Тёмный

ALICHOKIFANYA MC ELIUD KWENYE WAISA (DOUBLE IMPACT PART 1) 

Eliud Samwel
Подписаться 101 тыс.
Просмотров 448 тыс.
50% 1

#Waisacomedy #comedy

Приколы

Опубликовано:

 

20 янв 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 384   
@user-vz7qe8im6d
@user-vz7qe8im6d 5 месяцев назад
Dah eliudi nakupenda sana anaempenda pia gonga like
@jullyhandmadecards
@jullyhandmadecards 5 месяцев назад
Mungu anakushika mkono Eliud...mweeh mweeh mweeh usije ukamuacha huyo Mungu wako......anakupambania
@KidotiTwiga
@KidotiTwiga 5 месяцев назад
Lamata village mna umoja sana Mungu awabariki❤️
@fatumahashimmcheni9610
@fatumahashimmcheni9610 5 месяцев назад
Kazi ya Lamataaa
@monicakiwia5649
@monicakiwia5649 5 месяцев назад
Eliud anaongea kama masikhara lakini hivyo ndivyo ilivyokua na wazee wetu kila ifikapo skukuu jamani I miss those days sana
@user-uh2qv6wf5k
@user-uh2qv6wf5k 5 месяцев назад
Ni kakako eeeh
@MuharamiKaposo-qt9cy
@MuharamiKaposo-qt9cy 5 месяцев назад
Eliud ni mchekeshashaji natural, hatumii nguvu kabisa. Kila neno lake ni kiburudisho😂
@user-dy7cw6yk6h
@user-dy7cw6yk6h 5 месяцев назад
Jua kali mtanivuja mbuvu zangu😂😂😂😂😂
@user-se4gi2or6o
@user-se4gi2or6o 5 месяцев назад
Kibibi axnte Kwa kumsapoart anganile wetu
@rev.musabalalarogersmusabalala
@rev.musabalalarogersmusabalala 5 месяцев назад
Ninakupenda sana Eliud Mungu akutunze
@rahelihaule
@rahelihaule 5 месяцев назад
Jamani Eliudi Mimi Raheli Rechol WA njombe nimekukosea nini jamani 😂😂😂😂
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 5 месяцев назад
Naiona tim jua kali ramata frank na wengine😂😂 mbarikiwe
@user-yd8fh6qn5q
@user-yd8fh6qn5q 5 месяцев назад
Nawapenda Sana timu jua Kali ❤❤❤
@user-vi4sz4fq9h
@user-vi4sz4fq9h Месяц назад
Namukubali sana Mungu atuweke sote tuzidi frahi
@godfreycomedias9181
@godfreycomedias9181 5 месяцев назад
Mzee Eliud we nihatari baba, bora uzima tu ✌️ mr Godfrey comédy from uganda 🇺🇬🙏
@esterstaphord5184
@esterstaphord5184 5 месяцев назад
Juakal team nimewaonaaa ...stay blessed
@user-vx1cz3rc2u
@user-vx1cz3rc2u 5 месяцев назад
😂😂😂😂 nampenda eliud anavoongea
@user-oy4hn9rf4l
@user-oy4hn9rf4l 5 месяцев назад
Nimefurahi sana kumuona Jasiri wa PETE
@user-wf7bj1so8g
@user-wf7bj1so8g 5 месяцев назад
tunamwona kibibi tujuane
@user-bd2re1cj9u
@user-bd2re1cj9u Месяц назад
Eliud unajua sana... Nimekupenda bure Bwana Yesu azidi kuwastawisha.❤🙌
@frankabdallah5054
@frankabdallah5054 5 месяцев назад
😂😂😂Mungu akubariki sana bro, uko na talent kubwa sana
@user-jn7pi4fl5m
@user-jn7pi4fl5m 5 месяцев назад
Nimecheka sana sate mjomba ake diba😂😂😂😂
@adamfumbo5116
@adamfumbo5116 4 месяца назад
Hongera boss wangu umefanya pakubwa boss
@HonorinaSimba-tw6ke
@HonorinaSimba-tw6ke 5 месяцев назад
Hongera sana broo sio Kwa bahat mbaya ndo Nia na madhumuni ya watanzania hatupendag kuwadharau watanzania wenzetu tupo nyuma Yako tembea kifua mbele❤❤
@franktiba1506
@franktiba1506 5 месяцев назад
Wow nmependa nmemuona Kibibi asanteni kwa upendo
@PaschalThomas-dm8by
@PaschalThomas-dm8by 5 месяцев назад
Mimi kama mimi cha nyumbani ni Bora kuliko chochote @eliud unajua mwanangu mpk kero😂😂😂😂
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 5 месяцев назад
Nampenda sana eliudi,😂😂😂😂😂😂😂
@asiamsemo6172
@asiamsemo6172 5 месяцев назад
Eliud wew sio mzima wallah😂😂😂
@matronmkenda3510
@matronmkenda3510 5 месяцев назад
Najiuliza wanaoishi na huyu jamaa si watakua na mbavu zimechoka sana
@ahz6907
@ahz6907 5 месяцев назад
Yupo kazini hapo 😂
@matronmkenda3510
@matronmkenda3510 5 месяцев назад
@@ahz6907 😂😂
@audaxbizimana8084
@audaxbizimana8084 Месяц назад
Yaani huyu jamaa anafanya vitu vya kipekee
@Wami-Sababisho
@Wami-Sababisho 3 месяца назад
Eliud wewe sio mzima kijana wangu🤣🤣🤣🤣🤣, nimecheka sana story ya kulamba katoto mkono 😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
@issasanga8509
@issasanga8509 Месяц назад
😂😂😂😂ako ni noma sana
@maryojungu8647
@maryojungu8647 5 месяцев назад
Nampenda Sana uyu mkaka❤❤...Utacheka tu
@edinamyovela4422
@edinamyovela4422 5 месяцев назад
Nawapenda sana team Juakali mnanipa rahaa
@VedastoKeya-vt8pf
@VedastoKeya-vt8pf 3 месяца назад
Mshikaji anachekesha halafu yy yupo comftable
@mosesnassary6720
@mosesnassary6720 5 месяцев назад
Mwaisaaaa mtu mbaadiiiiii😂😂😂🔥
@majutoeliasi
@majutoeliasi 5 месяцев назад
Namuona kajala
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 2 месяца назад
UNACHEKA MWANZO MPAKA MWISHO NA HUCHOKI UNATAMANI IENDELEE,,TALENTED
@emmanuelkato2375
@emmanuelkato2375 5 месяцев назад
Kaka unajuwa sanaaa Mungu azidi kukuonyesha njia ya kwenda juu zaidi
@thebios2553
@thebios2553 5 месяцев назад
Kuna kitu ameongea eliud ni comedy ila ni moja ya vita safi sana kwenye familia zetu za zamani Kuna watu tuliishi nao vzr na Wala sio ndugu ila tulikaa nao nyumbani vzr kama ndugu
@barakacmwanza
@barakacmwanza 5 месяцев назад
𝙉𝙖𝙠𝙪𝙢𝙗𝙪𝙠𝙖 𝙨𝙖𝙣𝙖
@janethgeorge5791
@janethgeorge5791 3 месяца назад
Shangazi hataki kukaaa😁
@joiriawanjala8497
@joiriawanjala8497 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nakupenda sana eliud yani sura yenyewe n kichekesho kabisa😂😂😂naona kaka frank anavyoisha kwa kicheko....big up to all jua kali family mnaushirikiano sana 🇰🇪🇰🇪
@hawagwao8352
@hawagwao8352 5 месяцев назад
that is gd wasanii kumsprt🥂
@user-pi6ye5fb4s
@user-pi6ye5fb4s 5 месяцев назад
Nakupenda sana unajua
@BenjaminMetanyau
@BenjaminMetanyau 14 дней назад
Kuna mda tunakaaga tunalia2😂😂😂 mwanangu umetisha sana nimeipenda hiyo
@elskimalatukengela1058
@elskimalatukengela1058 5 месяцев назад
Wanyakyusa 🙌🙌
@wa-mbeyaTv4725
@wa-mbeyaTv4725 5 месяцев назад
Nsekile mpk katile fwituuu😂😂😂😂😂😂😂 mmenye gweliwe
@tusajigwengondya
@tusajigwengondya 5 месяцев назад
Fyutu fyo fiki
@janekapoya4733
@janekapoya4733 3 месяца назад
Nakuelewa sana Bwana mdogo mc Eliud
@rahelyngogo771
@rahelyngogo771 5 месяцев назад
😂😂😂jamani umenikumbusha mama gulooo mweeeee
@samwelimwaim7136
@samwelimwaim7136 5 месяцев назад
Nakukubali sana ndugu MUNGU AENDELEE KUKULINDA na kukupgania Katka Kaz zako,
@sarahmsambule5235
@sarahmsambule5235 5 месяцев назад
Nusa si kwetu tayari 😂😂
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 5 месяцев назад
😂😂😂atimae wakazi kacheka
@HeryMwakyusa
@HeryMwakyusa 5 месяцев назад
Brother tunashukulu kwa kutuwakilisha wanyakwusa.
@FatinaKiondo-ke9tq
@FatinaKiondo-ke9tq 5 месяцев назад
Hahahahahah umenimalizia bando🤣🤣🤣🤣
@samwelimadaraka4358
@samwelimadaraka4358 5 месяцев назад
Team jua kali nawaona hapo ❤
@richardmhagama5028
@richardmhagama5028 5 месяцев назад
Team Jua Kali .... Mwali mindu...
@sherry7339
@sherry7339 5 месяцев назад
Eliud weee ni nyau kabisaa😂😂😂
@janethjustin5256
@janethjustin5256 4 месяца назад
One of My Best Comedian 😅😅😅😅😅😅😅
@FREDCHILUMBA-hf5dm
@FREDCHILUMBA-hf5dm 5 месяцев назад
🤣🤣🤣🤣 unajua sana broo
@salomenashon5864
@salomenashon5864 5 месяцев назад
Anganile😂 umenichekesha sana😅
@lyrics_forum
@lyrics_forum 5 месяцев назад
Juakali Imesababisha Tumenunua Dstv sio Mchezo kabisa 😂
@janethmshahara4048
@janethmshahara4048 5 месяцев назад
😅😅😅😅😅😅😅 ety mikikimikiki kama ya Farida
@sayozmediatv6021
@sayozmediatv6021 5 месяцев назад
Pongezi kwako kijana safi sana
@rithaferdinand3738
@rithaferdinand3738 5 месяцев назад
Waooooh kaka Fule kafurahi mwenyewe
@hadijajuma9550
@hadijajuma9550 5 месяцев назад
😂😂😂😂unatisha boss
@galuyegaluye2813
@galuyegaluye2813 5 месяцев назад
My broda🎉
@Juke995
@Juke995 5 месяцев назад
Hivi eliud hizi nguo anazitoaga wapi 😂nimemuona wakazi kwa mbali analazimisha furaha 😂😂😂nikirudi bongo lazima niende kusikiliza live
@annembijima391
@annembijima391 3 месяца назад
Ilikuwa nzuriiii😂😂😂
@VianaKokutensa
@VianaKokutensa 5 месяцев назад
Iyo suti ndo angevaa kweny harusi ya anna😂
@irenekaro2848
@irenekaro2848 5 месяцев назад
Anna ameshitukaa😂😂😂
@fredyezekiel252
@fredyezekiel252 5 месяцев назад
Haujamalizia kipande bhanaa😂😂
@user-rf8oq1jd6u
@user-rf8oq1jd6u 5 месяцев назад
Jasiri wa Pete nmekuona 😊😊
@Jerrymaswaga
@Jerrymaswaga 5 месяцев назад
Hahahaaaaaaa KAKA UNAJUA SAAAANAAAAAAA.......nitakutafutaaaa
@scholasticajackson6760
@scholasticajackson6760 5 месяцев назад
Jaman naona watu wengi had my o level classmate bigup sana
@maryamconstantine2232
@maryamconstantine2232 5 месяцев назад
Nipo busy na nguo ya Eliud
@joycesweetbertibambasi9317
@joycesweetbertibambasi9317 5 месяцев назад
😂😂😂 eliud wa jua kali
@samielvutsipa52
@samielvutsipa52 5 месяцев назад
Uyu jamaaa hana hofu ya kajala
@neemamjema1067
@neemamjema1067 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂 heshima yako 🙌🙌
@user-oo5sj8hb5m
@user-oo5sj8hb5m 5 месяцев назад
Hongera Sana eliud upo vizuli
@rachelabnel6687
@rachelabnel6687 5 месяцев назад
Daaa jamn et rahel
@UzalendoNaUtu
@UzalendoNaUtu 5 месяцев назад
Unajua sana 🔥🔥🔥
@yuzzoruta9757
@yuzzoruta9757 5 месяцев назад
pure talent😅😂
@bettykarume5619
@bettykarume5619 5 месяцев назад
Eliud Samweli wa Jua kali bango kubwa😂😂😂
@marcusjulius6572
@marcusjulius6572 3 месяца назад
kuna wasela hawacheki😅😅😅😅
@FiveStar-uc5ec
@FiveStar-uc5ec 2 месяца назад
😮😮😮😮😮
@_beatusbaraka
@_beatusbaraka 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂 unajua👏👏👏👏👏
@JescaLupenza
@JescaLupenza 5 месяцев назад
Nakufurahia mno ❤️
@user-ho9wt4fo8h
@user-ho9wt4fo8h 5 месяцев назад
Anganile😂😂😂😂 uko vzr jmn
@odiliaherman5658
@odiliaherman5658 5 месяцев назад
Ivi uku kiingilio shingapi😊😊
@FiveStar-uc5ec
@FiveStar-uc5ec 2 месяца назад
Mwenyewe s elewi natamani kweli cku Moja ningeenda
@user-vg6xe7tj8z
@user-vg6xe7tj8z 5 месяцев назад
Nimekuelewa sana😂😂😂
@mwazaynbntymfaume
@mwazaynbntymfaume 5 месяцев назад
😂😂😂😂anganile unachekesha
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 5 месяцев назад
Aisee sahivi sitakua namiss comedy zake
@user-gk7ic7dh8m
@user-gk7ic7dh8m 5 месяцев назад
Rebecca ndio mmi dda yako 😂😂
@FabienDeo
@FabienDeo 5 месяцев назад
Je eliud anajua😅
@coleinvee3181
@coleinvee3181 5 месяцев назад
mbavu zinauma 😂😂
@northerncruiser137
@northerncruiser137 5 месяцев назад
Wakazi sindio huyu aliyesema comedian wabongo hamna kitu
@joycemlewa3734
@joycemlewa3734 5 месяцев назад
😅😅😅😅😅😅 halafu humiagi nguvu daaah
@veronicamassala562
@veronicamassala562 5 месяцев назад
Jua kali wapo wengi
@VianaKokutensa
@VianaKokutensa 5 месяцев назад
Wamekuj kumsupport mwenzao ujamuona ata boss ake lamata
@RechoKimaro-jp5zq
@RechoKimaro-jp5zq Месяц назад
Love you so much Eliud ❤
@annamwanyelele9084
@annamwanyelele9084 5 месяцев назад
Hahahahjaq Mimi nawewe basi
@AsmaAsma-gd3mv
@AsmaAsma-gd3mv 5 месяцев назад
Nikilia hapa mtasema linadeka😅
@happinessgeorge
@happinessgeorge 4 месяца назад
Special comedian aiseeee
@isaackkibona361
@isaackkibona361 5 месяцев назад
Ila wanyakyusaa 🙌🙌
@godblexxgyunda6060
@godblexxgyunda6060 5 месяцев назад
Hujawah kumwacha Mungu😂😂😂
@HawaHussein-hq1lj
@HawaHussein-hq1lj 5 месяцев назад
We eliudi wewe unajua kutufrahisha 😂😂 rech kasema ww nayy ndobac😂😂ety unakashika mdomo mama alikuwepo wataka nakwambia 😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤
@adolphriwa3534
@adolphriwa3534 4 месяца назад
Safi sn Eliudi unajua sn .
@user-cg5ly1op4l
@user-cg5ly1op4l 5 месяцев назад
Naiona family ya jua kal😂😂
Далее
ELIUD KWENYE JUKWAA LA WAISA (PART 2)
12:53
Просмотров 351 тыс.
MAISHA BAADA YA KUFELI SHULE - mc Eliud
17:18
Просмотров 540 тыс.
LEONARDO ALIVYOWAVUNJA MBAVU WAFANYAKAZI WA CRDB!
17:39
TAZAMA SHOW YA ELIUD MBEYA, (PART 2)
13:55
Просмотров 82 тыс.
ROASTING (SAID SAID VS ELIUD)
15:27
Просмотров 496 тыс.
Будни в пекарне. Часть 2
0:59
Просмотров 2,6 млн