Тёмный

PAMBALU AMVAA MSIGWA, "ANASEMAJE KUHUSU UTEKAJI,", KUBAMBIKIA KESI, VIJANA WA GEN Z KUKIWASHA MBEYA 

Mwanzo TV Plus
Подписаться 159 тыс.
Просмотров 16 тыс.
50% 1

#TANZANIA: John Pambalu amvaa vikali Peter Msigwa, "kwa sasa anasemaje kuhusu utekaji?", amvaa vikali Waziri Masauni na IGP kuhusu kubambikia kesi Meya Mstaafu wa Ubungo (Boniface Jacob) na Malisa G, kukiwasha siku ya Vijana mkoani Mbeya, atangaza ujio wa Gen Z hivi karibuni.
Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE RU-vid Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram

Опубликовано:

 

3 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 24   
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 9 дней назад
Pambalu unakitu mwanangu
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 10 дней назад
Jamaani mungu tusaidie nchi hii duu
@helencyprian8745
@helencyprian8745 10 дней назад
Jibu zuri kwa mwandishi wa msigwa
@nassibdoma5408
@nassibdoma5408 7 часов назад
Kijana nakuona unapambana ila tu niseme usalama hapa haupo ukifanya siasa za kuondoa watu kwenye ugali unaweza kupoteza maisha na kupewa kesi fek
@rucaserasto8154
@rucaserasto8154 7 дней назад
Atali sana daa😅😅😅
@fabby1181
@fabby1181 10 дней назад
Hongera Pambalu
@jamesmsengi7483
@jamesmsengi7483 10 дней назад
Huyu kijana ana kitu kwenye ubongo wake, tusimdharau tumsaidie pale akienda kombo
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 7 дней назад
Shida mlisema Magufuli ndo mtekaji, sa hivi nadhani mnaelewa shida sio mtu mmoja.😢😢
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 10 дней назад
We,we,we, koma kama alama ya koma Yani Samia hawezi kabisa raha yake anapenda watu wakitekwa
@wamojasanga5948
@wamojasanga5948 6 дней назад
2025 gwajima ndani ya ikulu kupitia ticket ya chadema tunza hii utaniamini shalom
@helencyprian8745
@helencyprian8745 10 дней назад
Pambalu uko vizuri sana, yy alisema ni chura asikii kelele
@fabianmahenge301
@fabianmahenge301 8 дней назад
Nguvu ya mabadiliko ni SASA
@francissimwinga-gb2vd
@francissimwinga-gb2vd 10 дней назад
Sio mda mrefu wanakuja tuwachague tuwachague mnaotuteka maana kama viongozi wetu ambao madaraka yenu yametokana na wananchi lazima muwe wakalia Kwa watekaji mko kimy
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 9 дней назад
Swali km Hilo kwa msigwA ni sawa na kupandisha maji mlima Kilimanjaro hawezi jibu Hilo Hawaii msigwA can't answer that question is lmposible why is in ccm rooling part clouse his mouth under ccm leadership msigwA was voice in chadema not ccm forgot about msigwA on such question
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 10 дней назад
Kwa mdomo tuu mtaongea sana na mbuzi wamelala..
@user-md7sd3hk6l
@user-md7sd3hk6l 9 дней назад
faida yake nini sasa daa aya mwezetu
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 7 дней назад
Kwa hiyo wewe huoni shida!!
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 7 дней назад
Kwa hiyo wakilipiza kisasi na wewe ukiwa miongoni mwa waliotekwa itakaaje kwa wapendwa wako?maana siyo kwamba hawawezi kuwateka hawawezi wanaweza ila we we Maneno yako hauyaelewi pamoja na kwamba umeandika wewe kwa kauli zako vita ikizuka mtachinjwa sana wajinga kama nyiye
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 7 дней назад
We nenda kanyonye hukumaliza maziwa ya mama yako
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 6 дней назад
Nendenii zènu umechokwa na chama chenu Chadema Saccoss
@emmanuelymganga5737
@emmanuelymganga5737 5 дней назад
Apo apo tunaona dawa inawaingia ndomaana inauma Pambalu chapa kazi kiongozi
@Jal210
@Jal210 9 дней назад
Wewe bwaja bwaja tu mjinga wewe sana
@TegemeaFutemakatifu
@TegemeaFutemakatifu 9 дней назад
Nyie inawezekana ndo mnaosaidia kulinda watekaji, Haiwezekani watu wanatekwa Halafu weweeee unashadadia utekaji
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 9 дней назад
Mjinga ni wewe. Lifisi emu acha tusikilize akili. Kubwa
Далее
Хотите поиграть в такую?😄
00:16
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
Просмотров 63 млн
POP CHALLENGE 🎈
00:36
Просмотров 296 тыс.
Хотите поиграть в такую?😄
00:16