Тёмный

LIFE WISDOM : KWA NINI HAWATHAMINI UNACHOFANYA - JOEL NANAUKA 

Joel Nanauka
Подписаться 294 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 34   
@NickGamba-ft8tl
@NickGamba-ft8tl 2 месяца назад
MENTOR ARTHUR NANAUKA JOEL MASTER 👏👏👏
@JoelJustine-u3i
@JoelJustine-u3i 3 месяца назад
mr joel ninashukuru kwa mafundisho yako nimeweza kupiga hatua na kuwa wa tofauti kwenye seemu niliyopo hasa kitabu kilichonifunga na kuniweka katika barabara ya kujitambua ni kile cha timiza malengo nashukuru kwani sikuwai kuamini katika ndoto zangu lakini niliposoma kitabu chako nimeweza kuanza safari ya kuelekea kwenye mafanikio mungu akulinde tuendelee kupata mazuri kutoka kwako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@abuumnokotha
@abuumnokotha 3 месяца назад
Mr Joel wewe hakika wewe nimkumbozi mungu akubari sana
@janemwita8615
@janemwita8615 2 месяца назад
Ashsane kwa mafudisho yako mazuri yenye busara. Mungu akulinde na akubariki kwa yote
@pamelachabai9494
@pamelachabai9494 3 месяца назад
Asante kaka Joel,Mungu akubariki..
@josephtesha872
@josephtesha872 3 месяца назад
Nimejifunza
@mtunziwakujitegemeatz
@mtunziwakujitegemeatz 3 месяца назад
well said brother,i jot it down already[noted]...✍
@eliasludamila4600
@eliasludamila4600 3 месяца назад
Mungu akutunze daima 🙏
@dmykingonlinetv4880
@dmykingonlinetv4880 3 месяца назад
You are speaking fact always
@Consolata.1
@Consolata.1 3 месяца назад
Barikiwa sana mtumishi
@kalistusauzebi5707
@kalistusauzebi5707 3 месяца назад
Asante Sana Joel
@grace-neemabuninange-bujik9117
@grace-neemabuninange-bujik9117 3 месяца назад
Nimejinza pia
@kazkaz1943
@kazkaz1943 3 месяца назад
Asante Joel
@rabsonnamtwanga207
@rabsonnamtwanga207 3 месяца назад
Eagerly waiting
@evamgina843
@evamgina843 3 месяца назад
Umeniokoa mim asante
@goldiegranted5501
@goldiegranted5501 3 месяца назад
Thamani yako haipungui Kwa sababu watu hawathamini au hawakubali unachofanya,,,,,Bali hupungua pale unapoacha kufanya kitu unajua NI muhimu/sahihi kisa Tu hawakukithamini✊
@beatricemwita4380
@beatricemwita4380 3 месяца назад
Nimesikia uchungu na maumivu sana moyoni ila sihitaji niteseke sababu yake nahitaji kufurahia maisha na mwanangu bila uwepo wako Nina kitabu cha nguvu ya mwanamke nimesoma sana sehemu ya jins ya kupona ila Bado moyo una maumivu naomba msaada wako niweze kutoka kwenye hii hali
@innocentpius8083
@innocentpius8083 3 месяца назад
Duh pole kaeni chini muyamalize kwnye maisha ugomvi haukosekani lazima mmoja ajishushe.
@beatricemwita4380
@beatricemwita4380 3 месяца назад
@@innocentpius8083 hamna ugomvi wala hatuishi pamoja na haitaji kuwajibiks
@beatricemwita4380
@beatricemwita4380 3 месяца назад
Hakuna anachoweza kufanya kuhusu mtoto hataki kuwajibika sasa huwezi kumbadilisha mtu asiyekiri amekosea na haoni kutuhodumia mtoto kwa miaka 7 kama ni tatizo kwake ni sawa tu
@Haruniiibareee
@Haruniiibareee 3 месяца назад
Daaah poleee saan​@@beatricemwita4380
@zahramakota2198
@zahramakota2198 3 месяца назад
Blessings
@NehemiahChomola
@NehemiahChomola 3 месяца назад
Naumiag sana nikiambiw sin thamani
@fedharmmark6398
@fedharmmark6398 2 месяца назад
❤❤
@FarajaMkumbo-pc3ft
@FarajaMkumbo-pc3ft 3 месяца назад
Ni kwel kabsa kaka
@WinifridaMages
@WinifridaMages 3 месяца назад
Somo zuri sana ila kuna binadamu nimempa thamani kubwa sana lkn yy hajali kila nikipambana kumsahau nashindwa msaada wako tafadhali
@njoroboihastla
@njoroboihastla 3 месяца назад
In My age 24 nimejipa thaman na kwa hilo nimeweza in my cycle sizarauliki na na nime take distance na watu kwasababa mazoea huleta zarau amini nawambia wakali wangu📍📍📍
@bantozii
@bantozii 3 месяца назад
Kumbe wakati mwingine mtu anakudharau kweny jamii, kwa sababu tu hawajaijua thamani yako wacha niongeze bidi kwa kila ninalofanya siku moja wataijua thaman yangu..
@chrisantfredrick663
@chrisantfredrick663 3 месяца назад
Mimi ni wathamani sana haijalishi kipi napitia ila MIMI NI WATHAMANI
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 3 месяца назад
Hakika🎉🎉🎉❤
@beatricemwita4380
@beatricemwita4380 3 месяца назад
@joelnanauka naomba msaada wako nimesikiliza video zako nyingi sana kuhusu kusamehe ila nimekwama nilikuwa kwenye mahusiano mpk tukapata mtoto sasa ana miaka 7 ila kwa miaka yote 7 baba wa mtoto hajawahi kuhudumia kwa chochote kuhusu mtoto wala kumuona sura mtoto hajawahi niliamua kumsamehe kwa kumpigia cm na kumwambia nimekusamehe na sikutaka Mawasiliano niliamua kupambana kumlea mwanangu nashukuru Mungu ananibariki,wiki iliyopita alinitafuta kuomba msamaha kwa dharau Fulani wala hakujutia aliyotenda kwa mtoto wala kwangu Bali alitaka mahusiano tena nimemkatalia wala simuhitaji ila uchungu ninaousikja moyoni mwangu mpk sasa ndiyo sababu ya kuomba msaada nifanye nini kuondokana na hii hali
@Lululemon55
@Lululemon55 3 месяца назад
Uchungu huwa unaisha kwa muda, wewe uhisi uchungu lia sana tu lkn baada ya muda utaisha wenyewe yaani utapona huo uchungu, hakuna short cut wala numbing, zipo pia video za jinsi ya kupona maumivu ya moyo/uchungu by Joel nanauka
@beatricemwita4380
@beatricemwita4380 3 месяца назад
@@Lululemon55 shukrani sana mpendwa
@GraceSteven-qq5hn
@GraceSteven-qq5hn 3 месяца назад
Nimejifunza
Далее
LIFE WISDOM:MUEPUKE MTU WA NAMNA HII - JOEL NANAUKA
12:03
Гравировка на iPhone, iPad и Apple Watch
00:40
На самом деле, все не просто 😂
00:45
Aina 9 Za Wanawake Watata
13:50
Просмотров 106 тыс.
Usiruhusu mtu mwingine akuumize
4:43
Просмотров 11 тыс.
LIFE WISDOM:UGONJWA UNAOMALIZA WENGI - JOEL NANAUKA
12:20
Гравировка на iPhone, iPad и Apple Watch
00:40