Тёмный
No video :(

“Ni kheri umuone daktari mapema uanze matibabu ya saratani" 

BBC News Swahili
Подписаться 610 тыс.
Просмотров 2,3 тыс.
50% 1

Huu ni ujumbe ambao Douglas Kipkoech mwenye umri wa miaka 32 alisisitiza sana kwani alificha hali yake ya kukauka kwa ngozi na hatimaye akapatikana na saratani ya ngozi inayoitwa Cutaneous T-cell lymphoma (CTCL) ambayo ni miongoni mwa saratani zilizo nadra sana.
Wanahabari wa BBCPaula Odek na Judith Wambare walimtembelea Douglas na familia yake mjini Eldoret nchini Kenya na kutuandalia taarifa hii kabla ya Douglas kufariki Dunia miezi miwili iliyopita.
Taarifa hii ni kwa ruhusa ya mke wake Mercy Mugure
📸 @judith_wambare
#bbcswahili #kenya #saratani

Опубликовано:

 

3 ноя 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 4   
@sidrasidra8616
@sidrasidra8616 Год назад
Subhana'Allah😔
@babylucky8303
@babylucky8303 2 месяца назад
Jmn pole cjui bd upo au la! Lkn ningekuona ningezungumza na ww mengi said
@learnswahilieveryday
@learnswahilieveryday Год назад
To learn Swahili, Let's Connect ❤❤
Далее
Episode 38 : Ifahamu kansa ya tumbo
15:01
Просмотров 3 тыс.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumanne 06/08/2024
28:10
FANYA HAYA UEPUKE SARATANI ( CANCER)
4:02
Просмотров 17 тыс.
FAHAMU DALILI ZA SARATANI YA DAMU
11:45
Просмотров 6 тыс.
80 Year Olds Share Advice for Younger Self
12:22
Просмотров 1,7 млн
Usafi wa Moyo | Mwanamke ni Dira
53:43
Просмотров 22 тыс.