Тёмный

‘Sina damu mikononi mwangu’ RAIS RUTO afunguka, adai KENYA sasa italazimika KUKOPA Trilioni 1.2 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 40 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

1 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 179   
@SarhaSaid
@SarhaSaid 3 месяца назад
Asante kaka sisi tusiojua vingereza😂😂😂😂tumekuelewa vizuri sana
@rahmasalum1317
@rahmasalum1317 3 месяца назад
Poleni wakenya Mungu awafanyie wepes
@pauloisso5815
@pauloisso5815 3 месяца назад
Saut Tu ya mtangazaj inatamanisha kusikikiza moja ya best sound Tanzania
@talents7934
@talents7934 3 месяца назад
Usikute wewe ni Mwanaume? 😢
@pauloisso5815
@pauloisso5815 3 месяца назад
@@talents7934kwann
@suleysaid3927
@suleysaid3927 3 месяца назад
Safi sana Sns Nawapata vizuri sana Munafanya kazi mzuri sana Mungu awabariki ❤
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 3 месяца назад
Hajahusika kwani polisi niwa nani hio damu haiwezi enda bure RUTO itakutesa sana hii kitu😢😢😢😢😢
@isamony58
@isamony58 3 месяца назад
Asante kuongeya kiswahili 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@mpefu_4936
@mpefu_4936 3 месяца назад
Yani Kuna uchochezi nyuma ya pazia na chuki pia
@samuelmlapwa7858
@samuelmlapwa7858 3 месяца назад
Shida ya huyu bwana uongo ni mwingi
@jumakassim8718
@jumakassim8718 3 месяца назад
Huyu sio kiongozi ni mwanasiana tu
@aftapat5365
@aftapat5365 3 месяца назад
kwani Magufuri si alikuwa kiongozi mzuri alivyofariki nani alie hoji nashangaa sisi wa tanzania tunakosoa sana kenya kuliko kuwaombea ili wasiingie kwenye vita ruto akitokw nani atakuwa kiongozi mzuri wakenya ni wazungu vuchani kama hauwajui
@samuelmlapwa7858
@samuelmlapwa7858 3 месяца назад
​@@aftapat5365ndugu yangu hivi unamsikia Ruto na tension yake kuhusu hayo maandamano?Halafu kuna namna unapaswa kuelewa Magufuli hakuwa mtu wa mikopo kaka huyu anakopa Sanaa hicho ndio kitu wakenya hawataki sababu inachochea ongezeko la kodi.
@BraveMajaliwa-gf7ru
@BraveMajaliwa-gf7ru 3 месяца назад
Huyu rais ni jeuri sana ataki kuwasikiliza watu wake alafu analinganisha mali pmj na watu waliofariki 😢 alafu yupo tayari kwa chochote yani mbwai mbwai wakati ajatimiza alivyoahidi 😢alafu anakua mjeuri kama watu wake 😢USHAURI WANGU NI..... WALE VIJANA WANAO ANDAMANA WAINGIE NA MOTO MTAANI TU.
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 месяца назад
duh aisee kumbe Kenya wanaletaga mswaada wa fedha kwa uma kwanza kisha wanarudisha bungeni kujadli? wanaraha kweli..51:08-55:13
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 3 месяца назад
POLENI JIRANI ZETU NA KIUKWELI BAADHI YA VIONGOZI WETU WA KIAFRICA BADO WANAENDESHA NCHI CHINI YA MATAIFA MAKUBWA
@birianination7097
@birianination7097 3 месяца назад
Kila nchi Africa lazima iwe na nchi kubwa inayo isaidia kimaendeleo na kiusalama.
@sonnyr1899
@sonnyr1899 3 месяца назад
Tatizo lako Ruto unaongeya sana Alafu ahadi zako ni hewa
@saidbabaali9082
@saidbabaali9082 3 месяца назад
Umefanya vizuri kuwatafsiria hao jirani zetu maana wengi wao ingewapita tu
@jaymwinyi6957
@jaymwinyi6957 3 месяца назад
😂😂Banaeee
@personpeter2221
@personpeter2221 3 месяца назад
Naiman hata hko kwenu kunawasiojua eng ko sishangai
@JonathanNelson-l8h
@JonathanNelson-l8h 3 месяца назад
Mbona rais wenu alishindwa kuongea English huko ulaya😂 mnajifanyaga wazungu nyie
@lenniefei6710
@lenniefei6710 3 месяца назад
​@@JonathanNelson-l8hAliongea kizungu safi sana acha uwongo
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 3 месяца назад
Wewe hapo juu unayewaabudu waingereza ona sasa matatizo yaliyopo sell outs,King wa uingereza kukaribishwa na kutandikiwa zulia jekundumk.Kasumba .NI MHIMU KUIHESHIMU LUGHA YAKO KWANZA KAMA WAFANYAVYO WAZUNGU WENYEWE.RAISI ANAIHESHIMU LUGHA YAKE YA TAIFA NA WAINGEREZA WANATUHESHIMU KWA KUWA NA LUGHA YETU IMARA NA KUTOKUWA NA UKABILA🎉IAM PROUD OF MY NATION.GOD KEEP ON BLESSING MY BELOVED COUNTRY.NEVER KILL EACH OTHER.IN GOD I TRUST.
@salimomar-n7s
@salimomar-n7s 3 месяца назад
Sns is the best now tz
@jumashedafa
@jumashedafa 3 месяца назад
Exactly yan ktk online tv...hii ni atar na wakiendelea hiv watafika mbal mno
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 3 месяца назад
Mnao shukuru kwa Sky kutafsiri hii inshu kwa kiswahili jifunzeni Lugha kujua kichina ,kirusi na kinyakole ni utajiri wa lugha wala sio ushamba kujua lugha yeyote ile.
@jaymwinyi6957
@jaymwinyi6957 3 месяца назад
😂
@lenniefei6710
@lenniefei6710 3 месяца назад
😂😂😂😂...Kweli kabisa
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 3 месяца назад
Kwani wao kujifunza kiswahili ni dhambi
@lenniefei6710
@lenniefei6710 3 месяца назад
@@yusufuheri6524 Muache kiburi cha upuzi, kiingereza ndio lugha ya mawasiliano ulimwengu mzima......Musiwe wajinga jamani
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 3 месяца назад
@@lenniefei6710 message sent
@timothykaiza327
@timothykaiza327 3 месяца назад
Kibongo bongo umuhoji Rais hiyo mzee nyote mnatupwa ndani, wa Tz tunachakujifunza.
@felixefeza6783
@felixefeza6783 3 месяца назад
Malaika anayesema uongo huwa hana tofauti na shetani anayesema ukweli huyu bwana aliwatumia polisi kuua wakenya githurai Mimi mwenyewe ni shuhuda
@jumakassim8718
@jumakassim8718 3 месяца назад
Wakumbuka mwaka 2007 wakikuyu wengi walichomwa kiambaa katika kanisa bila huruma
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 3 месяца назад
Jamani tukumbuke kuwa tumerithi capitalism,ni hatari.Viongozi wanajisahau kuwa wao ni wananchi mzungu alikuwa anakula nchi tu.😢After all Ruto is a billionare ,he can easily use his moneys to travel to anywhere without using taxpayers money😅😅
@samuelmlapwa7858
@samuelmlapwa7858 3 месяца назад
Inapaswa kuwa funzo kwa nchi nyingine za Africa especially East Africa,watu wanaimba Democracy lakini kuitekeleza inakuwa ngumu kwa kuwa wanajali interest zao..Ona sasa huyu anajikanyaga tu anashindwa kujibu kama kiongozi mkuu wa nchi every answer he give contains numbers of what he call facts but they are not sensitive indeed,Poor Ruto.
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 3 месяца назад
SNS media yetu pendwa
@ismailabdalla7953
@ismailabdalla7953 3 месяца назад
Umefanya vizuri kuleta kiswahili
@mohamedalnaamani9232
@mohamedalnaamani9232 3 месяца назад
Umefanya vizuri kwa kuongeya kiswahili poleni sana kwa vifo vimetokeya na omba wakenya mpende Amani na mpende inchi yenu usalama nikitu muhimu kwenu usalama gusa kilammoja wenu
@lenniefei6710
@lenniefei6710 3 месяца назад
WaKenya wanapenda nchi yao kuliko yeyote yule na ndio maana wanapigania haki yao sio kama waTZ ambao uhuru wenyewe walipewa kwa sahani !
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 3 месяца назад
Kwa kiswahili Safi sana.
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 3 месяца назад
Afadhali angaliomba msamaha na siyo kujikosha.Wale waliouawa wapate fidia tena kubwa. Ni binadamu na siyo kuku😢😢Tanzania tusije tukajiingiza Kwenye balaa kama hili,maongezi ni mhimu na amani kama ilivyo kawaida yetu na msingi wetu Lema na upumbavu wake wa kutoka ughaibuni kutaka vijana wafanye fujo ni wendawazimu.mtupu bila kusahau kuwa Lema ni mjinga fulani😢.
@TatuRashid-d6t
@TatuRashid-d6t 3 месяца назад
Ooooh Lord stand with the People of Kenya to have peace?? From Tanzania
@madarakaempire4744
@madarakaempire4744 2 месяца назад
Binafs ruto nmekuelewa chaguo n la wakenya kukopa na kuendelea kua watumwa wa wazungu ama.kupambana na tax kuimarsha uchum.
@namungolubala1788
@namungolubala1788 3 месяца назад
HUYO HASTAHILI KUWA RAIS KABISA AONDOKE AKAFIYE NAHUKO ALIBADILIKA WAKATI ALIENDA KUKUTANA BIDEN ASI WADANGANYE HAKUNA KITU ATA SAIDIA IYO NI UONGO🎉🎉🎉🎉
@Kingwendu85-q4l
@Kingwendu85-q4l 3 месяца назад
Makosa makubwa kuunguza mali za nchi,hivyo basi waombe wanavyovitaka kwa amani bila uharibifu
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 3 месяца назад
HUYU JAMA NI MUONGOO HATUMTAKII TUSHACHOKANAYE ALIKUA WAPII MIAKA MIWILI YOTE KUTENDA ANAYOYASEMA
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 3 месяца назад
Now he is calling all those Kenyans in maandamano criminals? Shame on you Ruto. No empathy, no emotions, nothing. Zakayo must go
@stanleymadata8767
@stanleymadata8767 3 месяца назад
wamepangwa wamtafute kiongozi wa waandamaji ili awepo nae waojiwe
@btsanime6138
@btsanime6138 3 месяца назад
Huyu Ruto ni Adui wa nchi ya Kenya ameanza ubaya baada ya kukutana na Biden wiki iliyopita na kuongea upuzi usio na mana. Hafai kuwa Rais wa nchi ya Kenya. Shame on him.
@uwimana6533
@uwimana6533 3 месяца назад
Kabisa wamue aidha wampindue 😂😂
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 3 месяца назад
Brother Sky tunashkur kututasfiria Kwa kiswahili
@rehemashariff3119
@rehemashariff3119 3 месяца назад
Tunamjua yeye ni muuwaji toka zamani na ni mwizi toka tumboni Mungu anisamehe kwa hili huyu anamdomo sana na kiburi
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 3 месяца назад
Zakayo must go 😂😂😂😂
@Telesphole
@Telesphole 3 месяца назад
This prizo he’s talking nonsense, he should wait this Tuesday and save the rest
@Rachel02806
@Rachel02806 3 месяца назад
He's nice president on my opinion
@AlbertWafula-k3i
@AlbertWafula-k3i 3 месяца назад
Ruto ruto toka tu kwa amani toka toka wewe NG'ombe ata uongeee toka
@PaulOrenge-eo4hb
@PaulOrenge-eo4hb 3 месяца назад
Naomba Prof Jamal Mstafa the story book Tz help me to have him.
@SamiiJymmy
@SamiiJymmy 3 месяца назад
Ruto don’t care about life 😢😢Shem on him😢
@animalchannel296
@animalchannel296 3 месяца назад
I support Ruto by the way
@fanuellingson
@fanuellingson 3 месяца назад
Nimependa waandishi wanavyo hoji TZ MKALE SHORT COURSE HUKO
@reginaldephraim1708
@reginaldephraim1708 3 месяца назад
Mbali na yote, waandishi wa habari wa Tanzania wana kitu cha kujifunza hapo kuwacha uwoga nakuhoji vitu vyenye maslai mapana ya Taifa.
@anthonyassenga2365
@anthonyassenga2365 2 месяца назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-IOGx-yjgNVM.html
@amanimtd3890
@amanimtd3890 3 месяца назад
Support from Canada 🇨🇦 Asante sana SNS
@SadiAbufaris
@SadiAbufaris 3 месяца назад
Ebu nipe ujanja ulifikaje Canada brother
@JemeslaizerJemeslaizer
@JemeslaizerJemeslaizer 3 месяца назад
Tanzania hayupo wa kuhoji Rais kama huku Kenya.
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 3 месяца назад
What do you mean?
@alisalimkenya3972
@alisalimkenya3972 3 месяца назад
Mrongo huyu
@GentleGiant-pj2rk
@GentleGiant-pj2rk 3 месяца назад
Linus is incompetent to represent in that meeting he is too emotional and represents his own feelings, I real like the other two, are very objective and well equipped and accommodated
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 месяца назад
Kinachomponza tuu huyu Rais wetu jirani ni matumizi mabaya ya pesa na viongozi wake. hiyo ndo shida kubwa na ndomaana hizo tozo zikawafanya w/nchi wakasirike na kutaka mswaada mzima upeleke kwnye jalala
@ZulumanSulesh
@ZulumanSulesh 3 месяца назад
Nakukopa ili aibe then analazimisha watu walipe kodi ilihali watu awana kazi
@birianination7097
@birianination7097 3 месяца назад
Hivi hiyo miradi ni ya bure, tujitoe akili ila Africa bila mikopo hakuna kitu.
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 3 месяца назад
Watanzania hatuamini amani katika kumwaga damu.Hiyo ni mbegu ya ubeberu,colonialism walituua na kututawala kimabavu.Mwafrika kwa ujinga wetu anafikiria kuwa kuua ndiyo sifa😢Hata polisi anafikiria kuua ndiyo ushujaa. Kumbukeni south Afrika. Wazungu wenyewe polisi haruhusiwi kuua.Afrika tunauana kama kuku,kwa vile akili yetu ndogo kama kuku😢wanaopenda fujo na vifo waende Gaza au Ukraine
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi 3 месяца назад
Hakuna mtu anamini ruto kenya.Ruto akikuambia leo ni jumapili na calender ameshika chunga sana anaweza kuwa anakuonsha calender ta 2020. Hiki ndick kiwango cha urongo ruto yuko nayo.
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi 3 месяца назад
Hata anadanganya hadanganyangi. Usijefanya mieleka na nguruwe. Nyote mtachafuka lakini nguruwe anapenda hivyo sana
@khamisshee803
@khamisshee803 3 месяца назад
Hafai hata maongezi yake hayakuwa na tijaa tutamtuwa 2027 Insha'Allah AKA BACHUCHU MOMBASA 001 +254
@KajokaTanzania
@KajokaTanzania 3 месяца назад
He can't even reply the first question. WTF ???😜😜😜 Kweli Ruto must go.
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 3 месяца назад
Huyu shetani bado anatuma watu kuwauwa wananchi nakuwateka nyara,bado anatmia vibaraka wake kiwaumiza wakenya, kiufupu huyu hajabadilika, ruto hujui kuongoza achilia kiti uende zako,maana unazidi kujihaibisha na dunia inakushangaa
@samuelmlapwa7858
@samuelmlapwa7858 3 месяца назад
Ila huyu linus alimkalia kooni jamaa nadhani alipo rudi ndani alijuta kuikubali hiyo Interview but amijitahidi sana hizo mambo zina mfaa sana Kikwete hapo angewatoa knock out mshua anajua sana yule
@Youngchimodzi823
@Youngchimodzi823 3 месяца назад
Kuua wandamanaji wa amani ni jambo baya sana,Ruto amezingirwa Hana pa kwenda na hata Marekani kwa hili watamtosa. Atubu ndio shida ya kutaka Urais kwa gharama yoyote. Hatapata amani Hadi anaenda kaburini
@omyboy6550
@omyboy6550 3 месяца назад
So, the criminals mobilized youths and killed them? What was the motive?
@JosephAlakonya
@JosephAlakonya 3 месяца назад
Wana SNS sisi ndio wakenya na tunajwa Kila ambacho kilifanyika Kenya uyu RUTO ameongea uwongo yote kama anasema mtu Mmoja ndio alifariki Githurai na ni watu wengi walipigwa risasi... Atupatie paybill ya china tujilipie deni wenyewe
@MalikshotelsMalikshotels
@MalikshotelsMalikshotels 3 месяца назад
RUTO MUST GO ZAKAYO SHUKA shaitwan 👹👹👹👹👹👹👹👹
@PaulOrenge-eo4hb
@PaulOrenge-eo4hb 3 месяца назад
This guy ICC must visit him again
@KhamisBeja
@KhamisBeja 3 месяца назад
Ile siku wazungu wataacha kutuchagulia viongozi ndio itakuwa wakati wa africa kuendelea huyu alikuwa hajakuwa tayari kuwa raisi coz amepatikana flat footed hana majibu hana watu wakumpa information anabaki akibahatisha majibu...
@abdullahkazungu4025
@abdullahkazungu4025 3 месяца назад
Mr President mungu halali utalipa tu kwa njia yoyote ile damu ya MTU haimwagiki bure.
@uwimana6533
@uwimana6533 3 месяца назад
Huyu Ruto wakenya wangemshulikia kumuondoa madarakani bilahivo atakuja kuivuruga nchii kueni namakini kunawatu nyumayake wanae muendesha akili kusambaratisha wakenya 😂😂😂😂
@kayklein1201
@kayklein1201 3 месяца назад
Hadui yetu alikua uhuru ruto alionya akabadingwa jina la mwizi ila twamwona mmbaya kwa sasa lakini yeye ndio masiah wetu
@DamianUlaya
@DamianUlaya 3 месяца назад
Yaani luto anawaza kukopa tirion 2 tu anaona nying Kati Kuna mtu kalamba za wakorea kusin kama 4
@Gulfnas1
@Gulfnas1 3 месяца назад
Hiyo trillion ya ksh unajua ni ngap kwa Tsh??
@birianination7097
@birianination7097 3 месяца назад
Kenya wapo na 73% debt cap Tanzania mpo na 34% debt cap inshot mnafanya vizuri sana
@namungolubala1788
@namungolubala1788 3 месяца назад
Huyu anaiga ulaya kutia tax na inchiyake ni africa watumusiitike hiyo ulaya ni ulayatu na africa ni africatu ulaya ni inchi tajiri na africa ni inchi masking kwanini huyumwizi aige ulaya kutia tax????
@azizihfarijala5307
@azizihfarijala5307 3 месяца назад
lakini mbona hawakumuuliza kuzarau mahakama ambayo ilitoa hukumu polisi kenya wasiende Haiti lakini kawapeleka. ukweli hakuna la maana waandishi walichomuuliza
@birianination7097
@birianination7097 3 месяца назад
Wewe unachanganya mchanga kwenye chakula, hapa wanauliza kuhusu matukio ya mgomo kenya, haiti wapi na wapi
@mpefu_4936
@mpefu_4936 3 месяца назад
Sasa Kuna picha zilikuwa zikinyesha watoto wanatupa mawe sema kosa ni kutumia risasi za moto
@CivilEngineeringWorks-d7b
@CivilEngineeringWorks-d7b 3 месяца назад
Waafrika tunapenda ubabe siutoke upunguze mauaji au Kama nataka Amani Mwite Railla Mujenge nchi chukuwa mifano ya waliokutangulia
@birianination7097
@birianination7097 3 месяца назад
Ukipunguza hasira na chuki utajua Kenya ipo kwenye tatizo zito na one way or another lazima nchi ilipe either leo au kesho, Ruto anamakosa yake kweli ilabado anajitahidi kwa kweli.
@Elizabeth-gq9kl
@Elizabeth-gq9kl 3 месяца назад
Kamahawezi KunyongaWafisadi ,walanguzi wamadawa yakuleviya Aondoke.
@trizereve3386
@trizereve3386 3 месяца назад
Amegangania Mali iliyo haribika maliitarudi zile roho zilio potea hatukutaki wewe mzee huwezi kuendesha serekali
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 месяца назад
Thats what am talking about 1:08:1:12:43- his trips to foreign countries has potential impact to the growth of Kenya's economy- USA- he came back with a $1billion Data center facility to be built in Naivasha. Also the CHIPS manufacturing has set Kenya to be part of it. Then China - Roads, Technical equipments kwenye vyuo vikuu. Duuh aloo...Jamaa sio mchezo Rais wa Kenya kongole baba
@alimohammedomar3412
@alimohammedomar3412 3 месяца назад
Kwahivyo Rais Ruto na Makamo wake hawaivi kwenye chungu kimoja.
@blueboybajos6880
@blueboybajos6880 3 месяца назад
asante sna kaka Sky na SnS yote kwajumla💝
@rahmasalum1317
@rahmasalum1317 3 месяца назад
Anaetangaza mtz mswahili sio mzungu mweusi wakenya 😂😂
@mpefu_4936
@mpefu_4936 3 месяца назад
Tumieni busara kumaliza migogoro bila vifo
@Briliant-vd8vp
@Briliant-vd8vp 3 месяца назад
Mr president weka jeshi kila Countys tunataka amani
@aminaali792
@aminaali792 3 месяца назад
SNS to the Top 💪🏼🤍🤍🤍
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 3 месяца назад
Achen kumshutuma vibaya RUTO kwan yee ndio rais wa kwanz nchini kwake kuwa na maisha magumu..kwahiyo hao waliopita wakenya wote mlikuwa matajir? hebu mwachen baba wa watu afanye kaz yake kwa uaminifu
@mr.performance2533
@mr.performance2533 3 месяца назад
Kwaiyo wakenya ni vichaa we ndo anaakili
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 3 месяца назад
@@mr.performance2533 muulize mungu atakupa jibu
@millymack1370
@millymack1370 3 месяца назад
Kesho tunaenda maandamano upya..lazma huyu jamaa ashuke.
@kazinaimwishehe-ec3xu
@kazinaimwishehe-ec3xu 3 месяца назад
Yaan apa africa kazi ipo yeye anakodi ndege anatumia pesa nyingi alafu anaawambia watu kuwa lazima wakope kwa ajiri ya nini au safarizako za marekani na kujiongezea posho na vyakula vizur bungen
@beatricefrankngalubutu1448
@beatricefrankngalubutu1448 3 месяца назад
Sns to the world 🇹🇿💥💥💥🫡sound bora kutokea 🇹🇿
@AbdallahBakar-oc3ue
@AbdallahBakar-oc3ue 3 месяца назад
Imemponza marekani aache kihelehele Cha kwenda nchi za ulaya
@Jean-marieNiyonzima-f3e
@Jean-marieNiyonzima-f3e 3 месяца назад
Hongera mwandishi kutujuzaa
@roselynealima3618
@roselynealima3618 3 месяца назад
Ruto must go We don't want him anymore
@lucymacharia4134
@lucymacharia4134 3 месяца назад
Kazi Kwa vijana ndio wimbo wa taifa mwongo wewe
@patriciamuchemi7772
@patriciamuchemi7772 3 месяца назад
Why does he always lie? Then what happened in Githurai and why did it happen?
@Critikize
@Critikize 3 месяца назад
He is concerned of those whose lost businesses but the same individual is merciless of those homes he demolished. Douvlble speech
@williamsenkoro2210
@williamsenkoro2210 3 месяца назад
Kenya there is no respect for the president at all. How can you corner him like a kid on camera like this.
@kiatu
@kiatu 3 месяца назад
They democratically more mature than most other countries
@Hassan_Mengi
@Hassan_Mengi 3 месяца назад
Who cares?! No respect for a narcissist Zakayo.
@birianination7097
@birianination7097 3 месяца назад
​@@Hassan_Mengi punguza hasira, msikilize vizuri
@patrickochieng79
@patrickochieng79 3 месяца назад
This is the fruit of democracy baba😅
@birianination7097
@birianination7097 3 месяца назад
@@patrickochieng79 na nivizuri wish they will be more.
@sarafinawanja8549
@sarafinawanja8549 3 месяца назад
Plz do all the recommendation of the genz and resign mr president
@theheraldbroadcastingnetwo4836
@theheraldbroadcastingnetwo4836 3 месяца назад
Huyu ruto ana chake.... Ndio ngoma inaaza.....
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj 3 месяца назад
Shetani huyu yu must go hatukutaki full stop
@YasiniMkakile
@YasiniMkakile 3 месяца назад
Ruto umekanyaga moto
@HansChuma
@HansChuma 3 месяца назад
Mm nasema hv Bado tanzania
@mariasalomemelchiorkaigaru1974
@mariasalomemelchiorkaigaru1974 3 месяца назад
hiyo ndio kenya
@jaybajay9973
@jaybajay9973 3 месяца назад
I still believe Ruto is the right man for the job. He only needs someone to advise him to resign!!!
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj 3 месяца назад
Kwenda zako nenda ukaishi nae kwake
@jaybajay9973
@jaybajay9973 3 месяца назад
@@MuniraShughuli-kc7vj try to understand usilete makasiriko kua mpole coz ujanielewa
@jumakibwana1810
@jumakibwana1810 3 месяца назад
Very true but only if anaweza sikiliza hao advisers coz ruto anaubabe wa kujua kila kitu
@HawaaMkubwa
@HawaaMkubwa 3 месяца назад
Translate to Arabic
@TmkeLaiza
@TmkeLaiza 3 месяца назад
Mlad ayo🎉🎉
Далее
ХОМЯК ВСЕХ КИНУЛ
10:23
Просмотров 617 тыс.
Лиса🦊 УЖЕ НА ВСЕХ ПЛОЩАДКАХ!
00:24