Huo usemi wa Furgasson waambie Viongozi wa Simba. Naona wamefanya usajili mkubwa sana lakini wamejisahau kwenye namba 2 sijui nani amewaroga. Wakumbusheni tafadhali, Kapombe kachoka. Magoli yamekuwa yakipita kwake. Wasiposhituka kazi yote nzuri waliyofanya itakuwa sawa na 0. Kapombe hamwezi Dube. Kapombe hawawezi Waarabu. Mtanikumbuka kama haya hayafanyiwi kazi.