Тёмный

KIJANA MZALENDO Achukia"NAPE WAMEKIFANYA CHAMA KINUKE, KINANA AJIVUE KUHOJI WAKIITWA KWENYE KAMATI" 

MwanaHALISI TV
Подписаться 313 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

KIJANA MZALENDO Achukia"NAPE WAMEKIFANYA CHAMA KINUKE, KINANA AJIVUE KUHOJI WAKIITWA KWENYE KAMATI"
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 692 318213)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

Опубликовано:

 

6 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 27   
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 Месяц назад
CCM kwa ujumla wake hawatakiwi kuendeaha hii nchi tena na kama hamna mbadala wake wanatakiwa wavuliwe wote wa zaidi ya 50yrs waondoke tu wameIdi kupeana nafasi..
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b Месяц назад
Wasani ni chawa wa ccm ally kiba ndio msani wa maadili nchi hii havai heleni kusuka kutoboa kitovo mungu amubaliki
@user-xb2qd6ik6d
@user-xb2qd6ik6d Месяц назад
🙏🙏🙏
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Месяц назад
Sanaaaa tena Waandishi hawapati mishahara wanacheleweshewa mishahara muda wa miezi kadhaa kazi kuwadharau waandishi wa Habari
@littobinsuleiman4472
@littobinsuleiman4472 Месяц назад
aisee kumbe mama hajakosea wapo kwa maslahi Yao wateule wake baadhi
@martinchambala9399
@martinchambala9399 Месяц назад
Nakuelewa kaka
@user-cj2iq1qv6n
@user-cj2iq1qv6n Месяц назад
CCM KUIBA UCHAGUZI WANAIBA KWELI HUYO MAKALA NA WENGENE KUMKATA NAPE WANAONA AIBU KWAKUA NAPE KAVUJISHA SILI
@arnoldkessy5106
@arnoldkessy5106 Месяц назад
Nyinyi si mmeshasema Kariba ni kitabu?
@duniakidogo8516
@duniakidogo8516 Месяц назад
Nyie, msiojulikana ni kwa nini mnasubiri mpaka yaende ndivyo sivyo ndio myazungumze? Kinga ni bora zaidi
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Месяц назад
Dunia yamezungumziwa sanaaaa mitandaoni utoaji wa maoni mitandaoni sasa yamefikia mwisho
@ShabaniMukose
@ShabaniMukose Месяц назад
Viongozi wakishiki nao kufañya biashara haki haiwezi kufanyika?
@tzonespices9734
@tzonespices9734 Месяц назад
Katuvurugia chama chetu saana.
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf Месяц назад
Hapo kw bando abanwe aporwe na pasiporti asije toroka na fedha zetu angalau zijege hata zahanati
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward Месяц назад
Kizuri kipi kuzuia wizi au kutafuta mali iliyopotea?
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward Месяц назад
Chuki tu, Bunge lilikuwepo kushauri au kukataa. Kilio cha samaki
@tzonespices9734
@tzonespices9734 Месяц назад
Kweli mama umesema ukweli uongozni sawa na nguo tu. Wengine ukishawateua wanajifanya wamefika wanaongea na wananchi kama wanaongea na watotowao. Mfano mkuu wa mkoa wa Dar. Alivyoongea na wafanyabiashara
@richardmuyango9157
@richardmuyango9157 Месяц назад
Kwenye bando ndio katuua kabsaaaa
@NickTajir
@NickTajir Месяц назад
Vizuri nakuunga mkono fanya uchunguzi
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 Месяц назад
Msomari
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf Месяц назад
Shida siyo Kinga hata ukikinga husikilizi mfano wizara ya fedha si imnapigiwa kelele ila wapo kimya jeep hapo unakingaajee ni mpka mamlaka ya uteuzi iamuwe Hilo ndo jibu
@tumsifuweraufoo5380
@tumsifuweraufoo5380 Месяц назад
Unajitam Sasa mnafundisha nini watanzania,nyie sio mnatuibia bando
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 Месяц назад
Wazo lako Kinana naye katoka
@efraimjohn4956
@efraimjohn4956 Месяц назад
Kwenye familia ya kizalendo unakosea, sio kwamba kama babaake alikuwa na nafasi hko serikalini basi ni familia ya kizalendo no
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward Месяц назад
Wakulima wa nchi hii ndio wamebaki wazalendo
@saukamshomi8736
@saukamshomi8736 Месяц назад
nape hana lolote zaidi ya kutupandishia bandol
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Месяц назад
What a vague off point interview! So much annoying, so much dismaying!
Далее
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
Просмотров 40 млн
🛑 ты за кого?
00:11
Просмотров 34 тыс.
KAULI ZA NAPE NA KASHKASH ZILIZOWAHI KUMKUTA
6:48
Просмотров 150 тыс.
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
Просмотров 40 млн