miongoni mwa ma roles modal ni ndugu @erickshigongo unayofundisha wewe ni mfano hai,sio wengine wanafundisha utajiri wakati wao ni wakufunzi wa vyuo😂😂😂
Hamna wamama katafuteni pesa msikubali za kupewa tuu usikubali kuwa goli kipa hata km mume anakuhudumia kukupa viella vya sokoni je akifa ck moja utaona shida kuanza kukimbizana na biashara anza mapema uzoee