Тёмный

VITU VITAKAVYOFANYA UTAJWE - JOEL NANAUKA 

Joel Nanauka
Подписаться 287 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 35   
@JamesAtilio
@JamesAtilio Месяц назад
Kwenye maisha yangu nikipata nafasi ya kukutana na wewe sitaichezea, nimesikitika sana uliposema umemrecommend mtu afu amekuangusha. Barikiwa mtu wa MUNGU.
@joelnanauka
@joelnanauka Месяц назад
Ameen, Naomba Mungu atupe nafasi tuonane🙏
@JamesAtilio
@JamesAtilio Месяц назад
@@joelnanauka Amen
@KauyeMohammed-wm8cd
@KauyeMohammed-wm8cd Месяц назад
Joel ndugu yangu hata mimi naomba mungu tukutane
@AhmedAll-e5r
@AhmedAll-e5r Месяц назад
Mimi ni kinyoz nataka kuongeza thaman yang zaid kwenye eneo lang il niwe chaguo kwa wateja ninao wahudumia mana tupo vinyoz zaid ya watatu. Teacher Joel 🙏
@EsterJames-sk4te
@EsterJames-sk4te Месяц назад
Nmechagua kuanza na mass recommendation😊
@NaomiUmburi-lj8wn
@NaomiUmburi-lj8wn Месяц назад
asante sana mentor....naanza na uaminifu pamoja na specialization🙏🏻🙏🏻🙏🏻 nkienelea kutaja wengine
@REMMYGASPAR
@REMMYGASPAR Месяц назад
Very powerful my mentor since 2019 , sijawah kosa video hata moja. I learned alot am become new version of me and better than ever. Thanks alot. I appreciate bro🙏👑
@joelnanauka
@joelnanauka Месяц назад
Nashukuru sana sana
@hashimuliloto8017
@hashimuliloto8017 Месяц назад
Kweli Joel....JUZI nimemtaja JAMAA MMOJA ...na amepewa kazi .
@HekimaMwangake-vl9fu
@HekimaMwangake-vl9fu Месяц назад
Shukrani brother ubarikiwe mnoo sana🙏
@joelnanauka
@joelnanauka Месяц назад
Hongera sana👏🏻👏🏻
@minaaminaa1781
@minaaminaa1781 Месяц назад
How can I like this 100 times❤❤
@joelnanauka
@joelnanauka Месяц назад
Thank you So Much🙏
@user-qy7wv3xv4o
@user-qy7wv3xv4o 25 дней назад
Nikweli mm nifundi sofa ss, Kuna kipindi sikua natengeneza bila umakini, ila nikanunua kitabu chako Cha tabia 12, zinazoleta mafanikio Kuna sura umefundisha namna yakutengeneza vitu Kwa ubora Toka hapo Niko fiti natajwa sana kazi inaleta kazi mana nafanya Kwa ubora Toka niliposoma kitabu chako, mungu akubariki sana ss Niko vizuri sana.
@eliasludamila4600
@eliasludamila4600 Месяц назад
Elimu yako imejaa ukwel mtupu
@brackskinyozi3280
@brackskinyozi3280 Месяц назад
Asante kaka Joel nimejifunza 🙏🙏
@tsongokauta5911
@tsongokauta5911 Месяц назад
Shukurani sana
@kirapadiherbalstv9953
@kirapadiherbalstv9953 Месяц назад
Sawa kaka ahsante kwa elimuu
@user-fb6eu8vz2u
@user-fb6eu8vz2u Месяц назад
Asante mno YESU AKUTUNZE Kwa manufaa ya wengi.
@ShabanhasanShabanHasan-yc1gd
@ShabanhasanShabanHasan-yc1gd Месяц назад
JOEL ARTHUR NANAUKA wewe ni mwalimu wa taifa
@joelnanauka
@joelnanauka Месяц назад
Nashukuru sana🙏
@LilianFlorence-ri5su
@LilianFlorence-ri5su Месяц назад
Asante sana kaka Joel Kwa mafundisho yako. Mungu akubariki saba
@PatrickMarwa
@PatrickMarwa Месяц назад
Asante Sana naona umeanza kunifungua akili 🙏🙏
@yusuphmwaigomole3104
@yusuphmwaigomole3104 Месяц назад
Uaminifu coach nafikiri ni kipande kigumu sana kwa watu wengi
@libentrweyemamu7638
@libentrweyemamu7638 Месяц назад
Mimi uwa naogopa kutajwa kwenye carrier yang
@francjose9596
@francjose9596 Месяц назад
🙏🏾🤲🏽
@johncleophace4856
@johncleophace4856 Месяц назад
Kaka mungu akubariki sana kwa mafundisho yako
@PrickaKibaba-hi5qg
@PrickaKibaba-hi5qg Месяц назад
my god bless you so much
@julianalaly2095
@julianalaly2095 Месяц назад
Sawa,sawa❤
@aderiderkihupi7240
@aderiderkihupi7240 Месяц назад
Asante
@emanueldanstan8904
@emanueldanstan8904 Месяц назад
❤❤🫡
@Madmomy6266
@Madmomy6266 Месяц назад
Ndiyo, kilichonifanya nitajwe ni vitu 2. Speciality na Uaminifu.
@Sumay228
@Sumay228 Месяц назад
Uaminifu na uchapakazi
Далее
ДОМИК ДЛЯ БЕРЕМЕННОЙ БЕЛКИ#cat
00:45
VITU VINAVYOUA UWEZO WAKO/JOEL NANAUKA
7:08
Vitu 7 Lazima Uvijue Kuhusiana Na Kusudi Lako
27:20
Просмотров 83 тыс.
DR IPYANA ft JOEL NANAUKA // DAMU YA YESU NA UTAJIRI
18:43
Je,Wewe Una Maono Gani Kwenye Maisha Yako?
46:51
Просмотров 182 тыс.
ДОМИК ДЛЯ БЕРЕМЕННОЙ БЕЛКИ#cat
00:45