Тёмный

'Najuta kujichubua ngozi yangu nzuri ya ki- Tanzania' Jahalia Ngonde 

BBC News Swahili
Подписаться 617 тыс.
Просмотров 12 тыс.
50% 1

Wanaume wa Tanzania, hawapendi wanawake weusi!
Wanawapendelea sana wanawake weupe ''
Hii ndiyo sababu kuu yangu kujichubua rangi ya ngozi yangu kutoka kuwa mweusi.
Jahalia Ngonde Mshereheshaji.
Unakubaliana naye?
#bbccolourism #wanawake
#rangiyangozi #tanzania

Опубликовано:

 

8 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 18   
@davidcurtis8556
@davidcurtis8556 5 лет назад
Dah! Dada angu kwanza hongera kwa kuwa mkweli na kujutia ulichofanya huo ushujaa lakin pili usijali wanaobeza kutukana kukejeli, jua tu hakuna mkamilifu na hata maandiko matakatifu husema omba samaha kwanza kwa unaohisi umewakwaza halafu umuombe masamaha Mwenye enzi Mungu mwenye rahma na upendo uliotukuka na husamehe kwa asilimia zote kwa alie mkweli na alieumozwa na kosa lake, pole sana dada angu.
@ginedmgodeh3608
@ginedmgodeh3608 5 лет назад
Sisi mikoani tunapenda wanawake natural colour hao wanapenda muliojichuna ngozi ndio uwalaumu sasa.
@lovemyselflovemyself954
@lovemyselflovemyself954 5 лет назад
Inawezekana dd yangu. Mm ilinichukuwa mwaka umoja tu @ gozi yangu imerudi tena vizuri Sana.
@isabellanoah8229
@isabellanoah8229 Год назад
Mm kurud kwa rang yangu inachukuaga mwez mmoja tu na siharbiki nimeacha kutumia vipodoz na use serum ya vitamn c na vaseline ya maj basi ngozi ilirud bila kuwa mbaya
@kibetndiwa3618
@kibetndiwa3618 5 лет назад
Ni vizuri umesema ukweli
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 5 лет назад
Muombe msamaha mungu wako
@zigzag4571
@zigzag4571 5 лет назад
Asante Sana Arafa.......Muelimishe Mwezio Aone Haki
@marylucas7382
@marylucas7382 3 года назад
Jmn Tena ulikua Na karangi kazur,Ila Kwa ushaur acha Ivo vipodoz afu kamuone daktariwa ngoz atakusaidia ,Yan acha kabisa izo cream tupa usiwaze kutumia tea Yan zichukie haswaaa ,nakuahid utalud kweny Rangi yako ukifata haya nilokwambia, afu kaaa Sana Juan Rangi utalud mama, Ila Tu usiendeleze n hatariii Kansa iyooo
@is-hakaali5757
@is-hakaali5757 5 лет назад
Binafsi mwnmke mweupe cmpendi mm napenda halfcaste
@trophainamagogwa9590
@trophainamagogwa9590 5 лет назад
Ulidanganyika
@salamakhamis7245
@salamakhamis7245 5 лет назад
Maskini. ulikua narangi nzuri ndugu yangu
@neylaizer3204
@neylaizer3204 2 года назад
Uwondoke uwende wapi
@abubakarmattar2443
@abubakarmattar2443 5 лет назад
Inawezekana Acha kutumia uone matokeo yake
@SKILLS360TV
@SKILLS360TV 5 лет назад
Duuuuh noooouma OK ila PITIA HAPA KUONA UCHAFU UKIGEUZWA KUWA MAPAMBO YA NDANI ili kuni sapoti SUBSCRIBE channel hii bofya kapicha kushoto
@aliimkufya1797
@aliimkufya1797 5 лет назад
chizi weeee ovyoo huna haya
@nassrahnyagei8605
@nassrahnyagei8605 5 лет назад
Sio kwamba Huwezi rudi kama zamani uwezokano upo endapo utakuwa unataka Kweli kuirudia rangi ya ngazi yako.
@isabellanoah8229
@isabellanoah8229 Год назад
Kwl mm nikikuwaga mweupe ila so sana rrang flan hv mzaz wangu alikuwaga ananipakahga macream kuna mda nikaharibika ule uwepo but nikauona kama mzur nikaama akanirithisha madhara nimakubwa nilipata sema haikuchukua muda mm kupona ni mwez moja ngoz yangu ikarud kama ya utoto uzur sikutumia sana
@zigzag4571
@zigzag4571 5 лет назад
Wakuombwa Msamaha Ni Mola Mtukufu Alie Kuumba Kwa Ustadi Na Rangi Ya Jogoo Ukamuasi Kwa Kumkosoa Alivo Kuumba Ili Ujibadilishe Kwa Ustadi Wako
Далее
Msichana mwenye jinsia ya tatu
2:27
Просмотров 42 тыс.
Hiroshima - the unknown images
52:01
Просмотров 11 млн
Psychopath or Sociopath | What You Need to Know
2:23:39
What is Turkey's agenda in Africa?
10:51
Просмотров 163 тыс.
BBC MITIKASI LEO JUMATANO 22.01.2020
12:56
Просмотров 11 тыс.