Тёмный
No video :(

🔴 

MwanaHALISI TV
Подписаться 311 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 767 400402)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 21   
@desiderihugo5704
@desiderihugo5704 Месяц назад
Pambaneni Makamanda na Mungu wa mbinguni awatangulie mapambano yenu yakazae matunda kwa jina la Yesu
@JeremiaholendikaMakeseni
@JeremiaholendikaMakeseni Месяц назад
Hogereni sana kiogozi tupo pamoja
@desiderihugo5704
@desiderihugo5704 Месяц назад
Ccm lazima waondoke .
@AbdallaJuma-tx5ck
@AbdallaJuma-tx5ck Месяц назад
Sababu rais kutoka zanzibar acheni ujinga machogo
@edsonkahesi8603
@edsonkahesi8603 Месяц назад
Hii nchi wengi wetu tumeridhika na shida zetu, ila tunatakiwa tuiondoe ccm madarakani maana hela ya kodi inayokusanywa, wanaigawana haohao wenye dhamana na mamlaka, na ndo maana wako radhi kumpoteza yeyote wanayeona anataka kuwaharibia ulaji wao ili waendelee kujinufaisha wenyewe na kuzidi kumfanya maskini awe maskini kabisa.
@user-xh8kd9ze7o
@user-xh8kd9ze7o Месяц назад
Lema uko vzr
@user-nn5oz4cn2g
@user-nn5oz4cn2g Месяц назад
Jamani hawajamaa wanaongea yaan mungu atusaidie
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Месяц назад
Sio Chakula,wala bidhaa yoyote,Madawa,Huduma,hakuna kilichosalia Waziri wa fedha Mh.Mwigulu hajaweka kodi juu ya kodi ndio ubunifu wa kisomi wa vyanzo vipya vya kodi kwa maendeleo ya nchi! Wao wanajitosheleza,sisi wananchi tunabangaiza siku kwa siku sio bure wana jambo lao...
@user-hj3ky9zy6y
@user-hj3ky9zy6y Месяц назад
Pamoja sana
@kamalabuberwa2001
@kamalabuberwa2001 Месяц назад
CCM ni kikundi cha majambazi, tutakipiga mapema tuu!
@juliusmlula1658
@juliusmlula1658 Месяц назад
LEma Si muhuni wewe ndiyo muhuni na mjinga ambayo haujui lolote
@halimachadai863
@halimachadai863 Месяц назад
Mapambano yaendelee
@IssaAlly-lp4uf
@IssaAlly-lp4uf Месяц назад
Apo nimekuerewa ndio mana maendereo uku mitaani akuna kilasiku tunaliatu izo pesa viasilimia ndio wanajenga mwendokasi basi imetoka
@KamwandaNzowa-eo4ur
@KamwandaNzowa-eo4ur Месяц назад
Hata sisi wakulima tukilima Kahawa hawohawo Ccm ndiyo madalali wakubwa hivyo tunajikuta tumelipwa fedha kidogo sana
@user-tu2ne7so3b
@user-tu2ne7so3b Месяц назад
Hapo hapo
@CostansiaKimaro
@CostansiaKimaro Месяц назад
Muhuni ni wewe lema ni Kamanda mtetezi wa wanyonge
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 Месяц назад
Lema niungovi au unasema sera Huna lolote mhuni tu wewe
@pueblo148
@pueblo148 Месяц назад
Kilaza
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Месяц назад
Mkondya wewe ni chawa wa kwanza kutoka mwisho nani hakujui?! Ndio mana wanyatu mnaongoza kwa umasikini nchi nzima
@shabanadam4476
@shabanadam4476 Месяц назад
Stop your nonsense or go to hell lema his right why tanzanian were suffering katika nchi yenye rasilimali more than all countries in africa
Далее
LISSU AFUNGUKA SIMBA KUPEWA JINA LAKE  NA RAIS SAMIA
6:34