Тёмный

🅻🅸🆅🅴 : MAZUNGUMZO KATI YA LISSU NA WANACHAMA WA CLUB HOUSE/TUTAWAPELEKEA MOTO HATA KAMA WAMENICHA... 

JAMBO TV
Подписаться 938 тыс.
Просмотров 27 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 17   
@amosjoseph7241
@amosjoseph7241 2 месяца назад
Tundu lisu mungu alikuumba kipekee sana, na pia anakusudi kubwa sana na wewe
@chezariboy
@chezariboy 2 месяца назад
Good man, good heart
@wiliamjoseph9009
@wiliamjoseph9009 2 месяца назад
Uko vizuri kiongozi
@IvanRaphael-hh6zz
@IvanRaphael-hh6zz 2 месяца назад
Very great IQ
@JOSEPHATMwesigwa-vi7he
@JOSEPHATMwesigwa-vi7he 2 месяца назад
Sawa kiongozi
@aloycemisigalo3983
@aloycemisigalo3983 2 месяца назад
Huwa nakukubali sana mh. Lisu.
@EdesAron
@EdesAron 2 месяца назад
Nikuwapelekea moto😅😅
@simonMollel-rr3gb
@simonMollel-rr3gb 2 месяца назад
Ndugu zangu msimamo wa kisiasa ni kizuri mtu asiende kama upepo si kila kitu kinapingwa ama kukubali lazma uonyeshe kusimama peke yako na ndivyo lisu alivyo ni kizur sana
@amosjoseph7241
@amosjoseph7241 2 месяца назад
Tuko pamoja
@SimonKipuyo
@SimonKipuyo 27 дней назад
Una uhakika Gani kamanda Kwa usalama wa hizo sim zako na jeshi la polisi
@janeshija6638
@janeshija6638 2 месяца назад
Hata kama wamekuchangia LAZIMA sheria ichukue mkondo wake. Kwanza hii nchi wameifilisi na wana mahela mengi ya kutumia hivyo hiyo ni Kodi yako umeambulia kidogo.
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 2 месяца назад
Tundu Lisu nakushauli gombea Ubunge utachangamsha sana Bunge. Swali kwako Modereta, mbona mjadala huu naona ni wa Kikanisa zaidi?.
@1961nungwi
@1961nungwi 2 месяца назад
Hebu fikiria kidogo. Lissu ulimuona lini mara ya mwisho Kanisani? Ukija kwenye mjadala Wenyewe, nini maoni Yako Kuhusu Muswada wa Special Status?
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 2 месяца назад
Tundu Lisu nakushauli gombea Ubunge utachangamsha sana Bunge. Swali kwako Modereta, mbona mjadala huu naona ni wa Kikanisa zaidi?.
@boneventuremweya3673
@boneventuremweya3673 2 месяца назад
Wewe umelewa udini udini ufai kizazi hiki
@cosmaswilliam3805
@cosmaswilliam3805 2 месяца назад
Chadema vema..
Далее
3 лайфхака для УШМ
01:00
Просмотров 234 тыс.
MWAMBIGIJA AMVAA PETER LIJUALIKALI SUMBAWANGA
20:33
Просмотров 19 тыс.