Тёмный

Anakujua- Elia Mtishibi (official video) 

Minister Elia Mtishibi
Подписаться 16 тыс.
Просмотров 2,3 тыс.
50% 1

Tunapitia mambo mengi Sana kwenye maisha yetu ambayo yanasumbua "MIOYO" sana.. tunaumia kiasi AMBACHO hatuwezi kufanya mambo mengine zaidi ya kuuguza vidonda vilivyosababishwa na watu,wapenzi wetu, mipango yetu kufeli n.k..
Njia ni moja tu yakuutuliza MOYO wako.. Ni kuuambia MOYO TULIA YESU ANAKUJUA na utatulia...Mungu augange moyo wako unaposikiliza wimbo huu...
Studio :RIDER REC MWANZA
Prod: JUSTINE RIDER
BASS:Amos belvin
SOLO :Nahum Gideon
#anakujua #eliamtishibi #teamEbenezer

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 30   
@umassmshija1116
@umassmshija1116 3 года назад
Nakuona mbali sana mtumishi. Zingatia maneno haya kuna mungu ndani yake.
@mosesdotto4519
@mosesdotto4519 2 года назад
Nakubali xn ndo nyimbo yangu pendwa naifurahia kila leo ndo pray list yangu ya siku barikiwa xn my bro
@mtindoelias8888
@mtindoelias8888 3 года назад
Ndugu yangu kiukweli Mungu anakujua sana na amekuamini sana my brother, big song kk mkuu 🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌🎼🇹🇿💥💥💥
@hajivemba8276
@hajivemba8276 3 года назад
ANAEKUJUA ##BABY JACKSON MTUMWA WA BABA KEEP IT UP BLOOD
@gerrygumad8812
@gerrygumad8812 3 года назад
Kaka wimbo huu umeniponya napitia mengi sana lakini imekuwa kama suluhisho balikiwa sana mtimishi
@mukoozamoses8977
@mukoozamoses8977 3 года назад
Yo great bro
@jacksondamian1650
@jacksondamian1650 3 года назад
Wimbo wangu pendwa mwaka uu
@isayajackob5850
@isayajackob5850 3 года назад
Kazi yako nimeipndaaaa
@johnicejordan7275
@johnicejordan7275 3 года назад
Anakujuaaaaa ,God sound !! ,I appreciate u my oppa ,more blesses
@djodjomckauga8947
@djodjomckauga8947 3 года назад
Amaizing melody, go cha.mp💪
@mashenmedia850
@mashenmedia850 3 года назад
Fundi kweli, what a nice song bro, keep it up...
@fradynicholous2579
@fradynicholous2579 3 года назад
Ongera kwa story nzur
@singanodesigner5262
@singanodesigner5262 3 года назад
Bwana anyeshee mazao yako
@emmanuelpaul1943
@emmanuelpaul1943 3 года назад
Good job bro, bwana azidi kukupandisha juu zaid
@anithakiliba6161
@anithakiliba6161 3 года назад
Nice song...God bless you Elia
@goodlucksarungi1964
@goodlucksarungi1964 3 года назад
Amen amen
@victortumain9528
@victortumain9528 3 года назад
Kazi nzuri Sanaa bro.
@boniphacealoyce8936
@boniphacealoyce8936 3 года назад
Kazi nzur sanaaa bro
@mosesnkumba1184
@mosesnkumba1184 2 года назад
Kazi nzuri kaka
@EmmaFrancis14
@EmmaFrancis14 3 года назад
Powerful song brother be blessed
@isayajackob5850
@isayajackob5850 3 года назад
Goooood ma bro
@kabotezeey8474
@kabotezeey8474 3 года назад
nakubali sana
@am_kusula.1234
@am_kusula.1234 3 года назад
Amazing broooo
@jackiekinsey8949
@jackiekinsey8949 3 года назад
Very uplifting. God Bless you!
@royalking3450
@royalking3450 3 года назад
Very nice
@inswhale-
@inswhale- 3 года назад
Nice song
@ivetadayana6676
@ivetadayana6676 2 года назад
Uplifting message
@eliudtvhabarikemukemu6506
@eliudtvhabarikemukemu6506 3 года назад
Safi
@jackliniasenga3694
@jackliniasenga3694 2 года назад
Good
@mzeitunitv6842
@mzeitunitv6842 3 года назад
Nice song
Далее
Elia Mtishibi - Sitara (Official Live Video)
16:05
Просмотров 49 тыс.
ELIA MTISHIBI - Kama ungehesabu (Official Video)
5:23
Elia Mtishibi_ sina mwingine (Studio session)
2:51
Просмотров 8 тыс.
TUNAKUMBUKA FADHILI Stem Review
12:03
Просмотров 9 тыс.
Elia Mtishibi _ Ni Bwana (official video)
4:54
Просмотров 4,6 тыс.
Dr.Ipyana - NAWEZAJE KUNYAMAZA//NAMNA HII SIJAONA
15:41
Elia Mtishibi - Umenipa Sababu (Live Video)
6:42
Просмотров 14 тыс.
Elia Mtishibi -  Wewe ni Mwema (Official Video)
6:53
Просмотров 31 тыс.
Elia Mtishibi - Ninashukuru (Live Recorded Video)
8:30