Тёмный

'Nilishtuka na mwili kufa ganzi nilipohukumiwa kunyongwa' 

BBC News Swahili
Подписаться 611 тыс.
Просмотров 22 тыс.
50% 1

Akiwa na umri wa miaka 18 tu, Rose Yona Malle alikutana na mtihani mkubwa katika maisha yake baada ya kukamatwa mwaka 2012 na miaka kadhaa baadaye kuhukumiwa kunyongwa.
Rose Malle, 29, kwa sasa ni mkurugenzi mkuu wa taasisi ya @tanzaniaexprisonersfoundation ambayo inasaidia bure wafungwa kisaikolojia baada ya kumaliza vifungo vyao.
Je kosa la Rose lilikuwa nini mpaka kuhukumiwa kifo?, na alitokaje gerezani?
Tazama
#bbcswahili #waridiwabbc #tanzania
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili

Опубликовано:

 

9 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 96   
@umfahad2609
@umfahad2609 16 дней назад
Pole saana Rose. Ila hii kesi kuna kitu nyuma ya pazia. Ila MUNGU hamtupi kiumbe wake.
@rosemarymsekela1774
@rosemarymsekela1774 27 дней назад
Pole sana Wajina..kwel hakuna neno ngumu linalomshinda Mungu..Sifa na Utukufu ni kwa Mungu...nimeumia na nimefurahi pia❤❤
@rajabkondo6395
@rajabkondo6395 27 дней назад
Nikiwa mtafiti Muhimbili faculty of medicine miaka ya 1990s nilifika Dodoma kikaza katika gereza la kitaifa Isanga. Kipindi hiki Maalim Seif Sharif Hamad alikuwa kizuizini Isanga. Hili ni gereza kwa ajili ya wafungwa waliohukumiwa kunywangwa hadi kufa. Kule ndani kunatisha. Niliona mengi mengi sana. Pole sana kwa dada Rose Male na hongera dada Martha Saranga wa BBC kwa hojaji hili tukio
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation 27 дней назад
Asante kaka
@rose_Winchester86
@rose_Winchester86 27 дней назад
Inabidi alipwe fidia kwa kufungwa kimakosa
@virendavictoria5174
@virendavictoria5174 12 дней назад
Sheria mbovu za Tanzania
@FloraNgoma
@FloraNgoma 19 дней назад
Dada Rose POLE sana, Ulikuwa faraja kwa wafungwa wenzako kwa kuwahubiria Injili wengine walimjua MUNGU na kudumu katika IMANI kazi njema sana uliifanya Rose.
@jojianaskibura3190
@jojianaskibura3190 15 дней назад
Mungu uliyemtumikia ukiwa gerezani usimwache (BwanaYesu). Ushuhuda wako unasisimua na Mungu alikupa kibali cha waziri mkuu kukusikiliza. Maombi yana nguvu ya kufanya lolote alipendalo Mungu. HONGERA SANA.
@agentx4359
@agentx4359 11 дней назад
So sad. Pole sana Rose. Mungu akusimamie katika malengo yako
@petermalley6078
@petermalley6078 27 дней назад
Pole san,😢 nimeamini wengi walio fungwa sio wote ni wahalifu,Majaliwa mungu ambariki
@kalundehassan9121
@kalundehassan9121 27 дней назад
Mungu akusimamie utimize ndoto zako za kusupport wafungwa🙏. Story yako inasisimua, hakika wewe ni Shujaa👏👏👏👏
@janetsemahimbo8083
@janetsemahimbo8083 15 дней назад
Ama kweli hakuna hakimu wa kweli hapa duniani. Hakimu wa kweli ni MUNGU pekee.
@mr.johnmerari6678
@mr.johnmerari6678 27 дней назад
Pole sana Dada... lakini hiyo love story imekuwa inspiring ❤
@frankneman2937
@frankneman2937 27 дней назад
Pole sana Dada! Ila kuna namna ya vyombo vyetu vya sheria kujitafakari hasa kwenye vitu kama ivi! Inasikitisha sana aisee
@joycekiyao2735
@joycekiyao2735 27 дней назад
Daah pole Sana , ila Kila kitu kinakusudi japo si rahisi kupitia magumu ili kufikia Hilo kusudi.
@sylvestermgale6699
@sylvestermgale6699 15 дней назад
Kwa kweli ni simulizi ya huzuni sana kwa huyu binti,kimsingi tunazidi kujifunza kwamba Mungu anabaki kuwa Mungu hata kama hajajibu vile tunataka iwe. Pole sana dada!
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 18 дней назад
Isikie tuu hii hadithi, isikukute. Huyu ndio anajua maana halisi ya uhuru na dhuluma zinazosababishwa na taarifa potofu wanazopewa wenzetu wa usalama. Mungu ana kitu amekiandaa kwako.
@user-pj4jw7jd6e
@user-pj4jw7jd6e 14 дней назад
Nakupenda sana rafk yngu rose❤
@user-bo1cn3dw6o
@user-bo1cn3dw6o 17 дней назад
Pole dada na hongera Kwanza mshukuru mungu
@timothykaiza327
@timothykaiza327 26 дней назад
Mbona maswali yanapanda kabla mtu hajamaliza kuelezea vitu zaidi.
@user-rr4vt6vd6i
@user-rr4vt6vd6i 17 дней назад
Huyu dada amedhulumika sana. Maana yapo mengi ya kutafutwa na kujilikana ukweli uko wapi. 😢
@seciliashirima3593
@seciliashirima3593 27 дней назад
Nimeangalia huku nalia, Pole Dada Rose 🌹. Unatia moyo pia. 🙏🙏
@MusondoliRobert-ve4wz
@MusondoliRobert-ve4wz 17 дней назад
Pole sana history yako inatowa machozi pole sana
@rizikibakari3598
@rizikibakari3598 15 дней назад
Pole Sana mdogo wangu❤
@jadetoto
@jadetoto 17 дней назад
Hongera sana Waziri Mkuu Majaliwa wewe ni mwema
@user-lu8ny2gu7t
@user-lu8ny2gu7t 16 дней назад
Pole sana Mungu ni mwema siku zote
@ilhamswai2442
@ilhamswai2442 27 дней назад
Acheni Mungu aitwe Mungu
@user-ic2cb9gm2j
@user-ic2cb9gm2j 16 дней назад
Jaji aliemuhukumu alimdhulumuu na kwa umri wake mdogo na kosa lkee la kwanzaa
@lydiakamwaga8065
@lydiakamwaga8065 20 дней назад
Pole na hongera Sana Rose
@saeedmagoda9651
@saeedmagoda9651 18 дней назад
Huyu mtangazaji hamna kitu kabsaa story anaioeleka mbele anarudisha nyuma kifupi hii taaluma hana kabsaa
@MeckitilidaTushabe-or9hu
@MeckitilidaTushabe-or9hu 17 дней назад
Weka yakwakotuone
@mumbogojoseph6672
@mumbogojoseph6672 27 дней назад
Pole sana dada
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation 27 дней назад
Asante sana
@alinasor8553
@alinasor8553 17 дней назад
Pole sana dada rose
@vickylayda6336
@vickylayda6336 20 дней назад
Hongera Mungu yup mwema kilo wakati
@annkim2690
@annkim2690 12 дней назад
Usiombe siku ya uovu ikipagwa kuzimu ni Mungu aingilie kati
@joycekarondo2472
@joycekarondo2472 21 день назад
Pole sana dada, Mtangazaji aweke namba tumuwezeshe kwa chochote.
@user-cr4th9lr6b
@user-cr4th9lr6b 20 дней назад
What a story
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 14 дней назад
Hio ndio shida za nchi ambazo zinakosa uwedi wakifatilia ukweli wamatokeo na kubahtisha
@joycejackson2
@joycejackson2 27 дней назад
Alaf ni muiraq jmn😢
@sammarley1413
@sammarley1413 18 дней назад
Ww Joyce aca nianze Kwanza na ww mbona ww mwenyew unafanana na warabu ivi kweli ww sio mu Iraq?😅😅😅
@joycejackson2
@joycejackson2 15 дней назад
@@sammarley1413 Asaitaa😂
@ibinbarack9303
@ibinbarack9303 27 дней назад
🎉🎉🎉
@user-rz5ze5me1y
@user-rz5ze5me1y 27 дней назад
Hivi kwanini wasipewe fidia kurejesha muda aliopoteza kukaa magereza kwa makosa ya polisi na mahakama kushindwa kufanya upelelezi kwa namna ifaayo.
@taturamadhan5940
@taturamadhan5940 27 дней назад
Wanaharakati wanapaswa kulipigania hilo watusaidie maaaaana hii balaa
@margrethemanuel7501
@margrethemanuel7501 16 дней назад
Wanatakiwa kuishtaki serikali kwa hilo na kulipwa ila inategemea unaijuaje sheria, hata km huijui sheria tafuta lawyer mzur akusaidie..
@user-ic2cb9gm2j
@user-ic2cb9gm2j 16 дней назад
Waziri mkuu Allah akupe afya na umri
@hajihassan5433
@hajihassan5433 17 дней назад
Umekufa ganzi bure hakuna binaadam anaeweza kuondosha uhai wa mtu mwingine, ni Mungu pekee.
@Venas-uh3wz
@Venas-uh3wz 15 дней назад
Kwa hiyo angenyongwa, ni Mungu alipanga?? Ukiongea tumia akili wewe.
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 16 дней назад
Kweli mungu yupo mtumaini mungu kila jambo😢😢😢😢
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 16 дней назад
Pole sana rosser😢😢😢😢
@user-rr4vt6vd6i
@user-rr4vt6vd6i 17 дней назад
Huu ni uzembe wa Police. Vipi mtoto mdogo auwe nae kenda chuo hana ushahidi ya uhalifu wowote la kuwa na damu maana kuuwa angedondokezwa na damu wala hawakutaka kumsachi silaha na hiyo bida boda.ilikuwa wapi? ya kustaajabisha umfunge mtoto miaka 6 bila ushahidi kamili. hamna???;hiyo ni dhulma tosha. Looo!!
@hajihassan5433
@hajihassan5433 17 дней назад
Nimefuatilia comment zote sikuona aliposifiwa Waziri Mkuu kwa kujali matatizo ya watu. Kwa kweli dunia ni mitihani na mengine usimhukumu mwenzako subiri yakukute!
@umfahad2609
@umfahad2609 16 дней назад
Nimeangalia hii kutoka Oman. Huyu dada ameniliza saana. Jinc nilivyofatilia nahic km hii kesi ni kumbikiwa. Walijua kua sio yeye ila walimkandamiza dada wa watu. MUNGU atakulipia dear.
@greenermichael2057
@greenermichael2057 15 дней назад
Yaan unakutwa huna kosa na hulipwi
@user-lb8lq7um5x
@user-lb8lq7um5x 27 дней назад
FUNGUA KANISA MAMAAA UTOE USHUHUDA UKOO🎉
@AminaAhmed999
@AminaAhmed999 18 дней назад
Amekuwa muislam
@FaridaKaduguda
@FaridaKaduguda 19 дней назад
Mtangazaji anakimbiza sana story. Unaenda resi sana mengine tutakosa kuyasikia
@hajihassan5433
@hajihassan5433 17 дней назад
Hiki ni kipindi ujuwe, kina muda maalum.
@111dudi
@111dudi 27 дней назад
Mungu amhifadhi muheshimiwa Majaliwa, ambae alitumwa na mungu kukutana na Rose. Mungu alitaka haki ipande juu ya dhulma.Rose anastahili fidia, na serikali ichunguze wapi uchunguzi ulikwenda vibaya mpaka kumutupia makosa Rose, na wahusika wahukumiwe
@hajihassan5433
@hajihassan5433 17 дней назад
Tuweke story balance, ametoka kwa huruma ya Waziri Mkuu. Lakini kuna mazingira kibinaadam kukwepa lawama ni ngumu sana. Ndio maana Waislam tunaishia kusema Mungu ndie ajuwae. Na aliyeuwawa ana watu pia, hivi kwa mfano unakodi bodaboda unashuka eneo ambalo halieleweki dakika 2 baadae dereva boda boda anauwawa, unaachwa je bila tuhuma? Kama utasimamisha chombo eneo linaloeleweka huwezi kutuhumiwa.
@111dudi
@111dudi 17 дней назад
@@hajihassan5433 Kwanini amuue dereva wa boda boda?
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 27 дней назад
Asilimia kubwa ya watu waliofungwa ni wale wasio na makosa 😢😢
@OlyUpowerfuljesus
@OlyUpowerfuljesus 15 дней назад
Yaani mi nalia tu hii Dunia watu wamepitia magumu lkn vile vile nimejifunza kumtumaini hata nyakati za giza
@shedrackpiniel6800
@shedrackpiniel6800 27 дней назад
No comment 😭😭😭 Tanzania yangu naona aibu kuwa mtanzania
@ce-08
@ce-08 27 дней назад
Hamia Kenya
@devothasimbi6495
@devothasimbi6495 21 день назад
Tanzanie haitaweza kuwa Yako tambua Tanzanie ni nchi,inakupasa useme Tanzanie ni yetu .
@sammarley1413
@sammarley1413 18 дней назад
​@@devothasimbi6495ninchi yenye police cafu sana sijaona mfano wake
@FloraNgoma
@FloraNgoma 19 дней назад
Rose MUNGU ALIKUWA AMEKUITIA HILI UNALOLIFANYA KWA SASA, sio lile lilokuwa ndoto yako ya mwanzo. Linatokea BAYA ILI LIJE JEMA. MUNGU alijua utaweza wewe kufanya kazi hiyo yake ukiwa Gerezani.
@willymauki7426
@willymauki7426 15 дней назад
Hii ni wazi wapo watu wengi gerezani wasio na hatua,
@FaridaKaduguda
@FaridaKaduguda 19 дней назад
Sasa alipata kibali cha kukubaliwa kuolewa. Aliamua kufata dini ya mumewe? Au vipi?
@omarkapula588
@omarkapula588 16 дней назад
Kuna masuala jamini hata mkiwa wandishi wa habari chunguzeni nini cha kuuliza mengine ni traumatize jamani dada pole sana na waandishi wa habari wajinga
@khadijanurdin3163
@khadijanurdin3163 16 дней назад
Hyo ndio TZ na polisi wake,shutuma tu utasema ndo huyo mtuhumiwa ndoa amethibitika,na hawanaga aibu hata kidogo
@hanskessy9413
@hanskessy9413 25 дней назад
Faith talk prosper where your planted
@sammarley1413
@sammarley1413 18 дней назад
Nikawaida sana vitu kama hivi katika nchi ya tanzania hakuna kitengo kibovu kilionawa nawajinga kama police ya tz niujinga nauonevu kwenda mbele
@irenebenny4292
@irenebenny4292 24 дня назад
Ila police wanaudhi unamkamata mtu kama jambazi bila warrant bila ushahidi nk
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 19 дней назад
Tz ndio channel ya vichekesho kule mbinguni usisaau hii
@user-kj2xh6bt5y
@user-kj2xh6bt5y 18 дней назад
Shemm.
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 27 дней назад
Inaonekana upelelezi wa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 🇹🇿 ni low level sana. Sijui ni elimu jamani 😭😭😭😭😭😭😭😪😪😪😪😪😪😪
@Kristina-fb4jq
@Kristina-fb4jq 26 дней назад
Yaani mi Ndo nashangaa yaani❤binti mdogo ambae yuko chuo awezaje kumkaba na kumuua mkaka, nasikiliza still, didn’t she have a lawyer?
@sammarley1413
@sammarley1413 18 дней назад
Hakuna police mbovu ulimwengu huu kama police yetu tz uonevu naujinga tu
@bonifacemyula5372
@bonifacemyula5372 27 дней назад
Mungu atabaki kuwa Mungu
@FaridaKaduguda
@FaridaKaduguda 19 дней назад
Mtangazaji mpk anataka kulia
@FaridaKaduguda
@FaridaKaduguda 19 дней назад
Sasa hajatuambia alifungwa kwa sababu gani?
@AminaAhmed999
@AminaAhmed999 18 дней назад
Amesema hapo alipanda bodaboda aliposhuka baadae mtu wa bodaboda akavamiwa na kujeruhiwa hatimaye kufa .na ikajulikana mtu wa mwisho kumbeba ni Rose
@user-rr4vt6vd6i
@user-rr4vt6vd6i 17 дней назад
Mbona mmeifuta??
@alinasor8553
@alinasor8553 17 дней назад
Magufuli
@user-pj5fp2xx3d
@user-pj5fp2xx3d 21 день назад
Mtangazaji una chuki na baba yako maana ulivyomuuliza rose kuhusu baba ulionekana unabadilika tofauti na ulivyouuliza maswali mengine
@OscarVenance
@OscarVenance 20 дней назад
Eeh eeh😂😂😂😂
@hyacintagugu7
@hyacintagugu7 16 дней назад
😂😂😂​@@OscarVenance
@zackysambo5800
@zackysambo5800 12 дней назад
😂😂😂😂
@rosemarymsekela1774
@rosemarymsekela1774 27 дней назад
Pole sana Wajina..kwel hakuna neno ngumu linalomshinda Mungu..Sifa na Utukufu ni kwa Mungu...nimeumia na nimefurahi pia❤❤
@FaridaKaduguda
@FaridaKaduguda 19 дней назад
Sasa alipata kibali cha kukubaliwa kuolewa. Aliamua kufata dini ya mumewe? Au vipi?
@MeckitilidaTushabe-or9hu
@MeckitilidaTushabe-or9hu 17 дней назад
Sikilizavuzuri
Далее
Армия США вошла в Зангезур
04:17
Просмотров 279 тыс.