Тёмный

𝐒𝐈𝐊𝐔𝐁𝐀𝐃𝐈𝐋𝐈𝐒𝐇𝐀 𝐃𝐈𝐍𝐈 𝐊𝐖𝐀𝐉𝐈𝐋𝐈 𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐏𝐄𝐍𝐙𝐈/ NILIAMUA MWENYEWE TOKA MOYONI.. 

Wasafi Media
Подписаться 4,6 млн
Просмотров 23 тыс.
50% 1

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Развлечения

Опубликовано:

 

14 сен 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 96   
@khamisseif9870
@khamisseif9870 2 года назад
Mashallah soma utajua vitu vingi kwenye dini yko ya kiislam
@hudheifaomar2370
@hudheifaomar2370 2 года назад
Mungu akuthibitishe zaidi katika dini ya kiislam..hongera sana
@theworldproof1221
@theworldproof1221 2 года назад
Hap hapo mwisho utakuwa unavaa tu ushungi una achana na Manywele ya kizungu ya bandia na nakuona siku Mmoja utaenda hijaa Amin
@majaliwamsule9080
@majaliwamsule9080 2 года назад
Ole wao wamchezeao mungu
@simbafuns785kviews
@simbafuns785kviews 2 года назад
Gereza kubwa duniani ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-hPfGDMQuh3M.html
@aminaally9156
@aminaally9156 2 года назад
Watajua hawajui washenz sana
@estherwilliam5125
@estherwilliam5125 2 года назад
Dada you blessed me a lot thank u 😍
@somoiabdullah4906
@somoiabdullah4906 2 года назад
Karibu kwetu
@user-mo1ui4qm7x
@user-mo1ui4qm7x 6 месяцев назад
Hujifanya kuzungumza Habari za mungu Hana lolote huna akili Ata kidogo
@mweusiasili8345
@mweusiasili8345 2 года назад
Mungu azd kukuongoa
@sabihaibrahim3393
@sabihaibrahim3393 2 года назад
Jistiri basi dadaangu ukae vizuri katika imani yako
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 2 года назад
Kumbe yuko uchi eh
@leahally4618
@leahally4618 2 года назад
@@masalakulwa7601 haujui uisilam ndomana
@bahatihassan5413
@bahatihassan5413 2 года назад
@@masalakulwa7601 ndio
@user-rd7jt1vi5x
@user-rd7jt1vi5x 2 года назад
@@leahally4618 waislam wa ngapi wanavaa nusu uchi wangapi wanasuka nywele za bandia umeona huyo tu mmmmmmmmmh
@leahally4618
@leahally4618 2 года назад
@@user-rd7jt1vi5x ndo usikatae maon yake ,je anavyo vaa uisilamu unataka ivo?
@nicksonmbelwa1164
@nicksonmbelwa1164 2 года назад
She is right
@simbafuns785kviews
@simbafuns785kviews 2 года назад
Gereza kubwa duniani ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-hPfGDMQuh3M.html
@user-dz4ob1xj8g
@user-dz4ob1xj8g 2 года назад
Hujawi kuwa muislamu wewe ulimfata m2 tu ... Na hujajua unachofanya
@mweusiasili8345
@mweusiasili8345 2 года назад
Wewe ndo mwenye nafsi yake wacha kuhukumu kitu ambacho hukijui
@mwanaishazain7985
@mwanaishazain7985 2 года назад
Wazungu wamekutana
@latb2747
@latb2747 2 года назад
karib ktk uislam dear mambo kidogo dogo utakaa sw insha Allah
@daudiomarimfaume1120
@daudiomarimfaume1120 2 года назад
Wacha kumchezea mungu kua na msimamo
@user-mo1ui4qm7x
@user-mo1ui4qm7x 6 месяцев назад
Hajatulia Ata kidogo huyu mdada
@barnabasmajige8473
@barnabasmajige8473 2 года назад
Acha unafiki ww unateswa na majini mahaba
@abubakarshamuhuni126
@abubakarshamuhuni126 2 года назад
Kwaiyo apo ndo umeokoka sio
@omarykusah9719
@omarykusah9719 2 года назад
Umefuat waislm cio mwislm
@tanzaniayetu6973
@tanzaniayetu6973 2 года назад
Jina lina maana sana godliver hiyo liver sijajus ni yamaana gani
@simbafuns785kviews
@simbafuns785kviews 2 года назад
Gereza kubwa duniani ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-hPfGDMQuh3M.html
@omarimziya390
@omarimziya390 2 года назад
Akipata watt 6 dini mara 6
@user-ot2io4cy6w
@user-ot2io4cy6w 2 года назад
Kila mtu aishi atakavyo mwenyewe...
@ZINDUKAMUISILAMU30
@ZINDUKAMUISILAMU30 2 года назад
Maana umejiumba mwenyewe ht uishi utakavyo?
@steventibenda5
@steventibenda5 2 года назад
Tunaishi atakavyo Mungu sio tutakavyo sisi
@user-ot2io4cy6w
@user-ot2io4cy6w 2 года назад
@@steventibenda5 Namaanisha humu kuna watu wanakosoa sana wenzao na kuwahukumu wenzao na kujiona wao ndio wana haki mbele za Mungu na ndio maana nimesema hivyo Kaka.
@simbafuns785kviews
@simbafuns785kviews 2 года назад
Gereza kubwa duniani ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-hPfGDMQuh3M.html
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 2 года назад
Katika kitu umenikosha kuwa muislam mambo mengine yatakaa sawa only those who recognise themselves understand that. Dada uwislam umemaliza wakristo wanalijua ilo sema wameziba pamba maskioni. Km kweli unajitambua basi nenda kwa padili unaemuamini muhulize maswali yako ya kutosha then muone muislam muhulize maswali yako.then utaona ukweli upo wapi.mungu anatuambia tusje kufa aliyakuwa waislam. Kwenye kufa kuna somo kubwa uwezi jua mpk usome uwislam
@fatumamnyenze9696
@fatumamnyenze9696 2 года назад
Wacha wewe ulimpoteza nn kuma ww😏
@lizbethimanuel2938
@lizbethimanuel2938 2 года назад
Uigizaji uko vzr ila kwenye maisha yako binafsi unaonekana ujatulia
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 2 года назад
Na ndio maana aliamua kuokoka
@simbafuns785kviews
@simbafuns785kviews 2 года назад
Gereza kubwa duniani ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-hPfGDMQuh3M.html
@aminaally9156
@aminaally9156 2 года назад
Liz bhn sasa mm sijaelewa mara ulokole mara uisalam au mm ndio mgumu kuelewa
@abuialmarjibi979
@abuialmarjibi979 2 года назад
Dada kaokoka 😅
@ellyitete938
@ellyitete938 2 года назад
Huto tuvingereza achen
@aminaally9156
@aminaally9156 2 года назад
Waswahili tuna mambo lugha yetu hatuitaki ushamba mwingi
@llgg1042
@llgg1042 2 года назад
@@aminaally9156 hio ndo shida 😂🤣😂🤣
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 2 года назад
Halafu tuviingereza huto tunakeraaaaaa
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 2 года назад
Karibu katika uislamu dini iliothibitishwa kwenye vitabu vya dini
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 2 года назад
Dini yenye heshima kuanzia mavazi mpaka heshima ya ibada
@kondegangmusic5866
@kondegangmusic5866 2 года назад
Zuchu kapata ajaliru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-jdISDiWGE7g.html
@abubakarshamuhuni126
@abubakarshamuhuni126 2 года назад
Duhhh chamoto utakiona
@victormushi6641
@victormushi6641 2 года назад
kipi icho
@joycenicodemus.2232
@joycenicodemus.2232 2 года назад
Chamoto gani? Unamuhukumu mtu wewe umekua mungu?
@victormushi6641
@victormushi6641 2 года назад
@@joycenicodemus.2232 Ndugu zetu sijui wanakwama wapi unaona dini yako ni bora kuliko za wengine. wanakosea sana..
@joycenicodemus.2232
@joycenicodemus.2232 2 года назад
@@victormushi6641 yaan mm uwa wananiudhi Sana kujifanya mungu.nakuanza kuwatukana wakristo awajui kuwa kitakachohukumiwa niroho sio mwili.
@victormushi6641
@victormushi6641 2 года назад
@@joycenicodemus.2232 NI KWELI AF WANALETA MAMBO YA CHUKI SANA AF SIO POA.. UNAMZARAU MWENZAKO KISA DINI NA SOTE TUNAFANANA.. HAKUNA ALIKUFA AKARUDI AKASEMA DINI FLANI NDIO BORA ZAIDI, KILA MTU AHESHIMU MWINGINE.
@athumanimtajih
@athumanimtajih 2 года назад
Huyu ndo nayemuonaga kama ni mbibi mara msichana
@saumuimeda5181
@saumuimeda5181 2 года назад
Ndio ndo yy🤣🤣🤣🤣
@simbafuns785kviews
@simbafuns785kviews 2 года назад
Gereza kubwa duniani ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-hPfGDMQuh3M.html
@aminaally9156
@aminaally9156 2 года назад
Athuman acha ujinga au kinyonga huyo abadilika jmn looh ila hata mm simuelewagi
@athumanimtajih
@athumanimtajih 2 года назад
@@aminaally9156 sa unachonshangaa nn🤔
@athumanimtajih
@athumanimtajih 2 года назад
@@saumuimeda5181 kumbeee
@majaliwamajid601
@majaliwamajid601 2 года назад
Mashallah ,, maamzi mazur uliyoyachukua
@simbafuns785kviews
@simbafuns785kviews 2 года назад
Gereza kubwa duniani ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-hPfGDMQuh3M.html
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 года назад
Dada ana badili dini kama nguo 😮😃😃 yani Katoliki ulokole hadi Uislamu
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 2 года назад
Na Katoka tena kwenye Uislam karudi kwenye ukristo ana shida
@mdzainb3722
@mdzainb3722 2 года назад
😃😃😃😃
@ZINDUKAMUISILAMU30
@ZINDUKAMUISILAMU30 2 года назад
Na msife kabla hamjawa waisilamu
@joycenicodemus.2232
@joycenicodemus.2232 2 года назад
@@ZINDUKAMUISILAMU30 Nani kakudanganya ujui dini nikama vyama🤣🤣🤣
@ZINDUKAMUISILAMU30
@ZINDUKAMUISILAMU30 2 года назад
Yyote atakaekufa nje ya uislamu bc kwa Allah hana fungu
@kabaselebasubi4100
@kabaselebasubi4100 2 года назад
Toka hapo ni juu ya mapenzi mjinga wewe umemfata mpenzi wako
@rukkynassor2279
@rukkynassor2279 2 года назад
Baki kwa dini yako .usijaribu kuingia kwa dini ya kiislam kisha ukarudi dini ni dhambi kubwa saana afadhali ubaki tu kwa dini yako .hiyo inamaanisha huna msimamo kwenye maisha yako.mtu mzima unashindwa kujielewa kisha unaongea kunya kunya.
@promyomari3192
@promyomari3192 2 года назад
dini ya zambi kubwa unaijuwa wew pole sana
@emmadora7848
@emmadora7848 2 года назад
@@anneafrica939 amen
@kemosabe27
@kemosabe27 2 года назад
msenge nn
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 2 года назад
Amegundua ukweli
@Ann-vr7ti
@Ann-vr7ti 2 года назад
Vile najua mkristo akibadili dini kujiunga na Muslim,lazima kuna mchoro,maybe kudanga au kua haramia na mshambuliaji,na huu ni ukweli nisipingwe
@khairatmohammed7242
@khairatmohammed7242 2 года назад
Wewe ni mdhaifu na kwenye uislam uliingia kwa mapenzi ya mtu tu na sivenginevo acha viengereza vingi wenye dini tumekuelewa kuwa wewe ni munafik.tu
@mweusiasili8345
@mweusiasili8345 2 года назад
Uzaif wake up apo kweli binadam tunajaji kuliko mungu
@khadijaamour7654
@khadijaamour7654 2 года назад
Na asirudi tena mnafki tu huyo dada
Далее
Кто быстрее? (GTARP)
19:19
Просмотров 389 тыс.
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Просмотров 10 млн
HAIER
1:00
Просмотров 40 тыс.
SNAKE BOY | ep 28 | SEASON TWO
40:50
Просмотров 409 тыс.
Каха бизнес-класс
0:48
Просмотров 1,5 млн
Утро в Нью Йорке
0:16
Просмотров 7 млн