Тёмный

"Niliambiwa YATAISHA TU" ASKOFU MWANAMAPINDUZ ASIMULIA ALICHOAMBIWA NA RPC KUZAGA BAADA YA KUKAMATWA 

Baharia TV
Подписаться 83 тыс.
Просмотров 2,2 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 13   
@mosesmacha1080
@mosesmacha1080 26 дней назад
Mungu amlinde askari wetu
@rithaurassa
@rithaurassa 24 дня назад
Hongera sana askari WETU una Utu sana MUNGUatakupandisha cheo hata paleitakapo kuwa ngum KWAKO MUNGU NDIYE ANAYEYAJUA MAISHA YAKO.
@FadhiliMwaitete-ls2li
@FadhiliMwaitete-ls2li 22 дня назад
Mwenyezi mungu msimamie huyuu mweshimiwa kuzaga RPC huyuu nimungwana na mpends haki anafata Sheria na katiba ya nchii mungu wangu msaidie huyuu asante
@petermbuja3783
@petermbuja3783 26 дней назад
Huyu ni wakili msomi siyo mjinga anajua vzr sheria
@komuhsengo9796
@komuhsengo9796 26 дней назад
Mungu ambariki
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 26 дней назад
Ana high ya mungu abarikiwe azidisjhwe sana na mungu
@beinafuu6219
@beinafuu6219 24 дня назад
Mtakoma mmetetewa mnawataja mtajuta akuna mtu anakuja kuwasadia siku nyingine maana mnawachongea na mnajua hicho kabisa.
@StephenMpallange
@StephenMpallange 25 дней назад
Huyu RPC Kuzaga anafaa sana kuwa IGP wa TZ.Mungu amuinue na kumpaka mafuta,huyo ni chaguo la Mungu,tutakuombea kila la kheri.
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 26 дней назад
Asilimia 45% ya askari akiwemo huyu watauona ufalme wa Mungu. Ile 55% ya waliobaki jahanam inawasubiri. Hata Lissu alisema, maongezi yao yalikuwa ya kufikia muafaka, alipokuja yule mtu... ndio aliona RPC anachelewesha alianza na assort kwa Sugu. 😢😢😢 Mungu tunaomba uponyaji wako kwa majeruhi wetu.
@leodgardotmar7198
@leodgardotmar7198 26 дней назад
You are reliable and straight to the issues. NGOLO TV are useless and misleading. Continue to be professional you will succeed
@deosimba
@deosimba 26 дней назад
Huyu Afande alisoma Seminari. Kwa hiyo hawezi kuwa na roho mbaya kama hiyo mingine yenye roho mbaya ambao utadhani walisomeshwa na shetani.
@mataypanga5262
@mataypanga5262 26 дней назад
Tabia nzuri ni ya kuzaliwa,seminary haifundishi elimu ya tabia nzuri
@AdamKaponda
@AdamKaponda 26 дней назад
Nina umri wa miaka68sijawahi kuona mtuakipewasifa nzuri Kwa mama ya wananchi kama alizopewa RPC wa mbeya inaonyesha RPC hiyo anaitendea haki elimuyake ,nchi yake na mungu atamuinua TU,,ikosiku waweka historian ya nchiyetu wataandika historian yakenzuri kama vile ya akina kinjikitile,mkwawa nk,hata kitendo Cha kuondolewa kama ataondolewa nacho kitaandikwa
Далее