Тёмный

Mwanangu mwenye jinsi tata aliniambia ‘ninaweza kujitoa uhai’ 

BBC News Swahili
Подписаться 616 тыс.
Просмотров 1,6 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

8 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 10   
@mwanahawamohammed8540
@mwanahawamohammed8540 Месяц назад
Pole sana mama. Naomba umuambie atafute international organization aangalie ajifunze na pia kusoma fursa zote anazoweza kupata, achukulie hiyo kama ni fursa kutoka kwa Mungu wetu muumba wa kila kitu. Kuna ya faida hapo ya kujifunza kutoka kimataifa, pia asivunjike moyo anaweza kupata ,tu wa aina yake au aliyekubali hiyo hali na kuanza familia. Hongera sana mama Sofia.
@Kijana-wa-Tanzania
@Kijana-wa-Tanzania Месяц назад
Ningekuwa na mtoto wa namna hiyo ningempenda na mtu akimsogelea ataona cha mtema kuni. Babi ni binti na mtu mzuri sana.
@joycehaule9717
@joycehaule9717 Месяц назад
Wangu pia alizaliwa hivyo....
@mashakasalehe3639
@mashakasalehe3639 Месяц назад
Nawapongeza sana wazazi wa huyo mtoto kwa kushikamana nakumtanguliza mungu kwa kila hatua
@joycehaule9717
@joycehaule9717 Месяц назад
Yan mm mwenyewe nilipata mtoto hana jinsia ya kiume wala ya kike ila amepata jinsia ya kiume.... India mara 6 nilidanganywa wakike ....
@dollardavid955
@dollardavid955 Месяц назад
Pole sana wazazi wa mtoto huyo. Kwakweli ni changamoto kubwa sana kumlea...lakini hongereni pia kwa kumkuza hadi kufikia umri huo. Hapo inaonekana ni jinsi ya kike ndo imetawala, je, anaweza kuolewa?
@joycehaule9717
@joycehaule9717 Месяц назад
Wangu alizaliwa hivyo ila jinsia imekuja now anaishi vzr na ni mwanaume nampenda sana tumeenda India mara 6 walishindwa ikabidi kuokoka
@michaelmatonange630
@michaelmatonange630 Месяц назад
Nafatilia hapa 😢
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA Месяц назад
Sasa hana jinsia anakitu gani mwilini ufa au mti?
@makungumbaba612
@makungumbaba612 Месяц назад
Anapataje haja ndogo
Далее
'Nalipenda jibu la hapana kuliko ndio'
41:52
Starman🫡
00:18
Просмотров 13 млн
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
Просмотров 87 млн