Hapa leoo nitachangia kuhusu clip ya MAKANGALE hii taarifa naipeleka kwenye chama cha ACT hassa hassa namtaka makamo mwenyekiti kuaa mbuge anajisahau uko makangalee mheshimiwa makamo mwenyekiti ISMAIL J. LADU. mshughulikie huyo mbugee munatukera hawaoni hawasikilizi alioomba kura waliomueka madarakani vp hendi jimboniii vp watu wa makangale watasema upinzani basii kuna nini apo