 2 месяца назад
Nimuasi huyo mfumo wa akili umesha wekewa sumu
@JaziraMustafa-g9p
@JaziraMustafa-g9p 2 месяца назад
Msigwa ni mwanasiasa makini ,mkweli kuliko Mbowe anaekitumia chama kama mali yake binafsi na anakitumia chama kwa maslahi yake binafsi.
@komuhsengo9796
@komuhsengo9796 2 месяца назад
Kisu na lema sio wa aina yako, hilo igo beba mwenyewe aibu yako, kwani mligawana ulichopew
@bishopmosesmagadula7572
@bishopmosesmagadula7572 2 месяца назад
Ongea point juu ya sugu aliyekushinda ukaamua kukimbia
@michaelkisesa3959
@michaelkisesa3959 2 месяца назад
Imeisha iyo.
@AndersonLyandala-du1rt
@AndersonLyandala-du1rt 2 месяца назад
Maneno maneno 🤩🤩🤩
@philemonmollel7630
@philemonmollel7630 2 месяца назад
kweli msigwa umechqngànyikiwa sana
@abrahamnyagawa1304
@abrahamnyagawa1304 2 месяца назад
Miaka 20, leo nd'o unajua kwamba chadema kuna madudu? Zungumza mazuri ya huko,siasa za maji taka tz.
@Kalunirashidi
@Kalunirashidi Месяц назад
sawa kwann mtu anabadilika wakati akijuwa kwann watu ambao wakatoka chadema kwamtindo uwo uwo
@reginas1832
@reginas1832 2 месяца назад
Njaa mbaya sana
@GiftyJackson-k3v
@GiftyJackson-k3v 2 месяца назад
Mch unazingua sana
@peterpaschal4522
@peterpaschal4522 2 месяца назад
Kumbe ni muhangaikaji siku nyingi tu😢
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 2 месяца назад
Chaguzi Mbili Za Mwanzo Ulibebwa Na Mbowe, Safari Hii Alikataa Kubeba Mtu Uliona Kubebwa Ni Haki Yako... Waambie Watanzania Ukweli.
@JaziraMustafa-g9p
@JaziraMustafa-g9p 2 месяца назад
Mbowe ana uwezo wa kumbeba mtu?Yeye mwenyewe anabebwa na Tundu Lissu .Mbowe anakifanya chama kama mali yake binafsi ndio maana watu karibu wote makini waliondoka chadema kama Zitto,Proffessor Kitila,Profesa Beregu,Professor Safari nk.
@samuelmakara1475
@samuelmakara1475 2 месяца назад
Una uhakika na unachosema
@fredrickbaryagati2194
@fredrickbaryagati2194 2 месяца назад
Msigwa njaaa sana na sio mchungaji ni msanii tu na watu awapo chadema sababu ni msigwa ni kutaka mabadiri
@goodlucktarimo2716
@goodlucktarimo2716 2 месяца назад
Huko ulikoenda kama mchungaji wanafanya yaliyo mema na hamna unafki?
@nurdinkisaria9476
@nurdinkisaria9476 2 месяца назад
Ubaya ubwela😂
@melichmahingule2896
@melichmahingule2896 2 месяца назад
Jamani mbona haka kana karibia kuwehuka!
@barnaba3037
@barnaba3037 2 месяца назад
Dah Yan Mchungaji kabisa ndo anaenda kuitetea ssm😂😂
@rogersiddy
@rogersiddy 2 месяца назад
Fala huyu hajielewi pumbavu kbs
@JuliusMhina
@JuliusMhina 2 месяца назад
Ulishajulikana ni msaliti tangu zamani.ulikuwa na kazi maalum ya ccm
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo 2 месяца назад
Looo!, utawangoja sana
@mashakakwembe7482
@mashakakwembe7482 2 месяца назад
Huyo ni msaliti tu mchungaji uchwara hawezi kuaminika tena kaamua kuchagua feza kuliko utu ni Bora akakaa kimya tu kuliko kuwaponda viongozi wa chadema muulize anasemaje kuhusu kauli ya nape?
@bonifaceibunga9443
@bonifaceibunga9443 2 месяца назад
Huyu Msigwa ni PANDIKIZI LA CCM. Kwa hiyo anafanya kazi ya CCM
@JohnKombole
@JohnKombole 2 месяца назад
Hunalolo msigwa nakiduku chako icho mnafiki
@habibuamir1005
@habibuamir1005 2 месяца назад
Hoja sio maslahi ya chama, ni kwamba wananchi wanataka maslahi na unafuu wa maisha yao.
@abrahamnyagawa1304
@abrahamnyagawa1304 2 месяца назад
Siyo kweli, ndugu msigwa.wewe ni mchungaji,uwe na hofu ya Mungu.
@shabanadam4476
@shabanadam4476 2 месяца назад
Peter mbona unatia aibu sana achana na media
@FrankPonsian
@FrankPonsian Месяц назад
Wewe fara mchungaji gan mnafiki unatoka kwa watu wa mungu unaenda kwa mashetan
@ezekielmabwai4614
@ezekielmabwai4614 2 месяца назад
Msigwa ni maji taka. Ubongo wake umejigeuza MATOPE. Nani afuate MATOPE?!
@aloycejulius5940
@aloycejulius5940 2 месяца назад
Msigwa umeongea points sana,
@V24hrs
@V24hrs 2 месяца назад
Msigwa ni msema kweli siku zote
@bishopmosesmagadula7572
@bishopmosesmagadula7572 2 месяца назад
NASHUKURU MBOWE HUWA HAJIBU CHOCHOTE JUU YA WANAO MTUKANA NA HAWA WOTE MBOWE KUWASAIDIA MPAKA WAKAJULIKANA LEO WANAMTUKANA NA MBONA WOTE WALIO MTUKANA MBOWE HAWAHESHIMIKI
@brunomirambi8792
@brunomirambi8792 2 месяца назад
UKWEL UKISEMWA TUUPOKEE HONGERA MSIGWA
@philemonsnyanda9450
@philemonsnyanda9450 2 месяца назад
Mbona nyie wandishi hamuulizi elimu yake?
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 2 месяца назад
Alishajibu akaruka ruka swali na kusema we tufanye nimeishia la saba tujust that kwa mujibu wake mwenyewe, halafu shida waandishi wa habari wengi hawana shule na wenye shule hawafuwatilii historia ya nyuma ya mtu wanae muhoji hivyo maswali yanatoka tu vinywani vyao na si maswali ya mpangilio ni kama wanapiga story na si kuuliza maswali, mfano msigwa alishawahi kusema nikihama chadema nyumba yangu ichomwe moto je ikichomwa atasema amehujumiwa na chadema au? Je ulisema kimihemko ama ulisema ili chama na wanachama wakuamini zaidi? Je kwanini uligombea uchaguzi wakati umeshaona chama kimepoteza muelekeo? Kwanini ulijiingiza kwenye uchaguzi? Je kwanini usinge baki kwenye chama ukaendelea kupambania mabadiliko? Tunamuona mbunge wa CCM ambae kila siku hupewa adhabu na hata kufukuzwa bungeni na kuzomewa na wabunge wa chama chake lakini haami na amesema hata hama na mpaka kitaeleweka tu iweje wewe, iweje wewe umeenda kwenye chama ambacho ulikuwa unakipinga sana kwa mambo mengi? Yaani sijasomea habari ila naona nina maswali mengi mno dhidi ya huyu mchungaji.
@philipongenzatv
@philipongenzatv 2 месяца назад
Yani angekuwa karibu ningemchapa makofii ya mashavuni nyi mnatuludiaha nyuma Kwa uroho wakijinga watu kama hao mfano akifa huwezi kulia
@emmapaul1766
@emmapaul1766 2 месяца назад
Akimaliza asome comments ndio atajielewa vizur
@michaelmagwaza-bc6mk
@michaelmagwaza-bc6mk 2 месяца назад
Hivi ukiwa Mch, Mwanasiasa nilazima uwe mwongo.? Na Mtukanaji Kama Msigwa.?
@humphreybilly7437
@humphreybilly7437 2 месяца назад
Msigwa nilikuwa nampenda Sana ila kwa Sasa nikama sipana ya malaya
@ClaudCarlos
@ClaudCarlos 2 месяца назад
Wewe umekimbilia CCM baada ya MSUKUMA kusema ana SMS zako 😂😂😂
@Yama-l7b
@Yama-l7b 2 месяца назад
Mimi ni mwana ccm lkn nilipo mwangalia huyu jamaa ameishiwa na hoja alikuwa wapi kipindi hicho na anajita mtetezi wa watu miaka 20 yupo chadema lkn hakuwahi kuongea juu ya chama chake Leo anaropoka nadhani anajitafutia tu namuna ya kula lkn ccm kuweni makini na hawa wasaliti hawa ndio watakuja kumuaribia Rais wetu
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 2 месяца назад
Lisu aende ccm? Itashangaza watu
@barnabasmsagamasi611
@barnabasmsagamasi611 2 месяца назад
Msigwa usije ukasema ulikuwa muhimu sana ndani ya chama cha chadema. Hata ungegombea ubunge wa CCM hutapita.
@DeejDullah
@DeejDullah 2 месяца назад
Mwambie msigwa asome comment za wananzengo😂😂
@glorymiko6830
@glorymiko6830 2 месяца назад
Petro,Petro,petro. Nimekuita mara tatu. Wacha tamaa.angalia usije jinyonga baadae.
@SirajiHamis-pc1kh
@SirajiHamis-pc1kh 2 месяца назад
Wew mungu ana kuona
@vicentbunzal7342
@vicentbunzal7342 18 дней назад
Lema na lisu hao ndo watakuja kuwa viongozi wakuu kwenye chama mbowe akisitaafu,maana hao wana uchungu wa kweli na lasilimali za nchi hii,hawawezi kwenda chama chakavu hao.chadema hata muisemeje sisi wanaichi ndo tuna imani nayo
@LucianSanga-q8j
@LucianSanga-q8j 2 месяца назад
Ukiwa Mchungaji Wa Mifugo ni Raisi sana kuwa Mwana siasa Lakini kuwa Mchungaji Wa kiroho sio Raisi kuwa Mwana siasa kwakua Mwana siasa saa zote sio Mkweli Siuna ona Msigwa Alitu ongopea Akiwa Mwenyekiti Wa Kanda ya Nyasa Ameshindwa huko Ame Anza Uongo Mwingine Sasa Hadai katiba Tena Ana Itaka hihi Aliyokua Ana ikataa Tuwe Macho
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 2 месяца назад
Msigwa huna hata aibu umenunuliwa na ccm kama kifaransa cha kuku🤣🤣🤣🤣 pole sana yote unayo fanya ya kumtukana mbowe, yalishafanywa na kina waitara, Silinde, lijualikali, katambi na wengine wengi walio hama chadema kwa kunuliwa na ccm lakini chadema bado iko imara wewe unafanya marudio tu huna jipya
@paull8659
@paull8659 2 месяца назад
Sawa Bwana Msigwa ungeshinda uenyekiti wa kanda ungebaki. Hivyo wewe unataka madaraka tu..
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 2 месяца назад
Whose Peter Msigwa kwa sasa hivi reptation yake na sasa anaweza akawa muuza viazi. Huna cho chote cha uchungaji kwa sababu ungekuwa mchungaji usingekuwa unaongea mambo yakuonyesha kuwa unauchungaji? Kumbe ulikuwa chini sana kabla ya kuingia CHADEMA. Usisshau kule ulikotoka.
@emanuelurio-ok8yl
@emanuelurio-ok8yl 2 месяца назад
Kuna siasa safi na uongozi bora. Hivyo kuna siasa mbaya na uongozi dhaifu ki yume chake. Msigwa anachafua chadema sasa anasifia chamade gani? Ccm aliyoichafua kw. Miaka 17 au!
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 2 месяца назад
Huyu jamaa huenda ikawa kweli lkn Sina uhakika koz hatukutegemea kama msigwa ataenda ccm
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 2 месяца назад
Hata Yesu unamsaliti leo utashindwa kumsaliti Mbowe?
@raphaelmacha1173
@raphaelmacha1173 2 месяца назад
Baba yangu alinifundisha kuwa unapozungumza uwe na akiba ya maneno kwa hiyo ndugu yangu ujifunze kuwa na akiba ya maneno chadema ni chama ambacho hakifungamani na ccm ndio maana wanakufundisha nini cha kusema wewe ni kama kasuku
@GidisonMarco
@GidisonMarco 2 месяца назад
mjinga sana
@JosephMosabi
@JosephMosabi 2 месяца назад
Ungetengeza sera za kuisaidia chama ulichohamia sio kukisema chama ulichotoka,kama mke aliyeachika
@GeraldTarimo
@GeraldTarimo 2 месяца назад
Umegombea uenyekiti wa kanda mara 2 uengeachia wengine na mbowe angeachia.
@philipongenzatv
@philipongenzatv 2 месяца назад
Keep qure
@emmanuelmarko8442
@emmanuelmarko8442 2 месяца назад
Rufaa ukata ya nini?
@nedlly2
@nedlly2 2 месяца назад
Mbowe kuacha kukubeba msimu huu ndipo shida ilipoanzia! Unapenda sana mbeleko wewe!
@thetas08
@thetas08 2 месяца назад
Njaa mbaya sana ukiwa na njaa huwezi uvumilivu utu wako unauuza mapema sana mwalimu nyerere alisema.
@TwalibuKimaro-th5mv
@TwalibuKimaro-th5mv 2 месяца назад
Ungekua na akili ungeanzisha chama na siyo kukimbilia ccm kilichkupeleka huko ni rushwa tu
@FikiriniMwaluko
@FikiriniMwaluko 2 месяца назад
Kweli akili ni nywele kila mtu anazake !!! Ulihamia huko juzi juzi umebebeshwa bango la samia na ukachekelea kukunja ngumi nongwa duuu!!!
@emmanuelmarko8442
@emmanuelmarko8442 2 месяца назад
Huyu jamaa atapata shida sana. Anatapatapa alipenda starehe sana kitega uchumi chako ni sehemu ya kuogesha magari. Sasa hata uongee ni kazi bure atakujibu nani? Unajikweza na kujilinganisha na mh Mboe huwezi kumchafua hata kidogo kukaa kimya kwa viongozi wakuu wa chadema ni jibu pia. Unatumika kumpaisha mboe juu zaidi. Hoja zitakapokuishia utaanza kuongelea ya familia yako kichwa chako hakipo vizuri. Ngoja tuwaambie wakakupime mkojo ili tujue unasumbuliwa na nini mpenda vyeo msigwa.
@Peterchipemba
@Peterchipemba 2 месяца назад
Ivi Elimu ya msigwa ni darasa la ngapi...
@MagakaManyanya
@MagakaManyanya 2 месяца назад
Anasema hakuna safu nzuri ya uongozi chadema. Je ccm ipo. Mengi yakijipanga ni yale manyonyaji. Naomba nikupangie safu ya chadema. Freeman mbowe, John heche, mnyika, lema, mwakajoka, sugu, lissu, suzan kiwanga, devota minja, chifu kalumuna, mdude, John pambalu, cathelini ruge, mwaipaya, kenani
@TrustElbashil
@TrustElbashil 2 месяца назад
Maisha Sasa ivi ni mazuri sababu amenunuliwa na CCM
@AnthonyKisondella
@AnthonyKisondella 2 месяца назад
Msigwa are you serious...!?. Lissu akufuate wewe CCM!? au Lema akufuate wewe CCM!? .. this is mere Joke of highest order..!
@reginas1832
@reginas1832 2 месяца назад
Hahaha devil is a lier
@oseamkama
@oseamkama 2 месяца назад
Mara nyingi sna nafufatilia mch but kitu nilichogundua kutoka wako unauchungu ndani ya moyo kwasababu ya madaraka
@luthermartin1098
@luthermartin1098 2 месяца назад
Wewe Mzee muogope Mungu acha kusema uongo wewe vile umeshaa Hamaaa mbona inakuwasha nini? Mbona huachi kuzungumza mambo ya CDM?
@NixonJohnson-r4m
@NixonJohnson-r4m 2 месяца назад
😮
@JoyaJoyachotimbao
@JoyaJoyachotimbao 2 месяца назад
Wewe ni mbinafsi sana unataka vyeo tu njaa itakuua
@leomika8473
@leomika8473 2 месяца назад
Kwanza usimuhite mchungaji. Ana sifa hiyo uwezi kula rushwa ukawa nakiburi hasira eti nimchungaji
@DanieliMtangi
@DanieliMtangi 2 месяца назад
Huyu msigwa tapeli njaa Kali tumpuuze Jana hoja
@abrahamnyagawa1304
@abrahamnyagawa1304 2 месяца назад
Kama hivyo ndivyo,mbona umekuwa huko kwa miaka yote? Huna jipya,na unakwenda kuchakaa vibaya.
@ezekielmirambo8704
@ezekielmirambo8704 2 месяца назад
Wasaliti wataendelea kuwepo!
@MagakaManyanya
@MagakaManyanya 2 месяца назад
Ccm haina radha tena. Unatetea ujinga. Baada ya nyerere mbowe ndiye kiongozi anayefuata kwa kutetea watu. Unajua ww watu wanakushagaa
@V24hrs
@V24hrs 2 месяца назад
Eti Mbowe alikimbilia ikulu hata koti halijanyooshwa😂😂😂
@manasesaitoti
@manasesaitoti 2 месяца назад
Wakati unapokelewa wengine hawapigi hata makofi unapenda vyeo ungeshinda isinge hama, huna lolote
@fadhilimoshi5754
@fadhilimoshi5754 2 месяца назад
Sasa kwenda ccm ndo utatoa ajira za vikana tunakusubiri tuone vinginevyo fimbo tuu?
@anyelwisyestephen4690
@anyelwisyestephen4690 2 месяца назад
Ukitaka kujua au kupima afya ya akili ya mtu usimfurahishe muda wote bali muudhi kidogo ili ujue yaliyo ndani ya kifua chake.
@bakariiddy5387
@bakariiddy5387 2 месяца назад
Njaaaaaaaaaaa
@seifjuniorrashid7597
@seifjuniorrashid7597 2 месяца назад
Kwel sisi wachin hatujui ....mi nmekuelewa....prof safar kitila n.k wako wap????😢😢😢
@gidongailo7174
@gidongailo7174 2 месяца назад
Ameshaanza kupauka kisiasa😂😂
@asherykambona9168
@asherykambona9168 2 месяца назад
Maana peter ni Petro yaani Msaliti
Далее
怎么能插队呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:12