Тёмный

ABDUL NONDO ajilipua UTEUZI WA RAIS SAMIA amtaja " KIKWETE " 

MwanaHALISI TV
Подписаться 313 тыс.
Просмотров 5 тыс.
50% 1

🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 692 318213)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

Опубликовано:

 

7 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 23   
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 Месяц назад
Hii nchi inaviongozi vituko sana ani family inatawala nchi kma wafalme
@simbeyekingsministrytv9035
@simbeyekingsministrytv9035 Месяц назад
Powerful advice
@user-fw6dp9iy4i
@user-fw6dp9iy4i Месяц назад
CCM B Mna serikali ya umoja Kyle Zanzibar Kati ya CCM na AcT ,SASA unadanganyaje watu,,,, CDM ndio upinzani Msitumwe kugawa Kura za upinzan
@JosefuSwai
@JosefuSwai Месяц назад
ACT CCM B
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 Месяц назад
Hivi nauliza hakunaga watu wengine ambao wanaweza kufanya kazi mpaka wale wale mara huyu wanamtoa huku wanarudisha kule walishaiba mpaka basi.
@JosefuSwai
@JosefuSwai Месяц назад
Kweli kaka
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im Месяц назад
Huyu kapandishwa kwa jina la baba yake
@mabondolawrence1812
@mabondolawrence1812 Месяц назад
Mmh! Zimwi likujualo.....
@user-li8zu6fp9w
@user-li8zu6fp9w Месяц назад
Duuu
@user-kr9xx8br4o
@user-kr9xx8br4o Месяц назад
Acha uongo. Rais amemwambia Waziri "akaratibu" ajira na siyo eti akatengeneze ajira.
@LaizerSaitoty
@LaizerSaitoty Месяц назад
Hakuna mtu anakuletea pesa umelala tufanye kazi tuache kelele
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward Месяц назад
Sawa bwana, ni kazi ya Uongozi kuonyesha njia. Nyerere kwenye andiko lake Safari ya Kuelekea Damascus. Anasema kiongozi lazima ajue ramani ya njia Jangwani. Kama hajui tumalazimishe ajue njia, kama hawezi hapishe. Wewe unalazimisha wenzako wakafanye kazi. Huku wewe unaogelea pesa ya umma?. Angalia masoko nchi tz chakula kimefurika na Kingine kinaoza. Raia wanataka ubunifu zaidi wao wametimiza wajibu wao. Mfano huo tu wa chakula kilichojaa kila pahali. Raia wanadai ubunifu. Wengine ukweli mkitoka ofsi za umma hamwezi kuhishi mtaani. Ofisi za umma zimewafanya kuwa na uwezo mdogo wa kufikiri. Shughuli zenu Ziko wapi?. Ujanja ujanja tu kila pembe tunaita kazi. Kazi zetu nyingi hazina haki. Ndiyo maana kila pahali Raia wanalalamika. Ukiona uwekezaji huu wa serikali mkubwa na bado raia wanalalamika hivi ujue mambo sio shwari. Kwa Viongozi simba. Wangerudi chini kuona kulikoni.
@EdwardYohana-nj9ky
@EdwardYohana-nj9ky Месяц назад
Sema unaumia mtoto wa kikwete kupewa uwaziri chukitu.wewe umebuni nini mpaka sasa au una vijjana ata wa 5 tu ulowaajiri.riziwani kashapewa sasa jinyonge
@kostajoseph5811
@kostajoseph5811 Месяц назад
NDUGU ZANGU TUSICHAGUE KAZI , ILI KUINUA TAIFA TUFANYE KAZI HALALI ILIYOKO MBELE YETU TUSIDANGANYIKE , SAMIA MITANO TENA KWAAJILI YA ELIMU YA WATOTO WETU
@AlphaxardMRusweka-jr1wi
@AlphaxardMRusweka-jr1wi Месяц назад
Mbona watoto wa wakubwa,Kwa nini ni wao tu kwenye uteuzi,Kwa nini na wao tusiwaone waendeshe bodaboda,Kwa kweli inakasirisha sana,ebu wanataka kuniambia mimi mkulima na wakukima wengine,sisi hatuwezi kuwa mawaziri ?
@GraceMassawe-ie3vq
@GraceMassawe-ie3vq Месяц назад
Act wazalendo ni ccm b wala hamna lolote
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Месяц назад
Mmmh, hana lolote huyo riziwani.
@user-gy3bv7nm7d
@user-gy3bv7nm7d Месяц назад
Maisha magumu siuende shamba ukalime hata mkichaguliwa nyie ACT na ujinga wako tutapata nini pumbavu kabisa mtoto mdogo wajitia kwenye mambo usio yaweza
@joezeno8
@joezeno8 Месяц назад
😂😂😂😂😂😂
@mrsferuzi7443
@mrsferuzi7443 Месяц назад
😂😂😂
@mrsferuzi7443
@mrsferuzi7443 Месяц назад
Halafu alijitekaga mwenyewe😂😂
@mrsferuzi7443
@mrsferuzi7443 Месяц назад
😂😂😂
@Zaitun-b9q
@Zaitun-b9q Месяц назад
Huyo tena mwanae razima amteuwe ila mama timekuchoka huna hata huruma kidogo unajari masirahi yako sio ya wananchi
Далее
ПРОСТИ МЕНЯ, АСХАБ ТАМАЕВ
32:44
Просмотров 2,2 млн
🔴LIVE: MBOWE ANAZUNGUMZA MUDA HUU
Просмотров 198
Safari ya Putin nchini Mongolia na Ukuaji wa BRICS
27:00