@@japhetjaphet5996 unaweza tumia kampuni yoyote kwa windows product line au mac kinacho matter zaidi ni specific requirements kama RAM CPU etc Na mfuko wako unavyosoma
Asante kwa somo nafuatilia mafunzo yako naomba unisaidie aina na specifications ya laptop ambayo haizidi 800,000/= na itanifaa Kwa production. Pia nijuze aina nzuri ya mid keyboard kwa uzoefu wako na je nikitumia kinanda cha kawaida kunashida kwenye production?
@@RayMwidete kama huna badget ya kupata soundcard .... Unaweza kununua usb card (converter) ambayo inakupa port ya mic na headphone kwa matumizi ya kawaida...... Professional unahitaji kuwa na soundcard
bila CPU ni changamoto ...... kuwa na screen haitoshi ...... operation zote zinafanyika ndani ya CPU ANGALIA VIDEO ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-XY-LsVH8KqI.html itakusaidia kujua namna nzuri ya kuanza production na video hizi ziko kwenye series so ukizitazama kwa mtindo huo itasaidia...... Karibu