Eliud Mungu azidi kukupa ubunifu wa namna ya kuchekesha, Kuna kitu nimeikiona lakini mimi sijaelewa mahali ninapoweza kufikisha maoni yangu, naomba wachekeshaji waache kutumia lugha za matusi yasiyo wazi, lakini tunaangalia na watoto mnatufanya tujisikie.vibaya, mambo ya chumbani yabaki huko yasiletwe hadharani hata kwa mafumbo, watoto wamekuwa welevu, wanaelewa. Nanyie pia mnawazazi na watoto, msijifanye kama hamjui mnachofanya, mnaharibu.