Тёмный

HASARA ZA UWEZO MKUBWA JOEL NANAUKA 

Joel Nanauka
Подписаться 287 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Опубликовано:

 

9 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 51   
@Abdulrahmanhassan18
@Abdulrahmanhassan18 Месяц назад
Ndiomana kwenye saikolojia ( psychology ) inatuambia kwanza tuweze kujisaidia sisi wenyewe ndio tunawasaidie wengine, pili tujifunze kusema hapana kwenye mambo ambayo hatuyawezi, tatu tuwaonyeshe watu kwamba hata sisi tunakosa na tunapaswa kusaidiwa tusiwaonyeshe watu kwamba tunajitoshekeza.
@EMAPLUSTV
@EMAPLUSTV Месяц назад
1.Hofu ya walio juu yako 2.Kurundikiwa majukumu 3.Kutumika bila faida 4.Utaonekana una kiburi IT IS VERY REAL
@ngolobulugu9525
@ngolobulugu9525 28 дней назад
😢😢😢
@alhajikangalawe6178
@alhajikangalawe6178 Месяц назад
Loh! Yananikuta Sana haya uliyozungumzia. NATAMANI NEXT TIME UTUSAIDIE KUJUA MBINU ZA KUTUMA ILI TUSIWE WAHANGA NA KUTOISHI KUSUDI LA MUNGU KUPITIA CHANGAMOTO HIZI. UBARIKIWE SANA, MUNGU ANAZUNGUMZA NAMI KUPITIA WEWE🙏🙏🙏
@BarakaLihani
@BarakaLihani 27 дней назад
Apo umenigusa Mimi kabisa duh umenifunza jambo kubwa sana 🤝 🤝
@BaisaMohamed-fj3vf
@BaisaMohamed-fj3vf Месяц назад
ahaaaahaaa point ya mwisho imenifurahisha sana aisee barikiwa sana joel
@beatricemwita4380
@beatricemwita4380 Месяц назад
ndio kilichonikuta na ninamshukuru Mungu namaliza mkataba niangalie maisha kwa njia nyingine maana bosi mwenye uwezo mdogo ni tatizo kubwa sana kwenye mazingira ya kazi, shukrani sana Joel umenisaidia kuweza kumudu maamuzi haya
@kahambitanu2459
@kahambitanu2459 Месяц назад
Badala ya kuniambia unakuja kunisema uku sawa tutaonana ofisini😮
@TheresiaJeremiah
@TheresiaJeremiah 29 дней назад
😂😂😂jamani ​@@kahambitanu2459
@mtengwadj9390
@mtengwadj9390 Месяц назад
AhsaNte kwa Elimu Ubarikiwe sanaa Kwamafundishi 🙏
@aminasaid6555
@aminasaid6555 22 дня назад
Nimeelewa
@NATHALIANPASCHAL
@NATHALIANPASCHAL 21 день назад
Amina sana
@rizikimunga2460
@rizikimunga2460 28 дней назад
Gotten chief
@HassaniAlly-x4p
@HassaniAlly-x4p Месяц назад
Asante sana somo jipya
@user-mb7ku4is1y
@user-mb7ku4is1y Месяц назад
Ahsante MWALIMU...Asilimia Kubwa ya Somo Hili ni MIMI. Kazini ni Changamoto... MUNGU Amekuwa Ananisimamia. Kubwa: Masomo Yako Yamekuwa Yakinisaidia Sana Kusimama Imara na Kusonga Mbele.
@Sumay228
@Sumay228 29 дней назад
I decided to run n do my own things
@janetmbwana553
@janetmbwana553 28 дней назад
Asante sana🙏🙏hii ni kweli kabisa
@user-nc6ve6be4u
@user-nc6ve6be4u 25 дней назад
Asante kaka
@JamesAtilio
@JamesAtilio Месяц назад
Uwezo mkubwa unaweza kuwa mtego usipoutumia kwa busara. Kujikuta unatumika sana bila faida ni moja ya hasara kubwa ambazo hatuzitambui mapema. Asante Joel kwa kutukumbusha umuhimu wa kuwekeza kwenye malengo yetu na kuhakikisha kwamba tunatumia uwezo wetu kwa manufaa ya kweli.
@neemaelosi9211
@neemaelosi9211 Месяц назад
Hakika somo lipokolekti sana kwa anaetaka kutoka hapo alipo
@AbisaiBilla
@AbisaiBilla Месяц назад
Kaka nashukuru sana kwa mafundisho mazuri, MUNGU azidi kukubariki
@mchattachattanoga7795
@mchattachattanoga7795 26 дней назад
Mafunzo yako ni mazuri kaka
@killindoabile3128
@killindoabile3128 Месяц назад
Aminia sana brother Una madini mnoo ubarikiwe
@user-ol7um1wj8k
@user-ol7um1wj8k Месяц назад
Kweli kabisa brother Joel upo sahii hasa hiyo point ya mwisho ya kuonekana " kiburi" na pia kuombaomba misaada huo mda huna maana mda mwingi mtu utumia kufikilia maisha yake pengine baada ya miaka 5-10-20 mbele maisha yatakuwaje ..etc
@Esromulussana
@Esromulussana Месяц назад
Ni kweli kabisa Hali hii ipo, haswa kwa wafanyakazi walioko kwenye ofsi za taasis fulani.
@brackskinyozi3280
@brackskinyozi3280 Месяц назад
Somo zuri Sana..... asante nimejifunza kitu
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 Месяц назад
Asante sana my brother from another mother
@mohamedKudura
@mohamedKudura Месяц назад
Allah akulipe kheri
@stephanopetro2917
@stephanopetro2917 Месяц назад
Exactly yes barikiwa sana.
@PatrickMarwa
@PatrickMarwa Месяц назад
Asante Sana kk
@aristidessaristarck3494
@aristidessaristarck3494 Месяц назад
Yupo na nimeshare nae tayari asipoeelewa na hii sijui tena
@Madam255
@Madam255 Месяц назад
Very true kaka Joel
@zeynabmohamedzeynab4753
@zeynabmohamedzeynab4753 27 дней назад
Hat kaz z majumbn uku galf jmn wakijua unawez kupik kitu fulani hee kimekurambq
@FunguaUbongoWako
@FunguaUbongoWako Месяц назад
Asante Kwa Elimu
@DoreenLameck
@DoreenLameck Месяц назад
Uyo ni mm kabisa
@edgardeus24
@edgardeus24 29 дней назад
Haya mambo yamenikuta hasa kwenye biashara...
@paulodraughts36
@paulodraughts36 Месяц назад
Nimekubali
@ministerebbyans73
@ministerebbyans73 Месяц назад
Thank you sir
@manenoramadhan1516
@manenoramadhan1516 25 дней назад
Mimi mmoia wao muhanga wahayo uliosema
@aderiderkihupi7240
@aderiderkihupi7240 Месяц назад
Asante
@petermadokola7625
@petermadokola7625 Месяц назад
Kaka hii hali imekuwa ikinitesa kwa maisha yangu yote, ,shidani kwamba Mungu ametupa karama, na ni kweli siyo kwamba tunajidai bali ndivyo tulivyo. Endelea kutufungu minyororo.
@LaurentJacob-k7e
@LaurentJacob-k7e 15 дней назад
Kweli hapa mimi najishugulisha na ufugaji wa nguruwe kwa maana ya kibiashara napia ninandoto ya kuwa mfanya biashara lakini baba hataki nifuge nguruwe na hataki nifanye biashara anachotaka niwe mkulima na mfugaji wa ng'ombe na mimi ndoto yangu ni kuwa mfanya biashara na anataka kila jambo nitakalo taka kufanya nimwambie alifanyie yeye maamuzi
@user-wk1ix1gm1p
@user-wk1ix1gm1p 29 дней назад
Kaka Joel mimi kwanzia kwenye familia hadi kwenye kazi , vikwazo vingi , kwenye kazi narundikiwa majukuku na ikitokea mistake huwa nasemwa mimi na hata nifanye vp haionekani , kwa kwanza napewa kingine , lakin wenzangu wanasaidiwa wanapunguziwa majukumu yaan na hawajali wala nini, kwanza sifikirii kuhusu kazi napoamka ndo napoanzia lakin mmmh nikitafakari kunawakati nataman kuacha kazi.
@tukuepamoja2068
@tukuepamoja2068 Месяц назад
Hii changamoto imenitesa sana kaka joel kwenye ndoa yangu 😭
@thinktwice7176
@thinktwice7176 27 дней назад
Daaaah namba tatu hapo
@jamesmachemba5995
@jamesmachemba5995 Месяц назад
Joel somo lako naona kama limeelemea upande mmoja tu yaani uwezo wa akili je uwezo wa kiuchumi na wenyewe una hasara hizi hizi?
@berrymshana4686
@berrymshana4686 Месяц назад
Hakika nimepata funzo kubwa
@BarakaLihani
@BarakaLihani 27 дней назад
Apo umenigusa Mimi kabisa duh umenifunza jambo kubwa sana 🤝 🤝
@tukuepamoja2068
@tukuepamoja2068 Месяц назад
Hii changamoto imenitesa sana kaka joel kwenye ndoa yangu 😭
Далее
EPUKA MTAZAMO HUU - JOEL NANAUKA
17:21
Просмотров 15 тыс.
🛑 ты за кого?
00:11
Просмотров 156 тыс.
IT'S MY LIFE + WATER  #drumcover
00:14
Просмотров 25 млн
Новый хит Люси Чеботиной 😍
00:33
HEKAHEKA: Cheti cha kuzaliwa chafichua siri ya mtoto
15:15
Je unaweza kujisimamia | Elias Mwinuka
6:38
LEONARDO ALIVYOWAVUNJA MBAVU WAFANYAKAZI WA CRDB!
17:39
UKOMAVU WA KIAKILI (MENTAL TOUGHNESS) - JOEL NANAUKA
1:11:22
🛑 ты за кого?
00:11
Просмотров 156 тыс.