Тёмный

SIRI NZITO YA KIROHO NYUMA YA SIKU YAKO YA KUZALIWA // BIRTHDAY 

SIRI ZA BIBLIA
Подписаться 117 тыс.
Просмотров 20 тыс.
50% 1

Ayubu 3:1
Baada ya jambo hili, Ayubu akafumbua kinywa chake na kuilaani siku ya kuzaliwa kwake.
Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
linktr.ee/siri...
Instagram Account
/ siri_za_biblia
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 98   
@colethakahemela3713
@colethakahemela3713 4 месяца назад
Hallelujah. Ibarikiwe siku yangu ya kuzaliwa pamoja na watoto wangu , Amina
@alicemokiwa1201
@alicemokiwa1201 4 месяца назад
Eeh Mungu naomba uitakase siku yangu ya kuzaliwa,siku ya kuliwa mwanangu ikaenende vile utakavyo bwana,tuwe watumishi wako daima,ukatujaalie riziki na neema ulizozibariki siku ya kwanza ya kuzaliwa kwetu, amen
@NaomiAlly-xv2vx
@NaomiAlly-xv2vx 4 месяца назад
Naibariki siku niliozaliwa asante mungu kuwa kuweka nizaliwe siku hii
@RegnaPaulosumuni
@RegnaPaulosumuni 4 месяца назад
Kuanzia leo siku ya kuzaliwa mimi naibaliki na asante mungu kwa kunichagulia siku hii nizaliwe mimi najua unakusudi na siku hii baba mibalaka hiyo niambatane nayo,,,, amina,
@harry5395
@harry5395 5 месяцев назад
I received it, leo ni siku yangu ya kuzaliwa. Mungu nipo hapa Duniani kwa mpango wako. Amen 🙏
@Phinvan_tz
@Phinvan_tz 3 месяца назад
Ibarikiwe siku yangu ya kuzaliwa niwe na maisha mazuri ya kumpendekeza Mungu. Amen 🙏🏾
@evelinakungi2854
@evelinakungi2854 2 месяца назад
Naibariki siku yangu ya kuzaliwa pamoja na mwanangu Amen
@esterheri9592
@esterheri9592 5 месяцев назад
Ooh hallelujah Baba Niko hapa nifinyange unifanye mpya 😩 na itakasa siku yakuzaliwa kwangu🙇🙇🙇🙇
@sarahfeni1866
@sarahfeni1866 5 месяцев назад
ASANTE SAAANA MUNGU BABA KWA HIYI SIKU NIMEONA NEEMA YAKO SIWEZI KUWELEZA 🥳🥳🥳🙏🙏🙏🙏
@anethmichael6888
@anethmichael6888 5 месяцев назад
Amen in Jesus name,barikiwa Sana mtumishi wa Mungu
@marklenana4394
@marklenana4394 14 дней назад
Naibariki siku yangu ya kuzaliwa Amen 🙏
@RahelMrope
@RahelMrope 5 месяцев назад
Amina Mtumishi, Mungu nifanye mtu wa tofauti kabisa,adui asinipate Kwa njia yoyote ile
@keithsteward-l3h
@keithsteward-l3h 2 месяца назад
I do like your scriptures sir... May the almighty bless you with more knowledge
@heavennkya3258
@heavennkya3258 4 месяца назад
Ee Mungu itakase siku ya kuzaliwa unifanye niwe mpya Amen❤
@msambwej
@msambwej 5 месяцев назад
Amen, mtumishi ahsante sana kwa haya mafundisho. Mungu akubariki sana
@CalvinElimiliki
@CalvinElimiliki Месяц назад
habari pastor sijapata kukuelewa kwa undani
@Linahlovely
@Linahlovely 5 месяцев назад
Asante Kwa Neema kubwa uliyonijalia M/Mungu
@GeorgeCosmas-nt2fo
@GeorgeCosmas-nt2fo 4 часа назад
Ni kweli bc mtumishi
@ELIYAMWANA
@ELIYAMWANA 3 месяца назад
Ame
@Ashaomaryibrahimu
@Ashaomaryibrahimu 5 месяцев назад
Namshukuru mungu nmefungua sm nakutana na ujumbe wako naaamini wewe ni mussa wangu maana nimechoka nipo kifungoni huuni mwaka wa ishirini sijui mshahara wangu unamilikiwa na adui
@Kalapwe
@Kalapwe 2 месяца назад
Ibarikiwe siku yangu Amina pasteur
@gracemachongwe431
@gracemachongwe431 5 месяцев назад
Shukurani Mtumishi wa MUNGU kwa mafundisho mazuri. Naomba uwe unaandika tarehe ya siku kwa kila somo unalolifundisha ili iwe rahisi kufuatilia hasa kwenye somo ambalo lina uendelevu ( series). Asanteee
@moseskulola6913
@moseskulola6913 4 месяца назад
Mungu akubaliki sana muchuganji unanibaliki sana na siri as biblia
@florencewambua7866
@florencewambua7866 5 месяцев назад
Kwa Neema ya mungu niwe mtu wautafauti Kwa wengine
@Pendokayuni
@Pendokayuni 5 месяцев назад
Amen asante Mungu wangu akubaliki
@orinahnyuki503
@orinahnyuki503 5 месяцев назад
Mbona unazunguka tuu, nenda kwenye point..
@beatriceyosia1459
@beatriceyosia1459 5 месяцев назад
😂😂
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 5 месяцев назад
😅😅😅😅😅
@UwajenezaJazira-cv7et
@UwajenezaJazira-cv7et 5 месяцев назад
Amina Mungu kutureta dunia hii bariki talehe ya kuzariwa kwangu
@ChristinaCharles-py1ct
@ChristinaCharles-py1ct 5 месяцев назад
Mungu nibariki nikumbushe kuikumbuka siku yangu ya kuzaliwa.
@nicodemianarose5216
@nicodemianarose5216 5 месяцев назад
Ameen Pastor barikiwa sana unatungua ufahamu kuna vitu tulikuwa hatijuik kuhusu siku zetu za kuzaliwa
@MaryNickson-z3q
@MaryNickson-z3q 5 месяцев назад
Asante Yesu kwa neema hii kubwa uliyoitoa kwangu
@RosemaryCharles-o9j
@RosemaryCharles-o9j 5 месяцев назад
Asantee mtumish nimejua Siri ya ck yakuzaliwa, ubrikiwe sana
@RidathJaphece-dr2bu
@RidathJaphece-dr2bu 5 месяцев назад
Hii ni neema ya Bwana maana siku yangu ya kuzaliwa ndo inakaribia, naitaji nguvu zako na upoko wako unishukie Katika maombi yangu niombe kwa Imani ya ajabu na yenye kishindo Ndani yake
@FeliciteNiybitanga
@FeliciteNiybitanga 5 месяцев назад
Ameen! Furahiya mwezi wako NA MUNGU APEWE SIFA
@TresorMukamba
@TresorMukamba 5 месяцев назад
Mungu namini mumoya kama yéremia nimejita mbuwa nimtoto nju siwezeku sema japo mungu aliongeya nawatu mishi yak mieni kuhani mkubwa japo sieziku sema sinama neno japo bible nimeisoma lakini neno ainiba kiye amo lakini minai saabu
@IsabelaKisaka
@IsabelaKisaka 4 месяца назад
Ameen
@florencewambua7866
@florencewambua7866 5 месяцев назад
Mungu naitaji mtu tofauti na wengine Amen
@Ashaomaryibrahimu
@Ashaomaryibrahimu 5 месяцев назад
Naomba mungu anifungue kiuchumi na biashara
@LoisaJumma
@LoisaJumma 5 месяцев назад
Amina mim siku yangu ilikuwa Jan siku yakuzaliwa nashukul nimejifunz
@florencewambua7866
@florencewambua7866 5 месяцев назад
Mimi nipokea katika Jina la Jesu Kristo Amen
@witheymunis911
@witheymunis911 5 месяцев назад
Eeh Mungu mwez huuu ukawe wa tofauti kwanzia sasa
@juliussulana5343
@juliussulana5343 5 месяцев назад
Mungu naomba uitakase tarehe yangu ya kuzaliwa na mtoto mwanangu na mume wangu pia ili tuweze kujua kusudi katika maisha yetu 😢
@MpokiMwangoka
@MpokiMwangoka 5 месяцев назад
Nashukuru Mungu nimejifunza kitu kipya
@Kalapwe
@Kalapwe 2 месяца назад
Amina pastor
@SophiaAnacleth-cr2ns
@SophiaAnacleth-cr2ns 4 месяца назад
Amen
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 5 месяцев назад
Amen asnte Yesu kwa kunifunulia siri
@MarieMakiwa
@MarieMakiwa 5 месяцев назад
Amen yesu uni finyange upendavyo
@lucyjuma3960
@lucyjuma3960 5 месяцев назад
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
@Dorcas_Mtimbo
@Dorcas_Mtimbo 5 месяцев назад
Ee mungu naombea siku yangu ya kuzaliwa
@nonveroniquejohn
@nonveroniquejohn 5 месяцев назад
Yehova masiku za wanangu za ku zaliwa uzi bariki bb
@RidathJaphece-dr2bu
@RidathJaphece-dr2bu 5 месяцев назад
Ahsante Bwana kwa wema na rehema zako kuu
@WinfridaMakina
@WinfridaMakina 5 месяцев назад
NINAKUSHUKURU YESU
@RahelMrope
@RahelMrope 5 месяцев назад
Nimezaliwa mwezi huu Mtumishi
@MaseaKerry
@MaseaKerry 5 месяцев назад
Asante Yesu kwa mafundisho haya
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 5 месяцев назад
Ameeeen Barikiwa sana mtumish❤❤
@MarieMakiwa
@MarieMakiwa 5 месяцев назад
Amen Mtumishi na mungu akubariki
@setds-ey2qs
@setds-ey2qs 5 месяцев назад
Amen mtumishi mungu akubariki sana
@evansmahate
@evansmahate 5 месяцев назад
Asante mtumishi amen
@LeonidaMayage-gu8vu
@LeonidaMayage-gu8vu 5 месяцев назад
Amina
@EdmundTemba-yl9ke
@EdmundTemba-yl9ke 4 месяца назад
Halleluya
@witheymunis911
@witheymunis911 5 месяцев назад
Nimezaliwa mwez huu
@evalynependo3824
@evalynependo3824 5 месяцев назад
Ameeeeeeeennnnnn
@Ramamfangavo
@Ramamfangavo 4 месяца назад
Aminaaaaaa
@WinfridaMakina
@WinfridaMakina 5 месяцев назад
MUNGU NISAIDIE
@AsiaH-jf5fo
@AsiaH-jf5fo 5 месяцев назад
Amina barikiwa nabwana
@marymaria6544
@marymaria6544 5 месяцев назад
Amen asante bwana
@isaacnandwaogutu
@isaacnandwaogutu 5 месяцев назад
Amen and AMEN
@vailetheanyambilile9749
@vailetheanyambilile9749 5 месяцев назад
Asante Mungu
@redemtamatay5716
@redemtamatay5716 5 месяцев назад
Ameeen
@alicemwaka3762
@alicemwaka3762 5 месяцев назад
Emeeeeen
@leontinebinlydi9459
@leontinebinlydi9459 5 месяцев назад
Amen 🙏
@AsiaH-jf5fo
@AsiaH-jf5fo 5 месяцев назад
Asante sana ❤❤
@josephjmatmwangi
@josephjmatmwangi 5 месяцев назад
amen
@Sifa_film_tv72
@Sifa_film_tv72 5 месяцев назад
Ameen🙏
@nurubushirianelkas8681
@nurubushirianelkas8681 5 месяцев назад
Amen 🎉🎉
@nonveroniquejohn
@nonveroniquejohn 5 месяцев назад
Ibariki siku yangu ya kuzaliwa 😭
@AlkebulanDumas
@AlkebulanDumas 5 месяцев назад
Asante
@nurubushirianelkas8681
@nurubushirianelkas8681 5 месяцев назад
🙏 🙏 🙏
@StellaHailonje
@StellaHailonje Месяц назад
Mamaangu mwenzenu haniambii siku na tar nilozaliwa nipo na tarehe ya kukisia tu nafanyaje eti
@neemakarisa1496
@neemakarisa1496 5 месяцев назад
🙏🙏❤️❤️
@WinfridaMakina
@WinfridaMakina 5 месяцев назад
12.5
@AsiaH-jf5fo
@AsiaH-jf5fo 5 месяцев назад
🙏🙏🙏🙏🙏🤝🤝
@josephgalandu128
@josephgalandu128 5 месяцев назад
Mafundisho hayaeleweki,kama baba na mama yangu walibakana ikatungwa,na nikazaliwa usiku,u siku ya vita,halafu nimeokoka nimesafishwa hio laana ya siku ya kuzliwa inakujaje?GALATIA 3:10-12 JAMANI TUWE MAKINI,JAMA NI MPIGA STORY TU KAMA STORY ZINGINE
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 5 месяцев назад
Hakika ndugu unahitajika umakini wa hali ya juu
@achawanunetv1167
@achawanunetv1167 3 месяца назад
Unaongea sana Wewe nenda kwenye point
@papy2169
@papy2169 5 месяцев назад
Umenifungua akili. Kwaiyo sio dhambi kusherekea birthday
@Kalapwe
@Kalapwe 2 месяца назад
Ibarikiwe siku yangu Amina pasteur
@IsabelaKisaka
@IsabelaKisaka 4 месяца назад
Ameen
@DorcasDori-p2n
@DorcasDori-p2n 5 месяцев назад
Amen
@gukawafly
@gukawafly 5 месяцев назад
Amen and Amen
@MerryPaul-y4y
@MerryPaul-y4y 5 месяцев назад
Amen 🙏
@sophiaAmhimedi
@sophiaAmhimedi 5 месяцев назад
amen
@FRANCISKINYANJUI-gi8tl
@FRANCISKINYANJUI-gi8tl 5 месяцев назад
Amen
@Neemaezekiel2
@Neemaezekiel2 5 месяцев назад
Amen
@SleepyGiraffes-ub6jh
@SleepyGiraffes-ub6jh 5 месяцев назад
Amen
@LydiaWangari-lc2tl
@LydiaWangari-lc2tl 5 месяцев назад
Amen
Далее
UPEPO UNAOTUMWA NA ADUI KUHARIBU MAISHA YAKO
15:01
Просмотров 2,8 тыс.
KAULI ZA KUTAMKA KWENYE MAOMBI YAKO ILI UJIBIWE HARAKA
14:35
Israel Mbonyi - Nina Siri
11:11
Просмотров 63 млн
MAOMBI YA ASUBUHI  REV  MUHORO
40:06
Просмотров 24 тыс.
MAENEO MANNE AMBAYO FEDHA IMEJIFICHA - JOEL NANAUKA
5:52
DUNIA (Ep 06)
20:48
Просмотров 15 тыс.
NJIA KUU TATU ZA KUMSIKIA ROHO MTAKATIFU
19:24
Просмотров 245 тыс.
NYOTA ILIYOWEKWA MIKONONI MWAKO // UTAJIRI NA HESHIMA
14:37